Kinap

445 posts

Kinap

Kinap

@KMuspong

Richmond (Qld), Queensland 가입일 Şubat 2026
19 팔로잉6 팔로워
Kinap
Kinap@KMuspong·
@Royal_Tv_Tz Bahari ni kama tumbo, halitunzi uchafu! Chama kinasafisha tumbo? Kinaharisha mapoison yote haya yote ni uharo tu
Filipino
0
0
3
254
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Katibu wa Baraza la Wazee wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (BAZECHA) mkoa wa Tanga, Lukindo Husseni Mohamed, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho pamoja na kujiuzulu nafasi yake. Akizungumza na waandishi wa habari, Lukindo amesema uamuzi huo umetokana na sababu mbalimbali, ikiwemo kutoridhishwa na kauli zilizotolewa hivi karibuni na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, kuhusu maandamano. Ameeleza kuwa anapinga kauli hizo, akisisitiza kuwa zinaweza kuleta athari kwa jamii, huku akikumbushia madhara yaliyotokea hapo awali kufuatia kauli zilizohamasisha kususia au kuzuia uchaguzi. Hata hivyo, Lukindo ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa nchini kukaa meza moja na kufanya mazungumzo ili kufikia muafaka, badala ya kutoa kauli zinazoweza kuchochea maandamano au migogoro.
Indonesia
24
1
29
4.3K
Tausi Likokola
Tausi Likokola@tausilikokola·
At least for now, I’m relieved to hear from Pauline’s lawyer-whom I’ve been in touch with throughout her detention-that she has been released. The road ahead for Tanzania is still long, ila tutafika. Mungu yupo nasi 💪🏽
Tausi Likokola@tausilikokola

These incidents will continue in Tanzania as long as the system and those in power in the aftermath of October 29th continue operating like the country is governed through intimidation from those who seized power by force. This is exactly why an independent investigation is not optional-it is necessary for justice. Without it, we will keep seeing harassment, abductions, and intimidation of citizens who were simply exercising their constitutional rights, while attempts are made to silence them and shift blame. I had a long conversation with Pauline after the October 29th detentions. She is an intelligent young woman who cares deeply about her family, her generation, and her country. Yet today she is being treated like a threat instead of a citizen with rights. This must end. Release Pauline NOW. The world is watching and taking note. @amnesty @hrw @StateDept @BBCWorld @UNHumanRights @UN @humanrightstz @bbcswahili #FreePauline #Justice4Pauline Kiswahili: Matukio haya yataendelea kutokea Tanzania kama mfumo na waliopo madarakani baada ya Oktoba 29 wanavyoendelea kuendesha nchi kwa baada ya kujichukulia nchi kwa nguvu. Ndiyo sababu ni muhimu ya uchunguzi huru na utakao wahusisha international community-si hiari bali ni lazima ili kupata haki ya kweli. Bila hivyo, tutaendelea kuona wananchi wanaonewa, kutekwa, na kunyanyaswa kwa sababu tu walitumia haki zao za kikatiba-wakati juhudi zinafanywa kuwanyamazisha na kupindisha ukweli. Nilizungumza na Pauline kwa muda mrefu baada ya matukio ya Oktoba 29. Ni msichana mwenye akili sana, anayejali familia yake, kizazi chake, na taifa lake. Lakini leo anatendewa kama tishio badala ya raia mwenye haki zake. Hawa vijana watajenga nchi, msiwaonee. Haya maovu yakomeshwe. Muachilieni Pauline. Dunia inaangalia na inafuatilia kwa makini.

English
2
19
73
1.7K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@swahilitimes Nyie wasenge nini? Media zote za tz ni rubbish, mliwaomba msamaha lini watz kwanza kwa kueneza propaganda wakati wa maandalizi ya ujinga wa mwaka jana oct na baadaye ile massacre
Indonesia
0
0
3
1.2K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) imetoa wito kwa vyombo vya habari kutompa ushirikiano Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production, Rita Paulsen (Madam Rita), hadi atakapoomba radhi kufuatia kauli aliyotoa dhidi ya chombo cha habari ambayo wameeleza si ya kiungwana. JUMIKITA imesema kitendo kilichofanywa na Madam Rita kinadhihirisha ukosefu wa adabu pamoja na kutoheshimu vyombo vya habari.
Swahili Times tweet media
Indonesia
83
27
638
67.8K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@ChademaTZ2 Kwani hawa wakina mama wametumwa na nani? Tutaona mengi! Vikundi visivoeleweka vinatoka wapi msikutane navyo! Obviously Sirleaf alikuwa jembe
Filipino
0
0
0
425
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Mapema leo, uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ulikutana na ujumbe wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde. Ziara ya ujumbe huo nchini Tanzania inalenga kukutana na makundi mbalimbali, ikiwemo vyama vya siasa na asasi za kiraia, kwa lengo la kukusanya na kufuatilia taarifa kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025. Kwa upande wa CHADEMA, ujumbe uliongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara, Mhe John Heche, akifuatana na Katibu Mkuu, Mhe John Mnyika; Naibu Katibu Mkuu Bara, Mhe Amani Golugwa; Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Wakili Ali Ibrahimu; pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Mama Suzan Lyimo. Katika kikao hicho, CHADEMA iliwasilisha msimamo wake rasmi kama ulivyoazimiwa na Kamati Kuu ya chama , na kueleza kwa kina matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kutokea kabla, wakati na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025. Chama kinasisitiza umuhimu wa uchunguzi huru na wa haki, uwajibikaji kwa wote waliohusika, pamoja na kulindwa kwa misingi ya demokrasia, haki na utawala wa sheria nchini.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
19
130
589
14K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@Kilwafinest We piga pesa yako, maisha yaende Serikali haiwezikupata uchafu mwingine zaidi ya damu za vijana wake iliomwaga kwa uchu wa madaraka! Dhambi hii itawatafuna
Indonesia
0
0
0
25
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
MPANGO WA CHADEMA KUICHAFUA SERIKALI HII MITANDAONI HUU HAPA. Golf Mike Uniform. Kumekuwepo hofu kubwa miongoni mwa Viongozi wakuu wa Chadema kuelekea kukamilika kwa Ripoti ya Tume ya Ex- JAJI MKUU,Othman Chande. Hofu hiyo inakuja kutokana na ukweli kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inaweza kutaka uwajibikaji kwa wale wote walioratibu vurugu za Oct 29 kutokana na ukweli kuwa ZIPO kauli za wazi kabisa ambazo zilitolewa na viongozi wakuu wa Chadema kwamba watavuruga Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. Ili kuweza kukabili HOFU hiyo,Chadema wameamua kuja na mpango maalum wa (I)kuizima RIPOTI ya Tume ya Ex Jaji Mkuu Chande.Chadema sasa wanaratibu mpango wa mawasiliano mitandaoni kwa kutoa MAFUNZO MAALUM KWA VIJANA WAO ya jinsi ya kukabilia na Serikali(Demonization Strategy). IPO HIVI👇🏽👇🏽 Mafunzo hayo maalum yanaratibiwa na watu wawili Ndugu Twaha Mwaipaya na Shija Shibeshi ambayo yanahusisha kuchagua na kuwafunza VIJANA mbinu za mbalimbali za kuishambulia,kuitukana na kuidogosha Serikali ya awamu ya sita mitandaoni. Miongoni mwa mbinu ambazo vijana hao watafundishwa ni 👇🏽👇🏽 I.Conspiracy Flaming👉🏿 Ni njia ya kutengeneza taharuki kwa wananchi kwa kuunda habari za Uongo zenye lengo la kuichafua Serikali na Mh Rais. Mfano,Wiki moja nyuma Chadema kupitia kurasa zao za mitandaoni walikuja na habari ya UONGO kuwa Serikali imepanga kumuua Mwenyekiti wa Chadema Tundu lissu kupitia kikosi cha KMKM kutoka Zanzibar atakapokuwa anatoka Mahakamani. II.Hostile Language and Emotional Manipulation👉🏿ni mbinu ya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya Mh Rais pamoja Serikali yake. Mfano,Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche amesikika jana Radioni akimwita Mh Rais Samia "mwizi" kwani amekopa Trilioni 60 ndani ya miaka yake mitano lakini hazijulikani zimeenda wapi. III.Scapegoating👉🏿mbinu hii itatumika kwa kumlaumu Mh Rais Samia kuwa ndio chanzo cha changamoto ndani ya Taifa hili.Moja ya tukio ambalo litatumika sana ni tukio la Oct 29 kwamba lilisababishwa na serikali yake mwenyewe. IV.Deligitimization👉🏿👉🏿mbinu hii itatumika ili kuweza kuinyima uhalali kwanza(I)Repoti ya Ex Jaji Chande na pili(II)Serikali ya awamu ya Sita kwamba wao Chadema hawaitambui. Wananchi wanapaswa kuelewa kuwa huu ndio mpango ambao ndugu zetu hawa wanakuja nao kwa malengo ya kuichafua Serikali ya awamu ya Sita mbele ya Wananchi.
Indonesia
3
16
17
536
Kinap
Kinap@KMuspong·
@MariaSTsehai Hii ngoma haina kufeli, damu ya mtu siyo ya mbuzi italia
Indonesia
0
1
2
918
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨RIDICULOUS‼️ The person who was the Minister of Defence in October 2025, is a. Member of the Commission of Inquiry that was formed by Samia Suluhu to investigate Oct atrocities!? How can anyone call the commission “independent” FYI former CJs Chande and Juma should know well the Rule against Bias which is fundamental to Natural Justice! One cannot be a judge in their own cause! Stergomena Tax was heavily involved in the security operations - she has no place on any credible body of inquiry Kuna msingi muhimu ktk sheria na haki ya kutopendelea na hii ina maana mtu hawezi kuhukumu au kuchunguza jambo linalomhusu! Stergomena Tax alikuwa waziri wa Ulinzi na kuhudhuria vikao vyote vilivyopelekea maelfu ya Watanganyika kuuwawa! Jaji Chande na Juma wanaelewa kuwa hii ni kinyume na misingi ya sheria na haki! Wameamua kupuuza Sasa hiyo ripoti tujue haiwezi kuwa huru au wa haki kwa mwendo huu #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
18
101
365
11.4K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@Thommunkondya Mbona kama umeenda shule na pengine unanjia halali ya kupata mkate, unauza soul yako kwasababu gani mwanangu
Indonesia
0
0
0
12
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Wakuu jumapili ijayo tarehe 26/4/2026 vijana tutakuwa na Mama Zanzibar,msikosee aseee. #UVCCM #ZANZIBAR
Thom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet media
Indonesia
52
10
31
8K
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Hatuilazimishi CDM kufanya lolote maana sisi tunachohitaji ni kwamba Majani yasilindwe na Ng'ombe, Nyama isilindwe na simba au samaki asilindwe na paka ,,
Myunani tweet media
Indonesia
73
21
220
29.1K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@YerickoNyerereT Unakosea unapofikiria wakili hawezi kuwa muhuni_kama judge anafanya ujinga kama ule wa kutumika kama dume yenye flavor ya banana unahisi nini, by the way were pia ni bedi inayotumika
Indonesia
0
0
0
1
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Fikiria wewe ni mwanachama wa chadema na ni Wakili wa Chadema pia ni Wakili wa Lissu ambae kwa Mwaka mzima sasa unajitolea mahakamani kwenye kesi ya Lissu, Halafu ghafla hivi unaona viongozi wa Chadema wanakukataa na kisha wanakuzushia uongo wa kiwango hiki. Poleni sana mawakili wasomi Michael Mwangasa, Hekima Mwasipu, Dokson Matata, Paul Kisabo, Nashon Nkungu, Fredrick Msaki, Deogratius Mahinyila nk, Utumishi wenu ndani ya Chadema na katika kesi ya Lissu sisi wanasiasa tunaujua, Mmetusaidia sana sana kwa miaka yote tukiwa Chadema, Tuliamini hata tukiondoka mtaendelea kuheshimiwa na kuthaminiwa, lakini bahati mbaya chama kwa sasa kiko na wanaharakati uchwara wasiojua la mwadhini wala la mnadi sala. Hiyo ndio Chadema ya Wanaharakati haina dogo inaweza kudhalilisha yeyote na kumfedhehesha, Fungukeni akili achaneni na hao wahuni, heshima mliyonayo mnaweza kusimama bila kujiegemeza kwenye hicho chama! Kwa sasa sehemu salama kwenu ni @ChaummaT tu Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
123
22
48
15.6K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@Kipanga1986 Kama siyo upimbi unawezaje kuandika insha ndefu hivi kwa chama Joker? Utakuwa na mtindio wa ubongo siyo bure
Filipino
0
0
0
9
Kipanga
Kipanga@Kipanga1986·
CHADEMA NI KAMA FUTUHI..NA WAMEKOSA AIBU..📌 Kuwa chama cha siasa makini kunahitaji kuwa na tabia ya kufanya mambo serious na kuwa na mipango serious lakini CHADEMA kwa miaka zaidi ya 30 wamekuwa ni jokers/waigizaji. Bahati mbaya zaidi miaka inavyozidi kwenda na wanavyozidi kubadilisha aina ya uongozi wa kikundi chao ndivyo wanavyozidi kuwa kichekesho.! Hakuna chama cha siasa duniani kinaweza kushika dola na kufanya shughuli zake za kisiasa kwa kuwa ombaomba wa michango kila siku. Unapokuwa na chama cha hivi ni dalili ya hatari sana kuja kuaminiwa kuchaguliwa kuongoza kwa kuwa hii ni dalili ya kukosa maarifa ya kuweza kujiendesha na kukosa mipango ya kujiwezesha kuwa na uwezo wa kujiendesha. Haiwezekani chama cha siasa kila siku wao ni kuomba hela tu kwa watanzania huku wakijitapa kuwa wana wanachama zaidi ya milioni 10! Kama mna wanachama zaidi ya mikioni 10 na wanalipa ada za uanachama kwani hizo hela mnapeleka wapi? Hiki chama si kina wafadhi wengi tu nje ya nchi na ndani ya nchi kama ambavyo mmekuwa mnajitapa! Kwani wanapowapa hela huwa mnafanyia nini? Toka tumeijua CHADEMA kila siku wao ni kutumia fursa za matatizo yao ya kujitakia kuomba hela kwa ajili ya kuendesha kikundi chao! Yaani kuombaomba hela imekuwa ni sera ya chama chao na ni sehemu ya mipango ya kujikimu kimaisha kwa viongozi wao wanapofanya shughuli za kupigapiga kelele majukwaani. Hawa si walianzisha kampeni ya ToneTone na wakatoa mpaka matangazo yao ya harusi sijui yale chini ya usanii mahsusi kabisa wa mwanasanaa Lema kwani waliishia wapi na walikusanya shilingi ngapi? CHADEMA kimekuwa chama cha ma slogan na michango kila kukicha na sasa hivi wanalaumu kuwa hawapati ruzuku. Kwani ruzuku mnapataje na uchaguzi mligoma kushiriki? Yaani mnapewa ruzuku za nini na mnajua hamkuwa sehemu ya uchaguzi na mligoma na mambo yenu ya no reform no election? Au mnajisahaulisha? Hakuna chama kinaweza kufanya siasa na mambo ya maana kwa kutumia njia hii mnayoitumia na kuienda na mwisho wa siku mnaonekana ni jokers tu na wapiga kelele maana hamna mipango wala uwezo wa kujiendesha halafu mnadanganya watu eti mpewe dola!. How? Serikali hawapewi watu kufanya nayo majaribio ndiyo maana mlitakiwa kuongoza na kuonyesha uwezo kwenye chama chenu kwanza na siyo kudhani mnaweza kuongoza kwa majaribio!.. Nyie ni kikundi na jukwaa la wanaharakati waliokusanyika kufanya siasa za harakati na wala hamna uwezo wa kuongoza wala kushika dola. Ndiyo maana unamuona mtu kama Domo Kaya Heche anapayukapayuka na maneno ya sijui kupanda kwa mafuta mara sijui nini lakini hajui chochote kinachoendelea kuhusu mafuta duniani. Yaani wao sera yao ni kulaumu kila kitu na kufanya harakati kwenye kila kitu na kila saa na kila siku. Yaani hizo kwao ni siasa. Unapokuwa na watu wa hivi kama viongozi wa vyama vya siasa wanatoa wapi uwezo wa kutafuta mbinu za kutafuta vyanzo vya hela kufanya siasa zaidi ya kuombaomba hela! Hivi ni wapi duniani au hata eneo hili la Afrika Mashariki tumeona chama cha siasa kinaombaomba michango ili kujiendesha na baadaye kushika dola? CHADEMA wafike mahali wawaonee huruma nyumbu wao maana wanawatesa sana. CHADEMA hawa ndiyo wanaosema watanzania ni maskini sana na hawana hela na wanailaumu CCM kwa hilo halafu hao hao wanawaomba maskini hao hao hela ambazo wanasema hawana wawachangie! Hivi hii ni akili? Hawa akiwemo domo kaya Heche walilipiwa na watanzania faini ili watoke jela walipoyakanyaga wakati wa Kambale ! Yaani chama kilikosa 150m TZS kuwalipia faini. Yaaani wote walikiwa wabunge lakini waliishia kulialia kwa watanzania ili kupewa michango ! Chama cha siasa cha hivi huwa kina mchango mdogo sana kwenye taifa!.. na hatuwezi kuwa na chama kinajiita chama kikuu cha upinzani wakati hakuna mbunge hata mmoja wala diwani haya mmoja wala mwenyekiti wa kitongoji kikawa kinatumia chaka la michango na kuombaomba kama njia ya kufanya siasa!. Watanzania wana mambo mengi wanapambana nayo kwenye maisha yao siyo kuhangaina na ombaomba na kisiasa #KigogoMediaUpdates
Kipanga tweet mediaKipanga tweet media
Indonesia
4
6
8
2K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@Wolfman_Tz Kazi ni kusimamia siyo kubeba tofali au kuchanganya zege
Indonesia
0
0
0
6
Motivation Speaker
Motivation Speaker@Wolfman_Tz·
Miradi mikubwa ya UJENZI ya serikali wanapewa makampuni ya kigeni lakini naona wanaojenga au watenda kazi ni wazawa wageni wao ni wasimamizi tuu Sasa kwanini tenda zisibaki kwa wazawa ili pesa ibaki hapahapa nyumani? Sijui nilitaka kusemaje🏃‍♂️
Motivation Speaker tweet media
Indonesia
35
8
158
8.5K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@RichKavishe Chama cha Mamumiani: Lissu Anyongwe hadi kufa
Indonesia
0
0
0
3
CHINGA 🛠️
CHINGA 🛠️@RichKavishe·
Heche: Tuna tamani Mwenyekiti wetu atoke Wafuasi wa Chadema: Tuna tamani Lissu atoke Jumuiya ya kimataifa: Tunaomba Lissu asamehewe Wanaharakati: Lissu aendelee kukaa jela hadi ajenda yetu itakapo timia. Maisha haya 😂😂😂😂😂😂
CHINGA 🛠️ tweet mediaCHINGA 🛠️ tweet mediaCHINGA 🛠️ tweet mediaCHINGA 🛠️ tweet media
Indonesia
3
12
15
559
Kinap
Kinap@KMuspong·
@MwananchiNews Sawa @Dr_DGwajima hongera sana, huna baya_ sasa tuchangie huku tone tone ya @ChademaTZ2 lakini pia nikuulize, Lissu mguu wake mmoja ni mfupi na anaishi na risasi moja mwilini haingii kwenye hayo makundi maalumu?
Filipino
0
0
2
317
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
“Nimekaa hapo jina la kwanza, la pili, la tatu, la nne la tano, nasikia mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasan amewateua wengine wawili (kuwa wabunge) na kuwapandisha kuwa mawaziri. Nikasema nani hao jamani tuwapongeze. Jina la kwanza la kwangu, nilisikia joto na baridi vikipishana kwa wakati mmoja. Sijawahi kutarajia, sijagombea, sijawahi kuwa mwanasiasa, haya mambo yamekuwaje halafu Uviko-19 ndio imepamba moto. Kwa siku tatu nilikaa kama nimezubaa. Ukifika usiku ukilala ukiamka tu palepale, ndio habari ya kulala imeisha, yaani unashangaa hiyo heshima na ule utukufu unaokuwa umepewa kwenda kuwatumikia Watanzania” amesema Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima. #mwananchiupdates #tunawezeshataifa
Filipino
18
10
206
30.2K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@EduTalkTz Kwa taarifa yenu hata hayo mapanki yalizuiliwa kwa miezi kadhaa hapo Zamcargo baadaye yakaendelea kusafirishwa! Mwanzoni sikumwelewa Lissu!
Filipino
0
0
2
110
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Tundu Lissu huyu ndio mnayemtilia shaka???? Hata ikitokea amefanya tofauti, si kiasi cha kumwajibisha kwa risiti zake mwenyewe??? “Kwa nini mna hofu mioyoni mwenu??” — Yesu
Indonesia
20
108
477
14.4K
𝐉𝐫 
𝐉𝐫 @imaaJr01·
Nyie mliomuaminisha Chiba kwamba baada ya Oktoba 29 mnaenda kumtoa gerezani na kumbeba mgongoni hadi Ikulu Mungu anawaona 😂😂😂. Mwenzenu alishapiga hesabu kuanzia Novemba angekua anatembelea ving'ora na kupigiwa saluti ila anashangaa mwaka unakatika bado yuko ndani.
𝐉𝐫  tweet media
Indonesia
4
15
13
5.5K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@ManMupaya @ChademaTZ2 Chadema ni chama cha harakati za ukombozi wa pili na wa kweli wa Taifa letu! Mwanaharakati namba 1 ni Lissu mwenyewe. Kama kuna mtu anawaandikia huu utumbo muupost humu, endeleeni - kama ni wewe mwenyewe, then elewa hiki nilichosema, tuijenge upya Tz ya Haki
Indonesia
1
0
0
8
Man Mupaya
Man Mupaya@ManMupaya·
Mwanzo nilikuwa nasikia kuwa @ChademaTZ2 imeuzwa kwa wanaharakati lakini sasa naanza kuamini kuwa wanaharakati ndio wenye ushawishi mkubwa wa maamuzi kuamua chama kifanye nini na kisifanye nini. Kwenye suala hili la maridhiano wameonekana kuwa wakali zaidi huenda kwa sababu-
Man Mupaya tweet media
Indonesia
2
15
16
228
Kinap
Kinap@KMuspong·
@cutysuzana @mangekimambi Hivi kuna namna unanufaika kwa kuwazushia wenzako? Au unahisi hiyo ndo namna nzuri ya ku interact huku kwenye mitandao
Filipino
0
0
0
9
SSH 2530
SSH 2530@cutysuzana·
Huyu Malaya Wa HIV+ @mangekimambi mwambieni awamu Hii Maridhiano ni lazima kama anahisi hatoingiza pesa Tena ndiyo ajue hakuna Marefu Yasiyo na ncha.
SSH 2530 tweet media
Indonesia
11
15
15
326
Jenerali Ulimwengu
Jenerali Ulimwengu@raiyajenerali·
Vodacom mnaniibia! Mara kadhaa nanunua airtime kipitia 149*01#, mnakiri mmepokea pesa, lakini nikitaka kupiga simu, mnasema nichukue mkopo sababu salio langu halitoshi kupiga simu! Huu ni wizi, Vodacom, huu ni wizi wa mchana! Si mara moja, si mara mbili. Mwisho, kwa haraka ya kupata mawasiliano nalazimika kuchukua mkopo wenu wa kitapeli. Komeni, Vodacom, komeni!
Indonesia
95
130
626
34.6K
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Dkt.Edward Hossea amesema Tume ya Jaji Chande ni daraja la kuiotoa Tanzania kutoka kwenye matatizo ya Oktoba 29 ambayo yalisababisha kugawanyika kwa taifa Dkt Hosea amesema hayo Mkoani Iringa hii leo wakati akizungumza na wanahabari na kueleza kuwa Daraja hilo litavukwa Salama baada ya ripoti ya tume hiyo kuwekwa wazi kwa wananchi
Indonesia
16
1
15
6.4K
Kinap
Kinap@KMuspong·
@sukununu01 Kwani Masabo katumwa na chama? Atajuana na Lissu wake
Filipino
0
0
0
115
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Chama kilitakiwa mpaka kufikia mda huuuu kiwe kimekanusha taarifa za wakili msomi kisabo kama si za kweli kisabo awezi mshawishi lissu kufanya jambo lolote lisuu ni Binadamu mda wowote anaweza kuja na mawazo ya kushangaza watu kwaajili ya maslay mapema ya maisha yake
SUKUNUNU 🇹🇿 tweet mediaSUKUNUNU 🇹🇿 tweet media
Indonesia
25
2
36
4.6K