Kunta Kinte

6.8K posts

Kunta Kinte banner
Kunta Kinte

Kunta Kinte

@SahelUnity

Sumali Eylül 2023
114 Sinusundan193 Mga Tagasunod
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Huyu pimbi kinachomfanya awe mropokaji ni kwasababu ya hasira za wanae kunyimwa uraia pacha... Alikua anajifanya ni mzalendo wa tz sijui nini na nini kumbe alikua akitaka kupitia hivyo wanae wapate uraia wa Tanzania huku akiendelea kua raia wa Uingereza kinyume cha sheria za Tanzania ambazo kama una apply uraia wa nchi hii lazma uukane uraia wa nchi yako. Jambo ambalo hakulikubali akadhani sababu ya ushawishi angefanikiwa lakini aligonga mwamba so hivi sasa amepata angle ya mandela pori (CHIBA) ndio anapoza machungu yake.
Indonesia
50
29
57
5.9K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@PolycarpMDM Hawana macho na hawaoni, ni mwendo wa kufikiri wanajiweka sawa kumbe ndio kuzidi kuharibu
Indonesia
0
0
1
125
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Hii inaongeza chuki kwa jamii, Na sijui kwanini hawa hawajifunzi, au ni jeuri?
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
16
9
84
4.8K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@kafulila_david Taifa la mafisadi na wezi wa kura katu haliwezi kupiga hatua kimaendeleo, itakuwa ni kwenda mbele hatua 3, kurudi nyuma hatua hatua 7, Wafanyakazi wameuchoka mfumo
Indonesia
0
0
0
15
David KAFULILA
David KAFULILA@kafulila_david·
Mei Mosi itufikirishe kuhusu ubora wa wafanyakazi ambao ndio Ndio sehemu muhimu ya nguvu kazi yetu. Nguvu kazi ndio Sarafu ya Dunia. Kwenye Mataifa Tajiri, takriabani asilimia 70% ya Utajiri wao unatokana na Nguvu Kazi kulinganisha na nchi masikini ambazo Nguvu kazi ni takribani asilimia 40% ya Utajiri wa Taifa. Kwa Tanzania Nguvu kazi ni asilimia 47% ya utajiri wa Taifa. Lakini ili kufikia uchumi wa dola trilion 1 ambalo ni lengo la Dira2050, tunahitaji utajiri wa Taifa kufikia wastani wa dola 5trilion kutoka dola 740bn za sasa. Kwa sasa Utajiri wa Nguvu kazi Tanzania ni dola 345bn lkn ili kufikia Dira 2050 inahitaji thamani ya Nguvu kazi ifikie zaidi ya dola 3Trilion. Kadiri unavyongeza uwezo au thamani ya Nguvu kazi ndivyo unaongeza uwezo wa nchi kutengeneza utajiri kwa kubadilisha maliasili kuwa mali. Kwasasa utajiri wa vitu tuliotengeneza ni wastani wa dola 125bn lkn ili kufikia Dira 2050, inatakiwa tuongeze kati ya mara 8 mpaka 10. Tunahitaji kutumia PPP kutekeleza miradi yenye mvuto wa sekta binafsi ili nguvu zaidi ya Serikali tuelekeze kwenye kujenga ubora wa nguvu kazi kwani sehemu kubwa ni masikini isiyoweza kumudu elimu bora na afya bora ili iweze kuwa na tija zaidi.
Indonesia
7
1
11
1.2K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@bajabiri Kwetu waliambiwa kila ale kwa urefu wa kamba yake sasa nani ataweza kuwashitaki?
Filipino
0
0
0
13
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Suala la kwamba waandamanaji katika maandamano ya Oktoba 29, 2025 walikuwa wamebeba silaha mbalimbali zikiwepo bunduki hadi sasa bado linanikata sana. Raia wakamuua nani kwa risasi? Raia wenzao? Askari? Kama ni askari, misiba yao ilifanyika wapi? Askari hawakuagwa kwa itifaki? Haiingii akilini kwamba askari wapoteze maisha kisha wazikwe kama watu wasio na ndugu wala heshima ya taaisisi. Hii haiwezekani. Anyways, katika ripoti yenu mnasema watu 581 ndiyo waliuwawa. Tukubaliane na takwimu zenu. Hao watu 581 majina yao yapo wapi? Picha zao zipo wapi? Kama hazipo ni, giza la makusudi (strategic ambiguity) Kama vifo 197 vimetokana na kupigwa risasi, vifo 384 vilivyobaki katika jumla ya idadi ya 581 vimetokana na nini? Waliuwawa katika maandamano au katika makazi yao? Waliuwawa na nani na kwa sababu gani? Unapotaja namba tu kwamba “watu 581” bila kutoa jina la Juma, Maria, au Khamis, unakuwa umewanyang'anya utu wao kwa mara ya pili. Walinyang'anywa haki ya kuishi. Wananyang'anywa haki ya kukumbukwa. Kukiwa na majina, kutakuwa na vyeti vya vifo. Kukiwa na vyeti vya vifo, kutakuwa na sababu za kifo zilizothibitishwa rasmi na madaktari. Kukiwa na picha, kutakuwa na mashahidi wa vifo hivyo. Ndiyo. Kukosekana kwa majina ya watu waliouwawa katika ripoti hakumaanishi majina hayo hayapo. Yapo mioyoni mwa wajane, kwenye kuta za nyumba walizoishi, na yapo kwenye kumbukumbu za majirani zao. Je, waliotoa amri na waliotekeleza mauaji, hakuna kuwajibika? Mambo ya uwazi (transparency) na uwajibikaji (accountability) siyo mambo yenu? Mnyororo wa amri (chain of command) upo wazi. Kukosekana kwa uwajibikaji wa moja kwa moja ni kualika ukatili mwingine mkubwa siku za usoni. Au ndiyo tufunike kombe, mwanaharamu apite? Uwazi (transparency) siyo hisani; ni haki ya msingi ya raia Bila orodha hiyo, ripoti yoyote itabaki kuwa karatasi tu iliyolowa damu isiyo na mwenyewe.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
32
140
713
33.3K
It's Hunaiya 💋❤️
It's Hunaiya 💋❤️@Hunaiya153989·
Yaani kumfundisha binti yangu wa miaka 8 akitoka kuoga afue chupi yake naambiwa ni uswahili basi bora nibaki kuwa mswahili kuliko niwe namfulia chupi akiwa anakua 😏🚮
Tanzania 🇹🇿 Filipino
58
64
500
21K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@Aruatani Ni Washenzi kabisa, ukicheza wanakufilisi Mzee, dawa ni kuoa tu
Indonesia
0
0
0
48
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
DSM kuna sehemu zina harufu mpaka unajiuliza mtu anawezaje kuvumilia. Lakini ni maisha magumu ndio hutufanya kuwa wavumilivu. Chakushangaza, serikali ndio huchukua kodi sehemu zinazonuka na haziboreshwi, Mfano ni Pale Shekilango soko la Kuku, ni kama huwa hawapaoni wanapochukua kodi.
Indonesia
10
6
63
3.7K
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Homera akiwa RC Mbeya SHADRACK alitekwa. Kijana alishinda kesi waliyomzushia ya kuchoma picha ya Samia aliyochora kwa mkono wake. Hata hivyo alilipa faini. Leo Homera anatamba bungeni na wake zake wawili na kupigiwa makofi. CCM mnajua sana kutukana Watanzania. Iko siku.
joseph_selasini tweet media
Indonesia
10
98
389
5.5K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@KennedyMmari Waliuficha ukweli, hata huko Israel kulitandikwa sana na vile tu walizuia Media zao zisipige picha na kuripoti lkn kipigo walikipata kwelikweli na Iran alichokifanya ni kuvunja vunja rada zote zilizopo kwa majirani zake ili kuwafanya USA na Israel kuwa vipofu😂😂
Filipino
1
0
3
153
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@privaldinho CCM ndio kazi yao na ndio maana Vijana wa zamani ambao kwa sasa ndio wazee, walipumbazwa kwenye ujana wao na matokeo ya hayo uliyoyasema ndio tunayaona leo hii
Indonesia
0
0
0
93
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Ukitaka kuharibu TAIFA, Pumbaza VIJANA.
38
20
245
10.4K
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
“Nashindwa kuwaelewa Viongozi wenzangu wa Ulaya, nikiitwa na Rais Putin kuongea wao wananuna pia wakinisema wakitaka nisiende, ila nikishatoka kikao na Putin kila mmoja anataka kujua tumeongea nini ama kasema nini, sasa huo ni Unafki nisioupenda kama mnataka kufahamu kasema nini kila mmoja aende mwenyewe akaongee nae” - Robert Ficco, Waziri Mkuu wa Slovakia 🇸🇰
Indonesia
5
6
96
8.4K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@tagatojtagato Sasa Makonda hajui kuwa Tanzania mifumo yote ya kutoa HAKI ni mibovu kuanzia Mahakamani, Polisi, Tume ya Uchaguzi nk??? au alijua ubovu upo kwenye upatikanaji wao pekee kwenye Uchaguzi sio.?? Mifumo ya utoaji HAKI kwenye Taifa lolote Dunia ikifa huwa inakufa pande zote
Indonesia
0
0
0
15
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
“Jana siku jisikia vizuri kama waziri wa Michezo, kuona watanzania wanamsifia na kumpongeza refa wa Kenya, wakati sisi tuna marefa Tanzania. Maana yake kuna tatizo kwa marefa wetu,” Mh. Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
2
2
73
2.1K
Danny
Danny@Danny45405967·
Huyu bongo zozo amepeperusha sana bendera ya tanzania na kuitangaza nchi kwa nguvu nyingi mno. Yalipo tokea mauaji 29 october akaamua kuacha kazi yake ya ubalozi wa utalii na kusimama na walio uliwa ndugu zao. Kuna uzalendo zaidi ya huo? Ila sasa ccm na serekali hawamtaki tena.
Danny tweet media
Indonesia
29
125
976
12.7K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@EsirEid Haya yote mchawi ni CCM tu maana wao hawapendi mtu kuwa Upinzani halafu wakampa kazi so inabidi watu wajifanye wapo upande wao ili wapate kazi Serikalini, na hii pia inachangiwa na ubovu wa hii KATIBA ya Kikoloni
Indonesia
1
0
2
260
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kipindi kile Natafuta Tenders kwa Ofisi mbali mbali za Kiserikali kwa ajili ya KAZI na BIASHARA zangu! Picha zangu zikija humu -Nliambiwa mm ni TISS… mimi ni Mamluki… sina msimamo na kutukanwa saana hadi matusi ya Nguoni💔💔 Leo imefika zamu yenu… ndio mmeanza kufaham kuna KAZI na SIASA! Nimewapelekea moto kimaksudi ili myatamke na kukiri wenyewe kwamba; KAZI na SIASA ni Tofauti… mwisho wa siku vijana lazima tufanye kazi ili mkono uende kinywani… Nafikiri Darasa la Leo limeingia Vizuri💯💯🤝
Indonesia
87
88
786
33.2K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@krisBangala Hahaha ww waache tu hawataamini kuwa hawa ni Yanga waliokuwa Zanzibar
Filipino
0
0
0
39
BANGALA
BANGALA@krisBangala·
@SahelUnity Moto atakao kutana nazo ni zaidi ya Iran
Indonesia
1
0
1
212
BANGALA
BANGALA@krisBangala·
Wachambuzi Na Mashabiki Wa Simba Wameumiaa Mnoo Baada Ya kuona Yanga Kafungwa Na Simba Na Bado Wana Yanga Wanafuraha Na Timu Yao.
BANGALA tweet media
Filipino
22
15
373
6.5K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) hawakutoa madai mapya kutokana serikali kuelekeza pesa nyingi kugharamia uchaguzi, kurekebisha miundombinu iliyoharibiwa na ghasia na mvua pamoja na kulipa madeni.
Indonesia
43
7
147
32.8K
Kunta Kinte
Kunta Kinte@SahelUnity·
@Iamfelixtz Na hawazipati kabisa hizo point 3, maana Yanga anazichukua kwao
Filipino
0
0
0
626
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
"Tukipoteza Dabi, gap la points litakuwa ni nane, kwa timu zilizobaki huyu bwana hawezi kudondosha alama zote nane. Ukimtegemea Azam atakuvua taulo ukweni asububi tu, ukimtegemea Singida huyo ndio shoga yake mkubwa, wanasimba twendeni tukapambanie alama tatu" 🎙️ Ahmed Ally
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Filipino
18
27
874
22.3K