Baba Delisa

7.1K posts

Baba Delisa banner
Baba Delisa

Baba Delisa

@munisijo

|| Sales & Marketing Specialist || Father ||Dead Men, Tells No Tales || In GOD I Trust || https://t.co/82fw2sOV1G || Chelsea || Yanga ||

Kilimanjaro, Tanzania Katılım Eylül 2011
324 Takip Edilen647 Takipçiler
Baba Delisa retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Wasogezeni wabunge wa mchongo haya mdo masharti ya kuondolewa vikwazo 👇🏾 “(b) UTHIBITISHO.—Marufuku chini ya kifungu kidogo cha (a) itaisha kuanzia tarehe ambayo ni siku 30 baada ya tarehe ambayo waziri wa mambo ya nje atawasilisha kwa kamati zinazofaa za Bunge uthibitisho wa maandishi kwamba Serikali ya Tanzania ime— (1) tekeleza mabadiliko ya uchaguzi ili kuendeleza uchaguzi huru, wa haki, na wa uwazi; (2) kusitisha kesi za jinai zenye motisha ya kisiasa au zisizo halali, kusahihisha hukumu za kimahakama zenye dosari au zisizofaa,na kuwaachilia viongozi wa upinzani na watu wengine waliokamatwa kwa misingi ya kisiasa; (3) kuchukua hatua zinazoonekana kuwawajibisha maafisa wa serikali, wanajeshi wa usalama, na wafanyakazi wa kutekeleza sheria kwa utekaji nyara wa kisiasa, vurugu za uchaguzi, na vitendo vinavyodhoofisha taasisi za kidemokrasia; na (4) kusitisha vitisho vya kisiasa na udhibiti wa watu mashuhuri katika vyombo vya habari, waandishi wa habari, na watendaji wa asasi za kiraia.” Hiyo namba (4) mmeielewa? Acheni kututisha na kutuwinda! Maridhiano feki na wanasiasa haitawasaidia! Mtuhehsimu na wajibikeni!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
40
185
521
25.8K
Baba Delisa retweetledi
The Economist
The Economist@TheEconomist·
Tanzanians had hoped Samia Suluhu Hassan would usher in a more open society. Now her repressive regime threatens the country’s achievements and its future economist.com/leaders/2026/0…
English
17
96
207
26.9K
Baba Delisa retweetledi
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
The illegitimate Foreign Minister of Tanzania, Thabit Kombo (@mfa_tanzania), has now publicly confirmed before the rubber-stamping @tzparliament that the killing of protesters and even non-protesters by @tanpol was, in his view, well within their constitutional mandate during the #TanzaniaMassacres. This is yet another damning admission and further proof that these were not isolated incidents, but deliberate and targeted killings carried out by state security forces and their allied goons against innocent civilians. #SamiaToICC @IntlCrimCourt @WGEID @UN_HRC @ChademaTZ2 @Liberatus80 @davidmcallister @Smith_JeffreyT @HildaNewton21 @HecheJohn @MariaSTsehai @idualliance @SenTedCruz @SFRCdems @SenTimKaine @usembassytz @EUtoAU @EUparliament @mbnftanzania @CanadaTanzania @UKinTanzania @BelgiumTanzania @GermanyTanzania
English
3
25
59
2.1K
Baba Delisa retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Dear @Europarl_EN A few months ago, Tanzania's Minister of Foreign Affairs, Mahmoud Thabit Kombo, and his delegation visited Brussels to engage with the European Parliament. During this visit, they implored you not to impose sanctions and restrictions, despite the fact that by October 29, the regime had gunned down over ten thousand Tanganyikans, many of whom were denied the right to live, reflecting a troubling disregard for human rights. However, in Parliament yesterday, Minister Kombo stood up and boasted and mocked you. He claims that when they came to speak with you, the European Union imposed "free free" conditions on them, referring to the demands you made, including the release of Hon. Tundu Lissu. Kombo has since proudly claimed that he rejected those demands, asserting that no foreign institution has the right to dictate how our country should be governed. After ridiculing you in their illegitimate Parliament, they are scheduled to return to Brussels to request grants. This behaviour suggests a concerning pattern that deserves your attention. I hope you have noted the discussions surrounding his mission in Europe. It is important to recognise that the CCM and the current regime are seeking endorsement in the form of grants and financial support. They may use such funds for political propaganda, undermining the importance of accountability. Please do not fall into the trap of becoming complicit in this situation. Cc. @EU_Commission @davidmcallister @BarryAndrewsMEP @gahler_michael @RobertBiedron @UdoBullmann @ErikMarquardt @European
English
44
255
837
35.3K
Baba Delisa retweetledi
Lantana camara
Lantana camara@osoitsam·
Muswada hu unaipa Marekani mamlaka ya kuchunguza na kutengeneza orodha ya viongozi wa Tanzania wanaotuhumiwa kwa ukiukaji wa haki za binadamu, na mara nyingi hatua kama hizi zinaweza kupelekea vikwazo kama: Kufungiwa visa Kufungiwa mali Kuzuiwa kufanya biashara au safari Marekani
Lantana camara tweet media
Indonesia
9
48
153
8K
Baba Delisa retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
. @tedcruz @SenatorShaheen @SenateForeign While you are sanctioning the killers of Tanzania, please follow the money trail to Dubai. Mos of the money Samia Suluhu, her son Abdul and their associates have stolen in Tanzania goes to the UAE through this bank ,CRDB. Please INVESTIGATE CRDB bank and you will find all the BLOOD MONEY!!!!!! THIS BANK ITSELF NEEDS TO BE SANCTIONED. Please FREEZE ALL THEIR ASSETS AND THOSE OF THEIR RICH BUSINESS ASSOCIATES. Samia Suluhu’ son, Abdul was gifted a UAE citizenship. Please follow the money through CRDB bank!!!! I want to emphasize this. ALL ROADS LEAD TO DUBAI.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
English
40
266
1.2K
46.7K
Baba Delisa retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
She is committing genocide against our people. #MO29
Tito Magoti tweet media
English
11
523
1.3K
20.6K
Baba Delisa retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hawa walitekwa kwa wivu ya mapenzi na madeni? Au walijiteka? Ila Mungu yupo! Kukubali kusoma ripoti kama hiyo ni aibu kwa mstaafu! Ila #TutaelewanaTu Oh and #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
16
99
301
6.1K
Baba Delisa retweetledi
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Sasa mnachunguza nini? Wakati hamuwezi kusema; 1. Nani kakosea nini? 2. Kama hamuwezi kusema jinai iliyofanyika dhidi ya watanzania au madai? 3. Kama hamuwezi kumshutumu au kutaja aliyehusika mmeundwa kufanya nini? Tuko nje ya muda na bado mnatupotezea muda.
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
24
99
302
7.7K
Baba Delisa retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
@SGCommonwealth You want to support the illegitimate government of Tanzania that seized power after killing more than ten thousand Tanzanians?
Hilda Newton tweet media
English
11
132
418
12.3K
Baba Delisa retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨 NAOMBA USHIRIKIANO WENU‼️ Hebu tukumbushane viongozi wa dini na makanisa /misikiti waliopatwa na misukosuko na awamu hii ya @SuluhuSamia tokea 2021 👉🏽Gwajima na kanisa lake la Ufufuo na Uzima walifungiwa na waumini kuumizwa 👉🏽 Kanisa Katoliki - watawa na mapadri akiwemo Fr Kitima - walitekwa na kuumizwa (hapa orodha nzima inahitajika tuweke record sawa) 👉🏽 Mchungaji Steven Jacob wa Kanisa la Huduma ya Kristo - Arusha 👉🏽 Mchungaji Mwakipesile alifungiwa kanisa na kufunguliwa kesi Mbeya na binti yake Sifa Bujune alishtakiwa kwa wimbo na baadaye aliachiwa ila akafariki 👉🏽 Mchungaji Yanick Mbombo Arusha 👉🏽 Mchungaji / mwimbaji wa Injili Elisha Juma huko Geita - hadi leo hajapatikana 👉🏽 Sheikh Athman Diblo alitekwa huko Kiteto, Manyara mwaka 2022 👉🏽 Sheikh Jabir Haidar alitekwa na kuuwawa Zanzibar Naomba mnisaidie kuongeza Kuna orodha inaandaliwa kwa matumizi ya kimataifa Natanguliza shukrani #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
28
144
525
27.6K
Baba Delisa retweetledi
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Kesho ACHPR itatoa hukumu 3 ! 1. Kuhusu uchaguzi wa 2020 2. Kuhusu Muundo wa Tume, japo kesi ilikuwa kwa sheria ya zamani, wazee watasema nini? 3. Kuhusu, wafungwa, watuhumiwa, watu waliopo vizuizini na watu wanaoishi nje ya nchi kupiga kura! Hasta la victoria, siempre
Jebra Kambole tweet media
Filipino
6
68
241
6.8K
Baba Delisa retweetledi
UK in Tanzania
UK in Tanzania@UKinTanzania·
“There must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected.” - UK's Human Rights Ambassador, @ESandersFCDO gov.uk/government/spe…
English
114
502
1.1K
110.8K
Baba Delisa retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Soon mabadiliko makubwa dunia nzima na #Tanzania hususan Tanganyika tutaandika historia yeru ulimwengu! Huu si kuda wa kurudi nyuma #Tumeshinda - tunasubiri Ushindi utangazwe! #TutaelewanaTu Mwezi huu ni mwezi muhimu SANA!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
27
178
856
21.7K
Baba Delisa retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🚨‼️ Kivuli cha Oktoba 29‼️ 👉🏽 Ni miezi 4 imepita toka Gaidi kiongozi Samia Suluhu Hassan na familia yake pamoja na vikaragosi vyao walipotekeleza mauaji dhidi ya raia wa Tanganyika zaidi ya 10,000 yaliyofanyika Oktoba na Novemba 2025. 👉🏽 Tume feki ya Chande iliyopewa kandarasi ya “kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani” yaliyotokea Tanganyika kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ambao haukufanyika imeedelea kuchezea kodi za Watanganyika. Sasa hivi tume hii imekuwa na kazi ya kutengeneza ushahidi batili wa kumwezesha Gaidi Kiongozi Samia Suluhu Hassan, familia na washirika wake wa mauaji kukwepa mkono wa sheria kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). 👉🏽 Tujiulize TUME inapata wapi uhalali na ujasiri wa kuhoji yaliyojiri nchini wakati hadi sasa wote waliohusika na mateso na mauaji ya raia wenzetu wa Tanganyika zaidi ya 10,000 bado wapo ofisini? 👉🏽 Tunawaelekeza Watanganyika wote ambao wako kwenye nafasi za maamuzi kuelewa kwamba hakuna kitu chochote kitakachoweza kuzima damu za raia zaidi ya 10,000 waliouliwa 👉🏽 Tunawapongeza sana wapiganaji wetu wa mstari wa mbele GenZ kwa kuhakikisha kwamba kila anayejaribu kutweza damu za raia wa Tangayika wasio na hatia waliouliwa tarehe 29 Oktoba 2025 anadhibitiwa kwa namna inayofaa ili kukomesha kabisa tabia inayomea #Amandla! #UshindiUnakuja #SamiaNiGaidi
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
14
121
419
36.1K
Baba Delisa retweetledi
Amnesty Eastern Africa
Amnesty Eastern Africa@AmnestyEARO·
🧵1. Three months since his last appearance in court, Tanzania’s opposition leader Tundu Lissu is appearing at the High Court of Tanzania in Dar es Salaam today for the hearing of his treason case.
Amnesty Eastern Africa tweet media
English
14
241
544
18.2K
Baba Delisa retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Napenda kuchukua nafasi hii, Kumshukuru sana kaka yangu Bwege…. Pamoja na hali yake, hali ya usafiri wa Dar … Amejitoa na kuja mahakamani kusikiliza na kumpa nguvu Mwenyekiti wetu .. Tundu Lissu katika kesi yake uongo ya uhaini.. Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda kaka Bwege akupe afya njema na maisha marefu. Tutashinda.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
72
519
3.1K
68.7K
Baba Delisa retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Wanasambaza ‘bilioni mbili’ kwa hao ‘content creators’ ili kuwasifia. Wamegundua hilo genge linalowachekesha ndiyo kundi bado mnalifuatilia. Raia wengi bado ni maskini wenye nafuu, ugumu wa maisha unawafanya watafute ucheshi kujiliwaza. Ni mkakati unaotakiwa kukataliwa. Wapuuzwe.
Indonesia
21
160
1.2K
24.9K