Peppatz

18.5K posts

Peppatz

Peppatz

@peppatz

People will forget what you said and what you did... But will never forget how you made them feel.

Bergabung Mayıs 2020
1.3K Mengikuti1.8K Pengikut
Rusell
Rusell@afcRusell·
Keep. Or sell???
Rusell tweet media
English
243
11
212
16.5K
Peppatz me-retweet
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Nilitaka KUSHANGAA, yaani Chama Cha Mapinduzi (CCM) KIMGOMEE MSAJILI? Subutuu! Kwa taarifa tu, MSAJILI kwa MAMLAKA aliyonayo KISHERIA, anaweza KUIFUTA CCM, muda wowote kuanzia sasa. Tusubiri. MUDA NI MWALIMU MZURI.👇
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
7
11
105
3.9K
Peppatz me-retweet
UpYourArsenal🔴⚪🔴⚪♥️
Arsenal Parade Attendance is now at a RECORD 1.5 million, Doubling the previous Liverpool 750,000 in 2025 And Triple the 1999 Man United 500,000
UpYourArsenal🔴⚪🔴⚪♥️ tweet media
English
145
190
1.4K
46.7K
Arsenal News Channel
Arsenal News Channel@Arsenalnewschan·
🚨 COMPETITION 🚨 I will give one person who comments their countries flag on this post £100 if #Arsenal beat PSG today! 🙏 💰
Arsenal News Channel tweet media
English
562
90
1.2K
36.1K
Peppatz me-retweet
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kama Arsenal tukibeba UEFA, mambo ni mawili tu mtachagua pakwenda ama tutawachagulia pakwenda.😂
The mandevu tweet media
Indonesia
24
27
335
6K
Peppatz
Peppatz@peppatz·
@millardayo Ingekuwa ni Bongo huyo kijana angepotezwa.
Indonesia
1
0
2
287
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makueni, Brian Mutua ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kwa kuigiza sauti na namna anavyozungumza kiongozi huyo. Mutua amekuwa gumzo kwenye mitandao ya Kijamii kutokana na uwezo wake wa kuiga sauti ya Rais Ruto jambo lililomfanya apewe jina la utani la “Ruto”. Mei 29, 2026, Rais Ruto alimkaribisha kijana huyo katika Ikulu ya Kenya ambako walifanya mazungumzo, wakashiriki chakula cha mchana na Mutua ambaye alipata nafasi ya kuonesha tena kipaji chake mbele ya Rais huyo. Kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii, Rais Ruto amesema amefurahishwa na kipaji na ubunifu wa Kijana huyo, akiambatanisha picha za tukio hilo na kuandika: “Ruto kakutana na Ruto, kipaji, ubunifu, msukumo na uongozi katika kuijenga kesho.” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
7
17
272
24K
Peppatz me-retweet
Mtikila Jr
Mtikila Jr@Legend_Mtikila·
CPA Yeriko Njegere 😂😂
9
13
108
6.1K
Peppatz me-retweet
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
. @potus , if America does not intervene Tanzania is going to be the next Zimbabwe or even Congo. Please don’t allow 1 person to destroy a beautiful country. The first and second videos were taken on October 30, 2025—the second day of the protests. The young men in those videos were not protesters. They were simply watching football in local cafés when police, acting under orders from Samia Suluhu stormed in and ordered the boys to lie face down on the ground. They complied. Then, one by one, they were shot. Their only “crime” was being young men in the wrong place at the wrong time. The purpose of these killings was terror. It was a calculated attempt to instill fear across the entire country and send a message that no one was safe. The third and fourth videos were taken on the third day of the protests, as the violence and crackdown continued. @SenTedCruz @SenatorShaheen @SecRubio @PeteHegseth
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
The Economist@TheEconomist

Tanzanians had hoped Samia Suluhu Hassan would usher in a more open society. Now her repressive regime threatens the country’s achievements and its future economist.com/leaders/2026/0…

English
28
280
863
32.8K
Peppatz
Peppatz@peppatz·
@Legend_Mtikila Hawa sio wa kutemana nao manake ndio wanatafuta hiyo sababu… Chadema wapite mule mule walipopita kwenye ile barua ya mwanzo yani wabadilishe tu tarehe na kuongezea vitu kiduchu… Wasiasahau kwenda Manyara tena kukazia. Na Sista ni muhimu akasalimiwe ili aache kiherehere.
Filipino
0
0
0
40
Peppatz
Peppatz@peppatz·
@Royal_Tv_Tz Chadema wapite mule mule walipopita kwenye ile barua ya mwanzo yani wabadilishe tu tarehe na kuongezea vitu kiduchu… Wasiasahau kwenda Manyara tena kukazia.
Indonesia
0
0
1
122
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujieleza kwanini usajili wake usisimamishwe au kisitozwe faini nzito kufuatia mfululizo wa kauli za matusi, kashfa, na uchochezi zinazodaiwa kutolewa na viongozi wake wakuu katika mikutano ya hadhara. Katika barua rasmi iliyotumwa kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mei 26, 2026, na kusainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza kwa niaba ya Msajili, chama hicho kimepewa hadi tarehe 8 Juni, 2026, saa 9:30 alasiri kuwasilisha utetezi wake kabla ya kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria. Barua hiyo imeanika ushahidi wa video za matukio matatu tofauti zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwahusisha wajumbe wa Kamati Kuu na wenyeviti wa kanda wa chama hicho: Msajili amemnukuu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi 'Sugu’ akitamka maneno ya dhihaka na matusi ya nguoni dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara kwa kusema. Kauli hiyo imetajwa kukiuka Kifungu cha 9(2) na 19(2)(f) vya Sheria ya Vyama vya Siasa. Mwingine ni, Samweli Welweli, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini; anatuhumiwa kuchochea wananchi kufanya vurugu na kupambana na Jeshi la Polisi badala ya kufuata sheria, akirejelea machafuko yaliyopita ya uchaguzi kwa kusema: “tuendelee kusogea, tuendelee kusogea, huko mlioko huko, msiogope polisi, polisi hawatuwezi, simnakumbuka ya tarehe 29 jamani.” Kwa upande wake, Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa anadaiwa kutoa maneno ya kijeli na kashfa dhidi ya viongozi wa serikali jukwaani kwa kusema: “...hamtaki kusemwa achia madaraka rudi kwa mke wako ukae na mke wako...” Msajili amebainisha kuwa kauli hizo ni ukiukwaji mkubwa wa Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258 (Toleo la 2023) pamoja na Kanuni za Kuratibu Mikutano ya Hadhara ya Mwaka 2023. Isipowasilisha utetezi wa kuridhisha, chini ya marekebisho ya Sheria Namba 3 ya Mwaka 2024, CHADEMA itasimamishwa usajili au itatozwa faini kubwa kwa mujibu wa sheria au kufungiwa kufanya mikutano ya hadhara. Ofisi ya Msajili imehitimisha kwa kukitaka chama hicho kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na kufuata siasa za staha na ustaarabu, ikithibitisha kuwa tayari imetuma video zote za ushahidi kwa viongozi wa CHADEMA kupitia barua pepe na mtandao wa WhatsApp.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
16
5
72
7.8K
Peppatz
Peppatz@peppatz·
@Sativa255 @MuggyMaggy Hivi huyu Sista kwanini asishughulikiwe yeye kama yeye katika mahakama ya Umma? Kama anatumika lazima mahakama ya Umma imuhukumu. Pelekeni watu wakamsalimie. Tuache kuchezeana.
Indonesia
0
0
3
226
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Sista NYAHOZA ni mkubwa kuliko MAHAKAMA? Huyu mpumbavu kwanini tunatumia lugha nyepesi kuongea nae? Huyu unahitaji lugha ya BUSARA kweli kuongea nae? Unawezaje kuhangaika na na CHAMA ambacho ni SAUTI YA WATANZANIA na mkaendelea kuongea nae kwa lugha ya kistaarabu?
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Filipino
10
88
474
8.8K
Collins
Collins@Collins071188·
@peppatz @HecheJohn Mahakama kupotezeana muda wamuache akifute afu ataona mwenyewe
Indonesia
1
0
2
46
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko. Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309.. Madhara mengine walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda.. Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema usiku na mchana tena wazi kabisa. Inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… Maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa. Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa.. Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.
Indonesia
59
386
1.6K
33.8K
Peppatz me-retweet
Tanzania Leaks
Tanzania Leaks@TanzaniaLeaks·
Wavuta Bangi wameongezeka na wewe ukiwemo ndio maana unavuruga amani ya nchi kwa kujipendekeza. Hii ndio mizee yenye laana. Siku Tanganyika inakombolewa, wahuni wenzio wote wakina Chande mtakimbilia huko mnakolima Bangi. Kenge wewe
Tanzania Leaks tweet media
Indonesia
10
22
147
4.4K
Peppatz me-retweet
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Samia Suluhu hana sababu ya kuendelea kumshikilia Tundu Lissu kwa mashitaka ya uongo. Kumnyima mtu uhuru wake na kumtesa gerezani bila hatia ni sawa na kukusudia kumuuwa. Ukatili huu ni lazima ufikie mwisho. Free Tundu Lissu Now!!
Tito Magoti tweet media
Indonesia
4
211
846
6.3K
Peppatz me-retweet
Mtikila Jr
Mtikila Jr@Legend_Mtikila·
Mnakumbuka hii
Mtikila Jr tweet media
Indonesia
6
40
448
35.1K
Peppatz me-retweet
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Nyie wenyewe AMUENI hapo 👇, kati ya MAHAKAMA na MSAJILI, nani ni MKUBWA? Nani ANAMDHARAU mwenzake?😂😂😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
27
104
488
18.2K
Peppatz me-retweet
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kuna watu WANASHANGAZA SANA. Yaani, SIKU 100 HATA BADO HAZIJAISHA, wameanza KULAUMU, “MBONA HATUONI KATIBA MPYA?”. Jamani, MUNGU yupo na wenye KUSUBIRI. Surah Al-Baqarah 2:153
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
40
68
513
25.8K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IMEPUUZA MAHAKAMA‼️ Tarehe 25 May Mahakama Kuu ilitoa amri kuzuia office ya Msaji wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua yoyote mbaya dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tarehe 26 May - Sisty Nyahoza ametuma barua nyingine na kutishia kufuta usajili Sasa ni dhahiri 👉🏽 Ofisi ya Msajili haifuati sheria yoyote na inapuuza hadi amri ya mahakama 👉🏽 Msajili na msaidizi wake wana ugomvi rasmi na Chadema yenye nia ovu 👉🏽 Ofisi ya Msajili ipo kuhukumu na kushughulika kisiasa na Chadema ili kuilinda CCM Endeleeni mahodari mnachokitafuta mtakipata #TutaelewanaTu The office of the Registrar of Political Parties again threatens CHADEMA with deregistration despite a court order issue a day before prohibiting it from taking any adverse action This office is engaged in political persecution of opposition parties and the registrar and his deputy appear to have a personal vendetta against Chadema clearly #SamiaMustGo Cc @SenateForeign @SFRCdems @FCDOGovUK @EU_Commission @Europarl_EN @UN_HRC
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
42
195
617
31.1K
Peppatz
Peppatz@peppatz·
@MariaSTsehai Hivi huyu Sista kwanini asishughulikiwe yeye kama yeye katika mahakaa ya Umma? Kama anatumika lazima magakama ya Umma imuhukumu. Tuache kuchezeana.
Indonesia
0
0
18
1.3K