Gerald Hando

1.7K posts

Gerald Hando

Gerald Hando

@Gerald_Hando

Katılım Eylül 2017
368 Takip Edilen4.2K Takipçiler
Gerald Hando retweetledi
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
African Governments should create ministries that will focus on Artificial intelligence (AI), AI can help in Agriculture, i.e precision farming, monitoring of crops, predicting of yield. I also urge our continent to use AI in education, Supporting students with intelligent tutoring systems, learning platforms that personalize education.
English
100
144
1.1K
127.2K
Gerald Hando retweetledi
Hussein M Bashe
Hussein M Bashe@HusseinBashe·
Salaam ndg zangu Mwaka huu serekali iliamua kununua mahindi kwa ajili ya kumuhakikishia Mkulima Soko,Mpaka sasa 200,273mt zimenunuliwa thamani 187.9bn tumelipa 137bn na leo tumeanza kufanya malipo ya 56bn ilobaki ,jana na leo tumelipa 4.3bn na mpaka Jnne tutakua tumemaliza.
Indonesia
141
110
978
91.7K
Gerald Hando retweetledi
Mulastar
Mulastar@Mulastar255·
@thisistemidayo @jambogrouptz Tatizo ni Content sio Jengo wala ubora wa studio cs bila hivyo hayo mengine ni Zero tu, unless huyo owner awe anasafishia pesa hapo
Filipino
1
2
8
3.8K
Gerald Hando retweetledi
Lucas E. Malembo
Lucas E. Malembo@MalemboLE·
Once I become rich, one thing I don't want to hear is “don't let money control you” when poverty was controlling me you were silent. MalemboLE.
Lucas E. Malembo tweet mediaLucas E. Malembo tweet media
English
24
61
305
22.8K
Gerald Hando retweetledi
Alexander
Alexander@AlesandroJR·
NIA NJEMA. Kumheshimu Mungu wangu Namtolea roho yangu, Nifanye kazi nipumzike Amri zake tu nishike Wazo, neno, tendo lote Namtolea Mungu pote Roho, mwili chote changu, Pendo na uzima wangu Mungu wangu nitampenda, Wala dhambi sitatenda. Jina lako nasifia, Utakalo hutimia. Kwa utii navumilia Teso na matata pia. Nipe, Bwana, neema zako Niongeze sifa yako. Amina.
Alexander tweet media
Indonesia
37
51
420
18.1K
Gerald Hando retweetledi
Joseph Mramba
Joseph Mramba@JosephMrambaTZ·
Future Leo #GodPower 🇹🇿 🤝 🇨🇳
Joseph Mramba tweet media
Español
7
23
233
11.2K
Mdude Nyagali
Mdude Nyagali@mdudenyagali·
Nchi ya ujerumani ina ukubwa wa 357,592 km² na inaingia kwa TZ mara 2 na nusu na idadi ya watu milion 82. Lakini wameanzisha utaratibu wa kuwalipa raia wasio na kazi huku TZ ambayo ina kila rasilimali ikitoza bima ya afya kwa mtoto mmoja laki 120. Mtatubia mpaka lini nyie vibaka?
Mdude Nyagali tweet media
Indonesia
47
116
507
17.8K
Gerald Hando retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Ayoub Lakred • Nyanda la MUDI Matik-tok.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
39
28
677
40.6K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Camera men wa Wasafi Festival quality ya LIVE 🚮
Indonesia
11
4
232
11.9K
Lucas E. Malembo
Lucas E. Malembo@MalemboLE·
Yesu na wanafunzi wake walikuwa wanajengana mfano Petro alikuwa na ujasiri wa kumkea Yesu, jamii yetu leo watu tumekoswa ujasiri wa kujengana na viongozi wetu. Kwanini?
Indonesia
15
8
85
3.4K
Lucas E. Malembo
Lucas E. Malembo@MalemboLE·
Kujiajiri ni jambo rahisi na siyo jambo rahisi sana.
Indonesia
22
18
142
13.2K
Gerald Hando retweetledi
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Kipa wa MO mmemuonaaaaaaaaa..?
Filipino
156
34
1.2K
79K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Wakati Sisi tunaona ni katiba, wenzetu wanaona ni kitabu tu!!😎
Indonesia
23
31
315
9.6K
Gerald Hando retweetledi
Dr.Eli Isaac (MHAINI) 🇹🇿
@PMadeleka Wewe ni kweli ulionewa au inawezekana ulionewa kwa habari ya Plea Bargain.Lakini usivuke mstari na kusema hivyo kwa wengine kwa sababu najua huna uhakika. Tunafurahi umetoka na upo huru,wala hawana watakalokufanya!Lakini kuwa mateka wa machungu yako na kusema uliyosema si sawa!
Indonesia
0
1
10
2.6K
Gerald Hando retweetledi
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv@OlengurumwaO·
Ameandika @HKigwangalla Kwa huyu Chui, hiki ni chakula chake yeye na wanaye. Amekipata kwa shida sana. Haitokeagi mara nyingi wanyama wawindaji wakawinda jike tena lenye kunyonyesha, ukiona imetokea hivi hua muwindaji amezidiwa sana! Lakini kwa mtoto wa kima, anayeenda kuwa chakula cha party ya Chui na familia yake ni mama yake mzazi, ni family. Hajui family ya karibu zaidi ya huyu, ambaye amekuwa chakula cha chui, hajui pa kwenda, na wala anaanzaje kesho yake bila mama yake. Kila unapokumbana na choice ya kufanya chochote kile kwenye maisha yako, kumbuka unaowafanyia wana familia kama huyu mama kima, basi baki na choice moja tu - kutenda haki na wema dhidi ya wengine, kwa sababu nyuma yao kuna kundi kubwa linalowategemea. Mara kadhaa katika maisha yangu nimewahi kuwa kwenye nafasi/mamlaka ya kuamua mustakabali wa maisha ya wengine, Kwa hakika nilijitahidi kuchagua kuwatendea wema na haki badala ya kuwamaliza. Kama ninavyowapenda akina Sheila wangu, huwa naamini na wengine nao wanawapenda akina ‘Sheila’ wao! Hata kwa wale walionitendea ubaya, sikuwahi kuwalipizia ubaya - nilichagua kusamehe. Tupendane ndugu zangu, maisha haya ni mafupi, na kesho kuna hukumu kutoka kwa HAKIMU wa Kweli! #HK #Fighter #NjeYaBox
Olaigwanani-Olengurumwa, Adv tweet media
Indonesia
2
9
13
15.6K