blemo uhahula
15 posts


@Lunoul @bennyjohnson If it was a tariff for tarriff's sake, maybe... but the point is to make China blink first and force them to the table. Have to play hardball with Beijing, it's the only way.
English

@gembesimon3 @WinonCinon @YerickoNyerereT Duh! Ulisoma uchumi wa wapi kwamba pesa ikiwa na rate kubwa ndo ina nguvu?,
1 kuwait dinar = 3.26usd, je kuwait dinar ina nguvu?
Filipino

@WinonCinon @YerickoNyerereT Imechemkaje wakati 1usd =1.08 euro? & 1pound =1.29usd??
Je hauelewi Kama brics wameteka uchumi na mataifa mengi? Je Unazani Africa inaweza kuiepuka sarafu ya Brics? Leta hoja za Msingi
Polski

Ni RASMI SARAFU na NOTI mpya ya Brics imezinduliwa jana 23/11/2024 mbele ya Mkutano wa BRICS mjini Kazan nchini Urusi. Sarafu hii ni mbadala wa Sarafu ya kikoloni mamboleo ya Dola ambayo imeongozwa na Marekani kwa karne kadhaa sasa duniani, na kufanya dunia kuwa na ukoloni wa kifikra na kiuchumi.
Uzinduzi huo umefanywa na Rais Vladmir Putin katika Mkutano wa 16 wa Jumuiko la BRICS unaendelea Mjini Kazan Urusi, akiwa samvamba na viongozi wenzake wa Mataifa washirika kama Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Rais wa China Xi Jinping, Waziri wa Mambo ya Nje Waziri wa Mashauri ya Kigeni Mauro Luis Iecker Vieira wa Brazili, Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, Rais wa Falme za Kiarabu UAE Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Misri Abdelfattah Sisi, na viongozi wengine,Agenda kuu ya mkutano huu ni uzinduzi wa mfumo mpya wa malipo ya kimataifa na uondoaji wa dola katika mfumo wa uchumi wa Brics.
Pata Kitabu kipya cha “MOSCOW: Oparesheni Ukraine” kwa bei ya 150,000/= tu
Kitabu kina Kurasa 1,400 Sura 1-14,
Marejeo 389
———————————————
Pia, Pata ofa ya Kitabu cha “UJASUSI” kwa 30,000/= tu
Kitabu kina kurasa 776———————————————
Nunua kwa:
TIGOPESA 0715865544
VODACOM 0755865544
CRDB BANK AC No 0152241955000
(YERICKO YOHANESY NYERERE).
Kwa Dar ni free delivery.
Nje ya Dar nauli 8,000/=



Filipino

@Sirjeff_D The compound is called 2,3,5-trimethylhexane. It is a branched alkane, which is a hydrocarbon molecule that only contains carbon and hydrogen atoms and has only single bonds between the carbon atoms.
English

@DavidChaula Shida ya watu wengi ni kunyofoa mistari kwenye bible na kurelate na shida zako au mahitaji yako na kuhisi labda roho mtakatifu ndo anakuongoza, bible ni kitabu kinacho eleweka akuna lugha ya mafumbo kipo wazi kabisa... ukisoma bible kwa kufuata muktadha utaelewa kwa wazi kabisa.
Filipino
blemo uhahula retweetledi

.@diamondplatnumz, our #MTVEMA Best Africa Act winner, has touched down in Milan, y'all!!!
Assago, Lombardia 🇮🇹 English
























