Jay kama Jay

2.9K posts

Jay kama Jay banner
Jay kama Jay

Jay kama Jay

@JaykamaJay

computer technicians

Tanzania Katılım Temmuz 2020
1K Takip Edilen304 Takipçiler
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@HamisKittumma @privaldinho Wa shamba hao ushaambiwa timu nzima ile wenye akili wawili tu Yule mzee machejo na mdifingi wake cheupe sasa hao wazee wakiitwa mbele ya hadhara wajitokeze ndio unagundua ile timu wote misukule tu
Indonesia
0
0
1
6
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Walichokifanya Makolo kupeleka mechi kwenye kiwanja kibovu Yanga tuliwahi kujaribu hiyo mbinu zama za giza wakati tunacheza na Pyramids. Ndugu zetu wapo nyuma miaka zaidi ya 8
Indonesia
45
5
186
9.3K
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@ClaraFundi @mackphason Football tu kama ulikuwa unawaza penalty mechi haikupaswa kufika penalty watanzania mpira no tusiende na matokeo tuuache mpira utupe matokeo yake pia tujiandae kuu cheza mpira hivyo tu
Indonesia
0
0
0
6
CLARA🖤
CLARA🖤@ClaraFundi·
@mackphason Ni vile tu muungano penalty ilipatikana dakika za jioni trust me wasingebeba
Indonesia
1
1
2
197
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@BarakaMaviatu Binafsi sina sababu za msingi lakini kwa level yangu ya makuzi tu sio kila kitu lazima Nile vingine wacha niishie kuviona wengine wakila tu naamini kwenye kuwa na kiasi lakini kama huko mbeleni kutakuwa na ulazima wa kukila sina mbili ni kula tu
Indonesia
0
0
0
12
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
Una sababu gani za msingi za kutokula nyoka/mbwa/Simba/paka? Sababu ambayo ukisema unaonekana upo timamu na unatumia akili zako kama inavyotakiwa.
Filipino
120
58
711
55.6K
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@harris_lukosi @SokoMoko__ @BlackSingapore2 Unajichosha hapo mzee hao hawanaga fact zaidi ya ubishi tu yaani kuuwawa na majangiri wa ndani ya nchi yako isiwe jambo la kushangaza lakini kuuliwa na majangiri wa nje ya taifa lako ndio iwe jambo lakushangaza uchawa ni kitu cha ajabu sana
Indonesia
2
0
1
13
HFL
HFL@harris_lukosi·
@SokoMoko__ @BlackSingapore2 That was an assassination na sio wanajeshi kutoka nchi nyingine. Ebo! Huwezi hata kuchanganua facts
Filipino
2
0
0
16
Black Singapore 🤴🏿🐲
Black Singapore 🤴🏿🐲@BlackSingapore2·
Viongozi wako wanauwawa kijingajinga kila siku alafu unasema hujaonyesha uwezo wako wa kijeshi"!! Comedy
Black Singapore 🤴🏿🐲 tweet media
Filipino
25
5
127
7.2K
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@e50232511 @SokoMoko__ @BlackSingapore2 Hata miaka miambili marekani hashindi hii vita ni nyinyi vibwengo mnamezeshwa story mnavimba vichwa kitaa mwenzenu vita imemkata kakimbilia vita ya propaganda tu sasa na hata hii nayo hatoboi tuendelee kuona huu mchezo hadi mwisho
Indonesia
1
0
0
19
Fan Mazi Tuunde
Fan Mazi Tuunde@KingTunde_SZN·
Pick a lucky number from 30– 70 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45 46 47 48 49 50 51 52 53 54 55 56 57 58 59 60 61 62 63 64 65 66 67 68 69 70 ✨ 15 numbers hide a surprise of $15,000 🎉 12 winners will be picked randomly in 72 hours
Fan Mazi Tuunde tweet media
English
15K
906
11.8K
2M
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@EliabuDanford Hata kama ungekuwa unaongea kisiasa isingebadili ukweli wowote ule watu wanasoma wanaelewa na ukweli wanaujuwa na kuutambua hivyo wanaufuata ukweli wanaachana na porojo kila kitu ni suala la muda tu na uzuri wa hili jambo hulazimishwi ni kama kiu vile utaipata na utakunywa maji😂
Indonesia
0
0
0
92
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Mapoti wa Comoro wamepiga U-turn maana aliyekufa sio mndengereko. Wakali wangedondoka hapo Kisiwani kufanya investigation,,, hawataki utani na raia wao 😆 Iran walituma Ndege 8 za kivita kwa raia mmoja
Indonesia
5
9
249
12.4K
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@EsirEid Zama za uwongo zimekwisha huyo ni wenge ndio alilobakia nalo maana sasa hivi ulaya hawaambii kitu tena wanaona baunsa kapigwa na mwakinyo ko
Filipino
1
0
2
26
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@karim888c @_kibaba_ @fbuyobe Hii taarifa inamapungufu kibao na inafanywa hivyo ili kumtoa huyo jamaa kwenye hiyo noma na hotels nyingi Zanzibar karibu zote zina camera kwenye parking reception bar labda lakini hakuna camera kwenye korido za vyumba hakuna na hii ndio mbinu imekuwa ikiwapa mwanya wauwaji hii
Indonesia
1
0
1
48
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@karim888c @_kibaba_ @fbuyobe Kwenye mambo kama haya huwezi pewa taarifa zote mzee halafu hizi hotel taratibu zipo na zinafatwa kama amekuwa na uwezo wa kuwa na funguo ya ziada kwaajili ya hivyo vyumba basi juwa hayo majukumu amepewa na anayatendea haki kwahiyo ulitaka aseme nilipiga simu kwa bosi nikapewa 👇
Filipino
3
0
1
101
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@karim888c @_kibaba_ @fbuyobe Ufunguo wa ziada nikaenda nikafungua halafu nikamkuta amejinyonga moja mbili tatu hivi na vile hii ni taarifa imetolewa hivyo kama ni taarifa imetolewa haiwezi kuwa kwenye ujazo unaotakiwa sasa wanaotakiwa kuleta taarifa kamili inayoeleweka ndio wanatakiwa kuhoji sasa juu ya haya
Indonesia
1
0
0
30
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@Dagwaaa @EliabuDanford 😂😂😂😂 mohammed ndio itakuwa alikataliwa kwao lakini Muhammad alikuwa hataki upumbavu wa hao wanao jiita wana wa mungu yaani kipindi chake kulikuwa na wapumbavu waliitwa majahilia sasa uliza hawa majahilia walifanywa nini 😂😂😂😂 wewe Muhammad weka mbali na hao vimbulu wenu
Filipino
0
0
0
18
Son of God(Huios)
Son of God(Huios)@EliabuDanford·
Hivi Netanyahu angekuwepo enzi za Muhammad's Conquests?? Zingepigwa sana, sidhani kama angechomoka😅
Filipino
13
3
80
16.9K
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@PolycarpMDM Mimi nilifikiri hii habari kaisema yule spiker wa la Iran au yule waziri wa mambo ya nje kumbe ni the New York time 😂😂😂😂😂😂
Indonesia
0
0
0
13
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Iran imeshindwa kufungua kikamilifu mlango bahari wa Hormuz kwa sababu “haiwezi kubaini yalipo mabomu yote ya baharini (mines) iliyoweka kwenye njia hiyo ya maji,” na kwa sasa “inakosa uwezo wa kuyaondoa,” kwa mujibu wa ripoti ya The New York Times.
The Spectator Index@spectatorindex

BREAKING: Iran has been unable to fully open the Strait of Hormuz because it 'cannot locate all of the mines it laid in the waterway' and currently 'lacks the capability to remove them', according to New York Times report.

Indonesia
12
1
28
3.4K
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@EsirEid Hao wamekandwa wanatafuta story ya kubalance mchongo wa Iran humu twitter sasa wana sayansi jau wanajifanya wapo makini kinoma na hiyo story hao wajomba hawaendagi huko huwa wanawasapuza tu
Filipino
0
0
0
36
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@tazamaMbali @ArthurGeil @Man_sheka360 Na kuhusu hizo set elite unazozisema ni zipo ndani ya dunia na sayari hii tunayoishi hazipo nje ya sayari hii hivyo ndani ya dunia hii wanaweza hizo vurugu zote lakini nje huko sidhani kama wanao huwo uwezo
Indonesia
0
0
0
6
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
@ArthurGeil @Man_sheka360 Kwa nn watumie matrillioni kufanya hivyo? Je kuna satelites zinazoizunguka dunia kwa ajili ya internet, kutabiri hali ya hewa, kupima ramani na kadhalika? Kama inawezekana, kwa nn la mwezi lishindikane?
Indonesia
3
0
2
131
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
PROPAGANDA: Wanaume wanaibiwa nyeti WATANZANIA: Ni kweli. Inabidi ununue pini ili kuzuia NASA: Artemis II crew wametuma picha za jinsi dunia inavyoonekana WATANZANIA: Si kweli. NASA wanatuona wajinga. Hakuna mtu wa kukaribia mwezi MIMI: Hayo ndo matokeo ya kutosoma physics
Tazama tweet media
Filipino
31
19
159
5.2K
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@tazamaMbali @ArthurGeil @Man_sheka360 Pita zangu hapa na pale huku huku mitandaoni watu baadhi wamesema hivyo hivyo nabakia kwenye asilimia 70% kuwa nakubaliana na wanao sema kuwa hakuna aliewahi kutoka nje ya sayari tofauti na hii akafanya maisha na asilimia 7%nawapa wanaosema wamewahi kwenda sayari nje ya dunia 👇
Indonesia
0
0
0
6
Jay kama Jay
Jay kama Jay@JaykamaJay·
@tazamaMbali @ArthurGeil @Man_sheka360 Hizi ni propaganda kama propaganda zingine brother ukweli halisi mpaka sasa unasemwa na inasemekana bado hakuna kiumbe anae Ishi kwenye sayari hii ya dunia amewahi kufanikiwa kufika kwenye sayari nyingine na akafanikiwa kufanya maisha huko sijui mengine mengi lakini kwenye pita👇
Indonesia
1
0
0
10