Godagoda

283 posts

Godagoda banner
Godagoda

Godagoda

@Njoleho

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2022
3.2K Takip Edilen423 Takipçiler
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
@TheRealEkiswaga Mlishazoea Chaguzi za CCM mnaingia na simu kuangalia kwanza kama salio limesoma kabla ya kumpa mtu kura, "Conclave" ni kikao kitakatifu mkuu
Indonesia
0
0
0
12
Enock Kiswaga
Enock Kiswaga@TheRealEkiswaga·
Wanamijya uhuru wa watu kuwasiliana😂😂 Haki za Binadamu
Enock Kiswaga tweet media
Indonesia
19
2
30
6.8K
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
@YerickoNyerereT Yericko wahi kwa Doctors kabla ya wadudu kichwani/viral load haijakomaa, Hivi kweli kabla ya kuposti Huwa unajipima Kama ume connect na fuvu lako?
Filipino
0
0
0
3
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Tuliwaambia kwenye genge la jaribio la Mapinduzi alikuwa amebakia mtu mmoja kujiunga mikono, Leo mmemuona Lema, Hawa hawakitakii mema chama hata kidogo wanachojali ni pesa ya Ford Foundation chini ya Maria na genge lao, Lema kakimbia kugombea kanda kisa kaona atatandikwa kwa usaliti wake, bado Lema na Lissu wamejificha Ubelgiji na Canada licha ya Maridhiano kuwapa fursa ya kurudi wakafutiwa kesi na kulipiwa madeni yao na Serikali ya Samia😂, Sasa wanarudi Bongo kwa kuvizia wakiwa na tiketi ya Go and return… Halafu wanawapangia wanachadema nani awe Mwenyekiti. Wanachadema Mwenyekiti wao ni Mbowe hawadanganyiki wala kutishika!
Indonesia
560
31
504
118.3K
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
Kwa taarifa yako Kigaila ni nyoka mbaya kuliko hata hao madalali, Kigaila ataishije ndani ya nyumba akiwa na Mmoja wa Covid bila kuichoma CDM? Kwanini FAM hajawahi kumsema Kigaila kwa mapungufu hayo? Je kwanini tusiamini kuwa Covid 19 walipitishwa na FAM kimtindo na kwa Siri Sana
TRUTH@untouchable9288

@YerickoNyerereT Unamuonea buuuure @MariaSTsehai . Ccm mnao wenyewe ndani ya chama tena baadhi, wake zao ni wabunge covid 19. Kwaakili yako unaona Kigaila ni chadema😀😀😀

Filipino
0
0
0
34
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
@Domikhalifa @MariaSTsehai Kule Shinyanga Usukuma ulimbeba, wasomi wapinzani wamejazana CCM ili watumbo yao yajae na mwisho kumbuka fedha za Abdul hazikuanza jana
Indonesia
0
0
1
42
domikhalifa
domikhalifa@Domikhalifa·
@MariaSTsehai Me najiuliza huyu Ntobi kawezaje kua mwenyekiti wa kanda huko atokapo.. Kichwa empty namna hii 😂😂😂😂😂
Indonesia
1
0
0
102
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Wale vishoka wa “ile hela tuma huku” Na hawa waliovaa suti wana tofauti gani?🤣🤣 Ila mi niliwatahadharisha kama mwaka sasa mkaamini eti “chuki” Nikawaambia #TutaelewanaTu Sasa tushaelewana siyo?
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
121
69
501
71.5K
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
Wamenajisi vazi la Suti na mawazo yao hayana tofauti na akili za anayejiita Steve Nyerere
mapimomo@Twitanian79

@MariaSTsehai Wamevaa suti ila ubongo upo wazi, no any kind of critical thinking Au walizaliwa wametanguliza matako?

Indonesia
0
0
0
11
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
Ntombi na Yericko Bora wangejificha kwenye keyboard zao kuliko kuja kichwa kichwa kwenye luninga kwani wameporomosha hadhi zao at a tremendous speed, watu tulikuwa tunafikiria ni watu wa kujenga hoja kumbe ni madalali wa matumbo yao, na iwe vyovyote vile TAL komaa nao tuko pamoja
Think Different@lifeofmshaba

@MariaSTsehai Hawe kweli vichoka ,wameingia kichwa kichwa kwenye mdahalo

Pwani, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
1
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
Nakumbuka picha ya FAM akitokea mahabusu akiwa na suti Kali ndani ya Ikulu nikajiuliza mbona hakuwa anapiga suti kule mahakamani Kama vile? Niliamini Suti ilitayarishwa kabla na pia kulikuwa na mapatano siri akiwa mahabusu na ndipo niliamini kuwa Hiyo ni picha bure la DRIVE INN
The Chosen@Kil42788

@Sativa255 @HecheJohn Siku mdude anakmatwa kule mbeya.. Tena anakamatwa mbele ya mwenye kiti wake..hakuna alicho sema huyu dictator mbowe. Nika kumbuka ile stori ya kwenye bible yesu alipokua anakamatwa ishara ya kwamba nitakae mbusu ndio huyo mkamateni Mbowe ni yuda He will never find peace kamwe

Pwani, Tanzania 🇹🇿 Filipino
0
0
0
8
Godagoda retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Naona @HecheJohn kapandisha hii picha pale IG usiku huu. Ni wazi sasa tunaongea lugha MOJA. Hatuwezi kushindwa uchaguzi huu. Maumivu ya mchana tuyasahau, tuendelee kuamini kama tulivyoanza pamoja, tumalize pamoja. Taifa letu sote hili. Hakuna kumzilia mtu, tutalilinda kwa WIVU MKUBWA SANA. Repost 400 za kibabe.🫵🏾🔥
SIR TIVA tweet media
Indonesia
80
376
1.6K
64.3K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Na; mwandishi wetu Mjumbe wa Mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @ChademaTz kutoka Kigamboni, Dar es Salaam Yericko Nyerere @YerickoNyerereT ameendelea kumshukia vikali Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tanzania Bara Tundu Lissu @TunduALissu kwa kudai kuwa amekuwa ni kiongozi muongo na anayependa kuwashushia tuhuma 'nzito' viongozi na wanachama wenzake majukwaani ili tu ajijenge na kunufaika yeye kisiasa jambo ambalo si la kiungwana Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye mitandao yake binafsi ya kijamii, kada huyo wa CHADEMA ametolea mfano tuhuma za 'mabilioni ya Abdul' ambayo mara zote Lissu amekuwa akituhumi viongozi wenzake ndani ya chama hicho kufikiwa na 'mabilioni' hayo na kutengeneza mianya ya rushwa ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani nchini, tuhuma ambazo Yericko anasema kuwa ni za uongo na za kupuuzwa Amesema licha ya kwamba Tundu Lissu kwa nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili lakini mara zote hajawahi kuitisha kikao wala kushughulikia jambo hilo zaidi ya kwenda hadharani kinyume na Katiba ya chama hicho Yericko ameendelea kufafanua kuwa moja ya miiko ya Kikatiba kwenye chama hicho ni kwamba mtu au watu wanaobainika kujihusisha na vitendo vya rushwa adhabu yake ni kufukuzwa uanachama "Sasa baada ya kelele zake kuwa nyingi chama kiliamua kuingilia kati, kikamtaka aeleze ndani ya vikao akashindwa kueleza kwa ushahidi, ndipo mmoja wa viongozi waandamizi (Ezekia Wenje @WenjeEzekia, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Viktoria na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho) akaomba kukifafanulia chama kuhusu undani na ukweli wake hiki kinachoitwa rushwa ya Abdul kwa viongozi wa CHADEMA" -Yericko Anasema mbele ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na mbele ya Lissu, kiongozi huyo alifafanua kwamba yeye kama mfanyabiashara na mtu maarufu nchini ana urafiki wa karibu na Abdul (mtoto wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia, aitwaye Abdul Hafidh Amir), na kwamba kwa kuwa Lissu alikuwa akiilalamikia sana serikali kwamba pesa yake ya matibabu hajalipwa, na kwa kuwa hilo ni haki yake kwa mujibu wa kanuni za Bunge @BungeTanzania, hivyo inaelezwa kuwa kiongozi huyo aliona ni vyema akazungumza na Abdul ili asaidie 'kusukuma' serikali imlipe Lissu hela zake Inaelezwa baada ya mawasiliano hayo, Abdul aliuliza endapo Lissu (ambaye kwa sasa ni mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) ana nyaraka za kuthibitisha madai hayo, na alipojibiwa kuwa anazo ikamlazimu kiongozi huyo ampigie simu na kumueleza kwamba kuna mtu anayeitwa Abdul ambaye anaweza kusaidia 'kusukuma' kupatikana kwa stahiki zake "Wakapanga miadi (ahadi) wakutane wote nyumbani kwa Lissu, wakamkuta akiwa na msaidizi wake bwana Djumbe hivyo kikao kikawa cha watu wanne, ambapo Abdul alimuomba Lissu nyaraka zake zote za madai ya matibabu na akamwambia azitume kwa email, zikatumwa, kikao kikaisha kiongozi yule na Abdul wakaondoka zao) -Yericko "Sasa wiki kadhaa baadaye wakati mchakato wa malipo hayo ukiendelea chini ya Abdul, Lissu akagundua kiongozi yule aliyempeleka Abdul kwake amemgeuka, hamuungi mkono kwenye ajenda zake kadhaa mbeleni, Lissu akaamua kumzushia kwamba kiongozi huyo aliyempeleka Abdul kwake ili amuhonge mamilioni ya pesa, na kwamba ana ushahidi wa CCTV camera za kikao, ndio akaamini amemshika pabaya kwa kuwa ana video za kikao ambazo kwa ujanja wame-mute sauti" -Yericko Aidha, Yericko Nyerere anasema kashfa hiyo iliwaunganisha viongozi wengine wengi ndani ya chama hicho akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa ambaye pia anagombea tena kutetea nafasi hiyo Freeman Mbowe @freemanmbowetz kwa madai ya kwamba amehongwa (amepokea rushwa), ingawa bahati mbaya ni kwamba Lissu alituma pia nyaraka zake kwa njia za email, jambo ambalo ni ushahidi tosha kwamba kikao chao kilihusu nyaraka hizo na si vinginevyo... (fuatilia uzi huu)
Jambo TV tweet media
Indonesia
65
18
181
42.8K
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
Ujinga huu kafungue Darasa upate maokoto yako na sio kwa Wana X, angalia kura za maoni zinavyokutupeni nje ya ulingo, bwana mdogo ni wakati muafaka Sasa mkaanza kuandaa makazi mapya kwani baada ya uchaguzi hamtakuwa na nafasi ndani ya CDM, CCM Wala kwa sebuleni kwa FAM
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT

Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao. Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm. Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master! Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani. Na Yericko Nyerere

Indonesia
0
0
0
13
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
Hiki ndicho ambacho CCM anataka kitokee na watu wamesema hawatoki CDM mpaka kieleweke wakiwa ndani ya cycle
The 6th Estate@Oraibtz

@Jambotv_ Style ya Lipumba. Kabebwa na system mpaka Ubungo Plaza. Vurugu zikaanza hatimae msajili akampa CUF Lipumba na kufa

Indonesia
0
0
0
14
Godagoda
Godagoda@Njoleho·
Kweli pesa hupofusha Leo FAM hawezi ona Wala kunusa zaidi ya urefu wa pua yake?
KIDUKU@TanzaniaOneJezi

@Mwabuk2Boniface Masaa Mawili Ya HOTUBA Yakujitetea, Hotuba Isiyokua Na Uelekeo Wa Miaka Mitano Ijayo. Hotuba Isiyokua Na Sababu Ya Msingi Kwanini Nagombea Zaidi Ya Kutaka Kufikia Rekodi Ya Umri Wa Mzee MTEI. Hotuba Imejawaa HASIRA Na JEURI “Kifo Cha Mbwa Huanza Pale Anapopoteza Uwezo Wakunusa”

Pwani, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
7
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Wakati Kipara akiusaka Urais kwa udi na Uvumba Huku akigawa Mpaka gesi kwa Pesa isiyo julikana inatoka wapi Kasahau Jimbo lake kuwa ni Muhimu kuanza kwake, hii shule iko jimboni kwake !
Filipino
8
27
132
19.6K
Hekimatupu
Hekimatupu@Hekimatupu1·
@ExMayorUbungo Hawa ni miongoni mwa watu aliosema mkuu wa majeshi kuwa ni wahamiaji wenye vyeo vikubwa katika vyo vya ulinzi na usalama. Huyu ni mnyarwanda.
Indonesia
2
0
3
1.9K
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Dondoo za X intelligence and security "Kamanda Bonny, huyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga ndiyo alikuwa RCO mkoa wa Geita wakati Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita Kamanda Alphonce Mawazo anauwawa kule Geita. Kama viongozi wenu wametoka salama katika Pori la Halunga basi wakatoe sadaka ya Shukrani Huyo huwa anapelekwa maeneo yenye upinzani kwenda kuwadhibiti na kusaidia CCM."
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
114
261
1.5K
101.5K