💸
527 posts

💸
@BizzMexen
For short term success, fight like you have nothing to lose✊

Kwanini wanapokelewa back hawa miyeyusho 🚶♀️

Nimesikiliza interview Part 1 na 2 ya @ThisIsMagnetics na @amrisaly; ni moja ya mazungumzo muhimu sana kwa kijana yeyote mpambanaji hasa huku Africa ambapo mara nyingi hatupendi kusimulia hadithi za kufeli kwasababu watu wanataka kusikia kuhusu mafanikio tu. Nimejifunza kwamba unaweza kutoboa kimaisha, mpaka kuwa na access ya zaidi ya TZS bilioni 1.7 na bado ukapoteza kabisa (Kwa sababu nzuri au mbaya). @ThisIsMagnetics amefanya kitu ambacho watu wengi hatuwezi. Ameamua kuwa muwazi. Ameeleza makosa yake wazi ili wengine tusiyarudie. A lot of lessons from him; umuhimu wa diversification kipindi mambo yanapokwenda vizuri, decision making and more. Lakini binafsi somo kubwa zaidi kwangu ni: @ThisIsMagnetics ameweza kushinda mental battle. Kupoteza kiasi hicho cha pesa, na Kurudi mbele ya watu na kuzungumza kwa utulivu (waliotizama interview wananielewa) si jambo la kawaida. Kwa mwingine that was an opportunity ya kushambulia watu ambao anahisi walimfelisha hata kama ni kwa asilimia ndogo. @ThisIsMagnetics bro! pole na hongera kwa ujasiri! namna unavyoishi sasa kutokana na mafunzo yote uliyoyapitia ndio itaamua hatua zako zinazofuata!



@ElinaMeena2 Ukipata worst child delivery and at the same time taking care of ur husb'd hatakiwi ku-appreciate sababu ur doing ur job as a woman?

Eiish🥹❤️



So when a man provides to his kids anatakiwa kutukukuzwa na kutetemekewa? kwan hao watoto ni wa nani? nani alitakiwa ku provide for them? alipowataka watoto si alijua wanakuja na majukumu🤷♀️ Am i overthinking ama ni gani😆🙌🏾

Hii tweet naandika nikiwa maji, hivi baadhi ya wanawake mna shida gani Mwanangu ni engineer tena yupo Sehemu nzuri tuu Anakuduhudumia vizuri tu unamwambia upo bikra, anakusubiri alafu anakukuta unacheat na watu wa ajabu , anakutumua nauli una nda kwa ndugu zako wakati ulisema ndugu wamesema hawana pesa ya kukufanya uje dar Wtf wanawake wa kizazi hiki, kumamae wallah yani, sasa wacha niingilie kati apa Shida nini hivi kumamae wallah Mwanangu hawezi kua fala, wachaga hatujaribiwi mara 2 aisee






4:20💚















