
Eng. Paul👷🏿♂️
604 posts

Eng. Paul👷🏿♂️
@NelsonPaul32
Civil Engineer Copywriter


Nakumbuka wayback nipo Uni nilikua natoka na wanangu maandishi matatu hadi MUHAS kupata wali utumbo wa 800😂😂 Boom lote unadedicate kwenye mavazi😂 unabaki na budget ya msosi kama 1500 kwa siku😂 Hapo ni wali utumbo na “maji makubwa 500”



Mfungwa aliyehukumiwa jela miaka 30 kwa kesi ya ulawiti, Lista Chisoma, amemuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumuhurumia na kumpa msamaha wa kutoka gerezani wakati huu ambapo amebakiza miaka miwili ya kutumikia kifungo chake ambapo amemuomba Rais pia kuwa Wafungwa wengi wanahitaji huruma yake. Mfungwa amesema hayo leo May 09,2026 baada ya Rais Samia kufika kwenye banda ambalo halikuwa anashona wakati Rais akikagua mabanda kwenye shughuli ya kuhitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Konzi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania. Mfungwa huyo amesema “Nimeingia nikiwa darasa la saba kwa msaada wa Megereza mwaka jana tumefanya mtihani wa form four utusaidie magereza kuna Watu wamekaa sana, mfano mie miaka 13 nimekaa, mtusaidie kuona jinsi gani tunasaidiwa, miaka miwili iliyobaki nisukumie nitoke nje, kule Magerezani kuna Watu wanahitaji huruma yako uwasaidie” #MillardAyoUPDATES




Kuna mstaafu mmoja shahidi anadai alikopa akanunua gari tipper akaenda kupaki tanroad kimara temboni pale watu wakaichoma moto,bima wamegoma wanasema hakukatia bima ya majanga ya kisiasa eti ile ni comprehensive(wataalamu Kuna tofauti Gani hapo Bima kubwa si kubwa tu au?







Bring back normal kitchens please 😕 I so hate this style of one corner of the living room end being a kitchen.













Kwa umbea habari za wasanii wote 50 Cent wa Tanzania ni huyu sema games ishamtupa mkono😂😂😂😂😂😂👇👇🙌🏾🔥






