Sabitlenmiş Tweet
Imah🌟
4.5K posts


@fumbokhanJr kwanza saiv anapend kuvaa hivo vinguo vya kazi gan cy mara moja wala mbili

@Xakilibandia c zile zilikuwa Netflix au, hata kweny nyimbo zake huwa anaplay kama actor poa
Indonesia

Unaambiwa mwanaume ukishakufa huko peponi unapewa mizigo kama mia hivi ya kwako peke yako 😀🔥 #VituVyaPeponi
Indonesia

Acheni ubishi, pigeni hesabu vizuri 😂😂😂 #ThursdayVAR





@Adventure_36 kwan kuna njia mbadala wa kufika kisongo ukitokea makuyun ad arusha
Indonesia

@egf_eddy @RMinjben @Octavianlasway hizo nyumba zipo mlimani kabisa mbali na bwawa la maji kuna tatizo limetokea maji hayatoki
Filipino

@RMinjben @Octavianlasway Sio kwamba watu hawapendi kufuata ushauri ila hawana uwezo wala msaada serikali ilitakiwa iwawezeshe kwa namna nyingine waweze kuhama vitu vingine usiongee bila kufikiria vizuri ndugu.
Indonesia

























