Shambuli Bahini

3.6K posts

Shambuli Bahini banner
Shambuli Bahini

Shambuli Bahini

@ShambuliB

Ignorant Citizens are the capital of rural politicians! vijana msitumike kisiasa tumikeni kiuchumi Tanzania ni yetu🇹🇿

[email protected] เข้าร่วม Haziran 2020
360 กำลังติดตาม111 ผู้ติดตาม
Luhamba II
Luhamba II@LuhambaI·
@gabyconscious 😂😂😂hii sio mboga janja basi tuu kina Maza walikua wabunifu
Indonesia
0
0
0
96
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
TAARIFA KWA UMMA Leo Aprili 16, 2026 aliyekuwa kapitishwa na @ACTwazalendo kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Ndugu Luhaga Mpina amekutana na Mheshimiwa @LAZARUSCHAKWERA katika hoteli ya Hyatt Regency  jijini Dar es salaam. Mazungumzo yao yalijikita kwenye demokrasia, dhuluma za uchaguzi na ukatili wa dola kwa wananchi. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ACTWazalendo tweet mediaACTWazalendo tweet mediaACTWazalendo tweet media
Indonesia
19
26
106
9.8K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@MwananchiNews Huyu si alirukisha kichurachura wanajeshi huyu alivyopewa uwaziri 🤔
हिन्दी
3
0
11
1.4K
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
Ukiacha nguvu, fursa, heshima na wingi wa marafiki unaokuwa nao ukiwa na cheo, waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangalla, amesema mambo huwa kinyume chake mamlaka yanapokutoka, akisimulia hata uliowaona wa karibu wamepotea. Katika simulizi yake aliyoihusianisha na maisha yake ya sasa akiwa si waziri wala mbunge, amesema hata huduma ambazo awali alizipata kwa rahisi na haraka, kwa sasa zinahusisha milolongo na nyingine wahusika hawapokei simu wala kujibu baruapepe. #mwananchiupdates #tunawezeshataifa
Indonesia
102
69
401
73.8K
Futbal Planet ✴️
Futbal Planet ✴️@PlanetFutbal·
Hii ilitokea TRA UNITED dhidi ya SIMBA SC jana..!!
Filipino
1
4
59
4.6K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Chawa wa Idd Amin Mama Haji Manara kamuuliza Mhe. @HecheJohn swali la kijinga kuhusu TUME YA MCHONGO YA JAJI CHANDE, Mhe. Heche kampa za uso.👌
Filipino
61
136
1.1K
40.7K
SONKO
SONKO@Sonko_tips·
📌
SONKO tweet media
QME
142
50
776
69.2K
Mtombangile kitwango☠️
Mtombangile kitwango☠️@Mikazokitwango·
Usiishie tu kujiweka mbali na Watu waliokuumiza, jiweke mbali kabisa na Udhaifu uliowapa nguvu ya kukutawala. Heshima yako inaanza pale unapokataa kuwa sehemu ya vitu vinavyokuvunja. Na nguvu yako Halisi inaonekana pale unapoziba mianya yote iliyowahi kukufanya uwe Dhaifu.
Indonesia
10
28
45
723
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
AJIRA! FURSA! AJIRA!! PCCB Haya Jumapili leo, Mama Samia kamwaga wino tena ajira 500 hizo kwa Takukuru, msije kuendelea kukaa hapa mkawa mnadanganywa serikali haitoi nafasi!! Sasa, kama umeshawahi kuwa mhaini hii haikufai 😂, sijui una tatoo pita kulee!! Zile za Tamisemi wanaharakati waliwaambia msiombe ila vijana tumewaona wamepata wengi kweli kweli, sasa na hizi tena wasikilize!! Haya kazi kwako, nimesahau pia kuna umri hivyo usikimbilie tu 45+ lala nyumbani tafuta wajukuu!!
Johari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet media
Indonesia
3
12
20
5.4K
Luhamba II
Luhamba II@LuhambaI·
@gabyconscious 😂sisi ni product ya mazingira kaka, Sasa yeye akiingia shamba akitoka Boda, socials za Nini? 😂😂😂
Filipino
1
0
0
247
TheProtégéTZ
TheProtégéTZ@giboretz·
Geita, Tanzania🇹🇿 Hivi mkoa wa Geita una mtu yoyote maarufu kweli?
TheProtégéTZ tweet media
Indonesia
22
9
131
6.4K
The University of Dodoma
The University of Dodoma@udomtheofficial·
UDOM imeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya kitaifa ya usalama wa mtandao ya Cyber Premier League, baada ya timu yake ya wanafunzi watano, S4LV4T0R3, kuonyesha umahiri mkubwa na kuibuka kidedea miongoni mwa timu 76 kutoka vyuo mbalimbali nchini Tanzania.
The University of Dodoma tweet media
Indonesia
6
16
162
9.3K
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Kama Africa tungeamua kuwa nchi moja tukawa na raisi mmoja unadhani ni raisi gani angetufaa? Mi ningemchagua huyu hapa mzee Bola Tinubu huyu mzee haibwi sana ila ni miongoni mwa maraisi smart 🧠 sana.
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
62
22
136
7.7K
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
🚨 RAMADHAN CHOBWEDO STATS Match played 18 Goals 0 Assists 0 Goals involments 0 Ukiachana na siasa za mpira wa bongo hamna mchezaji hapa🚮 Very wrong singning for Simba Sc
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
English
74
25
480
29K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemfuta kazi Spika wa Bunge, Jemma Kumba na naibu wake. Uamuzi huo ni baada ya wabunge wa chama tawala, ‘Sudan People’s Liberation Movement’ kuwasilisha malalamiko wakimtuhumu Kumba kwa ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za bunge.
Swahili Times tweet media
Indonesia
6
13
140
9.2K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kuandaa RIPOTI YA UCHUNGUZI WA VURUGU za tarehe 29 Oktoba 2025 SIYO KAZI NYEPESI. Maana DAMU ILIYOMWAGWA BILA HATIA, ni LAANA KWA TAIFA. Naipongeza SERIKALI kwa uamuzi wa KUONGEZA MUDA wa TUME YA UCHUNGUZI (Tume ya Jaji Chande). Ipewe hata MIEZI MINGINE 7.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
63
24
250
20.2K