Habari njema Kutoka ICC.
Kesi ya kwanza ya mambo ya Tanzania imefika ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa ICC, nyingine zinakuja! Hii ni hatua ya awali kabisa ya kuanza kwa mchakato wa uwajibikaji.
Hakuna KIFO cha mtanzania kilichotokea siku ya Uchafuzi na baada ya UCHAFUZI kitaenda BURE. Tanzania sio Kisiwa kwamba watawala wanaweza kuuwa watu Elfu kumi na dunia ikakaa kimya HAPANA haiwezekani.
TUTAKUWEPO🫵😎
Kazi Zipo Fursa Zipo Tuchangamkie!
Ni kweli vijana wengi wamepata ajira katika awamu ya Rais Samia, japokuwa bado wapo ambao hawajapata. Tukichukua mfano wa jiji la Dar es Salaam:
Sekta ya Ujenzi imekua kwa kasi, miradi ya serikali na binafsi inatoa ajira kila kona.
Biashara ndogondogo na kubwa zimeongezeka malls, supermarkets, maduka ya nguo, sehemu za kula na burudani zimezinduka.
Hoteli na migahawa iliyokuwa inadorora sasa inafanya kazi upya.
Usiku wa Dar es Salaam ni kielelezo cha uchumi unaopumua shughuli ziko hai na fursa za mapato ni nyingi.
Kwa ujumla, serikali imeweka mazingira ya biashara kufunguka, Watanzania wanajiajiri na pia wanaajiri wenzao. Ukweli ni kwamba ajira na fursa zipo kilichobaki ni kufanya kazi kwa bidii na ubunifu.
Tupige kazi!
Unawaona hao mahome boys!! Wanaamka asubuhi saa 12 wanaenda kupiga mzigo kiwandani mpaka saa 12 jioni!!
Kwa siku wanaingiza Tsh. 5000/= hadi 7000/= Kila mmoja!!
Watu hawa wana familia
(Mke & Watoto)
Na ndugu wanawategemea!!
Ndugu wote wanatolea macho hilo kono la nyani!!
Huyu Pimbi ana elimu gani? Yani kuwa mpinzani kumbe ni kazi?
Kwanini yeye hajaamua kufanya kazi ya upinzani?
“Maelezoo meengiiii, unamaliza miti tuu, unaleta jangwa”
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kiungo wa CS Sfaxien ya Tunisia, Mussa Balla Conte (21) ametua nchini asubuhi ya leo tayari kumalizana na miamba ya Tanzania Yanga.
Nyota huyo alikuwa pia akiwaniwa na Wekundu wa Msimbazi Simba, lakini ametua leo asubuhi akitokea Tunisia na kupokelewa na Viongozi wa Yanga ili kukamilisha dili lake.
#KitengeSports
@OriginoZee17 Shika jembe fala wewe,nilidili na kilimo kwa fedha ya Bodi ya mkopo nimemaliza chuo ajira hakuna nimezamia Songea nalima mahindi napata pesa mwaka wa 6 huu nimeoa na nimeanza ujenzi pia nauza yebo yebo
Endelea kusubiri ajira fala wewe
@TichaMandevu Mindset za watu masikini za hovyo nilikodi shamba nikalima nikaweka mbolea nikapata mahindi kweli kweli eti wakakataa kunikodisha mwaka unaofuata walime na wao watumie zile mbolea niliweka mimi kilichotokea walivuna mabua
Ila majitu ya huku ovyo kabisa wameona nimepata mahindi mengi wamenyan'ganya shamba karibu Heka 18. Nguvu ya kulima yenyewe hawana maskini wivu utawauwa Hawa ngoja tuendeleee kununua mashamba YETU. Kiburi kitaisha tu🫵
@kaji_sijo Aiseeee bado kuna walugaluga wanaiona USA si chochote!!! Pamoja na mbwembwe zote za Urus imeshindwa kuwa na dude kama B 2. Dude linatembea na dude la tank ya mafuta.na linaganda hewani linapokuwa likiongeza mafuta. Tuiche Marekani iitwe Marekani
Ogopa matapeli Katika uwanja wa vita Marekani pekee ndio ana miliki ndege aina ya B-2.
Ndege isiyoweza kuonekana kwenye radar ni ngumu kuzuiwa.
Ni Ndege bei juu kuliko zote, inayo fikia mpaka trillion 4 TSZ.
Huku operesheni moja hufikia mpaka milioni 400 kwa saa moja.
Ipo hivi Ulimwengu huu haushindwi na mabomu unashindwa na uamuzi wa nani awe na uwezo wa kuyarusha.
Karibu kwenye story na simulizi kuhusu B-2 sprit bomber
Fungua Uzi 🧵⤵️
@official_eddo@babalao__ Kumfukuza ndsni mbn simple sana chukua kitunguu swaumi menya kipondeponde kisha pakaza kwe kona za nyumba juu karibu na singibodi na ktk njia azipendazo kupita hutomuona nakuambia anao doka
@eastafricatv@mwigulunchemba1 Hanaga kabisa idea za kupandisha uchumi wa taifa, yeye anawaza tozo tu, humsikii akizungumzia investment, industrialization, kuongeza uuzaji wa bizaa (especially final goods) kwenda mataifa ya nje na kupungza importation , yy ni tozo tu
"Ninapendekeza kutoza shilingi 500 kwa kila tiketi inayotolewa na mtoa huduma za usafirishaji kwa njia ya treni na kutoza shilingi 1000 kwa kila tiketi inayotolewa na mtoa huduma za usafirishaji kwa njia ya anga," - Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba
Tozo hizi zimependekezwa ikiwa ni uanzishaji wa vyanzo vya mapato kwa ajili ya kudhibiti maambukizi ya UKIMWI na kugharamia bima ya afya kwa wote na kupendekeza kufanya marekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa, sura 147 ili kuongeza ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kilevi vinavyozalishwa na vinavyoingizwa kutoka nje ya nchi.
#MawasilishoBajetiKuu2025#EastAfricaTV
@eastafricatv Naona kama hii 500 na 1,000 ingewekwa ktk Usafiri wa Mabasi.
Kwa nauli ya 50,000 ukitoza 500 ni 1% pekee.
Kwa ndege Nauli ni kunzia Laki 2 ukitoza 1,000 ni ndogo sana.
Au njia nzuri watoze kwa %. Wakitoza walau 1% itasaidia sana.
Nalishuka Jukwaa.
🛑 BREAKING NEWS:
Kwa taarifa zilizonifikia hivi punde Inasemekana kuwa Shirikisho la Mpira wa miguu Duniani FIFA walituma timu yao ya uchunguzi kuja kuichunguza Club ya Yanga, kuanzia kwenye Uongozi wake, matumizi ya fedha za uendeshaji wa Timu Pamoja na mdhamini wake mkuu Pia.
Inasemekana kuwa Timu hiyo ya watu wabobevu ilijikita zaidi kuichunguza Yanga kwenye Udhamini wa Timu 8 ambao umefanywa na mdhamini mmoja na Mwekezaji wa YANGA GSM kujua undani wake athari yake ya maslahi yenye kuhusishwa na upangaji wa matokeo dhidi ya timu ambazo amezipa ufadhiri ndani ya ligi kuu.
Inasemekana pia walijikita katika kurudia mechi zote 16 ambazo timu ya Yanga imecheza na timu hizo ambazo zinafadhiliwa na GSM kujidhiridha kama kulikuwa kuna Hali yoyote Ile ya upangaji wa matokeo match Fixing Pamoja na Viashiria Vya Rushwa.
Inasemekana timu hiyo ya uchunguzi imemaliza kazi yake muda ya uchunguzi kimyakimya na ripoti ipo mezani kwa FIFA Inasemekana Kuna adhabu kubwa sana itatolewa na FIFA juu ya Viongozi wa juu wa Yanga Pamoja na Club hiyo hivi karibuni ngoja tusubiri tuone.
Inasemekana Yanga Wanajua Kila kitu ambacho kinaendelea na jambo Hilo kubwa la adhabu linalokuja mbele Yao dhidi ya viongozi wao na Club Yao wanajua pia na ndio maana wameamua makusudi kuanzisha migomo isiyoeleweka ili kuficha hicho kinachoendelea Yanga Wanajua wanachokifanya na ndio maana Hadi sasa hawajui wanadai kitu gani? Lengo na madhumuni ni kutengeneza taswira kwa jamii kuwa wanaonewa ili litakapokuja swala Hilo la adhabu Kali sana kutoka FIFA jamii iwe upande wao Siri imefichuka amemaliza kwa kusema hivyo Source wa taarifa hiyo.
✍️#mzeewazacubadoctormohamedihamisi
Yanga Africa Katika haya Madai Mapya wanataka TPLB iwe huru,Lakini hawataki Kamati ya Waamuzi iwe huru .Ajabu na Kweli hii 🙌
Kutaka Katibu Wilfred KIDAO ajiuzulu Kwa Kushindwa Kuadhibu Waamuzi wabovu maana yake unataka aingilie utendaji wa Kamati ya WAAMUZI na Kamati ya SAA 72?