king

895 posts

king

king

@MickSyprian

travota

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2021
975 Takip Edilen161 Takipçiler
king retweetledi
Mr Health💊💉
Mr Health💊💉@ItsMrHealth·
Kama upo na miaka 25+ ni Muda sasa wa....⏰ 1. Kupunguza ngano. 2. Kupunguza Sukari. 3. Kupunguza chumvi. 4. Kutoka jasho mara kwa mara, Kupitia Mazoezi 💪 5. Kuwa na mwenza unayemfurahia. 6. Kuwa na hobies angalau tatu. ↳ Inayokupa furaha. ↳ Inayokupa elimu. ↳ Inayoingiza pesa. NB:Lengo, Kufikia Maamuzi sahihi ya kubadilisha mitindo mibovu ya maisha, Na kuwa na afya njema wakati wote...🩺
Mr Health💊💉 tweet media
Filipino
71
126
1.2K
252K
𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼
𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼@majizo_jr·
Uliwahi Kujiuliza ni Kwanini kuna Namba za Magari yaani [Plate Numbers] tofauti tofauti Tanzania? Sasa Leo Nimekuandalia Makala ndefu na iliyoshiba itakayojibu swali lako na natumai Utaelewa zaidi. Shuka na Uzi🧵🧵
𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼 tweet media
Indonesia
80
304
2.2K
326.4K
king retweetledi
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Wakati mzazi anapo mwogesha mtoto wake wote hujikuta wanacheka pamoja,lakini kipindi mtoto anapo mwogesha mzazi wake wote hulia☺️
Indonesia
2
22
57
1.9K
king retweetledi
Cosmas Edward 💫
Cosmas Edward 💫@EdwardCosmas·
Watakuvunja moyo kisha watakwambia huna roho ya uvumilivu.
Suomi
1
52
214
4.8K
CAPTAIN BEKA.
CAPTAIN BEKA.@Bekacx6·
@mwidini531fu Ukiamuabkusaidia saidia ukiamua kukausha bora ukaushe, jana ulidrop correct score spain 2-0france, leo wewe unaonesha tiket ya spain 2-1 france huu ni utapeli
Indonesia
3
0
2
330
@Kachekache
@Kachekache@mwidini531fu·
Correct score 🙏
@Kachekache tweet media
English
11
1
16
2.6K
king retweetledi
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
Update 🚨 Like This If You Agree 👊🏻
Cinema 4 You tweet media
English
161
655
4.7K
114.9K
king retweetledi
goligani
goligani@goligani·
JAMHURI YA watu wa TWITA mmejionea wenyewe kuwa WASANII na watu MASHUHURI wengi huwa HAWAPO pamoja na sisi kweny SHIDA zetu kubwa zaidi tukiwaomba MSAADA hata wa RT wanatuona kama VIKATUNI. Ila kweny SHIDA zao na KAZI zao SISI ndo tunakuwa MSTARI wa MBELE. TUACHE SHOBO KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE. RT ujumbe ufike kule BACK BENCHA.🤝
goligani tweet media
Indonesia
229
694
1.5K
65.9K
king retweetledi
goligani
goligani@goligani·
BACK BENCHA tupe "CHENJA" yako kali kipindi upo "KWA MUJIBU"👇🏿👇🏿
Filipino
7
9
28
4.3K
king retweetledi
Crazy Kennar
Crazy Kennar@crazy_kennar·
WHEN YOU GO FOR THE CHEAPER OPTION😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
English
1.1K
3.2K
12.5K
461.2K
@mtanganyika
@mtanganyika@Kaijagechange·
@HildaNewton21 Jamaa mbona ana wasiwasi kama katoka jela!! Au ana ndoa nyingine?!
Indonesia
2
0
26
2.8K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kwani ilikuwa lazima aseme “Anaeligaragaza lishangazi”.?
Indonesia
87
48
417
64.6K
Shabane
Shabane@shabanejnr·
@bonichengula Imeshawahi nitokea 2014 maeneo ya sinza ustawi. Nimetoka chuo IFM najua naenda kuuza simu (Galaxy S4 kipindi hiko ni simu ya moto sana 🔥) kumbe jamaa na mkewe walikuwa wameshajipanga kunitapeli unfortunately walifanikiwa.
Filipino
9
1
13
3.8K
Boniface Chengula
Boniface Chengula@bonichengula·
Utapeli kinyerezi mwisho. 2020 wakati huo ndo naanza anza biashara. Nilipigiwa simu na mtu akasema nataka simu ila delivery kinyerezi mwisho. Kama kawaida yangu nikatoka mapaka kinyerezi mwisho karibu na mahakama. Kufika pale jamaa akaniambia “mimi sipo dar ila kuna mtu…
Indonesia
55
59
616
101K
GodWin🌍
GodWin🌍@_GodWin13·
@bonichengula Nilitoka dar kwenda kufata tender document njombe lupembe,,, nlivofika njombe jamaa kasema ntume hela anakuja nayo mjn...kutuma tuu jamaa hakupokea simu tena😂
Indonesia
2
0
10
3.5K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Challenge ya 1 haijapata mshindi, so 50K bado ipo. Nipe scientific name ya hii compound. Wa kwanza kujibu kabla ya 18:30 anakula 50K Shillings.
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Filipino
169
11
431
43.5K
king retweetledi
Carl Mhina Jr.
Carl Mhina Jr.@Comrade_mhina·
@iamcleopatricia Kwa maelezo ya Waziri, Mkuu wa wilaya na kiongozi wa mtaa inaonyesha hiyo kesi haijaamuliwa na Mahakama! Mahakama ndio chombo cha mwisho katika kutoa maamuzi. Je, amri ya kuvunjwa kwa hiyo nyumba katoa nani?
Indonesia
3
1
4
1.3K
king retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Mh Rais alishanipa Tuzo ya Presidential Lifetime Achievement kwa kutambua mchango wangu kwa ajira ya vijana kupitia Sanaa…Halafu mdwanzi Kigwangallah ananiita mimi MHUNI!Linakesha kwa Waganga eti linamloga Rais liteuliwe, halijui kumbe kinacholiponza ni ukosefu wake wa ADABU!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
328
389
4.1K
171K
king retweetledi
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
SAA 9:48 USIKU, UBUNGO RIVERSIDE, DAR ES SALAAM. Mwanangu Mhitimu wa UDSM, UDOM, SUA, MZUMBE, ARDHI ama MUHAS amelala na vyeti vyake usiku huu alivyopigania kwa zaidi ya miaka 17, anaambiwa ajiajiri na haelewi aanze vipi kwakuwa muda wa michongo ameupoteza kwenye mchongo ambao sio sahihi, simulizi mbaya yenye kuumiza sana. Baba na Mama wamelala muda huu, lakini mawazo yao ni Mamillion waliyotupa kwenye uwekezaji unaoitwa elimu kwa watoto, wakiamini watapumzika baada ya Chuo Kikuu, sahau kuhusu Mashamba waliouza, mifugo na viwanja ila nani wa kuwafuta machozi Wazee hawa? Kila kukicha watoto wanazidi kuwa tegemezi. Na vipi kuhusu Binti aliyehitimu Chuo? Maisha yakamnyima chaguo na wanamhukumu kwakuwa amegeuka Dada poa? Atafanye anapaswa kufa na kiu baharini? Binti yule Mrembo hapewi nafasi kisa vyeti vyake ila namna gani atazungusha nyonga yake na kupewa kichwa cha habari cha mwenye mchongo ili akinyoe kipara. Wanangu magetoni wamelala na stress, kesho bill ya maji na umeme, kodi na gesi imekata! Mchongo wa ajira anaosikilizia wenyewe hauna sauti na fursa zimejificha kama maziwa kwa sidiria, Wanangu sana mitaa ndio last hope, niungie buku niishi ndio line, nipe odds ndio design kwakuwa wenye fursa wameshikia mpini nasi hatuna gloves za kushika makali. Jamii inasubiri litokee ili waanze kulaumu, Kijana kakatisha uhai wake wanasema mbona hakuwa anasema ila mifano hai ipo wazi, tukiwalilia shida wanatutangaza, tukiwapigia hawashiki simu, tukiomba appointment tunajibiwa kwa disappointment, wakileta misaada kwetu wanakuja na Macamera, dunia ya unafki mwingi inayosubiri matokeo kuliko kusimamia matokeo. Sijui tukapige goti Madhabahuni tuongee na Sir God? Atubadilishie formation tuanze kucheza mpira wa pass na kuachiana, inatisha kama nyumba za Mungu tunatoa sadaka kwa mafungu, mwenye pesa ndie mwenye nguvu kwenye familia, hisia zinanunulika na mwenye nguvu anaitwa Power! Tunaongea na Sir God tubadili mfumo, wenye nacho wanashambulia sana. WANANGU wanasema tufunge kwa dua ituamshe kwenye mapambano! Kwa jina la harakati na michongo tunayosikilizia, kwa jina la Mwenyezi Mungu aliye hai ambaye kazi zake hajawahi kukosea, tubariki Mkate.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
176
317
2.3K
143K