Lwitiko

1.7K posts

Lwitiko banner
Lwitiko

Lwitiko

@Longwe_

I am an avid reader|movie lover

Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Aralık 2012
197 กำลังติดตาม175 ผู้ติดตาม
Ahmad
Ahmad@rajuQuire·
Unapata mtoto ukiwa na miaka 30, mtoto baada ya miaka 6 anaanza darasa la 1, wewe una miaka 37, anamaiza la 7 wewe una miaka 44. Anamaliza form 4 wewe una miaka 48. Anamaliza form 6 wewe una miaka 50. Anajiunga na JKT wewe una miaka 51. Anamaliza chuo kikuu (maximum miaka 4) wewe una miaka 55. Anatafuta kazi na kuanza kujitegemea mwaka 1/zaidi, wewe una miaka 56. Hapo tufanye hajafeli wala kurudia vidato. Huyo ndio first born wako. Usisahau Life expectancy ya Tanzania ni miaka 52. Enhee! 🤔
888@444holywitch

Ni mitandao na pressure za jamii ila sio kitu cha ajabu kutokuwa umeoa au kuolewa ama kutokuwa na mtoto katika miaka 30's. Umri ni namba, kuzeeka ni hisia.

Indonesia
33
4
66
17.9K
Mafioso
Mafioso@capitanpapilon·
@rajuQuire @Adv_innocent Hivi nani anawadanganyaga hizi scenario? Kwani ni lazima kila mtoto apitie hizo njia ndio atoboe? Kuna madogo wengi wamemaliza 4m4 tu after two years wakajipata
Indonesia
3
0
11
1.7K
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Watu wameutowa mziki mbali hawatakiwi kuishi hivi
SUKUNUNU 🇹🇿 tweet media
Polski
32
19
349
19.7K
Lwitiko
Lwitiko@Longwe_·
@Jambotv_ Ukiitizama Zanzibar kama nchi utagundua kuwa jamaa wana hoja ya msingi ila ukiitizama Kwa population utagundua pia jamaa akili zimehama Toka kichwani zipo kwenye njia ya taka
Indonesia
0
0
0
47
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
"Sikitiko langu na likanilazimu kuzungumza leo ni kuhusiana na tamko au matamko mbalimbali ambayo yanaendelea kupotosha dhamira ya kessi na kuonekana sisi ni wasaliti au mapandikizi ya chama. Nilizunguma kwa msisitizo kuwa haya ambayo tumeyadai sio mambo ya kuzua ya uongo ni mambo halisi ambayo tumepitia kwenye kamati maalum ya Zanzibar na kupeleka kwenye chama mara kadhaa yameshinwa kusikilizwa." "Tulikuwa ndani ya uongozi tukatoka ndani ya uongozi bado tunapigania haki ya watu wa Zanzibar. Kwa sababu yanayoendea ni kupotosha umma. Mwaka jana tulikuwa tunapokea ruzuku Shilingi Milioni 117 Zanzibar tunapewa hela ya kuendeshea chama shilingi milioni 2 tulikiomba chama angalau asilimia 10 ya ruzuku iende Zanzibar ikashindikana tukaomba asilimia tano ikashindiana. Mwaka 2015 tulikua tunapokea angalau shilingi milioni 300 Zanzibar inakuja mil 2. Tukisema twende kwa msajili wa vyama vya siasa chama ni kitu ambacho kinaweza kufuta chama tumeenda sehemu ambayo haki itapatikaana." Hayo ameyasema Said Issa Mohammed ambaye ni Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 Zanzibar leo Machi 05, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijin Dar es Salaam.
Jambo TV tweet media
Indonesia
60
11
168
29.3K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Bondia namba moja kutoka Tanzania katika uzani wa ‘Super feather’, Ibrahim Class amepinga matokeo ya pambano lake alilocheza jana Februari 28 mwaka huu nchini Thailand. Ibrahim Class alipigana na Mthailand Kritiphak Duangnut katika pambano la raundi 10 la kuwania mkanda wa WBC Silver International ambapo Majaji walitangaza matokeo ya sare. Baada ya matokeo hayo Class ameonesha kusikitishwa na dhulma aliyofanyiwa na Majaji wawili raia wa Thailand ambao walionesha dhahiri dhamira ya kumbeba Mthailand mwenzao ambaye alipigwa raundi zote na Mtanzania huyo. “Nimempiga jamaa raundi zote Mwisho wa siku wametoa sare Tumeambiwa tuandike barua ya malalamiko WBC promota kasema tuandike itumwe kule WBC waliangalie pambano watende haki kwasababu Majaji wawili wa hapa wametoa sare Jaji mgeni ambaye ndio sio wa hapa kanipa nimeshinda sasa imekuaje wawili watoe sare wa hapahapa wamembeba ndugu yao halafu huyu mmoja ndio kanipa kwahiyo tunasikilizia majibu kwanza WBC,” amesema bondia huyo namba moja kutoka Tanzania. Jaji namba moja Pongpan Rattanasutorn alimpa Ibrahim Class alama 95 na Duangnut alama 95 Jaji namba mbili Parin Hantabool pia alimpa Ibrahim Class alama 95 na Duangnut alama 95 lakini Jaji namba tatu Joseph Gwilt alimpa Ibrahim Class alama 97 na Duangnut alama 93 na mwisho wa pambano matokeo yakatangazwa sare. Hivyo basi Uongozi wa bondia huyo Mtanzania upo kwenye mchakato wa kusubiri majibu ya WBC ambao wakishapokea barua hiyo watapitia pambano lote kisha na kutoa mrejesho wa matokeo. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet media
Filipino
8
8
280
27.8K
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Kwaiyo tumekubaliana huo mwili dunia nzima hawakuuona katumiwa picha Trump tu? Yani makombora 8 yametaget nyumba yake na mwili wake umepatikana fresh ukapigwa picha akatumiwa Trump. Sisi sio wajinga,na hi sio miaka ya 60 watume picha tuone wote.kama kweli #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Filipino
65
9
179
22.4K
Lwitiko
Lwitiko@Longwe_·
@mariajan786 52 peoples in total, alive 22 presumed dead 30
English
0
0
0
0
samra
samra@mariajan786·
How many people still in the room ? 🤔
samra tweet media
English
8.5K
239
3.4K
860.9K
Lwitiko
Lwitiko@Longwe_·
@nguchiro47 Hii nafuta Nina mengi ila nafuta nafutaaaaaa
Filipino
0
0
0
137
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
👉uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere uliopo mkoani Morogoro, ukarabati wake ulianza tarehe 15 Julai 2013 na uligharimu Shilingi bilioni 137 na milioni 631 zilizotolewa na Serikali ya China. 👉 Mradi huo ulihusisha ujenzi upya wa njia ya kuruka na kutua ndege yenye urefu wa mita 3,000, upana wa mita 45 na unene wa sentimeta 45, pamoja na ujenzi wa maegesho ya ndege za kivita na za abiria. 👉 Uwanja huo ulikuwa miongoni mwa viwanja bora zaidi , ukiwa na uwezo wa kuhudumia ndege zote zilizo chini ya Boeing 777, pia hutumika kwa ndege za abiria katika hali za dharura✍️
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media
Indonesia
5
16
200
32.4K
Lwitiko
Lwitiko@Longwe_·
@nyakyusaboy Huwa hasemi vilevile kuna mtu mm namfahamu kampa tafu sana kuliko huyo knows
Filipino
0
0
0
23
nyakyusaboy
nyakyusaboy@nyakyusaboy·
Jamaa aliwahi kutupanga yeye ni mtoto wa kimasikini na Walichanga na rafiki yake Frank Knows milioni 6. Wakapambana hadi Vunjabei ikasimama. Juzi tu kwenye msiba wa baba yake alituambia Baba yake alikuwa ni miongoni mwa matajiri wakubwa top2 waliomiliki maroli Iringa, na pia alikuwa na biashara nyingi sana. Aiyaaaaa.....matajiri wa Bongo bana. 😂 Bakhresa alituambia alianzia Urojo, Usibishe Ulikuwepo🎁
nyakyusaboy tweet media
Indonesia
62
53
844
91.5K
DR. Mumba
DR. Mumba@Silvanusmumba·
@SimbaSCFansPage Hapa ndipo unaona utofauti wa Viongozi Wasio jielewa na Viongozi wanao jielewa. Unakimbiaje Press Conference na ulisema Unaye Mpanzu?
Indonesia
6
0
6
4.4K
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Ona sasa, Binti mdogo na nguo zake za shule muda wa masomo anatolewa darasani kwa amri ya Mkuu wa Shule na kupakiliwa kwenye Malori ili tu kumfurahisha Rais aonekane anakubalika. AIBU GANI HII!.
Rose Mayemba tweet media
Indonesia
56
145
1K
45.4K
Lwitiko
Lwitiko@Longwe_·
@rose_mayemba Watoto pia hutaka kumjua kiongozi wao na waweze kumuona Kwa macho. Binafsi nilifurahi sana kuwaona Alhaji na Ben kwa macho na nilifarijika sana kwa wenzangu waliopata kupangwa kusoma Risala
Filipino
1
0
0
18
Lwitiko
Lwitiko@Longwe_·
@rose_mayemba Huu mfumo wa wanafunzi kwenda kwenye mikutano ya wakuu wa nchi wanapofika ktk maeneo yao haujanza Leo. Nakumbuka nikiwa primary tulikwenda kumlaki Hayati Mwinyi na baadae sekondari tulikwenda kumlaki Hayati Mkapa. Wapinzani jengeni hoja sio upotoshaji, watoto
Indonesia
2
0
1
774
Lwitiko รีทวีตแล้ว
Mwalimu wa kata
Mwalimu wa kata@HumphreyKritiko·
@JamiiForums Nani anamtumia mama "kilipu" za makamanda wakitunukiwa Asante za hapa na pale !? Hawa nao si ni watumishi wa umma?Na mama juzi tu hapa kapiga marufuku watumishi wa umma kutoa Siri za utumishini!? Vijana wa hovyo!
Filipino
2
1
4
284
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DAR: Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jeshi la Polisi kupinga vitendo vya #Rushwa kwa maelezo kuwa hayo yalikuwa maradhi makubwa kwa jeshi hilo na kwamba anapotumiwa video zikionesha matukio ya Rushwa za Barabarani naye anamtumia Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura Rais Samia ameeleza hayo katika sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi, leo Juni 9, 2025. Soma jamii.app/RaisAkemeaRush… #JFMatukio #Governance #JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability
Filipino
59
11
99
10.8K
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘@udsm_finest·
Mpaka leo, chumba namba 709 kwenye the GMC Hotel hakitumiki tena. Wafanyakazi husema kuna hewa nzito isiyoelezeka ndani ya chumba hicho. Wageni waliowahi kulala humo walidai kuona mtu akisimama kwenye kona, kimya. Lakini kila walipopapasa – hapakuwa na mtu. Hadithi ya Mwakambese ni zaidi ya hadithi ya kifo. Ni fununu ya miungano ya pesa, usaliti, na nguvu za siri zisizoeleweka. Na kama historia haipo tayari kujibu maswali, basi Dar es Salaam itaendelea kubeba fumbo hili kwa muda mrefu. Follow me @udsm_finest kwa nyuzi na taarifa mbalimbali za kila siku
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘 tweet media
Filipino
6
2
24
8.9K
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘@udsm_finest·
Ni usiku wa Ijumaa, mwezi 5 tarehe 12, mwaka 2022 katika anga la Dar es Salaam. Katika eneo la Masaki, ndani ya hoteli ya kifahari inayoitwa The GMC Hotel, kuna tukio lisilo la kawaida lililotikisa watu wa hadhi na wanyenyekevu vilevile. Usiku huo, mtu mmoja anapoteza maisha katika hali ya kutatanisha. Aliingia saa mbili usiku. Jina lake lilikuwa Mwakambese mfanyabiashara mwenye ushawishi mkubwa, aliyetoka Mbeya lakini aliishi Johannesburg. Alikuwa na jina kubwa katika biashara ya ujenzi na aliwahi kuhusishwa na mikataba mikubwa ya serikali. Alikuwa mtu wa heshima, lakini pia wa siri nyingi.
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘 tweet media
Indonesia
31
61
583
125.3K
Lwitiko รีทวีตแล้ว
+255
+255@LOUDER_24_7·
@Sukayotz Mbeya si a big business city, hizi ni strategic city based on agriculture with small size city centre. Hii ni Kama Texas, Dakota, Missisipi
English
3
1
13
810