Director
6K posts


@rkj950 Si kwa sababu ya mfumo umekaa ovyo ila kiprotocal ndo iko ivo, waziri mkuu asingukua na haja sasa kama ni ivo ila ni bas tu protocal saiv hazizingatiwi.
Indonesia

@assengajrr Yote hayo hayana shida. Lakini hapa kwetu ni ngumu utaona waziri analalamikia jambo mwisho anasema mtawajibika kwa aliyewateua
Indonesia

@rkj950 Ndo maana Kipindi kile Lowasa ndo alijiuzulu ma sio Kikwete
Filipino

@assengajrr Alikufa. Tuzungumzie nguvu kati ya rais na waziri mkuu wa mamlaka ya utawala kwenye nchi yetu na mamlaka kama israel na india
Indonesia

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Kiungo Jonas Mkude 'Nungunungu', amezitibua klabu za Mashujaa FC na JKT Tanzania ambazo zote zimeingia vitani kuwania saini yake kwa ajili ya msimu ujao wa 2026/2027.
Mkude, ambaye kwa sasa hana timu baada ya kuachana na Yanga msimu wa 2024/2025, hivi karibuni alitangaza rasmi kurejea uwanjani msimu ujao, jambo lililoziamsha timu hizo za jeshi zilizokuwa zikimnyatizia tangu dirisha dogo la Januari 2026.
✍️|| MwanaSpoti
#MeaMswahiliUPDATES

Indonesia

@assengajrr Sasa hata uwe waziri mkuu kwa alivyokuwa si akutolewa na Rais maana nchi hii mwenye maamuzi Rais na waziri mkuu kwa nafasi yake sio yote kama alivyokuwa anafanya
Indonesia

@Samalentips Wananchi na mbunge mbona haviendani. Hawana kosa fikiria upya lile jengo unaenda wakitaka sio mkitaka 🤣🤣
Indonesia

@TriciaAbou Aseme kabisa wasio na konekshen ndio wasihame
Wenye konekshen zao kila siku wanahama tuu
Indonesia


@mugheiry_rashid @ayubu_madenge Ila tunaakili za ajabu sana kama ni hivyo kwahyo mtu akipata mali tunahisi uchawi tu
Indonesia

@rkj950 @ayubu_madenge Ndio Africa uwe masikini kama wao
Indonesia

@rkj950 @ayubu_madenge Tatizo si awe na chochote. Tatizo ni kuficha hela Kwenye Sofa.
Rais??
HT












