Wa Khaya

6.3K posts

Wa Khaya banner
Wa Khaya

Wa Khaya

@malingotilezza

Tanzania Katılım Şubat 2017
6.1K Takip Edilen2.2K Takipçiler
Tm24
Tm24@GeniusOb8832·
Kuna time nilikua nimebakisha Arsenal nishinde 70,000k pale betika na ikaingia.After game kuangalia slip naona Arsenal imekua replaced na Arsenal Tula ya Russia😭😂
Tm24 tweet media
Filipino
221
813
7.8K
185.9K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Kumbe ukifungwa unasoma na shule? Huyu mfungwa anasema alifungwa akiwa darasa la saba, hadi kafanya na mtihani wa form four, kafaulu
𝗭𝗘𝗗 tweet media𝗭𝗘𝗗 tweet media
Filipino
58
44
869
75.6K
Wa Khaya
Wa Khaya@malingotilezza·
@TheRealJongwe Hiii imeenda hakuna kukosekana nitakuwa siti za mbele sana
Indonesia
0
0
0
39
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa nitakuwa Uyole Jumapili hii pamoja na Viongozi wengine wa ngazi mbalimbali za chama…Ni mkutano wa hadhara na Wananchi wote wa Mbeya Mjini njooni tuendelee tulipoishia…✌🏾✌🏾 #LiMwenyekiti #NyasaMpya #FREELISSU
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
56
364
2K
19.1K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
DUNIA IMECHAGUA KUKAA KIMYA inasikitisha sana, Tunapata fainalist wa ligi ya mabingwa ulaya UEFA kwa kupitia uchochoron hadi kufika fainali, angalia timu alzokutana nazo Bilbao Atletico Olympiacos Club Brugge Slavia Praha Kairat Almaty Leverkusen Sporting Atletico Aibu hii
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
79
11
59
4.8K
Didier Drogba
Didier Drogba@didierdrogba·
“ it is not beyond our power to create a World in which all children have access to a good education” @NelsonMandela Proud of the opening of the first school from The Didier Drogba Foundation today in Côte d’Ivoire 🇨🇮 the first one we built 🙏🏾🙏🏾
English
2.6K
3.8K
39.2K
0
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Didier Drogba apelekewe moto aambiwe aache kutumika na Serikali haram ya wauaji kuhalalisha mauaji waliyofanya Oktoba 29 dhidi ya raia wa Tanzania. Hii ni namba ya Taasisi ya Drogba inaitwa Drogba Foundation +2250719190089 Hii ni email yake contact@didierdrogbafoundation.org Nyingine hii info@thesportsprcompany.com
Hilda Newton tweet media
Indonesia
27
98
413
22.6K
Wa Khaya
Wa Khaya@malingotilezza·
@Rabison09 Umechelewa sana kusanuka 2010 acha kabisa
Filipino
0
0
0
8
knockout
knockout@Rabison09·
Mboga za 2007 zishaanza kuchanua huko.🔥🔥🔥
knockout tweet media
Polski
45
35
333
25.4K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tupate REPOST 200. Kesho CHAMA CHETU WANANCHI KINAONGEA.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
22
354
1.1K
9.2K
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺@SwahiliRealTalk·
Naomba ushauri wenu wakuu nimetumia dawa zote lakini hawa kunguni bado wananisumbua sana geto 🥹 nifanyaje ili waishe wote wakuu 🥲
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
243
44
312
55.6K
Wa Khaya
Wa Khaya@malingotilezza·
@HecheJohn Huyu ndio msemaji Safari bado ni ndefu sanaaaa
Indonesia
0
0
0
5
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kama kuna mtu alikua hajui kwanini serikali hii haiwajali Watanzania, Kama kuna mtu alikua hajui kwanini watu wanatekwa, wanauwawa, kama kuna mtu alikua hajui kwanini watu hawana maji, hawana barabara, hawana shule bora, kama kuna mtu alikua hajui kwanini kodi za umma zinaibiwa na watu wakisema hawasikilizwi.. Kama kuna mtu alikua hajui kwanini watu wanaweza kuuwawa kama kuku, watu wakadhulumiwa haki zao na bado watu walioko kwenye madaraka wasijali. Kama kuna mtu huyo ambae alikua hajui namna Serikali hii inavyowaona na Kuwafikiria Watanzania aje asome hii kauli ya msemaji wa serikali na kwa maana hiyo kauli ya serikali. Tanzania ni Jamhuri, maana ya Jamhuri umma au Wananchi ndio wenye mamlaka, ndio wenye nguvu… ndio maana Katiba yetu ibara ya 8 inasema mamlaka yatatoka kwa wananchi no matter how wananchi wanaweza kumuudhi Kiongozi wa umma huwezi kuwaita “Nguchiro “ tumeona kwenye Nchi nyingi tu viongozi wanakosolewa tena hata vibaya, na sheria zipo kama kuna kosa kuna hatua za kuchukua… Msemaji wa serikali au serikali inawezaje kuita watu Nguchiro!!!! Kumbe ndio maana mnawadharau Watanzania, mnaiba kodi zao huku wao wakiteseka, mnaua na kuteka, mnauza rasilimali za Nchi .. kwasababu hamuoni utu wao mnaona Nguchiro, hamuoni thamani yao mnaona Nguchiro!!! Nafikiri Hii ni statement ya serikali kupitia msemaji wake na katibu wa wizara.. Watanzania msikubali dharau hizi kwenu na watoto wenu, ndio maana wakitafuta kazi hawapati kwasababu hawa wanawaona nyie sio binadamu, kwamba wao ni binadamu kuliko nyie!!! Hakuna kiwango cha hasira au matusi kinachoweza kujustify serikali kuita raia wake Nguchiro hata kama ni mmoja.
John Heche tweet media
Indonesia
103
309
1.2K
45.6K
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
👉 Huyu Humphrey polepole kipindi kile alitesa sana Watu Safi ndani ya Chama na Wengine kuwafukuzisha uanachama kisa wametofautiana kimawazo na mitazamo yao✍️
Filipino
13
4
39
4.9K
A man of interest
A man of interest@official_kauzu·
Dah qmmke kweli sura sio mwili 🚮🚮
A man of interest tweet media
Indonesia
36
11
156
49.7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Makomborero hobho, hobho ❤️❤️❤️
Filipino
70
192
1.6K
29.3K
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Sasa CHADEMA muache “mawenge” muwe na Shukrani kwa Rais wetu Dkt @SuluhuSamia kwa wema wake lukuki kwenu na muwe watiifu kwa dola inayoongoza nchi, otherwise mkiendekeza “kilomolomo” mtarudi kifungoni si punde hadi 2030.
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
194
9
72
12K
Wa Khaya
Wa Khaya@malingotilezza·
@iamkizzyh Wengi sana hawa ni nunuee namba kwaajili ya ku view wasp status au
Indonesia
0
0
0
198
MUITALIANO 🔋
MUITALIANO 🔋@iamkizzyh·
Kosa langu ni nini hapa?
MUITALIANO 🔋 tweet media
Indonesia
90
24
249
49.3K
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Mbunge wa Kigoma 😂 Elimu muhimu sana The future is purple
SafariMlevi tweet media
Filipino
14
5
164
19.2K
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
Nimeanza kuamini Rais amezungukwa na Useless peoples. Au ni mpango wa kumdhalilisha unaendelea🤔 Yani Lita 1 iuzwe Milioni 2 na bado anasema amerekebishwa🫢🫢
Filipino
107
99
562
37.8K