father pig

3.3K posts

father pig

father pig

@Topboy019

The D.D.O ( Daily drinking officer),

Chiyoda-ku, Tokyo Katılım Mayıs 2020
189 Takip Edilen126 Takipçiler
NO PEACE NO JUSTICE.
NO PEACE NO JUSTICE.@princeyohana93·
@Mwabuk2Boniface Yaani wewe huna tofauti na mbowe unaweza ukawasha moto kuiweka serikali tumbo joto wakiona umewaka sana wanakuita wanakupa kibunda unanywea kwa mdude ulisema TLS itaweka karamu chin sijui iliishia wapi ukaanza drama kwhy wewe punguza maneno yasiyo kuwa na vitendo vinavyoleta tija
Indonesia
7
1
28
9.3K
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
Nimepokea Taarifa kuhusu kukamatwa na kutoonekana kwa vijana hawa katika kituo cha Polisi Arusha au Usariver ilikodaiwa wamepelekwa. Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv.David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa Chapter ya Arusha. Sanaa ni Taaluma na ni njia halali ya kufikisha ujumbe na hatutarajii kuchukuliwa kuwa kosa la jinai na hakuna sheria yeyote inahokataza wananchi kukoska viongozi,kuwapenda au kumchukia mtu.Huo ni utashi binafsi wa Mhusika. Tunalitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani mara moja au la kuwapa haki yao ya dhamana iwapo wanatumhumiwa kwa kosa lolote na kuwapa haki ya kuwasiliana na ndugu au Mawakili wao. TLS inafuatilia jambo hili kwa ukaribu na Kulipa Uzito wa kipekee BAK Mwabukusi President
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
115
443
2.2K
99.6K
Shija S.S.Shibeshi
Shija S.S.Shibeshi@ShijaShibeshi·
Huyu Dada kajiunga Chadema Jana akitoka CCM.Leo Yuko Serengeti anakiwasha🔥🔥 Naomba TUPIGE Repost za kutosha ili madalali wa Serikali iwafikie💪💪💪💪💪
Shija S.S.Shibeshi tweet mediaShija S.S.Shibeshi tweet mediaShija S.S.Shibeshi tweet mediaShija S.S.Shibeshi tweet media
Indonesia
59
516
2K
40.4K
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
Waislamu wote tunaijua surah Kafirun. Acheni kuingilia dini za wenzenu. Amini unachotaka kuamini wewe na waache wao waamini wanachotaka kuamini wao. Unataka kuwaingilia mawaidha yao ya Pasaka kama nani? Soma sura 106 ayah 1-6 ya Quran iliyoshushwa Makkah.
fatma karume aka Shangazi tweet media
Indonesia
151
200
1.4K
108.7K
father pig
father pig@Topboy019·
@natanaeliW @spana_Konki Kukopi na kupaste inaruhusiwa kikubwa useme umetoa wapi na jamaa kaonyesha hapo shida yako wewe ni nini?
Filipino
0
0
2
361
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Pengine wajiuliza baada ya Pope kufariki nini kitafuata. Hivi ndivyo Kanisa Katoliki huchagua Kila kitu unachohitaji kujua kuhusu mkutano wa kuchaguliwa Papa ( Papal Conclaves ) Thread ( Uzi) 🧵
Spana & V.A.R Movement tweet media
Indonesia
63
171
1.8K
186K
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
Nakuombeni mlio na BUSARA mmuambie huyu Sheikh Makanzu akae KIMYA. Asiingilie DINI ya wenzetu wala asiwaambie cha kusema Makanisani mwao. Sijawahi kumsikia Padre wa Kikatoliki kuwambia Waislamu salaam za Eid zitolewe vipi! Huu UCHAWA utatuweka pabaya!
Indonesia
360
294
1.3K
95.1K
iddi
iddi@iddisalum91·
@chechetimes Watanzania wenzangu uwelewa na huyu jamaa, alipigwajiwe alikimbia inchi, huyu Hana nia nzuri na taifa au watanzania tusiwekaribu nae kwa hatufai kutunganisha watanzania wote
Indonesia
5
0
6
3.7K
Cheche Times
Cheche Times@chechetimes·
Tukiweka siasa pembeni, hizi ni kauli hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu.
Indonesia
150
29
528
139.2K
father pig
father pig@Topboy019·
@chiefodemba Na je virusi hivyo vitakuwa vinabagua watu wa CHADEMA?
Indonesia
0
0
0
65
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
Hii ni kauli nzito sana, kama ina ukweli ndani yake Je mamlaka wamechukua hatua gani mpaka sasa ili kuwanusuru watanzania…? Na kama haina ukweli Chadema wanachukua hatua gani dhidi ya kauli hii, ambayo inahatarisha maisha ya watanzania..? Ni vyema viongozi wetu wakachuja kauli zao kabla ya kuyatoa hadharani..! #Tanzanianiyetusote tuijenge pamoja.
Indonesia
287
231
1.1K
79.9K
goligani
goligani@goligani·
SINGO DIJITI haka nako mnakosa kweli?😂😂😂😂
goligani tweet media
74
21
443
61.3K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
ARUSHA: Naibu Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha Mjini, David Malaki amelazimika kusitisha mazungumzo yake na Wananchi wa Mtaa wa Nadokati, Arusha Mjini waliogoma kumsikiliza kutokana na kutoa kauli ambayo ilionekana kuwakera baada ya kuwaita “Wajinga” Chanzo cha yeye kufika hapo ni baada ya Wananchi kuziba Barabara wakidai ni mbovu na imekuwa kero kwao kwa muda mrefu Inaelezwa baada ya Kiongozi huyo kuondoka eneo hilo kwa kushindwa kuzungumza na Wananchi, Ofisi ya Meya ilitoa gari maalum kwa ajili ya kurekebisha Barabara hiyo ambayo ilifungwa na Wananchi hao Soma jamii.app/ArushaMjini #JamiiForums #Governance #Accountability #CivilRights
Indonesia
11
22
147
8.5K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Baada ya nchi ya Ujerumani kuzuia misaada mipya ya kimaendeleo kwenda kwa taifa la Rwanda kwa kudai taifa hilo linaunga mkono kikundi cha waasi cha M23. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ya Rwanda imeijibu Ujerumani kwa kudai kuwa wanaipendelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na hawaiwajibishi. Katika taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imesema “Usitishwaji wa ushirikiano wa maendeleo na serikali ya Ujerumani ni wa kimakosa na hauna tija. Ujerumani inajipinga yenyewe kwa kudai kuunga mkono mchakato unaoongozwa na Afrika wa kutatua mgogoro mashariki mwa DRC, huku ikiiacha DRC bila kuwajibishwa kwa ukiukwaji wake mwingi wa makubaliano. Hili linaimarisha tu mwelekeo wake wa uchokozi na kurefusha mgogoro bila sababu.” Taarifa hiyo imeongeza kuwa “Ujerumani inaonyesha ukosefu mkubwa wa ujasiri kwa kupuuza tishio linalotokana na wanamgambo wa FDLR wanaoungwa mkono na DRC kwa Rwanda, pamoja na jamii za Watutsi wa Kongo mashariki mwa DRC.” Rwanda imeshangazwa na uchukuaji wa hatua Ujerumani ambao umeamua kuchagua upande mmoja “Nchi kama Ujerumani, ambazo zina jukumu la kihistoria katika hali ya machafuko ya mara kwa mara katika eneo hili, zinapaswa kujua vyema zaidi kuliko kutumia hatua za upande mmoja na za kulazimisha.” Pamoja na hayo Rwanda imesema itaendelea kulinda usalama wake wa kitaifa huku ikiendelea kushiriki kikamilifu katika mchakato wa amani wa kikanda unaoendelea.
Jambo TV tweet media
Indonesia
55
17
354
67.7K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Ondyeki. Watoto wanawezahisi ni jina la dawa
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
105
31
1.1K
106.9K
father pig
father pig@Topboy019·
@TwevePauLo @Deo18Tarimo Kijiamini hata kama ana miguu kama antenna za grasshopper 🦗🦗 🤣🤣🤣 Red pensi (2025) PICHA YA KWENYE GARI. mkobozi press.
Indonesia
0
0
0
46
father pig
father pig@Topboy019·
@Mkondya98 Kwa sababu mmetangaza mnahitaji mtu wa kufanya kazi
Indonesia
0
0
0
20
manyuel
manyuel@Manyuel76·
Hiv Swali Kama Hili Unajibu Vp Kwenye Usaili "Kwann Tukuajiri"?? Naombeni Mwongozo👇🏻
Indonesia
28
28
45
6.1K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli ametoa pikipiki tano zenye thamani ya Tsh. milioni 17 kwa Makatibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya zote za Mkoa wa Geita ili ziwasadie kwenye shughuli zao za kila siku za Kichama. Jesca amekabidhi pikipiki hizo kwa Katibu wa UVCCM Mkoa wa Geita, Abel Shamakala ili kuongeza ufanisi wa utendaji wa shughuli mbalimbali za ujenzi wa Jumuiya katika Mkoa huo, ikiwa ni pamoja na kuwahi vikao na kufika Kwa Vijana na kutafuta kero zao. Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa, Reuben Saganyika amemshukuru Jesca Magufuli kwa mchango wake “Hizi pikipiki zitakwenda kufanya kazi, na hasa kipindi hiki cha Uchaguzi, pikipiki hizi zitakwenda kusaka kura za Chama Cha Mapinduzi, zitakwenda kuleta ushindi Kwa Chama Chetu ndani ya Mkoa wetu wa Geita, hivyo tunakushuruku sana Dada yetu” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
240
52
1.8K
167K
father pig
father pig@Topboy019·
@JamiiForums Alafu ni vitu vya ajabu sana na kutafutia watu ulaji cheti kimetolewa na taasisi(chuo) kinachotambulika sijui mwanasheria anaingiaje hapo 😳😳
Suomi
0
0
0
267
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
Mdau anadai amekuwa akikutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili kuweka vilivyohakikiwa na Mwanasheria katika Tovuti ya Ajira Portal, hali ambayo inamfanya kukosa sifa ya kuchaguliwa kila anapoomba Ajira Anadai amekuwa akipiga simu ya Huduma kwa Wateja lakini haipokelewi na mara nyingine anajulishwa Simu inatumika, amejaribu kuuliza kwa wenzake kadhaa nao wamekutana na changamoto hiyo pia Anatoa wito Idara husika iangalie namna ya kusaidia Wateja, kama wanazidiwa basi watafute njia mbadala badala ya kuwa kero kama ilivyo sasa, anadai ni zaidi ya Mwezi Simu hazipokelewi Soma jamii.app/AjiraPortal #JamiiForums #Accountability #JFHuduma #DigitalWorld
Jamii Forums tweet media
Indonesia
27
15
162
14.6K
father pig
father pig@Topboy019·
@goligani Itakuwa usukumani Balimi na hiyo nyimbo ya nzuki
Filipino
0
0
0
58
goligani
goligani@goligani·
TANGAZO maalum toka BACK BENCHA: Mwenye Baba yake aje hapa BARAKUDA muda huu watoto wa EFU MBILI wanamaliza HELA ZOTE za kustaafu alizolipwa 🙆🏿🙆🏿
Indonesia
38
19
92
7.1K