Ibrah

3.4K posts

Ibrah

Ibrah

@ibrahHush

Geologist | Petroleum Geoscientist | Registered Environmental Expert | Simba Sports Club 🦁and Chelsea FC ⚽️fan.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2013
47 Takip Edilen244 Takipçiler
Ibrah
Ibrah@ibrahHush·
@Addy_Adams Huyo jamaa wa nemc anaetaka 3mil atakuwa kanjanja. Hiyo 3m haitoshi. Sasa hapo stakeholder consultation anafanya kwa bei gani?
Filipino
0
0
0
69
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Nchi ya Malawi not for biginners….!! Kibali cha Ujenzi wa Ghorofa 3 NEMC anataka 4mil na form yake ulipie 200k Jamaa wa NEMC anataka 3mil akufanyie kazi Report kupima Udongo wa site naambiwa nao wanataka 5mil Yaani 13mil inaisha hata kazi haijaanza 😆🙌
Indonesia
58
99
1K
42.4K
Ibrah retweetledi
Mateo
Mateo@luganomwakimi·
TUMIA CIU (REMOTE) YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME. Mara nyingine unakuta CIU yako haifanyi kazi au imepotea na umeme umeisha huna namna ya kupiga simu TANESCO usubifu mafundi waje wakuwekee umeme lakini kuna namna unaweza kufanya ukaweka huo umeme kwa kutumia CIU ya
Mateo tweet mediaMateo tweet media
Indonesia
8
135
258
30.5K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimanti na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri. Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli. Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
337
17
151
89.5K
sunda boy
sunda boy@MaulidShaban11·
@goligani Arsenal kamfunga Madrid kwa sababu wote wanamvaa Emirates???
Filipino
1
0
0
107
goligani
goligani@goligani·
Wakinunua LUNYASI kelele kila kona ila wakinunua AMPHIBIA ni haki yao. Nipeni LIGI yoyote DUNIANI ambayo mdhamini anazamini timu zaidi ya moja kweny LIGI Moja?? NJOO na MAJIBU sahihi ili tuanze kubishana ndugu AMPHIBIA nipo BACK BENCHA apa nawasubiri.
goligani tweet media
Indonesia
77
36
602
68.6K
BOSS TIPS🏅 🏆
BOSS TIPS🏅 🏆@BOSSTIPZ22·
I have 500K for anyone who gets the correct score
BOSS TIPS🏅 🏆 tweet media
English
7.2K
394
6.4K
871.6K
mapindu_mkuki
mapindu_mkuki@Makindoo·
@godbless_lema Huyu ni Mkurugenzi wa Compliance na Enforcement pale NEMC mmoja ya watu muhimu na wanaosaidia sana watu kwenye ile Taasisi jamaa muungwana na mwenye uwezo mkubwa. Kama Nchi yetu ingekuwa na watu kama hawa wengi Taifa lingekuwa mbali sana
Indonesia
6
1
33
20.9K
Ibrah
Ibrah@ibrahHush·
@Thommunkondya @fabolous069 Ulinunua kiwanja 2-3 years ago kwa gharama let say 7m then after 3years ukaja ukajenga nyumba ya 200m na neighborhood iko na nyumba ya hadhi hiyo. Je issue ni gharama ya kiwanja au neighborhood?
Filipino
1
0
0
271
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Gharama ya nyumba inapaswa kuendana na thamani ya kiwanja na mazingira ya kiwanja kilipo. Inashauriwa gharama ya nyumba isizidi mara 2 au 3 ya thamani ya kiwanja. Mfano kiwanja cha 20m nyumba inatakiwa kuwa ya 40m-60m. Unakuta mtu amejenga nyumba ya milion 500 malambamawili😁.
Indonesia
58
58
723
62.3K
Ibrah
Ibrah@ibrahHush·
@Desikavishe @bajabiri Nemc ( registration na review cost 4.2m, consultant 4-7m) bado Fire, Osha, Ewura, Vibali vya ujenzi, Hati etc ili asiwe na stress za hapa na pale 350m inatosha na anaweza kupata Pesa ya Standby Generator
Indonesia
1
0
2
119
Desmond R Kavishe
Desmond R Kavishe@Desikavishe·
@bajabiri Hapo ilizidishwa kidogo kwa ajili ya kubalance mambo ya Nemc ila iko chini kidogo ya hapo
Desmond R Kavishe tweet media
Filipino
9
5
34
5.1K
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Hivi ka sheli ⛽️ ka pampu 2 kanaweza kugharimu kiasi gani hadi kanakamilika?
Indonesia
100
57
1.1K
113K
MhiniⓂ️
MhiniⓂ️@tea12cup·
@bajabiri Pump mbili 7,000,000 Tank moja 5,000,000 Ujenzi wa shed etc 5,000,000 Garama za ziada 2,000,000 Mafuta 4,000 litters 10,000,000 Total =29,000,000 Uwema suppliers tafadhali
Polski
9
1
18
5.3K
Ibrah
Ibrah@ibrahHush·
@bajabiri ~350m hapo Site uwe nayo na hati iwe mezani. Utafanya EIA, utatafuta kibali Ewura, Osha, Fire etc. Gharama itaongezeka kama components zinaongezeka mfano, Standby Generator, Service bay na Kama Jengo la office linakuwa na vitu vingi
Indonesia
1
1
22
1.7K
Ibrah
Ibrah@ibrahHush·
@fbuyobe *Mshangano *Songea (Manispaa) *Ruvuma (Mkoa)
Suomi
0
0
0
61
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
1903 HRS 16th September, 2014 Ruvuma, Songea Majira ya saa moja na dakika tatu jioni, polisi watatu wapo kwenye doria. Polisi hawa ni watatu ni G.5515 PC John, WP. 8616 PC Mariam na G. 9703 PC Mselemu Wawili kati yao wana bunduki aina ya SMG yenye risasi 30 kila moja
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
13
35
263
39.2K
Ibrah retweetledi
Alexander
Alexander@AlesandroJR·
UTARATIBU WA MKRISTU MKATOLIKI KANISANI •Unapoingia Kanisani, chovya maji ya baraka na kusema: "Unitakase Ee Bwana uovu wangu wote, ili nipate kushiriki ibada takatifu: Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Amina! •Kama Kanisani kuna Ekaristi Takatifu iliyohifadhiwa katika Tabernakulo, piga goti huku ukisali: "Bwana wangu na Mungu wangu". Haya ni maneno aliyotamka Tomaso baada ya kumwona Yesu Mfufuka (Yoh 20:28). •Ukiinuka sali: "Nitakusifu na kukuabudu katika Ekaristi takatifu" •Nenda mpaka kwenye kiti, piga magoti huku ukitoa nia yako ya kusali Misa siku hiyo, mfano: "Ee Mungu, ninaungana na jeshi la mbinguni, pamoja na Bikira Maria, nikiwa na nia ya kumwombea mama yangu ambaye ni mgonjwa, jirani yangu ambaye hatuelewani na pia familia yetu ambayo haina amani. Kwa Sadaka hii ya Misa Takatifu, mponye mama yangu, leta uelewano na jirani yangu, na pia rejesha amani ya familia yetu pamoja na familia zote ambazo hazina amani" NB: KILA MISA UNAYOSHIRIKI HAKIKISHA UNA NIA YAKO NA UINGANISHE NA SADAKA HIYO YA MSALABA. USISHIRIKI MISA KAMA MTAZAMAJI BILA KUWA NA NIA YAKO MOYONI. •Endelea na ibada ya Misa na Kushiriki Litrujia kikamilifu. NB: Hakikisha unashiriki kikamilifu kwa kuimba, kuitika kwa sauti, kusimama, kupiga magoti nk kwa uchangamfu. Misa huwa tunashiriki wote kwa pamoja lakini MATUNDA YA MISA kila mmoja anapokea tofauti kulingana na jinsi alivyoshiriki. Kama ni kwa asilimia, basi sio wote huwa tunapata asilimia zinazolingana za neema kwenye Misa. Kuna wanaopata neema nyingi zaidi, wanaopata kidogo nk kulingana na maandalizi ya moyo na ushiriki hai katika kupokea matunda ya adhimisho lenyewe. Kama ni bomba linalotiririsha maji, basi kila mmoja wetu ni mtekaji akiwa na chombo chake. Wingi wa maji (Neema) utakaoingia ndani ya chombo (Roho/moyo) utategemea: 1. Chombo chako kipoje wakati unateka hayo maji 2. Nafasi (kama ndani ya chombo nafasi ni ndogo, ndivyo na maji yatakavyoingia machache. Kama nafasi ni kubwa, ndivyo na maji yatakavyoingia mengi. Kama moyo umejaa hauna nafasi, ndivyo na Neema hazitaingia kabisa kwasababu hazina sehemu ya kuingia) 3. Umekiwekaje bombani ili maji yaingie ndani (hapa sasa ndio USHIRIKI HAI katika adhimisho. Hivyo, tuliza akili na moyo wakati wa Misa, na shiriki kikamilifu Liturujia hatua kwa hatua. Ndiposa kila mmoja anapokea neema za Misa kwa kadiri ya maandalizi aliyofanya na ushiriki anaoonyesha wakati wa adhimisho. NB: Utofauti wa kupokea matunda ya adhimisho la Misa haupo kwa mtoaji (Yesu) bali kwa mpokeaji (Anayeshiriki). Utofauti wa maji tunapoenda bombani kuteka, haupo kwa bomba linalotoa maji, bali kwa aina ya chombo na utayari wa mhusika kuteka maji hayo. Tuendelee •Wakati wa Kupokea Ekaristi (Komunyo) ukikumbuka kuwa una dhambi kubwa (ya mauti), komunika kwa sala ya tamaa. Usithubutu KAMWE kupokea Ekaristi ukiwa na dhambi ya mauti. "Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo. Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana. Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe. Maana alaye na kunywa, HULA NA KUNYWA HUKUMU YA NAFSI YAKE, KWA KUTOKUUPAMBANUA ULE MWILI. Kwa sababu hiyo wako WENGI KWENU WALIO HAWAWEZI NA DHAIFU, NA WATU KADHA WA KADHA WAMEKUFA." (1 Kor 11:26-30) Hivyo, usipokee Ekaristi ukiwa na dhambi. Baki upokee kwa tamaa ya moyo. Jisikie wivu Mtakatifu wakati huo, na jitahidi ujitakase kwa kuungama ili adhimisho lingine usikae tena bila kupokea. •Mwisho, wakati wa kuondoka chovya maji ya baraka na ujibariki. Kwa kuwa baada ya adhimisho huwa tunapaswa kwenda kuishi kile tulichoadhimisha, waweza kusali sala ya binafsi "Unilinde Ee Mwenyezi Mungu, nikapate kuwa mfano katika jamii yangu, na nikushuhudie katika matendo yangu" Hapo unachovya maji ya baraka na kufanya ishara ya Msalaba "Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina" Tumsifu Yesu Kristu. Mungu akubariki.
Alexander tweet media
Indonesia
41
135
409
32.1K
Tamim Kifungu
Tamim Kifungu@tamim_kifungu·
@Marakiungu Wew humjui huyo Dominic ni mtu na nusu ni mchambuz Bora sana sidhan kama yupo mwana anaweza kutoa ktk 3 bora tz mfatilie kwa sio la moyo na sio ushabiki alafu huyo sio level yako nimtu anaweza tengeneza ajira kwa wana nimtunz wa vitabu na tamthilia so kwa sis tunaomjua ni package
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
12
0
17
4.6K
Binamu Wa Pili 🆇
Binamu Wa Pili 🆇@Marakiungu·
Ukitaka kuujua ukuu wa Mungu, tazama mtu kama Dominick Salamba alipata kazi Azam Tv.
Binamu Wa Pili 🆇 tweet media
Indonesia
56
34
997
67.4K
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
Kamanda Benson Masala Makali Singo Kigaila ametumbuliwa.
Filipino
88
73
1.1K
82.1K