JogooFarm

1.4K posts

JogooFarm banner
JogooFarm

JogooFarm

@ufugaji58com

Mfugaji, mjasiliamali. Kuku for life. Local chicken, kuroiler, broiler, Tujiahiri, tufuge pamoja.

Tanzania Katılım Şubat 2024
195 Takip Edilen204 Takipçiler
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@Captain_Josh47 @prossoff Kaka utaka upo sahih kama utakua umespecify na bikra ni kutoka familia gani. Kuna familia zinajuq kutunza Mali adi unaona ile Mahari uliolipa uliwatapeli dadek!
Filipino
1
0
1
31
Eng. Paimen✨️
Eng. Paimen✨️@Captain_Josh47·
@prossoff Jichanganye kaka, uoe huo bikra ambae hajala raha za ubinti... Ndoa nyingi za mabikra zinadumu miaka mwili....baada ya hapo anatamani apate radha mpya
Indonesia
2
0
4
730
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Bikira hakulinganishi na mtu. Bikira unaweza kum shape vile unataka awe. Bikira hana past traumas za mahusiano. Bikira akichukia hatokimbilia kuliwa na mwanaume mwengine kama revenge. Bikira atabadilishwa zaidi na matendo ya mwanaume au majirani na sio kumbukumbu za nyuma. Bikira ni ngumu kukwambia haujamlidhisha. Bikira hutomuona na manguo ya hovyo katika mikusanyiko.
Indonesia
15
34
261
11K
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@am_gudie @Roma_Mkatoliki Mwanaharakat alikuaga nyerere na wenzie tu waliokua wamemuweka front ila sasa hakuna kitu manina!
Indonesia
1
0
2
64
People's🕯️
People's🕯️@am_gudie·
@Roma_Mkatoliki Hapo CHADEMA akae mezani na CCM ipatikane katiba mpya ndani ya mwaka mmoja au miezi nje ya hapo CHADEMA atakua mhuni kama wahuni wengine, mambo ya samuya na wahuni wake watekaji jambo la siku nyingine
Indonesia
1
0
17
3.6K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
1. CDM imeruhusiwa kufanya siasa 2. TAL atatoka soon!! 3. Then watakaa mezani 4. Tume ya J.Chande itakabidhi report. 5. Report itakuwa iko balanced, Itaipiga gavoo kimtindo(Kwa mbali) 6. Mchakato wa katiba mpya utatangazwa kuanza rasmi!! Lengo kuu ni 👇🏻 Let’s buy time till 2030!! Miaka mitano ni mingi sana lazima tuwe na activities za kuwaonyesha matumaini hawa raia hadi tufike 2030!! Sasa unajua mchawi ni nani? Mchawi ni ile namba 3 pale juu 👆 Pale kwenye kukaa mezani pale ndio panaenda either kusupport au kuvuruga hii plan!!
Indonesia
111
312
2.2K
176.1K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Mtoto Wa kiume umetoka huko kwenu Geita unakuja dar kuuza chupi za kike, halafu unabana pua kabisa, eti oooh Chukua hizi chupi dada Zina vutika,, Unatoka sehemu ambayo wanaume wenzio wana chimba madini wewe unakuja dar kuuza chupi? Achana na hizo kazi, Wazungu Wana toka ulaya wana enda Geita halafu wewe unatoka Geita kuja dar kuuza chupi acha ufala. 🗣️Nabii IPM
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
90
37
355
40.1K
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@Narrowbeeflying Blaza em tuma picha tuone ulivo af tujue kwa nin demu ajiamini kukuambia utumbo huo.
Suomi
0
0
0
7
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
..✍️ Demu wangu mmoja alikuwa yupo kwenye mahesabu yangu ya kumuoa jana tumechill mahali tunapiga story gafla akaniambia nikuambie kitu nikamuambia "niambie" akaanza kuna jamaa yupo mwanza waliwahi kusoma nae ameoa na ana fedha za kutosha wiki iliyopita alimtafuta alimpigia simu wakaongea muda mrefu sana, sasa yule jamaa ameoa na ana watoto wawili wife ake ni mfanyakazi na anadai kwamba huyo wife ake hataki kuongeza mtoto mwingine au watoto wengine, na alienda kufunga kizazi bila makubaliano, sasa ndio jamaa akamcheki demu angu sasa kwamba anataka amzalie na yupo serious na akikubali atamfunguli duka la kuuza keki (duka la kisasa lenye kila kitu) huyo demu angu ni mtaalamu wa kutengeneza keki, mimi nipo tu naduwaa nimetoa macho,, demu akamalizia kwa kusema ameniambia niende Mwanza amenitengea Mil 1 kwajiili ya maandalizi na nauli (Mbeya -Mwanza) nikakae Mwezi nikamuuliza "wewe upo teyari kuzaa na mme wa mtu? Akasema kama yupo serious kwamba atanifanyia vyote hivyo ntakubali "NISIKUFICHE" maana baada ya kumzalia najua lazima pia atanijengea. Aloo mi sikua hata na cha kuongea nilimuambia tu malizia Juice tundoke. 😁😁💔
Filipino
58
17
180
16.9K
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@FanuelIddy @Narrowbeeflying Kaka Eiai ni mzungu, na mzungu huwa hana nia njema na mwafrica. Ukitaka kujua utofaut ni magaji mwenyewe ile mfumo wa anavoishi kama ni kienyeji bas virutubisho haviwez kuwa sawa.
Indonesia
0
0
0
42
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Grok kahitimisha kama hivyo kuhusu mayai ya kienyeji na kisasa. 😁 "Ndiyo, hii ni kweli kwa kiasi kikubwa. Tafiti za kisayansi (kama zile za Malawi na za kimataifa) zinaonyesha kuwa mayai ya kisasa na ya kienyeji yana virutubisho sawa katika protini, madini na vitamini kuu. Tofauti ndogo zinaweza kuwepo katika omega-3 au vitamini A/E kutokana na lishe ya kuku, lakini kwa ujumla hazina tofauti kubwa ya lishe. Mayai yote ni mazuri!"
Narrowbeefly tweet mediaNarrowbeefly tweet media
Indonesia
2
5
23
1.2K
Pace
Pace@paix_lily·
@ufugaji58com @lifeofmshaba Swali zuri! @lifeofmshaba your analysis is always both Insightful and witty 👌 Naomba ni play a devil's advocate kwa hili swali hapa, kutokana na recent actions za huyo Vice wao ingawa ana makosa pia. What if, "He's keeping his friends close and CCM closer" kusoma mchezo wao?!
Filipino
1
0
0
10
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
UJINGA UMEWSABABISHIA KIPIKO KIKALI SANA Wakati na baada ya mauaji ya tarehe 29 Oktoba, ambayo yanaitwa uchaguzi, Wana CCM walichanganyikiwa, mitandao ikazimwa wakaanza kupigiana simu za kawaida ambazo zote zilikuwa zinafuatiliwa. Waliopigiana simu ni Jenister kwenda kwa Tulia na Lukuvi. Mazungumzo yalikuwa na hofu kutokana na mauaji yaliyokuwa yanaendelea. Walikuwa Jenister alitaka Samia atangaze kujihuzulu na uchaguzi urudiwe, CCM ikiwa imesimamisha NCHIMBI, na hoja ya msingi ikiwa Samia akubaliki wala kuuzika kisiasa. CCM walikuwa wanajaribu kuokoa chama chao na si kupigania Taifa. Wote walikubaliana kuwa ni kweli Samia hafai aondoke. Jenister alikuwa mtu wa karibu kwa Samia na Nchimbi. Wakakubaliana watafute namna ya kuwasilisha hoja yao kwa Samia kwamba mambo sio mambo akubali yaishi, Mzee wa Msoga na baadhi ya kundi waliokuwa wanakula Ikulu wakasema hiyo Issue hapana wakomae na mambo, hata kama damu kiasi gani itamwagika. Lakini hakuna kuachia. Ndio maana walipokuwa mafichoni, wanaapishana, Iddi Amin Mama alimkumbatia sana Mzee wa Msoga maana alisimamia sana sehemu ya ukatili uliofanyika. Nchimbi akaonekana alikuwa anawatuma hawa kina Jenister. Wote waliohusika kwenye hayo mazungumzo wakapigwa chini kwenye nafasi za mlo. Lukuvi alitengwa na kuulizwa maoni yake aliyatoa hayo maoni ya wenzake, kaambiwa sasa wewe mzee unaona maovu ya wenzako mbona sisi tuna maovu yako mengi sana? Akaonyesha mavideo yao mengi tu akaona isiwe shida, akatumwa na kwenda Bungeni kutuliza mambo kwa hoja za ovyo ovyo, pale walishamshikisha maovu yake yote. Mwingine waliyemuonyesha maovu yake ni Profesa Jalalani, huyu aliambiwa kabisa ni kazi yake sasa kutetea uovu wote tuliofanya tarehe 29 Oktoba. Hii mizee inapambana sababu imetishiwa nyeti zao kuwekwa kwenye mitandao. Hawa wazee na baadhi ya wanasiasa mnaona wanajitoa akili wanaongea ujinga ujinga mpaka hawa viongozi wa dini wengi wao wamesha recordiwa kuna picha zao za utupu na warembo, Bi Msumi ana kikosi cha warembo kusaka mtu yeyote na kumrecordi, wasanii wametumika sana kurecordi watu, wazee wanajifanya wana hamu ya kupata watu wenye majina kumbe wanasetiwa, matokeo yake kuna watu wako tayari kwa ajili ya uovu huu ufanyike bila kujali ni mkubwa kiasi gani lakini nyeti zao zisirushwe kwenye mitandao. Sasa niwape ushauri wabure, hizo nyeti kuna siku zitafika tu mtandaoni. Mnachotakiwa kufanya ni kuongea na familia zenu, kisha kujipiga kifua na kusimama kwenye haki. Na sema kwa umma kuna nyeti zako walirekodi wanakutishia; Watanzania ni watu wema, watakusamehe mambo ya nyeti zako hata kama yatawekwa kwenye mitandao. Lakini hii mnavyoifanya sasa ni mbaya sana; mnafanya uovu kwa watoto wadogo, wazee, na nchi nzima. Acheni kufanya uovu kulinda upuuzi. Na wewe Nchimbi, kuna roho za watu juu yako; kuna watu walikupigania kama rafiki, na vifo vyao havieleweki. Unatakiwa kutoka na kusimama kwenye mstari bila mfumbo; sijui Nyerere kasema bla bla. Wewe toka na ongea vitu kama vilivyo, na dunia nzima na Watanzania watakuhesabu kama mtu uliyeamua kukataa ushenzi. Kwa sasa, kuibuka na hizi taarabu na kuimba, unatupotezea muda tu. Elewa, kama kukushughulikia, kina Mwigulu watakushughulikia tu, ni suala la muda. Lukuvi na Jenister wanaweza kuwa walikuwa wanafikiria CCM inawapenda sana, wasingefikishwa hapo walipo. Wewe sasa unajua hili chama lako halina ukomo; wanaweza fanya chochote. Sasa sema kama ya kufikiwa, au pambana; kabla ya kufikiwa, nje ya hapo, kaa kimya. Hatutaki ngojera. Si nyingine, tumieni AKILI. Walau mnapoongea kwenye hizo simu, jueni Bi Msumi anawasikiliza. Mnapokutana kwenye mahoteli na majumba yenu ya kifahari, jueni yamepigwa vinasa sauti. Na hii nawaambia, si kwa kuwapenda, hapana. Nawaambie ili mtafute njia sahihi za kupanga minyukano ya ndani. Wananchi wengi wanataka mnyukane na msiponyukana, Bado wananchi watawanyuka. At the right time, tumewachoka.
Think Different tweet media
Indonesia
13
38
262
18.9K
TricyLove🦁
TricyLove🦁@amprincess9·
Je! Nitajuaje samaki kama ni fresh? Thread 👇
TricyLove🦁 tweet media
Eesti
21
68
329
29.7K
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@TanzaniaLeaks Tumekoma nakwambia. Hatutorudia Tena kuweka sketi pale magogoni!
Indonesia
0
0
0
233
Tanzania Leaks
Tanzania Leaks@TanzaniaLeaks·
Huyu mwanamke tunawezaje kumvumilia na huu mdomo wa hovyo? JWTZ na TISS, hivi nanyi mtaishi na haya mateso? Huyu mama ni wa kuondoa.
Indonesia
92
94
630
60.5K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Ivi kinachoshika headline kwa sasa ni mchongo ulioanzia Tunduma wanaume kuibiwa nyeti.😂 Jana imekuwa kama sapraiz kubwa, baada ya tukio kama hilo kuwapata wanaume wa Dar es Salaam. Mwanaume mmoja ameibiwa nyeti, lakini anayedaiwa kufanya tukio hilo amekamatwa na wana👇👇
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Filipino
17
12
103
17.4K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Mwaka 2010 nikiwa kijijini kwetu nalinjilinji
Real Nigger tweet media
Indonesia
22
6
80
16.5K
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@barakawamb Akili kama zako ndio sisiemu wanazipenda. Yani hapo ndio umeshafika mwisho wa kufikiria na kuchambua mambo! Bora uzao wako wazaz wako wangetumia uzaz wa mpango tu au kumwaga chini.
Indonesia
0
0
0
20
BarakaWambura
BarakaWambura@barakawamb·
“Kuna watu wapo huko nje wanatukosoa sana mitandaoni… sasa Mh Makamu wa Rais Mzee Mpango… hakikisheni wale wanaoweza kutusaidia waleteni humu ndani tujenge nchi pamoja… wafanyieni vetting… waingizeni…” Rais Dkt Samia Hii ni kauli ya Rais Dkt Samia akimaanisha yoyote mwenye uwezo na nia njema bila kujali itikadi ya chama chake anapaswa kushirikishwa katika ujenzi wa Taifa. Utaratibu huu umekuwepo tangu enzi za Kikwete alipomteua James Mbatia kuwa mbunge, enzi za Magufuli aliwapa nafasi Anna Mghwira na Queen Sendiga na imekua ni desturi ya kawaida pale ambapo anaweza kusaidia katika ujenzi wa Taifa. Leo uteuzi wa Dkt Everyline Munisi ni muendelezo tu wa falsafa hiyo hiyo, lakini cha kushangaza, wanaharakati wanapiga kelele kana kwamba ni jambo jipya.Naona hawa wenzetu wamefilisika hoja kilichobaki ni kelele zisizo na msingi wala mwelekeo. Dkt Samia ni kiongozi makini haangakii itikadi ya chama, anachoangalia ni mchango wa mtu katika ujenzi wa Taifa na huu ndio ukweli ambao wanaharakati wanaukwepa kuusema.
BarakaWambura tweet mediaBarakaWambura tweet mediaBarakaWambura tweet mediaBarakaWambura tweet media
Indonesia
15
9
44
15.9K
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@Kabweta24 @JohnAthumani3 Humu x Kuna ego sana, hata engagements ni adi mtu ajisikie kiufupi rangi nyeusi ni ngumu sana kwenye umoja wa jambo lolote!
Indonesia
0
1
1
13
KING KABWE MEBESAZU MZISUNDUTU MOYA👑
Hivi mtuchukuliaje nyie watu tunao wafollow halafu hamtufollowback mnataka tuanzishe battle tuwaoshe kwamba humu ndani hakuna mkubwa kuliko mwingine unakuta jitu linafollower 10k halafu yeye kamfollow watu 5 tu Hizo dharau shusha handles tuinuane wapwa nifollow nakufollowback
KING KABWE MEBESAZU MZISUNDUTU MOYA👑 tweet media
Indonesia
6
2
12
162
Lugola Hardware
Lugola Hardware@FransiscoLeona4·
@LeftWriter_ Kwaiyo ukigonga barabarani moja ya adhabu Unaitakiwa upigishwe magoti hadharani 😭😭
Lugola Hardware tweet media
हिन्दी
4
0
12
6.7K
Left Writer✍🏽
Left Writer✍🏽@LeftWriter_·
Dogo mwenye Crown amemgonga Bi mkubwa mmoja aliyekuwa anapush Raum. dogo kwa mbwembwe akatoka na kuanza kumfokea huyo Bi mkubwa. Bi mkubwa akawaita matrafiki waliokuwa karibu. Akajitambulisha kwa namba za kikosi. Trafik wakawaweka kando. Now wamekuja ma MP wa kikosi jirani.🙌🙌
Indonesia
61
64
1.2K
65K
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
👉Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonesha uongozi thabiti na wa kuwajibika kwa kutengua uteuzi wa Dkt. James Andilile Mwainyekule katika nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa EWURA. Hatua hii inaonesha dhamira ya dhati ya kuhakikisha taasisi za umma zinaendeshwa kwa uadilifu, uwajibikaji na kwa kuzingatia maslahi mapana ya taifa. 👉Uamuzi huu unaimarisha imani ya wananchi kwa serikali, kwani unaonesha kuwa hakuna aliye juu ya sheria pale panapohitajika uwajibikaji. Ni ishara kwamba ufanisi, uwazi na utendaji bora katika sekta ya nishati na maji vinaendelea kupewa kipaumbele kikubwa kwa maendeleo ya nchi. 👉Kwa kufanya maamuzi magumu lakini yenye tija, Mheshimiwa Rais anaendelea kulinda heshima ya taasisi za umma na kuhakikisha huduma muhimu zinaboreshwa kwa manufaa ya wananchi wote. Huu ni uthibitisho wa uongozi makini unaojali ustawi wa taifa kwa sasa na vizazi vijavyo✍️🇹🇿✊
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿@nguchiro47

👉Kuna muhimu mkubwa kufanyika kwa uchunguzi wa dharura kwa kuundwa kwa tume huru itakayochunguza kwa kina mwenendo wa sekta ya mafuta nchini, kwa lengo la kulinda maslahi mapana ya taifa na kuhakikisha uwazi katika maamuzi yanayogusa uchumi wa wananchi. 👉Taasisi za umma zinazohusika moja kwa moja na mafuta kama TPDC, PBPA, EWURA, TPA pamoja na Wizara ya Nishati zina wajibu mkubwa wa kuhakikisha upatikanaji wa mafuta unakuwa wa uhakika na kwa gharama nafuu kwa wananchi wote. 👉Endapo kutakuwa na dosari, ucheleweshaji au maamuzi yenye kuashiria mgongano wa maslahi binafsi ndani ya taasisi hizi, ni lazima hatua zichukuliwe mapema ili kuzuia madhara makubwa kwa uchumi wa nchi. 👉Wananchi wanahitaji maelezo ya wazi kuhusu sababu za kupanda kwa bei ya mafuta mapema kuliko ilivyotarajiwa, hasa baada ya taarifa ya Machi 23, 2026 kueleza kuwa akiba ya mafuta ingekuwa ya kutosha hadi Julai 2026. 👉Tofauti ya muda kati ya matarajio yaliyotolewa na hali halisi ya kupanda kwa bei inaleta maswali mengi kuhusu uwazi wa taarifa na uhalali wa maamuzi yaliyofanyika ndani ya mfumo wa usimamizi wa mafuta. 👉Kunatakiwa Kuwe na muhimu kuchunguza kama kuna uwezekano wa uwepo wa mianya inayoweza kuruhusu baadhi ya watendaji kunufaika binafsi kupitia biashara ya mafuta, hali ambayo inaweza kuathiri ustawi wa wananchi wengi. 👉Sekta ya mafuta ina athari kubwa kwa gharama za maisha, kwani kupanda kwa bei ya mafuta husababisha kuongezeka kwa gharama za usafirishaji, uzalishaji na hatimaye kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali. 👉Tume huru itasaidia kurejesha imani ya wananchi kwa kuhakikisha kuwa taratibu zote zinazohusiana na ununuzi, usambazaji na upangaji wa bei ya mafuta zinafuata sheria na misingi ya uwajibikaji. 👉Uwazi na uwajibikaji ni nguzo muhimu katika kulinda uchumi wa taifa, hivyo ni vyema mamlaka husika zikatoa ufafanuzi wa kina ili kuondoa sintofahamu iliyopo miongoni mwa wananchi. 👉Kwa maslahi mapana ya taifa, uchunguzi wa haraka na wa haki utasaidia kubaini ukweli, kuchukua hatua stahiki na kuhakikisha sekta ya nishati inawanufaisha wananchi wote badala ya wachache✍️

Indonesia
13
2
21
9.4K
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@EsirEid Tajiri Kuna kitu hujaelewa. Pisi kali hazitembei kwa miguu, na Hua Zina lokesheni zao zile classic.
Indonesia
0
0
1
30
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Twende mbele Turudi Nyuma…. Manzi za Rwanda huwa ni wazuri tu kwenye Picha zinazotumwa mitandaoni… Ukifika Rwanda hakuna kitu kule aisee💔 Hadi unajiuliza umepotea njia nini😂😅 East Africa - Tanzania Manzi zetu ni warembo saaana… Kwa mbali tunafuatiwa na manzi za Mbarara,Kabale , Masaka..western districts of Uganda kule kuna Pisi za Kwenda! NB: UKIBISHA UWE UNAUZOEFU KUNISHINDA!
Indonesia
153
76
803
51.5K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Niliwasimulia kuhusu huyu mwanangu aliekuta mkewake ni ameathirika wakati yeye hana then akaendelea kuishi nae. Mnakumbuka? Mwamba hii kitu imemtokea sijajua kama kaukwaa tayari au niaje. Alikaa kitandani siku tatu bila kuinuka. Anachoma sindano yanakauka kauka.
ProsperNow. tweet media
ProsperNow.@prossoff

Naanza kuamini kwamba kuna wanawake wanadawa za kuwashika wanaume wao. Kuna mwanangu mmoja amepambana na mkewake katika kuugua. Mwanamke anaumwa mara kwa mara, baada ya muda akapima HIV akakuta positive. Msela akamuachia geto na watoto, ila now wanakaa pamoja tena. MADAWA.

Indonesia
58
16
166
66.4K