weeknd yrn
4.1K posts

weeknd yrn
@yrnweeknd
AfterHours
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2022
348 Takip Edilen83 Takipçiler

Upo Kiongozi apo... ATH inapanda kama ina shuka waambie wazime AC hizo wafwate Scania waache uvivu
TANZANIA BUSES NATION@BusesNation
Asante Rabi ATH vs Allys Star Dragon Kandahar Higer Kimbinyiko Higer

@Thereal_taivina takeoff alikuwa mnyama sana ngoma nyingi aliua
Indonesia

@GodemaE @Barongo01 sahihi alafu km1000 za shimo ,barabara finyu alafu gari double clutch gia 10 si mchezo ndo mana wale fudenge huwa wanamwagika tu kwenye down utafikiri wana jake brake au retarder kudadek
Filipino

@Barongo01 Mf: huku kwenye Truck Madereva wa TZ Ni wazuri sana kulinganisha nchi za SADC kinachotukata ni ROAD CHENGA ZA KIZAMANI na Uchovu wa mda mrefu,1000+kms uendeshe below 50 uangalie mifugo,Boda,Makazi,Matuta.Hutoboi ndio maana ajali nyingi.mbeya/Tunduma 100kms ila unatumia 6 hrs.
Indonesia

@munyamambogo qmmk sasa kizungu cha nini mwizi ana tabia ya uoga huyu
Indonesia

@GodemaE Huwezi nambia kitu juu ya Time na shacam dume hizi, hapa ndipo unaona chuma halali kwa matumizi ya transit
Indonesia

@munyamambogo @_zack255 @__ez01 @AFRIKA_JANA @EsirEid @Alvingtonhk @fadhili_ndilla @zoetjesheeftX hizi Total mpaka bongo
HT

Majirani wese hakuna 💔 @_zack255 @__ez01 @AFRIKA_JANA @EsirEid @Alvingtonhk @fadhili_ndilla @zoetjesheeftX




Indonesia

@GodemaE Included.
Kwa kawaida GVM ya Semi trailer ni 56tn.
Siyo kila Axle unayoongeza inakupa 10tn.
Pitia mizani watakusaidia kuelewa the bridge formula.
Nimesimamia mizani sana enzi za Shukuru Kawambwa akiwa Waziri wa Ujenzi,hadi Magu aliporudishwa.
In Short hiyo gari ni around 60tn.
Indonesia

@millardayo kwani kale kanchi ni kama dini,watangaze basi kaujinga kao ni nchi ya kiislamu ndo mana wakubwa wao kina iran,iraq wanapigwa kila siku huwezi ruhusu huyu mtu amiliki nyuklia
Indonesia

Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu Zanzibar (BASSF) limewakumbusha Wamiliki na Waendeshaji wa maeneo ya kumbi za Starehe na Burudani, Wapigaji wa Muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba shughuli za
upigaji wa muziki bado zimezuiliwa katika maeneo hayo pamoja na viwanja vyote vya sikukuu vilivyo katika Sheria za Zanzibar.
Baraza la Sanaa na Sensa Filamu Zanzibar limeleza hayo kupitia Taarifa yake iliyotolewa hii leo Machi 17, 2026 ambapo limeeleza kwa mujibu wa Sheria Nambari 7 ya Mwaka 2015. Baraza limepewa Mamlaka ya kusimamia Shughuli zote za Sanaa, Wasanii na sehemu zote za burudani hivyo kuelekeza Sikukuu ya Eid el-Fitri 2026 shughuli za Muziki zitatolewa kwa kibali maalum.
"Kwa muktadha huo, Baraza linawasihi wamiliki na waendeshaji wa shughuli za Sanaa na Burudani kuzingatia uamuzi huu unaolenga kustawisha Maadili, Utamaduni na Silka za Kizanzibari, kwa mtu au eneo lolote litalokutwa linakaidi uamuzi huu, Baraza kwa kushirikiana na mamlaka nyingine za Serikali hazitasita kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa Sheria." Imeeleza Taarifa ya Baraza.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@yrnweeknd @LusajoNdussa @SharonMontana20 Kwa hio wale dada zenu vyuon wanaoshobokea wapemba mnaita washamba?
Indonesia

@Granitinho85459 @SharonMontana20 Mtanganyika umiliki ARDHI Zenji kizembe tu
Indonesia

@Ibrah_Sheby @fredkavishe hapo kaminya kende mdomo ushamkauka gari 371 nguvu za kuazima inapigwa nzito na kidengla

@fredkavishe Mjapani katengeneza fuso inabeba mwisho tani nne,,wewe tajiri unataka fuso ivae bogi za tandam ipakie tani 18 kwa mafuta ya ratio ya mzungu
Wewe unaona kuna usawa hapo!?
Kwnn isiwe kama south Africa mafuta unapewa kwa km per ton badala ya makadirio kama bongo landiiii😂
Filipino

Tanzania is executing construction of over 2,000 km of roads across the country and over 500km of that is linking Tanzania to DRC, Zambia and Burundi purposely for trade.
Tanzania like Uganda is shifting attention to DRC with roads and connection of the 350 km Central Corridor Standard Gauge Railway into DRC as well. Tanzania and Uganda aren't waiting for the market, they are coming for it.


English

@TBoundBuses @Mr_pikipiki honda ni nzuri but sio experience na hio brand
English

Hi post itanisaidia chaguo la kununua chuma used kutoka kwa @Mr_pikipiki .
Headboy wa mtaa@Sirajitz1
Swali kwa wakali wa pikipiki Kati ya BOXER na TVS – ipi ni pikipiki kali zaidi na inayodumu muda mrefu? Ongeza brand nyingine pia. BOXER. Vs TVS
Filipino

@EsirEid kama nani vile kwenye historia😂😂😂😂😂ila kwenu ipo kisheria sio
Filipino

















