Abrahamantidius

627 posts

Abrahamantidius banner
Abrahamantidius

Abrahamantidius

@abrahamantidius

Katılım Kasım 2022
188 Takip Edilen102 Takipçiler
Frank Edward Arabi (FEA)
Frank Edward Arabi (FEA)@DrArabiFrank·
Nimekutana na wadada wawili (vibonge) barabarani hapa Tabata wapo mazoezi. Ikabidi nisimame, niwape pongezi na liteni la maji. Hope imewatia moyo kuendelea na tabia ya mazoezi.
Filipino
6
0
22
1.1K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Tangu enzi za Mwalimu na Salim Ahmed Salim nchi yetu ilijijengea heshima kote duniani. Sasa ni jukumu la kizazi chetu kuendeleza kazi hiyo na kuifanya Tanzania izidi kuwa kinara kwenye Diplomasia.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
37
19
594
23.5K
BENNY UNITED 👹
BENNY UNITED 👹@kasanga_30763·
G morning, Huyu ng’ombe nilimnunua mwaka jana mwez wa 10 kumbe alikua na mimba leo ameniletea ndama 🫵🏽🤌🏽✌️
BENNY UNITED 👹 tweet media
Filipino
5
5
11
443
inno 💉
inno 💉@innos__·
Sponsored by Arsenal bingwa😄😄😄🎓🎓
inno 💉 tweet media
English
2
3
17
484
Dr.Kb MD🩺.
Dr.Kb MD🩺.@adam_kibona·
Nina mshukuru Mungu sana siku ya Leo nimeweza kutunukiwa degree yangu ya kwanza ya udaktari Tiba (MD) from @muhimbiliuniver Adam J Kibona MD, Dr. Kibona(kb). #Godaboveall
Dr.Kb MD🩺. tweet mediaDr.Kb MD🩺. tweet media
Indonesia
20
16
66
2.6K
YøuR BøY
YøuR BøY@Official_omy19·
Hata Google Maps haiwezi kuonyesha njia ya kutoka kwenye mateso ambayo Arsenal itasababisha 🔥#COYG
YøuR BøY tweet media
Indonesia
1
0
1
65
Nikkwapili
Nikkwapili@nikkwapili·
Usipo iaminia kesho hutaweza kubadilika leo
Indonesia
2
35
236
10.7K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Kesho session zitaanza saa 3 kamili. I promise bakora za kesho zitakuwa za moto sana. Soma ili unielewe ikiwezekana unikosoe. Usi hate moja kwa moja, sikosei kila siku na sipatii kila siku. Lakini wueeh, kesho nitamwaga vitu kinoma noma. Get ready.
Indonesia
10
14
266
8.6K
Samson Ngonyani
Samson Ngonyani@sam_md_29·
Experience mpya ya kufanya Morning Run 8.04KM katika pace ya 4'58"/KM nikiwa field kijiji cha masaki wilaya ya kisarawe mkoani Pwani. Kwa mara ya kwanza nimeulizwa unakimbia nini na mwana kijiji😂🔥 #OurHealthOurWealth
Samson Ngonyani tweet mediaSamson Ngonyani tweet mediaSamson Ngonyani tweet media
Pwani, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
1
1
9
231
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ninafuatilia kwa makini muenendo wa yanayoendelea kule Mashariki mwa DRC, hasa kule Goma. Aidha, nimefuatilia juhudi za Jumuiya za SADC na EAC, ambako Nchi yetu ni Mwanachama katika Jumuiya zote. Ndani ya SADC, Tanzania ni Mwenyekiti wa Taasisi inayohusu Siasa, Ulinzi na Amani yaani Troika Organ. Bado nashindwa kuelewa hasa, hivi ndivyo Tanzania inavyotakiwa ku-engage kwenye masuala ya Kikanda? Mbona tumepooza sana, wapi tulipoteza ule umahiri wa Kidiplomasia hasa enzi za Mwalimu, Mwinyi, Mkapa na Kikwete? Ni wapi tunakosea? Rais wetu na uenyekiti wa Troika tumepooza sana. Juzi tumejikita na Energy Summit tukasahau yanayoendelea huko Goma. Usalama wa DRC ndio usalama wa Tanzania. Kila mmoja anajua. Leo hii M23 wakiikamata nchi ya DRC kama walivyoapa jana, ifahamike kuwa Tanzania hatutakuwa salama. Natoa wito kwa Rais Mh SSH na Wanadiplomasia wetu muwe karibu na Rais na kumshauri njia bora ya kuchukua hatua na kushughulika na hali ya Mashariki mwa Congo. Utulivu wa DRC ndio utulivu wetu. Ni wakati wa kuitazama DRC na hali yake ya usalama. Take Lead Now.
Indonesia
187
190
2.1K
256.7K
Lucas E. Malembo
Lucas E. Malembo@MalemboLE·
Nimepita salama kwenye Msiba wa Mama yangu Mzazi, na Mkurungezi mwenza wa @MalemboFarm utukufu ni kwa Mungu.
Lucas E. Malembo tweet mediaLucas E. Malembo tweet mediaLucas E. Malembo tweet mediaLucas E. Malembo tweet media
Indonesia
34
26
526
21.7K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Nadhani Dodoma ni Kati ya miji mitatu inayokua kwa kasi zaidi ukanda wa Afrika Mashariki. Ukiondoka leo halafu urudi baada ya miezi mitatu unakuta Dodoma imebadilika sana.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
66
55
1.7K
121.5K
Abrahamantidius
Abrahamantidius@abrahamantidius·
@Dr_DGwajima Safiii sanaah Hon.Gwajima wizara umeieshimisha na Jamii kwa ujumla unafaa Dr mwenzangu
Indonesia
0
0
0
10
Chama Cha Mapinduzi
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania·
📸 Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Mugabe, Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika leo tarehe 31 Januari, 2025. #kaziiendelee
Chama Cha Mapinduzi tweet mediaChama Cha Mapinduzi tweet mediaChama Cha Mapinduzi tweet mediaChama Cha Mapinduzi tweet media
Indonesia
16
32
109
6.7K