Crusader Lambart

3.8K posts

Crusader Lambart banner
Crusader Lambart

Crusader Lambart

@licocorasul

MoVies/Series/Viral clips/Life/News/Politics/ Health /Football /Business/ Best movie shows &Daily trending TV shows👉Follow me

Mbwinde Katılım Ocak 2023
992 Takip Edilen945 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Crusader Lambart
Crusader Lambart@licocorasul·
Guess a movie name 🤗🤗
English
8
10
19
2.3K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Say Hello🖐🏻 and gain organic followers 💚
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
English
12
3
20
329
Hasta La Victoria Siempre
Mmoja hapa ana Degree mbili za Mathematics na Phd Ya western Philosophy, anaongea lugha nne, pia ni Hafiz e Quran kwa maana ya kashika verse zote 6236 au juz 30 za Quran tukufu, Na mwingine ni chawa wa mama, ana Phd ya Mambo mbalimbali. Astaghfirullah
Hasta La Victoria Siempre tweet mediaHasta La Victoria Siempre tweet media
Indonesia
28
50
702
33.3K
zee la jumuiya
zee la jumuiya@ASwagarya·
@MwanzoTvPlus Yanayoendelea Africa naanza kuamini mtu mweusi inawezekana kweli amelaaniwa
Indonesia
3
0
5
1.2K
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#BREAKING: MUHOOZI: 'TUNAWEZA TUKAMNYONGA BESIGYE IFIKIAPO MWEZI UJAO. TUSIPOFANYA HIVYO TUTAMPIGA RISASI’ "Nadhani tunaweza kumnyonga Besigye ifikapo mwezi ujao. Tusipomnyonga tutamuua kwa kumpiga risasi. Hiyo itakuwa siku nzuri sana kwa Uganda." Ameandika Muhoozi Kainerugaba, Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi, Uganda kwenye akaunti yake ya X
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
75
33
207
33.5K
Makaveli🇿🇦
Makaveli🇿🇦@Makavel50013138·
@EsirEid Kimsingi hawa feminists wanajifanya nganganga sana majumbani, ila huko maofisini wanapigwa sana pumbu. Tena unakuta boss anapiga na dereva wa boss nae anapiga
Filipino
2
2
16
1.5K
SIRRA
SIRRA@itango_emmanuel·
@Mr_Mawazo Ukifika usiwe na haraka sana yakuongea moja kwa moja, kua mtulivu Kisha muulize ameolewa, baada yakukujibu unamwambia unaogopa sana wake zawatu, hapo kidogo unamuingilia akilini, afu Kisha mwambie, yeye ni unyevu unyevu kwenye moyo wako, unahitaji joto lake Kila muda🫢🫢
Indonesia
5
4
9
396
@MrMawazo
@MrMawazo@Mr_Mawazo·
Kuna demu naenda kukutana nae sasa hivi nataka nimtongoze kabisa tukikutana, nizingatie code gani ili asichomoe swaga
Filipino
15
7
73
4.1K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Kiongozi wa upinzani nchini Israel, Yair Lapid, amesema Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameshindwa kisiasa na kimkakati kufikia malengo ya vita dhidi ya Iran, akielezea hali ya sasa kama “janga kubwa la kisiasa katika historia ya Israel.” Katika taarifa yake, Lapid amesema: “Netanyahu amefeli kisiasa, amefeli kimkakati, na hakufanikisha hata lengo moja aliloweka yeye mwenyewe.” Kauli hiyo imekuja baada ya makubaliano ya sitisho la mapigano la muda kati ya Israel, Marekani na Iran, ambapo Lapid alikosoa serikali kwa madai kwamba Israel haikuhusishwa kikamilifu kwenye maamuzi muhimu ya usalama wa taifa. Lapid, ambaye anaongoza chama cha Yesh Atid, amesema kuwa malengo yaliyotangazwa mwanzoni mwa vita — ikiwemo kuondoa tishio la makombora, kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Iran, na kufikia ushindi wa kimkakati — hayajafikiwa hadi sasa. Aidha, ameitaka serikali ya Netanyahu kutoa maelezo kwa wananchi kuhusu mwelekeo wa vita na sababu za kushindwa kufikia ushindi uliotangazwa awali. Wachambuzi wa siasa za Mashariki ya Kati wanasema kauli ya Lapid inaweza kuongeza presha ya kisiasa kwa serikali ya Netanyahu wakati ambapo taifa hilo linaendelea kukabili changamoto za kiusalama na kidiplomasia. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
22
11
221
18.1K
Chief Kimbawala 🌍🇹🇿
@mshambuliaji Huyo kiongozi wa upinzani wa Israel ni mpuuzi tu. Lengo la vita ya Iran ni kumpokonya Iran uwezo wa kuzalisha Nyuklia bomu na kuharibu uwezo wa Iran kuwa na makombora ya masafa maref Had sasa Israel na Marekani wamefanikiwa maana walishaharbu uwezo huo wa Iran na kuua leaders
Indonesia
5
0
4
397
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Kama unafollow back muda huu Weka handle hapo tuinuane🔥🔥🔥
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
55
19
71
1.5K
Crusader Lambart
Crusader Lambart@licocorasul·
@JongweKipomela @Innocen89950594 @EsirEid Nimesoma replie zako nimeona uwezo wako ni mdogo sana wakufikr kijana wang yaaan ww ni kilaza ujuy kitu chochote🌛 .sasa sijuy kwann kiduku alijibu replie yako maana haukua na fact yeyote
Indonesia
1
0
0
10
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
TUONGEZE FOLLOWERS WETU MUDA HUU. ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back usimuunfollow usiku wa manane📌 Kwa pamoja tutafika 10K. ✍️Repost ili tupate followers wengi wapya🔥🔥
Indonesia
15
10
27
473