Peppatz retweetledi
Peppatz
18.5K posts

Peppatz
@peppatz
People will forget what you said and what you did... But will never forget how you made them feel.
Katılım Mayıs 2020
1.3K Takip Edilen1.8K Takipçiler
Peppatz retweetledi

🚨 COMPETITION 🚨 I will give one person who comments their countries flag on this post £100 if #Arsenal beat PSG today! 🙏 💰

English
Peppatz retweetledi

Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makueni, Brian Mutua ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kwa kuigiza sauti na namna anavyozungumza kiongozi huyo.
Mutua amekuwa gumzo kwenye mitandao ya Kijamii kutokana na uwezo wake wa kuiga sauti ya Rais Ruto jambo lililomfanya apewe jina la utani la “Ruto”.
Mei 29, 2026, Rais Ruto alimkaribisha kijana huyo katika Ikulu ya Kenya ambako walifanya mazungumzo, wakashiriki chakula cha mchana na Mutua ambaye alipata nafasi ya kuonesha tena kipaji chake mbele ya Rais huyo.
Kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii, Rais Ruto amesema amefurahishwa na kipaji na ubunifu wa Kijana huyo, akiambatanisha picha za tukio hilo na kuandika: “Ruto kakutana na Ruto, kipaji, ubunifu, msukumo na uongozi katika kuijenga kesho.”
#MillardAyoUPDATES
Indonesia
Peppatz retweetledi
Peppatz retweetledi

. @potus , if America does not intervene Tanzania is going to be the next Zimbabwe or even Congo. Please don’t allow 1 person to destroy a beautiful country.
The first and second videos were taken on October 30, 2025—the second day of the protests.
The young men in those videos were not protesters. They were simply watching football in local cafés when police, acting under orders from Samia Suluhu stormed in and ordered the boys to lie face down on the ground. They complied.
Then, one by one, they were shot.
Their only “crime” was being young men in the wrong place at the wrong time. The purpose of these killings was terror. It was a calculated attempt to instill fear across the entire country and send a message that no one was safe.
The third and fourth videos were taken on the third day of the protests, as the violence and crackdown continued.
@SenTedCruz @SenatorShaheen @SecRubio @PeteHegseth

The Economist@TheEconomist
Tanzanians had hoped Samia Suluhu Hassan would usher in a more open society. Now her repressive regime threatens the country’s achievements and its future economist.com/leaders/2026/0…
English

@Legend_Mtikila Hawa sio wa kutemana nao manake ndio wanatafuta hiyo sababu…
Chadema wapite mule mule walipopita kwenye ile barua ya mwanzo yani wabadilishe tu tarehe na kuongezea vitu kiduchu…
Wasiasahau kwenda Manyara tena kukazia.
Na Sista ni muhimu akasalimiwe ili aache kiherehere.
Filipino

Hivi tukitemana nao tukaacha kuwajibu kunamadhara?
SIR TIVA@Sativa255
Sista NYAHOZA ni mkubwa kuliko MAHAKAMA? Huyu mpumbavu kwanini tunatumia lugha nyepesi kuongea nae? Huyu unahitaji lugha ya BUSARA kweli kuongea nae? Unawezaje kuhangaika na na CHAMA ambacho ni SAUTI YA WATANZANIA na mkaendelea kuongea nae kwa lugha ya kistaarabu?
Indonesia

@Royal_Tv_Tz Chadema wapite mule mule walipopita kwenye ile barua ya mwanzo yani wabadilishe tu tarehe na kuongezea vitu kiduchu…
Wasiasahau kwenda Manyara tena kukazia.
Indonesia

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania imekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujieleza kwanini usajili wake usisimamishwe au kisitozwe faini nzito kufuatia mfululizo wa kauli za matusi, kashfa, na uchochezi zinazodaiwa kutolewa na viongozi wake wakuu katika mikutano ya hadhara.
Katika barua rasmi iliyotumwa kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Mei 26, 2026, na kusainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza kwa niaba ya Msajili, chama hicho kimepewa hadi tarehe 8 Juni, 2026, saa 9:30 alasiri kuwasilisha utetezi wake kabla ya kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria.
Barua hiyo imeanika ushahidi wa video za matukio matatu tofauti zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikiwahusisha wajumbe wa Kamati Kuu na wenyeviti wa kanda wa chama hicho:
Msajili amemnukuu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi 'Sugu’ akitamka maneno ya dhihaka na matusi ya nguoni dhidi ya wanasiasa wenzake katika mkutano wa hadhara kwa kusema. Kauli hiyo imetajwa kukiuka Kifungu cha 9(2) na 19(2)(f) vya Sheria ya Vyama vya Siasa.
Mwingine ni, Samweli Welweli, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini; anatuhumiwa kuchochea wananchi kufanya vurugu na kupambana na Jeshi la Polisi badala ya kufuata sheria, akirejelea machafuko yaliyopita ya uchaguzi kwa kusema: “tuendelee kusogea, tuendelee kusogea, huko mlioko huko, msiogope polisi, polisi hawatuwezi, simnakumbuka ya tarehe 29 jamani.”
Kwa upande wake, Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa anadaiwa kutoa maneno ya kijeli na kashfa dhidi ya viongozi wa serikali jukwaani kwa kusema: “...hamtaki kusemwa achia madaraka rudi kwa mke wako ukae na mke wako...”
Msajili amebainisha kuwa kauli hizo ni ukiukwaji mkubwa wa Sheria ya Vyama vya Siasa Sura ya 258 (Toleo la 2023) pamoja na Kanuni za Kuratibu Mikutano ya Hadhara ya Mwaka 2023. Isipowasilisha utetezi wa kuridhisha, chini ya marekebisho ya Sheria Namba 3 ya Mwaka 2024, CHADEMA itasimamishwa usajili au itatozwa faini kubwa kwa mujibu wa sheria au kufungiwa kufanya mikutano ya hadhara.
Ofisi ya Msajili imehitimisha kwa kukitaka chama hicho kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na kufuata siasa za staha na ustaarabu, ikithibitisha kuwa tayari imetuma video zote za ushahidi kwa viongozi wa CHADEMA kupitia barua pepe na mtandao wa WhatsApp.

Indonesia

@Sativa255 @MuggyMaggy Hivi huyu Sista kwanini asishughulikiwe yeye kama yeye katika mahakama ya Umma? Kama anatumika lazima mahakama ya Umma imuhukumu.
Pelekeni watu wakamsalimie.
Tuache kuchezeana.
Indonesia

@peppatz @HecheJohn Mahakama kupotezeana muda wamuache akifute afu ataona mwenyewe
Indonesia

Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko.
Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309..
Madhara mengine walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa.. kwa uwezo wa Mungu tumeshinda..
Sasa Sisty huyo huyo na ofisi hiyo hiyo ambayo inafanya kazi ya kuhujumu chadema usiku na mchana tena wazi kabisa. Inatuandikia barua kila baada ya mkutano na kila neno tunalosema… Maneno pekee tunayoweza kusema tusiandikiwe barua na Sisty ni kumsifia Samia na serikali yake dhalimu ambayo haikuchaguliwa.
Kwa kifupi ofisi ya msajili itaingiza Nchi hii kwenye machafuko ya kisiasa..
Chadema ni taasisi ya Watanzania na Watanzania watailinda dhidi ya hujuma zote.
Indonesia
Peppatz retweetledi
Peppatz retweetledi
Peppatz retweetledi
Peppatz retweetledi
Peppatz retweetledi

‼️🚨OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IMEPUUZA MAHAKAMA‼️
Tarehe 25 May Mahakama Kuu ilitoa amri kuzuia office ya Msaji wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua yoyote mbaya dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Tarehe 26 May - Sisty Nyahoza ametuma barua nyingine na kutishia kufuta usajili
Sasa ni dhahiri
👉🏽 Ofisi ya Msajili haifuati sheria yoyote na inapuuza hadi amri ya mahakama
👉🏽 Msajili na msaidizi wake wana ugomvi rasmi na Chadema yenye nia ovu
👉🏽 Ofisi ya Msajili ipo kuhukumu na kushughulika kisiasa na Chadema ili kuilinda CCM
Endeleeni mahodari mnachokitafuta mtakipata
#TutaelewanaTu
The office of the Registrar of Political Parties again threatens CHADEMA with deregistration despite a court order issue a day before prohibiting it from taking any adverse action
This office is engaged in political persecution of opposition parties and the registrar and his deputy appear to have a personal vendetta against Chadema clearly
#SamiaMustGo
Cc @SenateForeign @SFRCdems @FCDOGovUK @EU_Commission @Europarl_EN @UN_HRC


Indonesia

@MariaSTsehai Hivi huyu Sista kwanini asishughulikiwe yeye kama yeye katika mahakaa ya Umma? Kama anatumika lazima magakama ya Umma imuhukumu.
Tuache kuchezeana.
Indonesia
Peppatz retweetledi

















