Tanganyika Yetu

343 posts

Tanganyika Yetu banner
Tanganyika Yetu

Tanganyika Yetu

@KingKuta91

Teacher,activist,human rights defender

es Mercadal, Espanya Katılım Ocak 2023
33 Takip Edilen28 Takipçiler
Tanganyika Yetu
Tanganyika Yetu@KingKuta91·
@Eric__Bernard Anazungumza na vijana wa nchini kwake Zanzibar,vijana ambayo hatujawahi sikia wametekwa
Indonesia
0
0
0
21
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
"Vijana Shikamaneni Ili Tanzania ibakie kuwa Moja" Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Vijana Tunguu Zanzibar!
Suomi
11
1
22
1.5K
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria. Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi. Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Indonesia
777
53
466
165.2K
M_Ch
M_Ch@Not_ChaoosKE·
@KE_MrBlack UpTo date Tanzania companies always buy the manufucturing machines from Germany also many resorts are owned by Germans.
English
1
0
1
1.2K
MrBlack™
MrBlack™@KE_MrBlack·
I’ve been wondering, some African countries like Tanzania, Rwanda, and Burundi were once colonized by Germany, so why don't they speak German?
English
66
57
1.2K
72.7K
M O X
M O X@UrBoyMox·
Kuna mwanangu amenambia nanukuu "Umeona makampuni ya Azam haya, Kama wewe ni mkristo unahitaji connection kubwa sana kupata ajira Jamaa wana udini sana" Eti ni kweli?
Indonesia
107
48
619
52.5K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
WAKATI SIKU ZA KUTOA RIPOTI ZINAKARIBIA📌 Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na wahuni kufanya vurugu? 4. Nani alitoa silaha ndani ya JWTZ na zikatumika kuuwa askari waliokuwa wanalinda uchaguzi? 5. Nani alisukuma waumini wa kanisa la Gwajima kuchoma moto vituo vya mafuta hasa pale Shekilango? 6. Nani aliyekodisha Mungiki na kuchoma ofisi za umma kule Mwanza na Arusha? 7. Nani aliwapa UFIPA hela kusafirisha wahalifu kuja kufanya vurugu Dar Es Salaam na kuchoma9 moto magari kwenye yard pale bandarini!. TUNASUBIRI KWA HAMU sana haya majibu.
Dr. Sisimizi tweet media
Indonesia
65
7
37
26.5K
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Mzee wa miaka 30 na hajaoa, sasa utofauti na shoga ni nini?
Filipino
31
7
132
12.1K
Tanganyika Yetu
Tanganyika Yetu@KingKuta91·
@VungaEl74 Vipi hawtamani kumtoa rais Ji Xi wa China ,au Kim UN wa Korea au Putini mwenyewe? Wawatoe ili tuone wasivyoshindwa
Indonesia
2
0
3
609
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Hakuna RAISI wa nchi yoyote ile duniani Marekani walimutaka atoke wakashindwa Hata URUSI analijua hilo kupitia KGB Hakuna mission ya America ilisha wahi kuferi kwenye kumtoa mkuu wa nchi
Vunga tweet media
Indonesia
57
7
131
7.9K
Son of God(Huios)
Son of God(Huios)@EliabuDanford·
Najua walio upande ule wanatamani Israeli aje kupigwa siku moja kulingana na majira ya Biblia si siku nyingi sana, subiria, Armageddon inakaribia atapigwa mpaka atachakaa, siku hiyo mtaiweka kisiasa na kiteknolojia ila ni siku yao ya hukumu. Ila kwa sasa wakati bado hakuna anayeweza kuipinga Israeli hata Marekani amgeuke hawezi.
Filipino
24
6
91
9.5K
george haroun
george haroun@george_haroun·
@EliabuDanford Hawa sio wa Israel wa biblia wa Israel wa biblia walikuwa weusi hawa ni 1948 Rothschild Israel
Filipino
1
0
0
128
Son of God(Huios)
Son of God(Huios)@EliabuDanford·
Israeli hawi Israeli kwa kumkubali Mungu wala kukubali Ukristo, Biblia yenu imeandika 1. Watamkataa Yesu, 2. Watakuwa wa kwanza kukataa Injili na kutesa, manabii, Mitume, wakristo na mashuhuda wa Injili, 3. Wataongeza dhambi zao mpaka nyakati zitakapotimia, Eti leo mnashangaa wanaua na kuwa wakatili?? Israeli wa Biblia hajawahi kuwa Mtakatifu. Mungu aliwaita wateule lakini hawakuwahi kumheshimu Mungu wala kuwa watakatifu hata nyakati za manabii na mitume. Sembuse leo?? Mungu aliwaita watu wenye shingo ngumu, kwani ilishaondoka iwe wawe Israeli mnaotaka??
Filipino
21
17
75
5.2K
afanderichadi
afanderichadi@afanderichadi·
@EliabuDanford Gogu na magogu ni ukomunisti ambao ni Russia Mungu amemuacha urusi iri amuangamize mnyama ambapo iyo ni Vatican
Indonesia
3
0
0
619
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Kuna jamaa mmoja alikua ana date na huyo dada ambaye alikua anaishi na mama wa kambo ambaye alikua anamtesa, kuna siku yule dada aligunguwa mlango kampigia simu babe wako anaomba alale kwake jamaa kakubali alfajiri binti kawah kajifanya kalala kibalazani, basi miaka ikapita...👇🏻
Indonesia
101
23
377
57K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
@AlexSamoja Ni sawa na mtu angesema hata bila baba ako mama ako angekuzaa tu,.. ni kauli ya kutoheshimu jasho la mwingine,. Mataqo ya bata🚮🤒
Filipino
2
1
17
1.2K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Unpopular opinion, hata bila ya juhudi za Nyerere uhuru tungepata tu, ✍️
Indonesia
42
32
287
31.5K
Tanganyika Yetu
Tanganyika Yetu@KingKuta91·
@tonymaster01 Mambo ya kukopi story huko na kuzitafsiri Kwa Kiswahili siyo ujanja Wala nini
Indonesia
0
0
0
196
Tanganyika Yetu
Tanganyika Yetu@KingKuta91·
@UgwandaA52308 Unamaanisha CHADEMA Huwa wanawazuia waislamu kujiunga nao au Huwa inawanyima form ya uongozi?
Indonesia
0
0
3
162
Ugwanda Ng'anzi
Ugwanda Ng'anzi@UgwandaA52308·
Zaidi ya 90% ya viongozi wa kikanda wa Chadema ni wakristo. Wajumbe wa Halmashauri Kuu nao zaidi ya 90% ni wakristo. Ukiona Muislamu ujue ametoka Zanzibar, which is expected because hata by random picking Mzanzibar atakuwa Muislam since kule 98% ni Waislamu. Kuna shida.
Ugwanda Ng'anzi tweet media
Indonesia
8
6
10
3.7K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Huko Tiktok live za kina Nuruvazi zimepoteza mvuto kabisa vinazidiwa na AnkoT 😀. Hii ni wazi Watanzania wamechoka kutumika na wanaharakati.
BARADHULI tweet mediaBARADHULI tweet media
Filipino
20
15
38
9.9K
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠✍️
Kila siku CHADEMA wanajifanya waathirika, wanaharakati uchwara wanapiga kelele, halafu BBC wanakuja kupaka rangi simulizi zao kama ukweli wa dunia. Lakini Watanzania si wajinga. Tunajua tofauti ya harakati za kweli na propaganda za kutengeneza taharuki..⤵️
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠✍️ tweet media
Indonesia
58
40
38
33.2K
Tanganyika Yetu
Tanganyika Yetu@KingKuta91·
@Sisimizi3 Naona Hadi watoto wenu CHAUMMA,ACT na CUF wamegoma,au Bado wanakuja
Indonesia
0
0
1
244
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Jumla Ya Wagombea 15, Kutoka Vyama Mbalimbali Vya Siasa Nchini Vimechukua Fomu Ya Kuwania Ubunge Katika Jimbo La Peramiho, Mkoani Ruvuma. Waliochukua Ni: - Mhagama Hamis Yusufu – NLD - Yusufu Rashid Rai – AAFP - Abdalah Boniface Ngonyani – MAKINI - Hanifa Sembe Mohamed – UMD - Betrice Omari Muya – UPDP - Jacob Dickson Mapunda – DP - Dastan Frolian Pili – CCK - Morice Thomas Nkongo – TLP - Mtemi Pachoto – UDP - Shani Ayubu Zinduku – SAU - Juma Mtokani Haule – NCCR-MAGEUZI - Rahel George Balama – NRA - Ismail Said Mkopi – ADC - Anna Daniel Kapinga – ADA-TADEA - Dkt. Lazaro Kilian Komba – CCM
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
9
7
27
8.2K