PRINCE NATHAN
4.4K posts


🚨 UPDATES
Faisal Salum to Simba Sc here we go!!
Ni kweli Mazungumzo ya Fei na Mo yanaendelea na hii ni Mara ya pili.
Ikumbukwe kipengele kilichowekwa na Yanga kinaisha mwisho wa Msimu huu.
Na za ndaaaani Fei hana shida ni Simba tu kumalizana na Azam.
Taarifa zaidi utazipata kwa @meamswahili

Filipino

@emabilly2001 Mpk malaya anakubali bila kinga huyo ni ana ukimwi kijana Anza kula vizuri na mazoez kwa mbali
Indonesia

@RevocatusMagum1 Broo huyo yupo world cup ni best refreee in Africa kila hatua mchezaji anayokimbia yupo achana na watumbua macho akina kayoko na ndajirage kunyoosha mikono kama wanaomba Sadaka
Filipino

@zoetjesheeftX @s2kizzy Hapo donat sidhani kama ipo salama
Filipino

Mchekeshaji Jol Master ameshindwa jizuia ameamua kumpa maua yake live mtayarishaji wa mziki wa bongo fleva S2kizzy.
''Leo naomba nimuongelee huyu jamaa , brother of mine @s2kizzy Huyu ni moja ya binadamu wenye moyo na roho nzuri sana sana sana 🫡 MAUA TUTOE MTU AKIWA HAI 💪 Kuna kipindi nilikuaga napitia situation ya kimiyeyusho sana financially ila mwamba alikua ananifata kila siku makongojuu CCM ananichukua ananiambia utakuja ujinyonge mbwa ww 😂😂 Tunazurura tunaenda studio kwake Anawarecodia wasanii mimi niko pale Najikuta najifunza vitu vingi then baadae ananirudisha Ananiachia 50k kila siku. 🫡 NIKAWA NAANDAA SHOW YANGU YA KWANZA MLIMANICITY AKAWAAMBIA WASANII WOTE A LIST WAFANYE PROMO YANGU YA SHOW , Haikutosha Mwamba hajawahi kosa show yangu hata moja''Ameandika- Jol Master

Filipino

@GeraldLudovick @Sativa255 Basi hata diploma hana kaka 😂😂😂
Indonesia

Kwamba Tanzania nzima hatuna WASOMI mpaka tunaenda kuchukua hawa VILAZA na kuwapa WIZARA waongoze wasomi?
Hivi huyu kweli anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani?
Waziri gani ambaye ni Form Four Failure?
Waziri gani ana certificate 3 na zote ni za online?
Waziri mwenye certificate ndio ataongoza wizara ya ajira?
Atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira?
Waziri gani ana udaktari wa mchongo wa kupewa?
Samuya kaamua kutafuta Form Failure wenzake awajaze ndani ya serikali haramu maana hapendi wenye akili KUBWA anajua watamchallenge.
Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze.
Ni kama tupo zama za MAWE.

Indonesia

@KojoMasta @Sativa255 Kaka ikiwa hivyo hakuna haja ya elimu sasa broo elimu ni daraja la kutofautisha hata kama wanakwama ndio sikati lakin huwezi mpa form failure aongeze kundi la wasomi tena wenye level kubwa kisha upate maendeleo never nchi gani duniani inafanya ivo
Filipino

@Sativa255 Hapo unge'judge utendaji wake man na sio elimu,maana till now viongozi wengi nchini ni wasomi na ndo lawama kwao kila siku....university degree is nt important factor in leadership
Filipino

@Sativa255 Mbona mwaka wa kumaliz form 4 hajaweka huyo kajitahid ku repeat mitihani akakwama 😂😂😂 alafu vijana tuna master's mtaa unatusurubu viongozi muwe na huruma basi itisheni hata cv za vijana wa level fulani ya elimu mkiona wanafaa kweny nafasi kweli 4 four failure anaongza PhD
Indonesia

@vistovic17 Sasa edo unajidai hujui mpira wa bongo hapa kununua mechi unazani azam atashindaje kombe Maybe aanze kununua kwa kuhonga marefa,wachezaji na baadhi ya viongozi ndio atamaliza utawala wa vilabu vya kariakoo
Indonesia

🚨 Edo Kumwembe akitoa maoni makali kuhusu Project ya Azam FC:
“Uwezi kutumia billions za fedha kwenye project kama hii ya Azam na kushindwa kuwa underdog wa Simba na Yanga.
Hii timu nilidhani itakuwa kama Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini — kuchukua utawala kutoka Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Lakini kwa Azam ni story tofauti kabisa.
Wanashindwa hata kuchukua vikombe vidogo kama Muungano na FA Cup, wakati wana miundo yote ya mpira, academy, facilities na kila kitu. Ni kundi la watu tu ambao hawajui wanachotaka.”


Filipino

@IbrahimNassib @gerino_andrew @Adventure_36 Usizan utaneemeka baada ya hapo kuna mama ako huko kimbiji kuna dada ako huko chanika kuna mjomba wako huko kibaha alfu ni walala hoi usikoment kwa mihemuko hiyo itaanza kukuumiza wew na familia yako pale ambapo utakuwa na watoto watatu au wanne wote wanasoma fikiria nauli zao
Filipino

@gerino_andrew @Adventure_36 Nadhani ungekuwa unamiliki hata pikipiki usingelitamka hilo neno mihemko
Indonesia

Kuna watu wataanza YouTube Automation mwaka huu… na kuna wale watakaoishia kuisikia tu.
Tofauti yao na wewe sio uwezo ni maamuzi tu.
Tarehe 20 April, nafanya YouTube Automation Masterclass ya kipekee kwa kundi dogo sana la watu walio tayari kuchukua hatua halisi, sio kusubiri “wakati sahihi”.
Hii sio webinar ya kawaida.
Ni session ya vitendo, ya kukuonyesha hatua kwa hatua nini cha kufanya kuanza na kukua, kwa mfumo ninaoutumia mwenyewe.
Nafasi zilikuwa 20.
Sasa zimebaki 9 tu. (Watu 11 tayari wameshachukua hatua)
Ukichelewa hapa, utaendelea kuscroll content nyingine bila action… halafu unajiambia bado hujui namna ya kuingiza kipato online.
Chukua nafasi yako hapa:
allymsangi.com/YTAmasterclass

Indonesia

@MsomiKhan18 Kaka nina 4.4 computer engineering huo mkopo mnipe basi
Filipino

Paid Course?
I'm giving you access to 15+ FREE Courses
1. Microsoft Excel
2. Advanced Excel
3. Probability
4. Statistics
5. Mathematics
6. Tableau
7. PowerBI
8. SQL
9. SQL + Tableau
10. Python
11. Python Programmer Bootcamp
12. Git and GitHub
And Many More
To get it, just:
1. Like & Retweet
2. Comment "Free"
3. MUST be Following (so that I can dm)

English





















