Bin Muhamady
3.5K posts


@OswardJames7 @kidimbes @AbroadTanzania Arushe tu vita wakat inaanza walisema wanaiangusha serikali ya iran mwisho wasiku wakaamishwa ktk agenda ya hormz sasa iv wanapigana hormz ifunguliwe nasi nyuklia na ballistics Kaz mnayo
Indonesia

@BinMuhamady @kidimbes @AbroadTanzania Kwa ule urushaji wa makombola akisema marekani naye arushe vile vile kama irani basi tegemeeni ya Japan mpaka Leo wanazaliwa vilema
Indonesia

@BinMuhamady @kidimbes @AbroadTanzania Kwa ule uamshaji wa kurusha vimondo ambavyo avina madhara basi sawa lakini mmarekani yeye anapiga target tu
Indonesia

@OswardJames7 @kidimbes @AbroadTanzania Utajisikiaje mfano ww yanga arafu unaenda kucheza nasimba arafu unasema gueye,kagoma na oura wasicheze wakipangwa sichezi eti Iran asizalishe ballistics nadrone,kumanina pambana nae naleo kashasema muda simref anakiamsha
Indonesia

@BinMuhamady @kidimbes @AbroadTanzania Sema mziki wa Israeli siyo wa kitoto mpaka sasa ni miaka yupo pale anawabonda mashariki ya kati sijui yule bwana anavifaa gani vya kuundia siraha zisizo pungua
Indonesia

@OswardJames7 @kidimbes @AbroadTanzania Kama Israel nimwanaume apigane na Iran mbna huwa hataki kupigana nae peke yake mpaka asaidiwe na usa Amerika qkijitoa nayeye anasepa
Filipino

@BinMuhamady @kidimbes @AbroadTanzania Sema hata na nyie Zambi ya unafiki aitawaacha Salama sasa akimpiga atamfanya nini na mnataka afe nani pale irani ili mridhike au muone kuwa irani kashindwa vita mana kama kalibia Safi yote ya viongozi washakufa
Indonesia

@AbroadTanzania iv toka umeanza kuandika kuhusu mauaji ya viongoz wa wapinzqn of a Israel nn kinabadilika akifa uyu kesho anateuliwa uyu
Indonesia

Sheikh wa Hezboullah Sadiq al-Nabulsi ameangamizwa!!!!
Sheikhe Mohamed Sobrin ni kati ya Masheikhe wanaowahamasisha magaidi kufanya ugaidi wako kwa kuwaaminisha kuwa hata wakifa huko Peponi watakabidhiwa mabikira 72 wa kuwabikiri.
IDF sasa imeamua kushughulika wapotoshaji hawa kwa kuwatanguliza ili wakaone kama kweli huko kuna Mabikira wanawasubiri!!

Indonesia

@kidimbes @AbroadTanzania Kama anania yakutibua kwel aishambulie iran
Indonesia

@AbroadTanzania SHIDA YA MUISRAEL NDIO HII, YANI HAJAWAHI KUTIMIZA AHADI WALA KUHESHIMU MAKUBALIANO POPOTE. WAJINGA SANA HAWA WATU
Indonesia

IRAN IMEBIDI WAWE WALPOLE TU , Elewa neno Mapendekezo ansante.
MAPENDEKEZO 10 YALIYOTOLEWA NA IRAN LEO APRILI 7, 2026 kama counter-proposal kwa mapendekezo ya kusitisha vita na Marekani/Israel.
Mwisho wa kudumu wa vita sio kusitisha kwa muda mfupi tu katika eneo lote.
Dhamana za usalama kwamba Iran haitashambuliwa tena na Marekani au Israel.
Kukomesha mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah nchini Lebanon na washirika wengine wa Iran katika eneo hilo.
Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vyote (sanctions) vya Marekani na kimataifa dhidi ya Iran.
Kukomesha migogoro yote katika eneo pamoja na Iraq, Yemen, n.k.
Itifaki ya usalama wa kupita protocol for safe passage kupitia Strait of Hormuz, ikiruhusu Iran kudhibiti au kutoa sheria.
Kufungua tena Strait of Hormuz kwa meli, lakini kwa masharti.
Kutoza ada ya takriban $2 milioni kwa kila meli inayopita kugawanywa na Oman.
Msaada wa kujenga upya (reconstruction) wa miundombinu iliyoharibiwa na mashambulizi, kupitia mapato ya ada au fidia.
Mwisho wa uhasama na kurudi kwa mazungumzo ya amani ya kudumu, pamoja na kukubalika kwa urutubishaji wa nyuklia wa Iran na mambo mengine.
Wamekubali TRUMP SIO OBAMA AU BIDEN 😅😅😅


Indonesia

@ayubu_madenge Hata kama itapatikana cease fire ya kudumu, Iran kashavunjwa miguu, it's proxies kama Hamas, is no more, Hesbollah iko hoi, nchi imebaki magofu tu, viongozi wengi wameuawa, so what then
Indonesia

@ayubu_madenge @mackphason Sasa, regime change is in America, not Iran.
English

@Sativa255 Yaan ilo tukio liwe kubwa lakimichezo kupita world cup
Suomi

@VividProwess @Ibrahim_alFiqar How many Arab leaders you Martyr,what is the succeed
English

@Ibrahim_alFiqar Israel will live, but you will definitely get what you wish for.
English

@saloma_and_gmra @LionsOfZion_ORG We so happy when we hear bad news about jews
English

@_zolendronic @DynamicsNation_ Wazee wasix war daah kabla yamitandao jamaa walituokota hawa
Filipino

Sera ya US na Israel ni leave no one behind. One for all, all for one..
Uliona Gaza walivyochapika kwa kukaa na maiti za wayahudi? Ndo hivyo sasa, hizo ndege watatengeneza zingine in no time
Billy@BillyTronix1
Utaambiwa tu US wamefanikiwa kumuokoa F-15 pilot ila huwezi ambiwa wamepoteza ndege zingine 4 in a process Two C-130 na 2 Black Hawk helicopters
Filipino












