Day Worker🇹🇿

841 posts

Day Worker🇹🇿 banner
Day Worker🇹🇿

Day Worker🇹🇿

@JacobZacharia24

the united republic of GANGSTER'S

man from nowhere Katılım Haziran 2020
604 Takip Edilen83 Takipçiler
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Mashaallah Mzee kaona hana cha kupoteza allah amjaalie🤲🏾
killo_Killotz tweet media
Indonesia
92
23
453
43.7K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
#Elimikaweekend Majina yake kamili anafahamika kama Nick Reynolds, Hapa akiwa maarufu na kufahamika zaidi kama Bongo zozo, ..hivi karibuni kumekuwa na issues kumuhusu..Ipo hiviii👇 Nchi yetu ya tanzania haijawahi kukubali au kuruhusu Uraia Pacha(dual citizenship).. Kwenye uraia kuna aina kama Kadhaa ambapo kati ya hizo ambapo kuna uraia kwa kuzaliwa( citizenship by birth), Kwa kuaquire from wazazi wako kuwa raia wa nchi fulani( citizenship by descent). ambapo kwenye hizi category mbili ndio Bongo zozo alipoingia kwenye mzozo. Bongo zozo ni Raia wa Uingereza ambaye ameishi tanzania kwa miaka mingi na ameoa Tanzania akiwa na watoto wawili, ambao wote wamezaliwa tanzania ishu ilipokuja, Bongo zozo anahtaji, kupitia ushawishi alionao watoto wake waweze kuwa na uraia wa tanzania kwa kuzaliwa then waendelee kuwa raia wa Uingereza kwa haki ya mzazi, kwa kifupi hataki wakane uraia wowote , While nchi yetu ya Tanzania, hairuhusu uraia pacha,.. ni eidha, uikane nchi yako uwe raia wa Tanzania au ubaki na uraia wa nchi yako,... Hapo ndipo tatizo lilipoanzia.✍
The champ👑 tweet media
Indonesia
44
37
199
23.3K
Big_Nicky01✊️
Big_Nicky01✊️@Nicky__001·
Mwanamke unamtongoza anakukataa alafu anaanza kukuita "Rafiki yangu" nani rafiki yako quma la bibi yako 🖕🏾.
Indonesia
51
54
372
16K
John Doe
John Doe@JohnDoe53450049·
@nassor_01 Sema ndo uhalisia wa mademu wanaotoa line 2 Zile porn za wazungu zisikudanganye kwa ground jiandae kukutana na tope
Indonesia
4
0
9
7.6K
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Porn za kibongo bana,kila demu anayeliwa kinyeo lazima anye🚮😅
Indonesia
71
24
356
50.7K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Mtumishi yupi ni tapeli zaidi kati ya hawa?
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
320
76
503
69K
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
Mtandao gani wa simu una customer care mbovu?🤔
21
21
72
2K
Day Worker🇹🇿
Day Worker🇹🇿@JacobZacharia24·
@Samalentips Shida ya hiz kamuni za ubashiri huwa mashariti Yao makubwa wanakuambia akaunti zao ni kwa ajiri ya ubashiri tu ina maana ukiweka pesa bila kuitumia yaan kubeti inakuwa kama umetengeneza akaunti ya kutunzia pesa amabapo kwa wao ni batili lkn fuata Sheria
Indonesia
0
0
1
213
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Nilikuwa mtumiaji wa kawaida wa akaunti yangu ya SportyBet (0762387099), nikiitumia kwa muda bila matatizo yoyote. Ndani ya akaunti hiyo kulikuwa na zaidi ya TZS 900,000/= ambazo ni fedha zangu halali. Kwa kipindi fulani, sikuitumia ile namba ya simu kwa muda mrefu, na baadaye laini hiyo ikachukuliwa na mtu mwingine kama ilivyo kawaida kwa mitandao ya simu. Siku nilipohitaji kutoa fedha zangu, ndipo changamoto ilipoanza. Sikukuwa tena na access ya ile namba ya simu, hivyo nikashindwa kuingia kwenye akaunti yangu. Nikaanza kufuata taratibu—nikaenda mpaka kwa mtoa huduma wa mtandao (Vodacom) kuomba msaada, nikapewa ushauri mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujaribu kuwasiliana na anayetumia namba hiyo au kuwasiliana na kampuni husika (@SportyBet @sportybettz )
Samalen Tips🤴🫆 tweet media
Indonesia
3
2
24
8.7K
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Hii ni simulizi ya kweli ninayoipitia kama mteja wa SportyBet, na ninaona ni muhimu kuishirikisha ili kuleta uelewa na kuzuia wengine wasipate changamoto kama hii. Nitakwenda kuipeleka mahakamani sportybet na kwenye hili nipo serious Nimetapeliwa zaidi ya Tsh 900,000/= na kampuni hii Fuatilia uzi kwa umakini 🧵
Samalen Tips🤴🫆 tweet media
Filipino
55
16
137
57.4K
Mtoto wa Mungu🤲🏽
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1·
Mwislamu mtakatifu akifa anaenda mbinguni, kule anafika anapewa mabikra 72 wa kudinya . Hizi dini hizi😂😁🤝
Indonesia
26
11
163
11.9K
HATUSHINDWANI BEI STORE.
HATUSHINDWANI BEI STORE.@zizujo01·
Kiukweli mzee ndie aliyetukosea sana, amechangia pakubwa kuwa tulipo leo 💔 Elezea neno moja kuhusu anko 👇👇👇
HATUSHINDWANI BEI STORE. tweet media
Filipino
50
32
217
12.1K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
“Kwa mujibu wa utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2021, vijana wameendelea kukabiliwa na ukosefu wa ajira kwa asilimia 12.2 (wanaume asilimia 8.1 na wanawake asilimia 16.1).” - Joel Nanauka, Waziri wa Maendeleo ya Vijana akiwasilisha bungeni Bajeti ya mwaka 2026/27
Swahili Times tweet media
Indonesia
55
6
212
25.1K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hiiizi Bank Za Kiislam Zinazokopesha Bila Riba Zinapataje Faida Mfano Amana Bank..?
72
66
815
53K
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@RamadhaniRupia @BingwaIK @JacobZacharia24 @kasesco_tz Tuseme umekopa 100m ukanunua gari, ukali lets say 18% riba, jumla utalipa bank 118m. Islamic bank utawapa supplier wako kwa kutumia murabaha, wao watanunua gari hilo kwa 100m, halafu waniuzie mimi kwa 118m, nailipa kidogo kidogo. Utofauti ni jina tu.
Filipino
2
0
0
12
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
@RamadhaniRupia @JacobZacharia24 @CodeMetalai @kasesco_tz Kaka naomba uelezee hapo, jamaa kasema riba nafuu umekataa. Kwa mfano umesema wananunua gari kwa 100m na kukuuzia kwa 105m hiyo ni kama 5% faida sawa. Vipi kuhusu mashirika yanayotoa mkopo wa milion 100 na kutoza riba ya 5% hao si wako sawa tofauti majina tu
Indonesia
3
0
0
44
ramadhani rupiah
ramadhani rupiah@RamadhaniRupia·
@JacobZacharia24 @ProLearner77 @kasesco_tz Hapo kila mtu asimame anapo Amin ni sahihi na Allah ndo mjuzi wa Mambo. Ila ukipata muda kasome vitabu kama halal investment, miamalat ya kiislamu, Islamic banking na Islamic modes of financing
Indonesia
1
0
0
11