BALOZI

7.9K posts

BALOZI

BALOZI

@itsankhan

No Peace, No respect 🤪

Entrou em Temmuz 2022
2.6K Seguindo2K Seguidores
BALOZI
BALOZI@itsankhan·
@EngMapundajr Alisema kuna mambo hayakwenda sawa huko chumbani ndo maana ngoma ilinganiwa tu chumbani
Filipino
1
0
3
211
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Mambo ya P Diddy Effect Haya.,Jamaa alituambia walivofika kwa P diddy waliitwaa Chumbani Anyway Huko Diarra mnamuona Golini kweli.??🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🚮
Eng.Mapunda Jr tweet media
Filipino
27
14
97
5.3K
Williard
Williard@prolific_88·
"Alipita yanga pale jangwani akitokea Vita club ya congo akaenda pyramid pale Misri leo anacheza zidi ya Cr7 amabye alianzia maisha yake sporting akapelekwa man unkted kwa msaaada ya wa rafiki yake....................akaenda madrid akawa bingwa mara 5 wa uefa......................akaenda juve...........akaenda man u tena ........sahivi yupo Al nassir. ................ Ooooooh amekosaaaaaaaaa...
Filipino
26
10
193
12.8K
MTOTO FUGU
MTOTO FUGU@emma_msama·
@mreno255 wauze baadhi ya mikoa mfano KAGERA hela itayopatikana watupe vijana tutafute odds mbili
3
0
1
94
MR255🎧
MR255🎧@mreno255·
Serikali ifanye lipi kutokomeza tatizo la ajira kwa vijana nchini?
HT
18
29
62
2.2K
Williard
Williard@prolific_88·
Sasa mtangazaji anatangaza game ya Portugal aanze kutupa historia za CR7 Au Bruno yaani ili iweje. Aiseee hapa DStv watatuokoa na kelele za usiku wa manane.
Indonesia
43
38
821
29.8K
𝐋𝐔𝐌𝐀™
𝐋𝐔𝐌𝐀™@vai1kai·
Drop "Hi" or "Gain" Let's connect with you ✊
English
280
41
198
4.2K
BALOZI
BALOZI@itsankhan·
@hereiseddy_ Laki 5 mara mbili 1M kwa mwaka ukisoma miaka saba si una million 7M safi tu
Indonesia
0
0
0
10
ADENUGA✝️
ADENUGA✝️@hereiseddy_·
Kumbe boom ni Laki Saba! yani af kumi kumi 70 Dogo anayemaliza chuo bila saving ya angalau 2M kutoka kwenye boom ni wa kuchapa viboko!
Filipino
51
41
436
26.1K
DEAD NIGGA ALIVE (DNA)
DEAD NIGGA ALIVE (DNA)@DeadNiggaAlive·
Millennials waliamini ukiongea kiingereza ww ndo huna akili😂
Indonesia
9
28
108
2.5K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Watu wawili wenye akili timamu hawawezi kupendana na wakadumu, ili mapenzi yadumu lazima mmoja awe na ujinga kidogo.
Indonesia
18
37
212
5.9K
BALOZI
BALOZI@itsankhan·
@joshuamsuyatz Nimemaliza kusoma komenti aiseee waajiriwa wana makasiliko sijui shida ni nini?
Indonesia
0
0
0
10
Joshua Msuya
Joshua Msuya@joshuamsuyatz·
Usipokuwa makini na maisha ya mjini… Kitakulamba! Unaweza kushtuka una miaka 40 huna investments, bado umeajiriwa na bado unaomba-omba kupandishiwa mshahara. Mwisho wake? Unaanza kukwepa marafiki kuficha reality ya maisha yako. Matatizo makubwa ya maisha ya mjini ni haya: 1. Mazoea 2. Kujifananisha na watu 3. Kutaka matokeo ya haraka bila mchakato Mwanadamu ameumbwa ku-adapt mazingira yake. Ukipata kazi au mchongo unaokuwezesha kulipa kodi, kula na ku-survive… Ni rahisi sana kuridhika. Miaka inaanza kwenda bila kushtuka. Kijana kuajiriwa akiwa na miaka 27 then akakaa sehemu moja miaka 7–10 bila growth ni kitu cha kawaida. Swali: Uta grow vp kama kila siku unarudia changamoto zilezile? Tatizo lingine la mjini… Unaona mafanikio ya watu, lakini hauoni mchakato uliowafikisha hapo. Unaona gari, maisha mazuri, pesa, lifestyle… Lakini huoni pressure, discipline, failures, sacrifice na miaka ya iliyotumika kutengenza hayo maisha. Vijana wengi wanaishia kuhadaika. Wanatafuta shortcut za kuishi “picha ya mafanikio.” Mwisho wake wanaingia kwenye madeni, wanapoteza trust ya watu, na wanaishia kuishi maisha ya pressure na comparison. Maisha ya mjini yanaweza kukumeza kimya kimya… Ukikosa direction, vision na discipline.
Indonesia
8
17
79
5.6K
Broke & Zero Aura (BZA)🍁
Broke & Zero Aura (BZA)🍁@Kariakoo_·
Billnass anatuzoea kwa mziki gani wa kumpa magari manyumba na diffender 🤣🤣🖕🏻
40
44
521
54K
Williard
Williard@prolific_88·
Ukibetia timu 10 inachana moja. Ukibetia timu 5 inachana moja . Ukibetia timu 2 inachana moja. Ukibetia timu 1 inachana 1. Yani ili mradi tuuuuu. Ama kweli kamari matako ya omari.😂
Williard tweet media
Indonesia
32
46
560
15.7K
BALOZI
BALOZI@itsankhan·
@mkainerugaba Umetumia siku tatu kutafuta wanasheria kukushauri 😂😂
Eesti
0
0
2
45
Muhoozi Kainerugaba
Muhoozi Kainerugaba@mkainerugaba·
My name is not 'Commander @mkainerugaba'. My name is General Muhoozi Kainerugaba. What 'Red line' have I crossed according to you? You can re-evaluate whatever you want as far as our co-operation is concerned but you will never DEMEAN and DEGRADE us. You will never make us your slaves.
Senate Foreign Relations Committee Chairman@SenateForeign

Commander @mkainerugaba has crossed a red line and now the U.S. must reevaluate its security partnership, which includes sanctions, and military cooperation with Uganda. The president's son, and likely successor, cannot just delete tweets and issue hollow apologies. The U.S. will not tolerate this level of instability and recklessness when American personnel, U.S. interests, and innocent lives in the region are at stake.

English
1.8K
1K
5.4K
1M
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
X madereva hiyo Alama hapo kwenye Mshale inamaanisha nini.?😳😳
Eng.Mapunda Jr tweet media
Filipino
29
8
122
15.7K
BALOZI
BALOZI@itsankhan·
@HildaNewton21 Watendaji huku uraia wamekua Mungu wanaamua hatima
Indonesia
0
0
1
152
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huyu ni Mama Mzazi wa Enock aliyeuwawa kwa kupigwa na Mtendaji akisaidiana na migambo. Maumivu anayopitia huyu Mama hayaelezeki, Mungu amtie nguvu.😭 Ukimsikiliza unagundua kwamba kumbe baada kipigo chote kile walichompa Enock, bila hofu Mtendaji bado alithubutu kumpeleka Enock Polisi, Polisi wakakataa kumpokea kwasababu alikuwa na hali mbaya. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba hata baada ya Polisi kumuona Enock akiwa na majeraha lakini hawakuona haja ya kumkamata Mtendaji na migambo wake kwa kujichukulia sheria mkononi. Hata baada ya Familia kwenda Polisi kufungua kesi bado Mtendaji aliendelea kudunda mtaani mpaka taarifa ilivofika kwenye mitandao ndo hatua zikaanza kuchukuliwa means bila nguvu ya mitandao kesi ndo ilikuwa imeisha ivo.
43
150
559
20.6K
cloud
cloud@le_mrema·
@itsankhan @Danford_tz Kama halikununuliwa kipnd Cha mkapa basi mwinyi kummk 🙌🏾💀 mpk mishikio hakuna
Indonesia
1
0
0
10