Ntele B H

9.7K posts

Ntele B H banner
Ntele B H

Ntele B H

@ntele_bh

Secretary, CHADEMA Coast Zone ( DSM & Pwani ) | Power to the people | UDSM Alumni | Chelsea fan

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2018
1.6K Takip Edilen4.8K Takipçiler
Ntele B H retweetledi
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
ZIARA YA MWENYEKITI WA KANDA YA PWANI KATIKA JIMBO LA MBAGALA, Jana tarehe 3 Mei 2026, Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Mhe. @ExMayorUbungo, akiambatana na viongozi mbalimbali wa ngazi ya Kanda na Mkoa wa Temeke, amefanya ziara ya kikazi katika Jimbo la Mbagala. Uwekaji wa Jiwe la Msingi: Mwenyekiti ameweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya Chama Jimbo la Mbagala. Jengo hilo hivi sasa lipo katika hatua za ujenzi, likiwa ni sehemu ya mpango wa kuimarisha miundombinu ya Chama. Ufunguzi wa Misingi: Aidha, Mwenyekiti amefungua rasmi msingi wa Chama katika Tawi la Mikwambe, lililopo Kata ya Toangoma. Hatua hii inalenga kuimarisha uhai wa Chama kuanzia ngazi ya chini kabisa. Ziara hii ni sehemu ya mkakati endelevu wa Kanda ya Pwani kuhakikisha kuwa kila jimbo linakuwa na ofisi bora na ya kisasa. Uwepo wa ofisi hizi utasaidia: 1.Kuboresha mazingira ya kupanga mikakati ya ushindi. 2.Kutoa nafasi rasmi na tulivu kwa ajili ya kutekeleza shughuli za kila siku za Chama. Chama Imara, Ofisi Bora kwa Maendeleo ya Jimbo.
John Nguti Chadema tweet mediaJohn Nguti Chadema tweet mediaJohn Nguti Chadema tweet mediaJohn Nguti Chadema tweet media
Indonesia
0
32
197
3.6K
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
Siku ya Jana Katika Kongamano la @DarChaso na Makamu Mwenyekiti Taifa Mh.@HecheJohn . Wasomi wa Vyuo vikuu wapo rada sana.
Ntele B H tweet mediaNtele B H tweet mediaNtele B H tweet mediaNtele B H tweet media
Indonesia
4
29
170
2.2K
Ntele B H retweetledi
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
Jana tarehe 19/04/2026 katika ofisi za Kanda ya pwani na viongozi wa matawi mbalimbali ya CHASO-DSM @chaso_dar katika kikao maalumu kilichohudhuriwa na katibu wa Kanda ya Pwani Mhe. @ntele_bh na katibu wa Bavicha Kanda ya Pwani Kamanda Raphael Magoa, mjumbe maalumu wa CHASO-DSM @haroun_stanley CHAMA KIMERUDI, CHASO IMERUDI, SAUTI YA WASOMI IMERUDI. Wasomi wanaotaka kadi za chama🔥 #COMING SOON THIS SATURDAY #freelissu
John Nguti Chadema tweet mediaJohn Nguti Chadema tweet mediaJohn Nguti Chadema tweet mediaJohn Nguti Chadema tweet media
Filipino
2
20
104
1.3K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
“Kama ambavyo katiba inaelekeza katika ibara ya 55(4) kwamba waziri na naibu waziri watateuliwa miongoni mwa wabunge, hivyo basi Mh Rais amemteua Mh Tundu lissu kuwa waziri wa katiba na sheria na Mh Zitto Kabwe kuwa waziri wa fedha. Wataapishwa kesho ikulu ndogo ya Mtwara. “ I’m dreaming. Sema hii ndoto inaweza kuleta haueni kwa nchi 🤔.
Indonesia
31
5
31
11.7K
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
@ayo_shangwe @ACTwazalendo Mzungumzaji tuu ni Kaimu, Mwenyekiti wake yuko wapi?! Mwenyekiti wake alisema udalali mwisho Kilwa Kusini walishachoka siasa za Ujanjaujanja .Wamekiri na kutamka wazi Chadema ndicho chama sahihi cha kusimamia maslahi ya watu wa Kusini. Poleni kwa Msiba !
Indonesia
3
0
1
203
shangwe Ayo
shangwe Ayo@ayo_shangwe·
"Kwa kuwa Mheshimiwa Bungara hakuchukua kadi ya chama chochote, na tumemzika kama kiongozi wetu wa @ACTwazalendo, tunaona kitendo cha kwenda chama chochote ni kumsaliti Bungara na Maalim Seif." Kaimu Mwenyekiti wa Jimbo la Kilwa Kusini Omary Kondo #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Indonesia
6
3
15
4.6K
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
Hivyo, bei halisi ni ndogo sana ukilinganisha na takwimu zilizotajwa, ambazo hazina uhalisia wowote katika soko la dunia Kauli hii inaibua maswali kuhusu ubora wa washauri .Je, hana wasaidizi wenye uwezo wa kuchambua na kuthibitisha taarifa kabla ya kuzitoa hadharani? Tafakari!
Indonesia
0
1
7
182
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
Marekani lita moja ya mafuta ni takribani dola za Marekani 1.0 – 1.1 kwa lita, Ulaya lita moja ya mafuta ni wastani wa takribani €1.7 – €1.8 kwa lita Ukifanya live streaming ya bei ya Mafuta Spain kwa lita moja ni Euro 1.5-1.8 , Italy ni 1.7 - 2.16€ na UK ni 1.8 - 2.19€.
Indonesia
1
0
7
203
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
Amenukuliwa akisema bei ya mafuta kwa lita 1 Marekani ni $ 800 sawa na Tsh 2,072,000 Ulaya ni €600 sawa na Tsh 1,814,940 Kwa mujibu wa takwimu za Aprili 6 -7 kutoka vyanzo vya kimataifa kama vile Global PetrolPrices na European Commission Oil Bulletin(fuel-prices.eu)
Ntele B H tweet mediaNtele B H tweet mediaNtele B H tweet media
Indonesia
3
9
39
3.4K
Ntele B H retweetledi
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
TAARIFA KWA UMMA.
John Nguti Chadema tweet media
Indonesia
1
20
81
806
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
Ni leo saa nane kamili mchana. Usipange Kukosa
Ntele B H tweet media
Eesti
1
18
72
931
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mara paaaaa ,Mkeka mpya wa bei ya mafuta unatoka na bei zinarudi kwenye nafuu, hata chini zaidi! 😎 Mama hashindwiii.
Indonesia
103
1
65
12.6K
Ntele B H retweetledi
Chadema Kanda ya Pwani
Chadema Kanda ya Pwani@chademapwani·
Kusini imeamua, Wamesema hawataki wababaishaji. Wapo wanasimama na CHADEMA wanasimama na TUNDU LISSU
Indonesia
2
147
711
11.8K
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
Machi 31,2026 niliongoza Viongozi na wanachama Kanda ya Pwani Kuungana na Makamu Mwenyekiti Taifa Mh. @hechejohn kushiriki ktk msiba wa Mbunge mstaafu wa Kilwa Kusini Seleman Bungara Bwege. Bwege tutamkumbuka kwa misimamo yake imara ya Kupigania haki na Demokrasia nchini
Ntele B H tweet mediaNtele B H tweet mediaNtele B H tweet media
Indonesia
3
29
149
5.2K
Ntele B H
Ntele B H@ntele_bh·
@TunduALissu ni Legal Brain kubwa, gwiji la Katiba, mtu wa precision and fire This is what we call courtroom dominance.Kwenye ring ya sheria si mchezaji wa kawaida, He controls the tempo, he sets the rules, he shifts the game. That’s not luck,that’s pedigree,that’s brilliance
Ntele B H tweet media
English
3
17
77
2.2K