๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ

16.5K posts

๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ

๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ

@Mohtech26

๐‘ฌ๐’™๐’‘๐’†๐’“๐’• ๐’Š๐’ ๐‘ณ๐’๐’ˆ๐’Š๐’”๐’•๐’Š๐’„๐’” & ๐‘ป๐’“๐’‚๐’๐’”๐’‘๐’๐’“๐’• ๐’Ž๐’‚๐’๐’‚๐’ˆ๐’†๐’Ž๐’†๐’๐’•.

Dar es Salaam, Tanzania Katฤฑlฤฑm AฤŸustos 2020
3.7K Takip Edilen2.3K Takipรงiler
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
Myunani
Myunani@MaxTz255_ยท
Ukiwa Na 20M kati Ya Liquor store na Min Supermarket ipi Itakuwa Biashara sahihi zaidi Eneo tuseme Mjini?
Indonesia
37
39
576
42.4K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDMยท
HIVI NDIVYO CHOMBO KIMEGAWANYIKA LIVE. Kikosi cha chombo cha anga cha Orion spacecraft na sehemu yake ya huduma (service module) vimetengana. Kapsuli ya wanaanga inaendelea na safari yake kurudi duniani, huku sehemu ya huduma ikitarajiwa kuungua kwa usalama katika angahewa ya Dunia juu ya Bahari ya Pasifiki. System' ya Artemis II imebuniwa kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha kwamba mabaki yoyote yanayoweza kubaki hayawezi kusababisha hatari kwa ardhi, watu, au njia za usafiri wa majini.
Indonesia
6
7
70
5.7K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1ยท
Mwaka 1968 mamlaka ya anga marekan NASA kwa kushirikiana na APPOLO XIII walipeleka watu mwezin na kutua Mwaka 2026 NASA kwa kushirikiana na ATERM II wamepeleka watu mwezin hawakutua kwenye mwezi ni JARIBIO la safari ya pili 2028 Nini kimebadilika hadi waanze tena na jaribio?
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
20
14
127
10K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevuยท
Nadhani bado wengi wetu tuna fikra za kimaskini yaani kwa Dunia ilipofika sasa NASA watupe story za kutunga, wakati miaka ijayo huenda kuna Mataifa mengi yaliyoendelea nayo yataweza kwenda kufanya tafiti huko kwenye Sayari kitakacho baki NASA wataweka Legacy kuwa Watu wa kwanza kufika huko.
The mandevu tweet media
Indonesia
60
44
670
35.7K
amrythompson
amrythompson@AmryThompsonยท
@ze_mandevu @kijitu20 Kwa kifupi ni haiwezekan kuenda huko mwezini na elimu hii mungu bado hajampa mwanadamu yoyote zaid ya manabii walopita hawa wapumbavu wanaingia photoshop wanafanya yao chumban mnasubiri BBC wawatangazie
Indonesia
7
0
3
1.3K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevuยท
Hapa tupate mtaalamu na mbobezi wa maswala ya Sayansi ambaye hata mambo ya Euro na Dollar hayampigi chenga, atueleze kwanini Wanaanga wa Artemis II HAWATARUDI Duniani kwa Roketi ile ile inayowapeleka angani?๐Ÿค”
The mandevu tweet media
Filipino
81
55
935
55.2K
REGANโ„ข๐Ÿ”ด
REGANโ„ข๐Ÿ”ด@ReganiMmaryยท
@ze_mandevu Kurudi ni free fall mzee sabab unakua unavutwa na gravity ya dunia hauhitaji rocket ambayo itatumia mamilion ya liter za mafuta unahitaji tu chombo kinacho weza kuvumilia kukatiza angahewa ya dunia (ozone layer) bila kuungua then unadondoka baharini
Indonesia
6
4
26
1.8K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshabaยท
Kumbe alitamba kabisa akasema amesharekebisha na kuwaambia wanahabari wanaandika dola 600 kwa 800
Indonesia
35
74
559
30.3K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
CINEMAS ANALYTIC ๐ŸŽฌ
CINEMAS ANALYTIC ๐ŸŽฌ@CinemasAnalyticยท
Imefutwa chapu kama video mjongeo ya utupu๐Ÿ™Œ Tujitahidi kusomesha watoto Elimu mbalimbali zitatuangamiza kama taifa Repost 560
Indonesia
9
54
292
8.9K
KIPEPE ๐Ÿ’Š
KIPEPE ๐Ÿ’Š@kipepe123ยท
Kuanzia KESHO NAKUA NA ROHO Ya MBWAMWITU Mtu kachukua Mkopo wa Million 8 Nimeenda kumsaidia Kuprint Vitambulisho Vyake Anakuja Kunipa Elfu 30? ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜ญ Imeniuma sana
Indonesia
57
31
554
20K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1ยท
Jamaa aliuliza "Hivi zile meli zinazoleta magari kutoka Japan na bidhaa kutoka China zikishusha tayari huwa zinarudi na bidhaa gani kwenda huko..? Angalia majibu yake, jifunze kitu hapa ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Headboy wa mtaa tweet media
เคนเคฟเคจเฅเคฆเฅ€
30
47
557
84.7K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
Mulastar
Mulastar@Mulastar255ยท
QME
0
20
110
7.2K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
YB
YB@Mechanicskiidยท
QME
3
11
105
7.7K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
king kinya
king kinya@king_kinyaยท
Deni...
king kinya tweet media
Indonesia
15
64
611
34.9K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
๐—ญ๐—˜๐——
๐—ญ๐—˜๐——@zed_officiallyยท
Mwenye business idea nzuri kwa mikoa wa mwanza mtaji 5M ya kuanza tumsaidie idea kijana mwenzetu aanze biashara anaomba.
๐—ญ๐—˜๐—— tweet media
Indonesia
12
11
26
3K
KIPEPE ๐Ÿ’Š
KIPEPE ๐Ÿ’Š@kipepe123ยท
Naona Bimkubwa Ana Vipeperushi Vya VETA alafu Simuoni Huyo Mwanafunzi Hapa home...
Filipino
7
8
124
4.8K
Throneforge
Throneforge@MrShow_usยท
swala linaendelea aliepata ukapata ,alie kosa kapata tuondoke kituristi ela za vocha ukizikusanya kwa wiki ni zaidi ya elfu kumi chukua kodi hii
Throneforge tweet mediaThroneforge tweet media
Indonesia
6
6
8
294
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
FED๐Ÿฆ…
FED๐Ÿฆ…@fado_fftยท
Alllah is the greatest ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐ŸŽ‰ 32m won ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿพ๐Ÿ’ฅ GIVEAWAY, Like and retweet and drop Bet id under for 50k
FED๐Ÿฆ… tweet mediaFED๐Ÿฆ… tweet media
FED๐Ÿฆ…@fado_fft

SQ9SX4, SQ9SX4, QC44X2, M0A5YF

English
710
445
1.8K
303.1K
Throneforge
Throneforge@MrShow_usยท
Mgao unaendelea kama ujafikiwa endelea kusubiri kama unaweka namba weka sasa hivi usisahau kulike, follow na repost
Throneforge tweet media
Indonesia
27
13
31
2.4K
๐‘ด๐’๐’‰๐Ÿ’ฅ retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1ยท
Jamaa kauliza swali la msingi: "Biashara gani unaweza kuanzisha Dar kwa mtaji wa 6M na ikuletee faida ya 400K kwa mwezi?" Na haya hapa ndiyo majibu ya watuโ€”kuna mengi ya kujifunza hapa!๐Ÿ”ฅ Check the thread ๐Ÿงต ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ”ฅ
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
26
66
387
58.9K