fred m. john

226 posts

fred m. john banner
fred m. john

fred m. john

@fredmjohn

male

ardhi universty Katılım Ağustos 2013
157 Takip Edilen26 Takipçiler
Montezuma
Montezuma@ChiefMontezuma·
@MwanzoTvPlus Wanaondokaje kama hali haijatengemaa? Wabaki kwanza.
Indonesia
1
0
2
198
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#BREAKING: RAIA HAITI WAZUIA KUONDOKA KWA POLISI WA KENYA KWA HOFU YA KUTAWALIWA NA MAGENGE Raia wa Haiti siku ya Jumatatu walizuia polisi wa Kenya waliokuwa wakielekea St. Marks na Pont Sonde, wakipinga kuondoka kwao. Waandamanaji walisema kuondoka kwa maafisa hao kungewaacha wakiwa hatarini kukabiliwa na magenge ya uhalifu, na hivyo kudhoofisha jukumu la kulinda amani. Barabara katika eneo la Petite Rivière na Pont Sonde zilifungwa kwa vizuizi, na kulazimisha helikopta kutumika kuwahamisha polisi hao kutoka maeneo hayo. Tukio hilo limeonyesha hofu kubwa miongoni mwa wakazi wanaoamini kuwa kumalizika kwa jukumu la amani kutawafichua kwa machafuko mapya. Kenya imekuwa ikiongoza jukumu la Multinational Security Support (MSS) nchini Haiti, likiwa na lengo la kudhibiti magenge yaliyokithiri. Wakati maafisa wa Kenya wakirudishwa nyumbani kwa mzunguko wa kawaida, vikosi vingine kutoka Jamaica, Belize na Bahamas tayari vimewasili nchini Haiti kwa mafunzo na uratibu wa pamoja.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
1
4
63
6.8K
Ismail
Ismail@Mofey203·
@kasesco_tz Wakishua bana hapo kuna uchafu gani?
Filipino
5
0
21
1.9K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi unaweza kula chakula mazingira machafu kama haya kweli..
kasesco☆ tweet media
हिन्दी
197
38
310
24.9K
fred m. john retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
Mhe Rais @SuluhuSamia ungetusaidia sana kumrejesha Mhe Gwajima Wizara ya Afya. Maana wagonjwa wa akili wamekuwa wengi. Wanaongea lolote popote na hawakamatwi ili kupewa tiba stahiki. Asante Waziri Gwajima kwa somo hili la vitendo. Kikombe cha BABU kinarudi upya na madhara makubwa
Indonesia
42
77
555
41.8K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Mwaka 1968 mamlaka ya anga marekan NASA kwa kushirikiana na APPOLO XIII walipeleka watu mwezin na kutua Mwaka 2026 NASA kwa kushirikiana na ATERM II wamepeleka watu mwezin hawakutua kwenye mwezi ni JARIBIO la safari ya pili 2028 Nini kimebadilika hadi waanze tena na jaribio?
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
20
14
127
10K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Leo nimekutana na paka tuliyekuwa tunamfuga home, amehamia nyumba kama ya kumi mtaa huu huu. Na ana watoto, kaniona anaanza kulia nyau, Nimewaza sana, yani ilikuwaje akaona hawezi kuza na kuwalea watoto wake pale home, yani ametuchukuliaje 😂
Indonesia
47
20
368
15.4K
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Vinara wa pasi za mabao Ligi Kuu
Shaffih  Dauda tweet media
Filipino
12
12
424
15.1K
fred m. john
fred m. john@fredmjohn·
@KileoDenni21276 @PMadeleka Nimesoma tena hiyo barua, sioni hiyo miaka 99 ila naona imemtaka mmiliki kumjulisha mpangaji kuhusu usajili wa hiyo mirathi
Indonesia
1
0
0
5
dennis kileo
dennis kileo@KileoDenni21276·
@fredmjohn @PMadeleka Haki ya mpangaji ni kwenye pango maana nyumba,na mkataba ni pale anapolipa Kodi,ardhi aliipangishwa lini ?na nani alimkodishia ardhi miaka 99,ulishawahi kuona huo mkataba wewe miaka 99bado hujajenga kwako,intension ya mpangaji ninini
Indonesia
1
0
0
16
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN nakuomba kwa TAADHIMA KUBWA, usikubali Serikali yako ICHAFUKE KWA UPUUZI kama huo 👇.Haiwezekani HAKI za YATIMA zichezewe na watendaji WALA RUSHWA. Kamishina wa Ardhi Dar es Salaam anapaswa KUFUKUZWA KAZI haraka ili KULINDA HESHIMA YA SERIKALI
Peter Madeleka tweet media
हिन्दी
12
6
53
6K
dennis kileo
dennis kileo@KileoDenni21276·
@PMadeleka Kwani aliempangisha ni nani? Na Kwa Sasa nani anachukua Kodi,miaka 99 upangaji wa ardhi kwani yeye serikali?,mambo ni mengi Kwa kweli,mm si mwanasheria ila hao ardhi wamejivika mahakama,eti wamtafute mpangaji daaa
Indonesia
1
0
2
222
king kinya
king kinya@king_kinya·
Mmechelewa kidogo lakini bado zipo zinaonekana angani kwa macho tu bila kutumia vifaa. Ila utaziona nne tu sio zote sita
king kinya tweet media
Indonesia
5
8
162
18.7K
Gilly Bonny Tv
Gilly Bonny Tv@GillyBonnyTv·
“Hapa kwetu ilikuwa rahisi kwake kwa sababu leo Yanga wangecheza na Namungo na kumiliki mpira kwa asilimia 99. Keshokutwa wangecheza na Coastal na kumiliki mpira wote. Kule Morocco licha ya Wydad kuwa wakubwa, lakini mpira wao dhidi ya wapinzani ni kuhenya kwa dakika zote. Aziz ana 'kauvivu’ fulani ambako nilijua asingemudu sana mpira wa Waarabu wa kule. Huku kwetu alitusisimua katika matukio ya mashuti. Kona nzuri. Faulo nzuri. Mashuti ya mbali. Pasi za mwisho katika eneo la mwisho ambalo Yanga mara zote walifika kwa urahisi.” Edo Kumwembe, Mchambuzi wa soka
Gilly Bonny Tv tweet media
Filipino
5
1
96
4.6K
#PutSouthAfricansfirst
#PutSouthAfricansfirst@Patriot_S_A·
Police were called yesterday at a lodge in Pretoria after two 14-year-olds (a boy and a girl) walked in asking for a room for the night. Staff clocked the ages, panicked, and did the right thing called the cops immediately. In a small bag police were shocked to find R700, a pack of condoms, mpesu, and peanuts. The young couple meant business. Soon people from nearby houses were called to identify the kids. While some were angry at the lodge staff for denying kids enjoyment others applauded the staff for doing the right thing by calling the police.
#PutSouthAfricansfirst tweet media
English
355
406
2.7K
479.7K
Komu Printing
Komu Printing@Elparton112·
Sijawahi kuona mtu anaevuta bangi amefanikiwa katika maisha.
हिन्दी
84
13
314
50.1K
Africa First
Africa First@AfricaFirsts·
There's a pink fridge in the middle of the Desert in Namibia 🇳🇦, stocked with drinks for tourists.
Africa First tweet media
English
322
840
7.1K
2M
EPHRAIM ❣️
EPHRAIM ❣️@Ephraim_Snr·
Ehh I don't know why I see this everyday after bathing 😭😭
EPHRAIM ❣️ tweet media
English
2.6K
220
5.7K
10.9M
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Kuweka ndani stock ya chakula ni muhimu sn kipindi hiki -Salmoni Kg 20 -Uyoga Kg 30 -Pasta Kg 30 -Tuna Kg 20 -Carpaccio Kg 10 -Mayai Tray 20 -Rosotto Kg 40 -Fillet Kg 30 -Mboga za majani -Divai nyekundu Lita 20 -Maziwa Lita 40 -Matunda tenga 2 -Mchele Kg 30 -Maharage Kg 20
Indonesia
61
41
702
23.6K