fred
9.2K posts


@nassor_01 @rasoulHK Anaehamisha main road na kupeleka raf Road ndio hivyohivyo
Eesti
fred retweetledi

Mwanetu Ninja @Ninja_Damour yuko Nje kwa Dhamana.
Ahsante kwa kila mtu na Special shout out kwa @Cowwbama ✊👊
Indonesia

@Mrisho_K @taifa_mbunge Walishajitafakari kwenye jambo lipi kwa mfano ambalo linarelate na hili
HT

@taifa_mbunge Wasomi huwa hawakurupuki, huwa wanajipa muda wa kutafakari kwenye kila jambo
Indonesia

Kwani wasomi wa miaka hii wote wamerogwa kizazi gani hiki?
Mtu ameuliwa kikatili hivi halafu wapo kimya tu!
Hii sio kweli kabisa kuna mambo ya kufunika kombe ila sio kwahili!
Mtu amekatwa kichwa et
Innalilah wainnalilah Rajiun
#Tutauwepo
Indonesia
fred retweetledi

KICHWA CHA MWENDA WAZIMU HAKIOTI NYWELE.
Mwambieni Ndugu Paul Makonda kwamba Tulikuwa na watu kama Mzee Jella Mtagwa au Mzee Peter Agustino ( Peter Tino) Ngulungu au Hata Sunday Manara aliyefungua mlango wa TZ kucheza ulaya na kwa kizazi kipya akina Mbwana Sammata nk ndani ya Taifa hili .
Tunge kuwa na utashi wa kweli tunge wa enzi hawa kwa mchango wao katika Taifa hili kulipeleka Afcom kwa mara ya kwanza tuna Wallace Karia ambaye ametufanya tuzoee sasa kushiriki Fainali za AFCON na akina Mohamed Dewji kwa kuondoa vilabu vya Tanzania katika Unyonge kiasi kwamba kila klabu ikipangwa na Yanga au Simba inapata hofu.
Lakini kwasababu sisi nikichwa cha Mwenda wazimu usishangae kuona akina Didier Drogba au David Beckam wakienziawa. Ndiyo ukichwa cha mwenda wazimu wenyewe.
ANY WAY CHA MUHIMU TUJUE WALIOTEKWA WAKO WAPI,OKTOBA 29 NANI ALIHUSIKA NA ALIHUSIKA VIPI KABLA,WAKATI NA BAADA.
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI VITALIPONYA TAIFA.
BAK Mwabukusi.
Indonesia
fred retweetledi
fred retweetledi

fred retweetledi

@TheChanzo Vitabu vitakatifu vinasema tuwachape watoto wewe na kitabu kitakatifu tumfwate nani?
Indonesia
fred retweetledi

@fichuahub @MariaSTsehai Hata ile bei ya Mawese iliyopenyezewa ilikuwa ya gaza
Indonesia

Wakili Peter Madelekea ameyasema hayo Aprili 27, 2026 wakati akichambua ripoti ya Jaji Chande kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Zaidi tembelea jamii.app/RipotiJajiChan…
#JamiiForums #RipotiJajiChande #JFMatukio #Oktoba2925
Indonesia

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Aliyekuwa mwanasheria msomi wa Yanga SC SIMON PATRICK ameandika Haya kupitia mitandao yake ya Kijamii.
“Maamuzi ya kupeleka Derby uwanja wa Mej. Jenerali Isamuhyo - Mbweni ni ushindi wa Yanga na Simba kufanikiwa kuwa juu ya vyombo vya mpira wa Tanzania na kielelezo cha UDHAIFU wa viongozi wa soka nchini jambo lililolelewa kwa muda mrefu.”
“Derby hii ni urithi wa taifa la taifa letu, kitendo cha kuruhusu mchezo huu kuupelekwa Mbweni ni kuwakosea heshima mashabiki wa mpira, kwani uwanja huo ni mdogo sana kwa derby ya kariakoo.”
“Kwa trend hii, sitashangaa derby ijayo tukiambiwa inapigwa Avic Town na inayofata tukaambiwa inapigwa Bunju.”
Mungi ibariki Tanzania🇹🇿.”
NB: Tulilinde taifa letu, sis sote ni ndugu🙏🏿"
#MeaMswahiliUPDATES

Indonesia



















