Joseph Kasanzu

1.1K posts

Joseph Kasanzu banner
Joseph Kasanzu

Joseph Kasanzu

@Gasanzu

Why?

شامل ہوئے Şubat 2025
183 فالونگ35 فالوورز
PABLO ZUNGU
PABLO ZUNGU@sinahisa·
MAKONDA hana Kipindi hapa, hiki ni Kipindi cha CLOUDS, sio cha MAKONDA, hiyo Story isiende hewani Bila kupata Story ya Upande wa PILI kutoka kwa GWAJIMA. —Ruge Mutahaba Akiwapa Maelekezo Kina Sudy Brown Wasipeleke Hewani Umbea Uliokua umeletwa na Makonda Clouds kwneye Flash.
PABLO ZUNGU tweet media
Filipino
5
8
75
8.4K
Joseph Kasanzu
Joseph Kasanzu@Gasanzu·
@massuidentity Mbele ipi? Huko ndo Kuna upuuzi mkubwa sema wale wanaficha vitu vyao. Wana mashabiki ambao kwa miundombinu ya kibongo mauaji Kila Leo. Kwenye utu tuko mbele yao
Indonesia
1
0
0
20
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Kwani mpira wa bongo kuna ulazima wa Team kuwa na mabaunsa maana hao ndo wanaharibu mpira mpaka wanafikia stage ya kuzinesa . Mbona mbele hakuna huu ushamba
Indonesia
4
7
26
920
Joseph Kasanzu
Joseph Kasanzu@Gasanzu·
@EduTalkTz Bila Shaka Hawa watavuta na na watakuwa na KAZI ya kupuliza kwa mara ya kwanza
Filipino
0
0
0
36
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Ki’ngreza 😂😂😂😂😂😂😂!!! Bila uhuni hauwezi kuelewa!😎
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
2
1
25
2K
iBALE
iBALE@ibalefav·
@DadaEstie Hapo inategemea ulisikiaje,mbota au mbute. -kama ni mbota ni samaki(sangara) wakubwa walionona. -kama mbute ni mihogo iliyovundikwa.
Indonesia
1
0
0
259
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
Wasukuma Naomba Mniambie Maana Ya Mbuta ??
Indonesia
29
4
156
17.9K
Joseph Kasanzu
Joseph Kasanzu@Gasanzu·
@11Dnvr Kwenye interview baadhi Huwa anasema kuwa hawezi kufanya hivyo, Kuna Moja alikuwa anamzungumzia Bielsa akakiri atazishuaha daraja timu ndogo.
Indonesia
0
0
0
43
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais wa klabu ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said (@Caamil8), ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Bright Africans kwa kipindi cha miaka minne kuanzia mwaka 2026. Uteuzi huo umetangazwa na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa Bright Africans Spencer Minja, Kupitia kura za wajumbe wa Bodi, unaimarisha dira ya taasisi katika kuendeleza ajenda ya uwezeshaji wa vijana kupitia uongozi, ujasiriamali na ubunifu. Kupitia programu mbalimbali kama Project Amini iliyowafikia zaidi ya vijana 10,000, pamoja na ziara ijayo ya kitaifa, Bright Africans inaendelea kupanua mchango wake kwa vijana nchini Tanzania na Afrika. Mhandisi Hersi Said, ambaye pia ni Mwenyekiti wa African Clubs Association, Mjumbe wa Kamati ya FIFA, na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Group, analeta uzoefu mkubwa wa uongozi, uwekezaji na maendeleo ya vijana. Uteuzi wake unaashiria mwanzo wa hatua mpya ya kuimarisha taasisi, kukuza ubunifu, kuimarisha harakati za maendeleo ya vijana, na kujenga mustakabali bora ambapo vijana wanaendelea kuwa kitovu cha maendeleo ya Afrika. Wajumbe wa Bodi, Wanachama na Washirika wa Bright Africans kwa ujumla, wanatoa shukrani za dhati kwa Mhandisi Hersi Said kwa kukubali kupokea majukumu haya. #KitengeSports
Maulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet mediaMaulid Kitenge tweet media
Indonesia
4
6
168
13.5K
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
Huyu Estevao amekuwa wa hovyo sana hivi sasa, anakupa game mbili nzuri snaa. Then game 10 za chini sana .. bado game yake ya chini sana Hawezi kufikia level za Lamine Yamal, Rio, Vini Jr au Doku .. hapo ongeza ni mtu wa injury sana . Yani kucheza mechi tano mfululizo ni shida🚮
Indonesia
4
0
34
1.9K
Malipso💋
Malipso💋@Aggy192·
@MarekaMalili Alafu kwelii🥹🥹yaani watu waliokutana wakazaa bila ndoa yoyote zinadumu sana ata huku mitaani kwetu tunashuhudia iloo
Indonesia
1
0
2
502
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Madogo wakitoka kulala uwa kuna ka nusu saa flani hivi ya Utulivu, unaweza kusema watoto si ndio hawa, kumbe wana update mafile. Badae wanageuka Maninja, Ma Spiders 🤣🙌🏼
Filipino
131
171
1.7K
47.3K
Joseph Kasanzu
Joseph Kasanzu@Gasanzu·
@moshijnr @hecenmo Naamini kabisa kariakoo hawana watu wanaojua kuspot wachezaji wazuri. Chobwedo game ya kwanza TU namuona akiwa na Kengold niliamini tz Haina winger kama huyo,labda age ila alipaswa aokoe Hela za GSM
Filipino
0
0
0
10
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
@hecenmo Mali sana ile. Ukiona player .. Always available kiwanjani ni mali . Tena kwa Wazawa💪🏻
Polski
2
0
9
192
hussein
hussein@hecenmo·
Ramadhan Chobwedo? Bring
CY
4
1
34
850
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Biblia inasema, baada ya Kaini kumuua Habili, alikimbilia nchi nyingine na kwenda kufanya maisha yake huko. Wakati huo huo tunaambiwa Adam na Eva (Wazazi wa Kaini na Habili) ndio Watu wa kwanza kuwepo Duniani. Huko alikokwenda Kaini, kulikuwa na akina nani?
Filipino
61
16
300
28.5K
Joseph Kasanzu
Joseph Kasanzu@Gasanzu·
@RMbeyale @fadhilikangusi Na ukiambiwa kulikuwa na hekima unaelewa Nini? Yesu hakusema yeye ni alpha na omega, soma biblia acha kusikiliza wavaa suti
Indonesia
1
0
0
11
Cowboy
Cowboy@RMbeyale·
@Gasanzu @fadhilikangusi Ukiambiwa hapo mwanzo kulikuwa na neno unaelewa nini? Kingereza inasema "in the began" Bible zote za Kingereza Later Yesu anasema kabla ya kuubwa misingi ya dunia nilikuwepo Then anaongea mimi ndio mwanzo na mwisho alfa and omega Bible ni zaidi ya calculus siyo gazeti
Filipino
1
0
0
15
Cowboy
Cowboy@RMbeyale·
@Gasanzu @fadhilikangusi Ukisoma tu Mwanzo 1:1 Utaona wapo wote watatau Baba, mwana na roho mtakatifu ndio hao anaojadiliana nao
Filipino
1
0
4
189
Ray Asel
Ray Asel@rayasel94·
@FabrizioRomano Huyu sidhani kama kipaji kimo. Inaonekana tu hakunamo mchezaji
Slovenščina
2
0
5
264
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨🔴 Official: Jaydan Kamason has signed a new contract at Manchester United until June 2028 plus option for further season.
Fabrizio Romano tweet media
English
634
1.3K
22.6K
702.4K
Joseph Kasanzu
Joseph Kasanzu@Gasanzu·
@fbuyobe That is it! And it was primarily introduced by Satan's servant(saulus of Tarsus) contrary to the original feast ( done by Jews and Jesus himself). Paul or Paul's books brought satanism within the true way of God
English
0
0
2
582