Zakayo Pius(Mwanafalsafa)

13K posts

Zakayo Pius(Mwanafalsafa) banner
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)

Zakayo Pius(Mwanafalsafa)

@ZakayoPius

God can Do or change anything your thoughts can't think for, Anti-Corruption//₩Human right matters//₩Politics and Human affairs(Alute continue)👊👊Praise God!

Central Region, Singapore Katılım Eylül 2016
5K Takip Edilen3.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)@ZakayoPius·
Kiswahili kinasema, Mtu mwenye mkono mrefu maana yake ni mwizi!, Wahenga nao wanasema, serikali ina mkono mrefu!, Sijui na wewe umeanza kufikiria kama ninavyofikiria mimi?
Indonesia
1
1
2
341
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)
@PMadeleka Siku zote damu huwa haimwachi mtu salama, huyu mama siku hizi anaenda sana kule Bungi Zanzibar kwa Mganga wake lakini mambo bado magumu vilevile.
Indonesia
0
0
0
849
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Asante sana Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuendelea KUSEMA UKWELI 👇. Halafu Jaji CHANDE anasema eti “POLISI HAWAHUSIKI”. Naomba MUNGU anijalie NIENDELEE KUKUAMINI. Nakupenda sana MAMA YANGU.❤️
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
52
142
1.1K
46.2K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Ukiambiwa serikali ni LIDUDE LIKUUUBWA hivi inabidi mtu awe anaelewa. Sasa jamaa alijiona ni mtemi kuliko mamlaka kiko wapi sasa? Huenda funza walishalitimiza jukumu lao kitambo mno.🤣😂🤣
BARADHULI tweet media
Filipino
99
14
114
30K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta mtuhumiwa anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), mkulima na mkazi wa Kinyankaya, Kata ya Unyambwa, Wilaya ya Singida, kwa tuhuma za kupandisha bendera tano zinazofanana na Bendera ya Taifa la Tanzania katika shamba lake. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP. Amon Kakwale, amesema tukio hilo lilibainika Juni 26, 2026 majira ya saa 5:00 usiku baada ya Polisi kupata taarifa kutoka kwa wananchi. Uchunguzi wa awali ulibaini uwepo wa bendera hizo pamoja na bango lenye ujumbe unaosema “UZINDUZI WA MAPENZI.” Mtuhumiwa alitoroka baada ya kubaini kuwa anafuatiliwa na Jeshi la Polisi. Upekuzi uliofanyika nyumbani kwake ulifanikiwa kukamata baadhi ya vifaa vinavyosadikika kutumika kutengeneza bendera hizo. Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linaendelea na juhudi za kumtafuta mtuhumiwa huyo na linawaomba wananchi kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwake. #EastAfricaTV
Indonesia
105
10
190
50.5K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mahakama imetenda haki, na wote tushangilie! Au tuendelee na matusi?
Eesti
129
6
86
17.5K
Zakayo Pius(Mwanafalsafa) retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Huyu dada ana akili kuliko maCCM yote , wanajifanya wendawazimu wakati mambo yani wazi sana
Indonesia
25
232
907
26.5K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Asante sana Mwenyezi Mungu. Jina lako libarikiwe.
Godbless E.J. Lema tweet media
HT
151
552
3.1K
76K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Nilikuwa napata ukakasi kwanini TEC wapo karibu na Chadomo kumbe mambo yenye ndo haya. Moyo umeniuma sana. Dunia simama nishuke.🙌
BARADHULI tweet media
Filipino
138
27
119
60.7K
Mamelodi Sundowns FC
Mamelodi Sundowns FC@Masandawana·
🏆 𝗧𝗛𝗘 𝗝𝗢𝗨𝗥𝗡𝗘𝗬 𝗜𝗦 𝗖𝗢𝗠𝗣𝗟𝗘𝗧𝗘 🏆 A proud showing from The Brazilians on the biggest stage. Bafana Ba Style are your African Champions! 👆🔥 AS FAR (40' Hrimat) 1️⃣ (1) ➖ (2) 1️⃣ Mamelodi Sundowns (45+7' Mokoena) #Sundowns #TotalEnergiesCAFCL #AreyengMasandawanaUntilItsDone
Mamelodi Sundowns FC tweet media
English
1.1K
3.3K
12.4K
291.1K
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)@ZakayoPius·
@MsigwaPeter @MuggyMaggy Sasa pale stesheni ulihamaje traini na wakati ulikuwa unajua kama hii siyo ile ya kwenda Middlesbrough na badala yake inaenda Birmingham?, hapa unataka umlaumu nani kama siyo akili yako nyembamba na moyo wako wa tamaa na urafi tu,maana ulionyeshwa paja la Kuku udenda ukakujaa.
Indonesia
0
0
4
257
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
“Ukigundua umepanda treni isiyokupeleka unakotaka kwenda, shuka kituo kinachofuata. Kadri unavyoendelea nayo, ndivyo gharama ya kurudi inavyokuwa kubwa zaidi.” Japanese proverb
Filipino
222
271
2.1K
53.9K
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)@ZakayoPius·
@SuphianJuma @SuluhuSamia Sasa tuseme Chadema wao ndo wanatekana,siraha na pingu serikali ndo imewakabidhi?, Kama huwezi kutumia akili,tumia hata miguu basi kufikiria kisha ndo uje kuropoka hapa,wakati ninyi mnatamani kupata dakika moja tu ili muimalize Chadema .
Indonesia
1
0
2
177
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Uhai wa CHADEMA unatokana na kuchafuka wa Rais @SuluhuSamia Serikali na CCM. Kuliko CHADEMA kufa kwa kukosa agenda, ipo tayari kutekana na hata kuuana wenyewe kwa wenyewe kwa staili yoyote ilmradi tu Rais, Serikali na CCM waonekane wahusika. Jiulizeni kwanini CHADEMA tu sio ACT⁉️
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
22
1
11
3K
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)
Zakayo Pius(Mwanafalsafa)@ZakayoPius·
@MagoigaS @HildaNewton21 Kama huna mbinu za kivita huwezi elewa,kuna kitu kinaitwa mission,kwahiyo kila mission hupewa mtu maalumu wa kuikamikisha lakini kiongozi mkuu anabakia mmoja ambaye kwa haya yote yanayoendelea kiongozi mkuu ni Samia na Mwanae mwenye kuitwa Abdul.
Indonesia
1
0
3
143
FOT
FOT@MagoigaS·
@HildaNewton21 Siwakubali ccm na familia yao lakini mbona kila siku mnapost watu wanaoongoza hilo kundi kwani hilo kundi lina viongozi wangapi na wafuasj wangapi au kila mtu ni kiongozi
Indonesia
4
0
1
1.8K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️ALERT‼️ Huyu naitwa Sumai Ramadhani huyo ndo anaongoza kikosi cha Abdul mtoto wa Nduli Idd Amin mama ambacho kinateka na kupoteza watu ambao wanaikosoa Serikali haram. Kama mlimsikiliza Msaidizi wa Mhe. Lissu, kaka David Jumbe, kwenye maelezo yake juzi alisema mtu aliyeongoza kundi la watu waliomteka ni Mzanzibar sasa Mzanzibar mwenyewe ndo huyu hapa. Mkimuona huko mtaani muwe makani nae.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
28
206
911
30.1K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Huyu KIBAKA anatoa milio anasema alikuja kuboost michezo TANZANIA na kutangaza UTALII sio kufanya siasa. 1- Tuonyeshe hata Acadermy moja ya mpira uliyotembelea au huyo JOYCE WOWOW (MATAKO NA MAHIPS MAKUBWA) aliyokutembeza. Sisi tumeona umeenda BUNGENI, Umeenda Mbugani hilo soka ya "Youth" ulilokuja kuhamaisha ulikuwa unafanyia CHUMBANI na GIRISHONI? 2. Kuhusu kuwa balozi wa Utalii wa Tanzania, tangu umetua Tanzania umewahi kupost kwenye mitandao yako kuijulisha dunia upo Tanzania? Au huo UTALII ulikuwa unautangaza kwenye kiuno cha JOYCE WOWOWO huko mbugani? Watanzania sio wajinga-dozi imepelekwa kisawasawa siku hizi 3 sijui mbili ulizokaa zimetosha kukuanika dunia nzima hata bila kupost upo BONGO. Usicheze na DAMU ZA NDUGU ZETU takataka wewe.
SIR TIVA tweet media
Filipino
65
166
1.4K
60.3K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Focus iwe #FreeTunduLissu tu! Mengine yatafuata! Let’s be serious wapendwa! Hiki hakina chama! Lissu ni national leader si wa CHADEMA tu! Mnafikiri tuko na watu timamu wenye hofu ya Mungu? Haya ni mashetani!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
20
187
667
6.8K
Mtikila Jr
Mtikila Jr@Legend_Mtikila·
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata muda mufupi uliopita, huyu bwana ni TISS. Jamaa ni mbogamboga damudamu. Kaeni naye mbali. ✌️
Mtikila Jr tweet media
Indonesia
106
142
1.3K
81.4K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hivi Lissu tumeshindwa kabisa kumdai kwa shinikizo? 😓 Roho inaniuma sana!
Indonesia
63
312
1.8K
28.7K