John Madereke🦏

15.8K posts

John Madereke🦏 banner
John Madereke🦏

John Madereke🦏

@Professionature

Wildlife Biologist & Researcher|GIS & Digital Literate|Education Facilitator @ConservNtn |Rewild @wahifadhihub #LetNatureLead 📖Genesis 1&2

Mara, Tanzania เข้าร่วม Mayıs 2021
3.3K กำลังติดตาม2.7K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
John Madereke🦏
John Madereke🦏@Professionature·
Be a Conservationist! A conservationist is an individual dedicated to the protection, restoration and sustainable management of biodiversity and natural resources. They advocate for the Wise Use of ecosystems to ensure their longevity for future generations.
English
1
0
2
149
John Madereke🦏
John Madereke🦏@Professionature·
Baada ya kumiliki wasiwasi karibia siku nzima sasa nimepata amani kwamba wako salaama, yale maporomoko mgodini yameacha ombwe ile mitaa sio poa. Endeleeni tuu kusikiliza taarifa za hapo Ukweli na Uhakika mpaka Yesu atawakuta hamna maarifa.
Filipino
0
0
0
6
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kimsingi, TUZO hiyo 👇 itasaidia KUPUNGUZA VIFO vinavyotokana na UKOSEFU wa MADAKTARI BINGWA BOBEZI. Lakini, itakuwa ni CHACHU kwa MARAIS wa nchi nyingine KUJITAHIDI kusomea UDAKTARI BINGWA BOBEZI. Elimu HAINA MWISHO.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
35
12
107
5.4K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Ukiweka noti za shilingi elfu 10 moja baada ya nyingine kwa kuziunganisha kwa urefu, hadi kufikia jumla ya trilioni 110, urefu wake unaweza kuizunguka Tanzania takribani mara 370, kuizunguka Afrika mara 50, kuizunguka dunia mara 38 na hata kufika Mwezini na kurudi Duniani mara 4.
Indonesia
72
70
707
20.1K
Larry Madowo
Larry Madowo@LarryMadowo·
Tanzanians online call their country Malawi to confuse state monitors and avoid abductions
English
143
935
5.3K
172.3K
Larry Madowo
Larry Madowo@LarryMadowo·
Some Kenyans and Tanzanians are so angry at their governments and elected officials that they celebrate when leaders die. The disillusionment is deep!
Larry Madowo tweet media
English
95
696
3.8K
151.4K
John Madereke🦏
John Madereke🦏@Professionature·
"I have been to the Mountaintop" ~Dr. Martin Luther King Jr, April 1968.
John Madereke🦏 tweet media
English
0
0
1
2
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Camera man alie piga hii picha alikuwa katuliza jicho sana 😂🫵
STUNNA tweet media
Filipino
28
85
844
12K
Ray Asel
Ray Asel@rayasel94·
Kama mke wa Lutu aligeuka nyuma akawa jiwe la chumvi, Je ni nani alimuona ilahali walikua hawageuki? 🤔
Indonesia
70
29
394
45.9K
John Madereke🦏
John Madereke🦏@Professionature·
@fintanjr_ @ZenjiboyZnz @Mrpengine47 USA, SA, Germany, Russia, China, India ni kubwa zaidi mara ya Tanzania lakini kwanini tunaishi kwenye shimo la ufukara kama kigezo ni udogo wa eneo? Tuna rasilimali zote za kutukwamua kwenye hii zahama lakini ndio tunazidi kuzama why usimpongeze tolu kwa kutumia mali vizuri?
Indonesia
1
0
2
55
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
@ZenjiboyZnz @Mrpengine47 Rwanda ina square meter karbu na mkoa mmoja tu wa Dar es salaam, kama asingefanikiwa angekuwa ni mjinga wa mwisho...
Indonesia
15
1
13
459
ابراهيم 🇪🇦
ابراهيم 🇪🇦@ZenjiboyZnz·
Ila huyu mfalme wa Rwanda, amejua kui shape nchi yake ... A very genius man.... Anapendwa hasa na wananchi wake.... Rwanda inapiga hatua kubwa sana ,kimaendeleo...... Rwanda is winning, big time 🙌🏽 ✍️✍️
ابراهيم 🇪🇦 tweet media
Indonesia
43
30
144
5.6K
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
@JosmanStima Bro, chukua hii ukawasambazie na wengine ambao hawajui bado. Huyu mwanamke anawazidi kila kitu. wewe, mimi, na wengine wote wanaosoma hii reply. Anawazidi akili, anawazidi style, anawazidi confidence. Ukizungumzia Mwanamke, umezunguzia dunia na vyote vilivyopo.
Indonesia
2
0
2
63
Maulid Khamis
Maulid Khamis@MaulidKhamis14·
@prossoff Aiseeeh ilibaki🤌 umfikie ma,m2 wangu😁😁😁
Maulid Khamis tweet media
Indonesia
1
0
5
579
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE. 1. Anauza duka la mtu. 2. Migahawani na mahotelini. 3. Bar maid. 4. Muhudumu wa Guest house/Lodge. 5. Muigizaji. 6. Mnenguaji. 7. Saloon za kiume. 8. Muhudumu wa magari. 9. Agent stendi. 10. Mtembeza mboga + matunda. Hiyo ni aina ya ladies among other ambao wapo subjected ma wanaume aina mbali mbali. Wanakutana na watu ambao wanazo hela zilishakosa kazi where as kazi yake inabaki ni kurutubisha mbong'o. Huyo kama hana akili binafsi ni ngumu na wengi ni single moms katoto kako kwa bibi.😁
Indonesia
40
44
426
32.3K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Ni nini huwa kinasababisha mpaka lami inakuwa hivi ni kujengwa chini ya kiwango au ni magari yenye Tani kubwa?
Narrowbeefly tweet media
Filipino
64
24
248
33.8K
John Madereke🦏
John Madereke🦏@Professionature·
Sick but pledged. Shabbat Shalom.
English
0
0
1
9
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
Wanawake wa Dar wanataka mwanaume awe mrefu, awe na kazi au Biashara, awe na Nyumba na gari, avae apendeze, anukie vizuri, awe romantic, amridhishe kitandani, ampe mahitaji yake. Wakati yeye sasa hana kazi wala Biashara, hana bikira, ana mtoto yupo kijijini kwa bibi. STUPID
Indonesia
44
82
582
18.3K
John Madereke🦏
John Madereke🦏@Professionature·
@ayubu_madenge Kizazi kipya cha Tanzania hakitasahau uharamia uliofanyika October 29, Operation Chinjachinja
Indonesia
0
0
1
29
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Kizazi kipya cha Afrika hakijui kuhusu ushujaa na mchango wa Tanzania katika ukombozi wa nchi zao. Inabidi mamlaka zetu zifanye kazi kuhakikisha historia hii haifutiki kwenye mioyo yao, tena tuendelee kuwa na Influence kubwa “Soft Power” kwenye nchi zao, ambayo itatunufaisha sisi
Filipino
34
32
290
7.3K
John Madereke🦏 รีทวีตแล้ว
UN Environment Programme
The past 11 years have been the hottest on record. Record levels of greenhouse gases continue to drive temperatures higher on land and at sea, with long-lasting consequences for humanity. Browse @WMO's latest #StateofClimate: wmo.int/publication-se…
UN Environment Programme tweet media
English
21
88
145
4.7K