Angehefteter Tweet
C H E P E
40.4K posts

C H E P E
@Chepezi
Mtume ﷺ Alikuwa akisema: Walio bora miongoni mwenu ni wale wenye maadili na tabia njema.
Duniani Beigetreten Ocak 2016
1.2K Folgt18.1K Follower

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Aprili ambapo mafuta ya petroli yamepanda bei kutoka 2,864 mpaka 3,820 kwa lita kwa bei ya rejareja Jijini, Dar es salaam ambapo inaelezwa kuwa kupanda huko kwa bei kunachochewa na vita vinavyoendelea kati ya Marekani kushirikiana na Israel dhidi ya Iran.
Bei hizo mpya zimetangazwa hii leo April 1, 2026 ambapo zitatumika kwa mwezi huu ambapo kwa upande wa Bandari ya Tanga Mafuta ya petroli rejareja yamepanda kutoka 2,925 mpaka kufikia 3,881 kwa bei ya rejareja huku kwa upande wa Bandari ya mtwara mafuta ya petroli yamepanda kutoka 2,956 mpaka kufikia 3,912 kwa rejareja.
Aidha kwa upande wa jumla EWURA imetangaza bei ya kikomo ya mafuta ambapo kwa bandari ya Dar es salaam mafuta yamepanda kutoka 2,723.97 mpaka kufikia 3,677.71 huku kwa upande wa bandari ya Tanga mafuta yamepanda kutoka 2,72.05 mpaka 3,685.00 na kwa upande wa bandari ya Mtwara mafuta yamepanda kutoka 2,727.04 mpaka kufikia 3,669.32.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@Chepezi Magaidi yamalizwe yoteeee! Hata Mafuta yakifika buk teni, sijali
Indonesia

@AbroadTanzania Kawaulize wanaoumwa madonda ya tumbo gesi yao inatusaidia nini?😂😂
Filipino

@Chepezi Hata Mafuta yakifika 10,000/= Kwa Lita fresh tu Cha muhimu magaidi lazima yafutwe🇮🇱❤️🇮🇱🇮🇱❤️❤️🇮🇱🇮🇱
Indonesia

@Rahim_Meghji Sema maalimu una tatizo sana juu ya Manhaj.
Usalafi haufundisi hayo, kwanini unayafunganisha na Manhaj Salafi?
Indonesia

@Chepezi Si mlimshangilia na kumsapoti kuingia madarakani, shekhe watu sio wajinga
Indonesia

Trump adokeza mpango wa kukiteka Kisiwa cha Kharg nchini Iran, huku bei ya mafuta ikipanda
bbc.in/3Pzo8Mx

Indonesia

יחד עם כל אזרחי ישראל, רעייתי ואני מוסרים את תנחומינו העמוקים למשפחתו של לוחם השריון, סמל לירן בן ציון ז״ל, שנפל בקרב בדרום לבנון.
לירן ז״ל לחם בגבורה בקו החזית כדי להגן על יישובינו ואזרחינו מפני ארגון הטרור חיזבאללה.
אנו מחבקים את משפחתו של לירן ז״ל ומשתתפים בצערה על האובדן הכבד.
יהי זכרו ברוך ונצור לעד.

עברית

@Matallahkhamis @kaka_puti @_iam_chandra @abusumayyah_o @AbuAwiyah @BakariYahaya7 @Baradhuli2 @donminja47 @EsirEid @HabiibYahyaa @HashimuMok23111 Kumbe hujui kiasa hiki?
Kasome dungu yangu.
Indonesia

@Chepezi @kaka_puti @_iam_chandra @abusumayyah_o @AbuAwiyah @BakariYahaya7 @Baradhuli2 @donminja47 @EsirEid @HabiibYahyaa @HashimuMok23111 Kama hayamkufurishi Mtu kwanini yamekatazwa?
Indonesia

*Kwa nini nchi za Kiislamu haziungi mkono Iran?📚💦*
>>Mambo ya Kushtua Kuhusu Historia ya Iran Katika Miaka 70 Iliyopita;
🫴YAJUE YALIO NYUMA YA PAZIA LA IRAN🇮🇷 NA USHIA
1️⃣1948
Iran ilisimama na Israeli dhidi ya Waarabu.
2️⃣1956
Iran ilisimama na Israeli dhidi ya Waarabu.
3️⃣1967
Iran ilisimama na Israeli dhidi ya Waarabu.
4️⃣1973
Iran ilisimama na Israeli dhidi ya Waarabu.
5️⃣1980-88
Israeli ilisimama na Iran dhidi ya Iraq.
6️⃣1994
Iran ilisimama na Urusi dhidi ya Chechens.
7️⃣2001
Iran ilisimama na Amerika dhidi ya Afghanistan,
8️⃣2003
Iran ilisimama na Amerika dhidi ya Iraq.
9️⃣2020
Iran ilisimama na Armenia dhidi ya Azerbaijan.
Hii ni Iran, na hii ndiyo misimamo yake, na orodha inaendelea...
Usaliti kwa Waarabu na Waislamu!
@Granitinho85459 @BlackWolfBeast @Chepezi

Indonesia









