
@EliabuDanford Wewe endelea kuhubiri ulokole vitu vingine achana navyo maana vitasababisha ubongo wako ufananishwe na bata
Filipino
Saidi Hemedi
1.1K posts






Kama unafanya boda boda na ukiwa TIMAMU unajenga utajiri kimya kimya Tena kama boda ni yako na sio ya mkataba, Ni swala la muda tu.








Siamini nimepanda ndege futi 40,000 kufata mbuzi wa Vatican Africa😭




@BillyTronix1 Ila sio ajira Betting ni mchezo wa kubahatisha. Hamna MASTER wa mchezo huu. Kujivika taji ndipo watu wanapokosea



