PAQUETA mbrazili🇹🇿🇧🇷

3.5K posts

PAQUETA mbrazili🇹🇿🇧🇷 banner
PAQUETA mbrazili🇹🇿🇧🇷

PAQUETA mbrazili🇹🇿🇧🇷

@mbrazilii

In loving memory of my brother and sister 💔🕊🤍 #CHRISTTHEKING✝️

Tanzania Katılım Mart 2022
273 Takip Edilen252 Takipçiler
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
To be honest mimi mtu akinipiga spana kama hii, TUNAZINESA walahi 😄 🤣
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
28
27
275
12.5K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!! Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!! Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!! Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hivi… Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337.. Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tano… aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500. Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodi… Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi.. Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka. Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi. Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.
John Heche tweet media
Indonesia
238
641
2.3K
137K
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
@TunduALissu ni Legal Brain kubwa, gwiji la Katiba, mtu wa precision and fire This is what we call courtroom dominance.Kwenye ring ya sheria si mchezaji wa kawaida, He controls the tempo, he sets the rules, he shifts the game. That’s not luck,that’s pedigree,that’s brilliance
Ntele B H tweet media
English
3
17
77
2.2K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tundu Lissu amejipigia tena dola katili na Mawakili mwitu. Ushahidi wa ziada hautapokelewa. You can’t jail an innocent soul and still presume you command his mind. Tundu Lissu Law School offers Samia & co a rare chance to see the latitude of their ignorance. Aluta continua!
Tito Magoti tweet media
English
9
141
805
11.7K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Shahidi wa Siri, Sony, Panasonic , Galaxy… tutakuwepo.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
33
185
1.6K
30.2K
somebarry
somebarry@somebarry·
Kuna uhusiano gani kati ya wauza simu na kutumia iPhone? Binafsi, sijawahi kuona muuza simu anatumia 'Android' kama simu yake kuu.
Indonesia
9
6
150
12.5K
•🪄
•🪄@Goated_180·
Division 3 kushinda game mbili mfululizo imekuwa mtihani kwangu 😂🙌
Indonesia
13
8
45
1.8K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Ugumu wa maisha usikufanye uuze utu wako kwa kusambaza hashtags za kiwaki. Lakini maisha ni yako na unaruhusiwa kuwa fala, na ni juu yetu kukuhesabu hivyo!
Indonesia
15
173
951
15.9K
Botafogo👑
Botafogo👑@IWillLive_X·
Mashabiki wa utopolo baada ya kusikia Ashour kasimamishwa 😂😂😂
Botafogo👑 tweet media
Indonesia
4
8
55
1.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Natimiza MIAKA 29 leo. Nimezaliwa 17.1.1997 siku ya IJUMAA saa 4 asubuhi huko hospitali ya “META MBEYA”. Katika umri wangu huu namshukuru MUNGU nimeweza kupitia mengi na kuona mengi ambayo kwangu yamekuwa kama DARASA la maisha. Nimejifunza masomo mazuri sana “HAKI” na kutafuta “FINANCIAL FREEDOM” ukiwa navyo hivi viwili utaishi duniani kwa AMANI ya kweli na sio ya KUCHONGESHA. Naamini katika HAKI na siku zote HAKI YA MTU HAIPOTEI. Wewe kama HAKI YAKO imenyimwa nikutie moyo ipo siku utaipata HAKI YAKO ni suala la MUDA TUU.! Happy birth day to Me. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
389
333
2.2K
77.8K
Abissay Stephen Jr
Abissay Stephen Jr@abissay_stephen·
Ninawaomba Viongozi wa Wizara ya Michezo Waziri na Manaibu wake kumjumuisha Coach Shujaa Hemedy Morocco na Technical Bench lake kwenye hafla ya Chakula na Rais Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan 10 Jan 2026 Ikulu na yeye apongezwe kwa Stars kufika Robo fainali CHAN kwa mara ya kwanza 🙏
Abissay Stephen Jr tweet media
Indonesia
60
18
779
33.1K
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨🇲🇦 Morocco advance to AFCON quarter finals! Who’s been your Man of the Match?
Fabrizio Romano tweet media
English
1.3K
864
19.2K
1.1M
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
CCM mmeona dhulma inavyouma eeh?
56
112
1.1K
30.5K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Yamepigwa PAIPU.
Filipino
43
23
415
14.3K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Aah. Mzee wangu Masta #MiguelAngelGamondi ahsante sana kwa hili. Hata kujaribu kukumbuka kwamba wapo Watanzania ambao walipoteza maisha Oktoba 29 ni jambo kubwa sana. Binafsi nimeshukuru kwa hilo. Hao wachezaji wenyewe sijui hata kama wanajua Watanzania wenzao waliuwawa kwa risasi Oktoba 29. Hawajataka hata kuvaa vitambaa vyeusi mkononi. Anyways, UKWELI NI UKWELI tu haijalishi unakubaliwa au kupingwa na wangapi.., sijui kama mbogamboga watapenda hii maneno na kibarua kinaweza kuota nyasi. Kwa hawa wahuni, ukweli kwao ni sumu. Lakini mtasha umeamua kuwa mkweli. Umesema kitu ambacho MATAPELI wa CHAUMMA hawajawahi kusema. Ahsante kwa kuwakumbuka ndugu zetu. #HatuweziKusahau
Indonesia
24
317
1.7K
29.8K