Masam

524 posts

Masam banner
Masam

Masam

@donvanmasam

Muhammad Mgeituff : SDGs Champion ; Managing Director - Mas Print 🇹🇿; Business Development Executive - Abrar Solution Limited https://t.co/cT2cEBkS7f

dar es salaam Tanzania Katılım Haziran 2011
367 Takip Edilen118 Takipçiler
millardayo
millardayo@millardayo·
Namba ngapi hapo ???!
millardayo tweet media
Filipino
434
53
1.8K
0
Masam
Masam@donvanmasam·
Jameeeees⚽️ #Blues
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
0
0
0
0
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Ukitaka kuona team ambayo haipo well coached hata usihangaike just watch Man United . Tunafungwa all types of goals . Midfield yetu inakuwa sliced open at will, we cant defend set pieces , our recovering runs poor, pressing non existence , last 30metres we have no ideas .
English
154
39
950
0
S A B I S T A R
S A B I S T A R@sabi_blessed·
Kuishi Dar ni Chuo Kikuu…
S A B I S T A R tweet media
हिन्दी
2
1
12
0
Masam
Masam@donvanmasam·
@IddyIddy6 @Mwanahalisitz Wananchi tumuuelewa shida Ipo Kwa makarani wao, gari umepaki kwako wakipita wanapiga tochi 🤦🏾‍♂️ ili wafike target tuu
Indonesia
0
0
0
0
Iddy Iddy
Iddy Iddy@IddyIddy6·
@Mwanahalisitz Upigaji unarudi tena mfumo ule ulikuwa mzuri sema wananchi wapewe elimu kwanza ndio waulèjeshe
Polski
1
0
2
0
Sentinel Global
Sentinel Global@SentineGlobal·
Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu leo Jumamosi, ametangaza kusitisha ukusanyaji wa ada ya maegesho ya magari kwa kutumia mfumo wa kielektroniki unaosimamiwa ma Tarura. Ametoa maagizo ya kushughulikia malalamiko ya wananchi.
Sentinel Global tweet mediaSentinel Global tweet media
Indonesia
4
4
51
0
Olivier Aubert
Olivier Aubert@kellenMbwambo·
Bro mwanamke akikupa namba yake ya simu, Msomee tena alafu kosea namba moja akikurekebisha, basi amevutiwa na wewe. Kinaflow🤔
Filipino
168
95
1.7K
0
Masam
Masam@donvanmasam·
@elfredito @YPKitutuJr @Arafat__AH Ni wizi wa wazi kabisa , unajikuta kila siku unadaiwa Na tarura ukipita tuu jamaa wanaandika tuu #Tarura hii style mpya ya parking fee haipo Sahihi.
Filipino
0
0
0
0
GG
GG@GIVENALITY·
Taifa Stars hata sielewi tatizo ni nini..
Polski
20
0
69
0
Kaka wa Taifa
Kaka wa Taifa@EdMmuni·
Turudi kwenye deadlines za clients sasa. #TZCreatives
Kaka wa Taifa tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Filipino
2
1
12
0
Masam
Masam@donvanmasam·
@EdMmuni Inakuwa ngumu kweli kula kwa wakati
Filipino
1
0
1
0
Kaka wa Taifa
Kaka wa Taifa@EdMmuni·
Mambo zenu wajasiliamali na mliojiajiri, natumai mmekumbuka kula kitu mchana huu!
Indonesia
4
2
19
0
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
@donvanmasam @FNgajiro Nyinyi mnaosema zipo ziko wapi??? Nimetuma watu mchana wamekosa mimi jioni hii nimetoka Vunja Bei kinondoni Jezi hamna mnakutana na watu wametoka Sinza pia kutafuta wamekosa hebu acheni kuongea kwa kuficha ficha mkihisi ndo mnasaidia Timu bhana.
Indonesia
4
1
10
0
Masam
Masam@donvanmasam·
@ItsKamala Bila Shaka , unafungua Godown unampa mzigo machinga anauza hulipi Kodi ngoma droo 😅
Filipino
0
0
0
0
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Una duka na unapaswa kulipa kodi, Nje ya duka kuna wamachinga zaidi ya 5 wanauza bidhaa zile zile tena kwa bei nafuu wateja wakija wananunua wanaondoka zao ila mwisho wa siku mwenye duka lazima alipe kodi serikali. Kwenye hali kama hii si nikufungua godown na kufunga duka?
Indonesia
7
6
101
0
Masam
Masam@donvanmasam·
@Arafat__AH Atlist Ushuru ushuke ili ucover coat ya Freight, Bei zisifumuke Saana
Filipino
0
1
1
0
Masam retweetledi
MAK Mringo (PhD)
MAK Mringo (PhD)@SnrDirector·
Wanaodhulumu katika Vipimo, Hawadhulumu ila nafsi zao, kwani moto wa Jahannam ndio makao yao ya kudumu
Indonesia
20
79
176
0
Masam
Masam@donvanmasam·
@Tanganyikan Huyu refa nae kajawa Na huruma 😅
Indonesia
0
0
0
0
Uncle Fafi
Uncle Fafi@Tanganyikan·
Mwakinyooooooo!
Filipino
3
4
29
0
Masam
Masam@donvanmasam·
@MarekaMalili Ilala Bungoni , Zipo nyingi tuu Wahi
Filipino
0
0
1
0
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mpaka sasa kupata jezi ya Yanga ni mtihani, kila sehemu zimeisha 🙌🙌
Indonesia
103
40
991
0