Scudu Avic

429 posts

Scudu Avic

Scudu Avic

@scuduscudu

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2023
797 Takip Edilen126 Takipçiler
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@_zack255 Wangetenga bilioni 500 tu kwa ajili ya katiba ningewaona bonge la watu.
Indonesia
0
0
0
4
Scudu Avic retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
SERIKALI YATENGA TRILIONI MOJA KUJENGA KAMPASI 15 ZA VYUO VIKUU NCHI NZIMA Serikali imetenga takribani Shilingi trilioni moja kwa ajili ya ujenzi wa kampasi 15 za vyuo vikuu katika mikoa mbalimbali nchini kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Mradi huu unalenga kupanua upatikanaji wa elimu ya juu, kuboresha ubora wa mafunzo, na kuandaa wataalamu watakaochochea maendeleo ya kiuchumi.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
13
17
25
2.2K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
Nimejikuta nacheka peke yangu baada ya kusikia mahafali ya chuo kimoja huko Nigeria.Sijui kwa nn nimexheka sana.
Indonesia
0
0
0
5
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Wakati Gwajima anaombea wachawi wote wafyekwe, Amekosea sana Hakutakiwa Kutaja majina ya Viongoz wa Serikali nao Kufyekwa, hasa Rais Samia, Amemkosea sana.. Gwajima anatakiwa kumuomba msamaha Mh.Raisi Amemkosea sana.. 👉👉👉Mwamposa.🤣😃.. una lipi la kumwambia Mwamposa? Uwanja wa maoni uko waz👇👇👇👇.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
35
2
84
27K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
SAMIA ATOA ONYO...‼️‼️ Samia asema kuwa siku sio nyingi ataufunga mtandao wa TikTok na usipatikane kabisa kwa sababu ya ukosefu wa maadili na kuzidi kumshambulia kama yeye si mwanadamu.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
71
8
129
24.4K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@nguchiro47 Lengo lako ni kutufanya tusahau ya October 29 na ripoti ya CAG ila umechemka.
Filipino
0
0
1
12
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
👉Kwa kuziweka pembeni hisia na mihemko ya kisiasa, hali ya CHADEMA chini ya uongozi wa Tundu Lissu inaonekana kudhoofika kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha takribani mwaka mmoja mpaka sasa alipochukua mikoba ya uwenyekiti wa chama. 👉 chama cha demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) hakijaonesha uwepo thabiti wa shughuli za kisiasa zinazoonekana hadharani kama mikutano mikubwa, kampeni endelevu au uhamasishaji wa moja kwa moja kwa wananchi. 👉hakuna shughuli yoyote ya kisiasa iliyoendelea kwa kipindi cha mwaka mmoja, Hakuna mwenyekiti wa kijiji Wala mwenyekiti wa Serikali za mitaa, mbunge wala diwani nchi nzima, CHADEMA imebaki mitandaoni tu, Nashauri chama kijitenge na wanaharakati ambao hawakitaki mema chama cha CHADEMA ✍️
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media
Indonesia
56
6
25
6.6K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@kapeto98 Nilipokua chuo kikuu mwaka wa tatu somo la ujasiriamali mwalimu wangu aliuliza swali ambalo jibu lake linafanana na swali lako.aliuza je ukimchukua mmachinga na graduate ukawapa shilingi milioni 10 kila mmoja je ni nani ataanza kufungua biashara? Ukijibu sema kwa nini.
Indonesia
0
0
1
440
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Huaga Najiuliza sana Kwanini Vijana na Watu wengi waliosoma Kwa level ya Juu Kidogo walioko Wengi wanakuwa na maisha ya kawaida na wengine wanaishia Kufa Maskini. Na kuna Hao Jamaa Hawajasoma Kabisa au wengine wameacha Shule wengine wameishia FORM FOUR lakini Wana maisha Mazuri na wengi ndio Matajiri. Na tunamini Shule tunaenda Kupata Uelewa na Kujikwamua kimaisha na Kuwa Majarili Why Ni Vice versa..? Tatizo Hapaa Liko Wapii , Share Your Opinions.
Filipino
59
12
142
15.9K
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Mliokua mnasubiria Rais Samia arudi kwenye global stage ndio karudi sasa with a big bang 💥 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alikutana na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Taifa ya Vyombo vya Habari, Abdulla bin Mohammed bin Butti Al Hamed, kando ya Mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026) uliofanyika tarehe 4 Februari 2026, Madinat Jumeirah, Dubai, Falme za Kiarabu.
Nyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet media
Indonesia
22
28
48
7.6K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@NNgabu_ Wimbo ulio bora jatika biblia unasema ogooeni midomo ya malaya maana ni mirembo na inawaka kama kasuku.
Indonesia
0
0
1
24
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Urais wako ni chanzo cha mamilioni ya Watanzania kutimiza ndoto zao. Hakika you are Godsent.
Nyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet media
Filipino
6
13
15
1.1K
Scudu Avic retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Happy Birthday Bro. Unaongeza mwaka mwingine wa maisha ukiwa gerezani si kwa sababu uliisaliti nchi, bali kwa sababu ulikataa kuisaliti dhamiri yako. Katika Tanzania ambako ukweli umegeuzwa kosa na ukimya umepewa heshima, wewe ulichagua kusema. Na kwa kusema, ukaadhibiwa. Gereza si kipimo cha hatia, bali mara nyingi ni ushahidi wa uoga wa watawala. Minyororo haiwezi kufunga wazo, na kuta haziwezi kuzima ukweli. Mwili wako unaweza kuwa nyuma ya vizuizi, lakini fikra zako ziko huru, na historia daima huwa upande wa wanaothubutu kupinga uongo. Nafahamu moyo wako , umejengwa kwa subira, umeumizwa lakini haukuvunjika. Falsafa ya haki ni hii, mateso ya mtu mmoja yanaweza kuwa mbegu ya ukombozi wa wengi. Heri ya siku ya kuzaliwa TAL.
Godbless E.J. Lema tweet media
Filipino
14
145
1K
11.1K
Hustler
Hustler@Feudal70·
@PMadeleka Hii code machawa hawawezi kuelewa. Bi kizimkazi ameua watu wengi sana Tanzania kuliko raisi yeyote yule,lakin kwa BAHATI mbaya ama nzuri taifa stars imepenya hatua za mtoano kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) kwaiyo ukikumbuka mafanikio makubwa ya Taifa stars unakumbuka na MO29😭
Indonesia
2
0
8
1.4K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
KWA WASIOFAHAMU: Nduli IDD AMIN ndiye Rais PEKEE hapa Afrika Mashariki aliyeiongoza UGANDA kucheza FAINALI za AFCON mwaka 1978 lakini bado HISTORIA inamkumbuka kwa KUUWA WATU WENGI SANA WASIO NA HATIA. Kama unao mfano mwingine UTAJE lakini kwa STAHA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
65
30
309
22.7K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@PMadeleka Ila peter una akili sana asiyejitambua hawezi kukuelewa kamwe.
Indonesia
0
0
0
6
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kuna watu ni WAPUMBAVU SANA. Wanahamasisha watu WASIPELEKE USHAHIDI kwenye TUME. Wanadhani WANAIKOMOA TUME. Kwa taarifa yao, USHAHIDI WOTE upo CNN. Kwa hiyo, HAKUNA MNAEMKOMOA.😂😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
73
28
288
13.3K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@Getrude_mollel Kumbe huyo padre alishtakiwa baada ya kanisa kumkabidhi mi nilidhani walimficha.kumbe haki imetendeka!
Filipino
0
0
0
18
Getrude Mollel 🇹🇿
Getrude Mollel 🇹🇿@Getrude_mollel·
Huwezi kuamini licha ya uovu wote huo Kanisa Katoliki lililoufanya kwa watu wa Rwanda 1994, Kanisa liliamua kabisa kuwaficha watu hawa, waliwapa hifadhi mpya Vatican na hata kuwabadilisha majina. Mfano huyu Father Athanase Seromba, ambaye alijifanya kutaka kuwasaidia wa Tutsi, akawapa hifadhi watusti 2000 ndani ya Kanisa lake, kisha alichokifanya awachoma na wote wakauawa, Kanisa baada ya hapo lilimkimbiza Vatican, wakampa kazi mpya na makazi mapya. Hadi pale alipoanza kuhitajika na mahakama za kimataifa, ndio alipokamatwa na kuhukumiwa.
Getrude Mollel 🇹🇿 tweet media
ZestyHaidary@Zestyhaidary

watu zaidi ya 800,000 walikufa Rwanda kutokana na ukabila uliochochewa na Kanisa Katoliki, hawa watu hawajawahi kushiba damu.

Indonesia
7
11
14
1.2K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@Aduiwayanga Bora umaskini wa kipato kuliko Umaskini wa Akili. Huyu jamaa ni maskini sana
Indonesia
0
0
0
11
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
ASEMAVYO MUUMINI MACKDEO SHILINDE KUHUSU KITIMA KANISA SIO MTU. PADRI SIO KANISA. ASKOFU SIO KANISA. KANISA NI WAUMINI. PADRI KITIMA SIO KANISA. KITIMA SIO UKATOLIKI. KITIMA SIO DINI “Ni mwanadamu kama mimi na wewe anakosea, na ana wajibu wa kuwajibishwa.” 📖 MAANDIKO MATAKATIFU “Mwili ni mmoja, na viungo ni vingi.” 📌1 Wakorintho 12:12 “Msihukumu, msije mkahukumiwa.” 📌Mathayo 7:1 “Heri wapatanishi, maana hao wataitwa wana wa Mungu.” 📌Mathayo 5:9 “Neno lenu na liwe daima na neema.” 📌Wakolosai 4:6 “Jitahidini kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.” 📌Waefeso 4:3 Ujumbe wa imani, uwajibikaji na mshikamano wa Kanisa Katoliki, Uliotolewa na MACKDEO SHILINDE
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
6
20
21
1.8K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@zumbekhan Labda umuambukize ukimwi ila huyu atagongwa sana km unavyowafanya watoto wa wenzako.km kweli liungo hufanana na mdomo basi anacho.
Filipino
0
0
1
15
Carhartt
Carhartt@kahaats·
Kuna Wire,Kuna Soketi😂
Carhartt tweet media
Filipino
4
0
22
5.2K
Carhartt
Carhartt@kahaats·
Diamond Ameona Mtoto Wake Amekuwa Ameanza Kuweka Vitisho😂 Ameshare Picha Kwenye Snapchat Yake Angalia Kwenye Comment 😂👇
Carhartt tweet media
Filipino
124
12
232
25.1K
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
KAMA WANA UFIPA MNATAKA KURUDISHA UHAI WA CHAMA CHENU NI VYEMA MKAFANYA MAAMUZI MAGUMU YA KUMRUDISHA MWENYEKITI WA ZAMANI MBOWE ✍️ MANDELA PORI NI MWENYEKITI MBOVU KUWAI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA CHAMA CHA UFIPA ✍️ MANDELA PORI NI MWENYEKITI ALIYEKIPOTEZEA USHAWISHI CHAMA CHA UFIPA KWA WANANCHI KUTOKA ASILIMA 30% KILIPOKUWEPO MPAKA KUKISHUSHIA HADHI MPAKA ASILIMIA 5% KWA SASA✍️
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media
Indonesia
11
8
16
1.2K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@Oraibtz Umeandika menginlamini inaonekana hujui hinsi gani.RC inaendeshwa na uimara wake. Unaposema aerikalibifanye veting kwa wateule wa papa je huko sio kuingilia dini?
Indonesia
0
0
0
38
The 6th Estate
The 6th Estate@Oraibtz·
AFRIKA NA HASA TANZANIA LAZIMA IDHIBITI TAASISI ZA KIDINI ZENYE MAKAO NJE YA NCHI – KWA MASLAHI YA AMANI NA USALAMA WA TAIFA Ni ukweli usiopingika kuwa nchi nyingi duniani ikiwemo China, Marekani, nchi za Ulaya na hata Rwanda haziruhusu taasisi za dini zenye makao yake nje ya nchi kufanya siasa, kuchochea machafuko au kuingilia masuala ya dola bila udhibiti mkali wa kisheria. Tanzania haina sababu ya kuendelea kuwa tofauti. Kwa Tanzania, kuendelea kuchekea baadhi ya taasisi za kidini, hususan zile zilizo na utii wa moja kwa moja kwa mamlaka za nje ya nchi, ni hatari ya moja kwa moja kwa amani ya kitaifa. Historia ya dunia inaonyesha wazi pale dini inapochanganywa na siasa kwa maslahi ya nje, vita vya kidini hufuata. Afrika haipaswi kurudia makosa hayo. Ni muhimu kusema wazi Tatizo sio imani, bali ni taasisi za kidini kugeuzwa kuwa vyombo vya siasa, shinikizo na ushawishi wa kigeni. Pale ambapo viongozi wa dini wanapovuka mipaka ya kiroho na kuanza kushawishi vurugu, maandamano haramu au ajenda za kuipindua serikali, dola haina budi kuchukua hatua. Katiba Mpya: Kipengele Lazima Katiba mpya ya Tanzania lazima iweke kipengele wazi kinachosema: Taasisi za dini zenye makao makuu nje ya nchi lazima viongozi wao wawe vetted nchini kabla kuteuliwa na pope. Utii wao wa kwanza uwe kwa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, si mamlaka ya nje. Serikali iwe na mamlaka ya kuzisimamia, kuzichunguza na kuchukua hatua pale zinapokiuka amani na usalama wa taifa. Hili sio ubaguzi, bali ni ulinzi wa mamlaka ya taifa (sovereignty) kama ambavyo mataifa mengine makubwa duniani yanafanya. Hatua ya Kidiplomasia ni Muhimu Ni busara na ni sahihi kwa Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa Thabit Kombo, kufanya ziara rasmi Vatican na kuwasilisha msimamo wa Watanzania moja kwa moja kwa Papa. Kwamba Watanzania hawaridhishwi na mwenendo wa baadhi ya viongozi wa TEC. Kwamba kanisa halipaswi kuwa jukwaa la kushawishi vurugu, uasi au machafuko ya kisiasa; Kwamba heshima ya uhuru wa dini lazima iende sambamba na heshima ya amani na mamlaka ya dola. Diplomasia ya wazi leo ni bora kuliko majuto ya damu kesho. Hawa kina Ruwaicha na Kitine hupitiswa Vatican. Tanzania ni nchi ya amani kwa sababu dola imekuwa imara na taasisi zimeheshimu mipaka yao. Tukilegeza kamba sasa, historia haitatusamehe. Hatua zichukuliwe mapema, kisheria na kidiplomasia. Misimamo hii ya baadhi ya viongozi wa TEC ni wazi itavunja Muungano. Ni wazi itasababisha ugomvi wa dini ambao chini kwa chini unanukia. Mataifa ya Wazungu hawa pendezwi kuona nchi yoyote yenye dini mbili kuu kusimama pamoja. Tusome nyakati na geopolitics tupo kwenye target. Tusipofanya hivyo leo, kesho tutajuta. @SuluhuSamia @Balozi_Italy @Pontifex @VaticanNews @pope
The 6th Estate tweet media
Indonesia
12
4
9
2.2K
Kizimkazi
Kizimkazi@MamaSamia2025·
Yaani Uwe unataka au hutaki haibadilishi kuwa huyu ndiye Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Merry Christmas 🎅
Kizimkazi tweet media
Indonesia
12
10
27
858
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@rio_chimu9663 @Royal_Tv_Tz Kumbuka hii sio nchi ya kidini.kama mahakama ya kadhi haitaingilia uhuru wa wengine ktk jamii ni haki yao wanaoihitaji.Pia km ni ya kidibi isitumie rasilimalinza nchi kama ilivyo mahakama ya kanisa pale kurasini.
Indonesia
0
0
0
21
Rio Chimu
Rio Chimu@rio_chimu9663·
@Royal_Tv_Tz Hao wakatoliki wanaitaka haki kweli wako tayari kuifata hiyo haki waislamu watake haki yao ya kupata mahakama ya kadhi wapo tayari bila ya wao kuleta resistance yeyote wasiizungumzie haki kijujuu juuu tu kumbe ni ndumilakuwili baadae kuna jamii zinakosa haki yao kutokana na wao
Indonesia
3
0
0
354
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa, amesema wapo watu katika jamii ambao kila wakati hutafuta jambo la kuichonganisha na kuisukuma jamii kwenye matatizo, huku akisisitiza kuwa Yesu Kristo alikuja kuwaletea wanadamu amani na wokovu. Akizungumza katika ibada, Dk. Malasusa ameeleza kuwa mara nyingi dhambi huorodheshwa kwa kudhani kuna dhambi kubwa na ndogo, lakini ukweli ni kwamba hakuna dhambi ndogo wala kubwa ambapo pia amesema uongo na uchonganishi ni dhambi kama zilivyo dhambi nyingine. “Leo kila ukiamka kuna jambo linawekwa ili moyo uende mbio. Wengine baada ya ibada ya kwanza walisema, ‘Baba Askofu tunamshukuru Mungu maana tuliambiwa tarehe 25.’ Wapo watu ambao hawana amani mpaka watengeneze mambo. Lakini Yesu alikuja ili kutuletea amani katika ulimwengu,” alisema Dk. Malasusa. Askofu huyo ameongeza kuwa jamii inapaswa kutambua thamani ya amani na kuiepuka migawanyiko inayochochewa na watu wasiopenda utulivu na kusisitiza kuwa jukumu la kila mmoja ni kulinda mshikamano wa kijamii na kuishi kwa kufuata mafunzo ya Kristo.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
65
9
79
16.8K
Scudu Avic
Scudu Avic@scuduscudu·
@Masstown_ Ni kweli kabisa ana Nyota ya FISI huyo kila fupa analo
Filipino
0
0
0
10