BRUVITA CEO🧔🧔

182 posts

BRUVITA CEO🧔🧔

BRUVITA CEO🧔🧔

@thetruth_onlyMD

Lord Jesus, Take more of me and give more of you🧔🧔

Katılım Ağustos 2022
21 Takip Edilen34 Takipçiler
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Twitter madaktari na mapharmacia, nisaidieni hii sindano kaandikiwa ndugu wa jamaa angu ila wametafuta maduka ya madawa wamekosa, inaitwa "Semi automated coaxial biopsy needle gauge 17". Please kama unafahamu na pa kuipata nicheki DM au mawasiliano zaidi 0747625726 Serious issue
Indonesia
20
11
118
16.6K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Demu akikataliwa na mama yako utamuoa Alipata demu anakuwa anataka kumuoa walikuwa wapenzi miaka 2 hivi jamaa aka mpeleka demu wake nyumbani akamuacha kama wiki mbili hiv arafu yeye kaendelea na mishe mishe zake Baada ya kwenda nyumbani bi mkubwa wake kamuita kado kamuambia huyo mwanamke hakufai achana nae Jamaa anauliza kafanya nini mama aka mwambia huyo kitambia na mapokeo ya mambo nimeona hakufai maana wew unapendwa kusikilizwa ila huyo manamke nimeona ni muongeaji sana Jamaa akasema kama ni hivyo tu na weza kuishi nae tena mama hili jambo usiliingilie kabisa huyo mimi ndio naenda kuishi nae kwaiyo hakuna wa kunipangia Mama aka mwambia huyo mwanamke usimuoe hakufai kabisa achana nae Ila jamaa akawa mbishi akalazimisha akasema wanapendana na hawata achana.
Indonesia
4
9
77
9.6K
❄️™
❄️™@N3sty09·
Huyu msee mara ya kwanza kukutana alikuwa ananisalimiaga kabisa Leo katika story za hapa na pale nimekuja shtuka Yuko kwenye 30s na mimi 20s, kiufupi kanizidi miaka 10+ 😭
❄️™ tweet media
Indonesia
2
2
13
801
kichefuchefuu
kichefuchefuu@kichefuchefuu·
INACHEKESHA SANA. Golf Mike Uniform. Jana mida ya saa moja jioni kaka yangu mmoja Mwalimu,Chuo cha Ualimu Wilayani Rungwe alinipigia.Alikuwa anataka "opinioni-MAONI" yangu kutokana na "kituko" cha Chadema cha KUTEKWA kwa Msaidizi wa Ndugu Lissu. Swali lake kubwa ilikuwa ni je,
kichefuchefuu tweet mediakichefuchefuu tweet media
Filipino
19
16
25
8.5K
PONSO PILATO🦅👽
PONSO PILATO🦅👽@Fortunee_Mans·
Kuna msichana fulani tulisoma wote Chuo Alikua ananizimikia sana kiasi kuficha ilikua ngumu kwake mimi nilikua nachukulia poa tu kwa kua sikumuelew.. Leo naambiwa amevuta mida ya alfajir💔 Najiona mwenye hatia sana.. Sometimes ni heri mtu umwambie ukwel tu.. Nisamehe san Merry❤️
Indonesia
14
26
86
3.5K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Nimemuona bubu hapa nimekumbuka mbali kidogo... Siku moja tukiwa pale Shuleni, shule ya Sekondari Morogoro maalufu kama Moro sec, Bhasi hiyo siku akaja bubu bhana na mavyeti ya matibabu, bhasi walimu wakaingiwa na moyo wa imani kumsaidia, tukaitwa wanafunzi kama buku hivi, bhasi tukaambiwa kumchangia,.. Sasa wakati tupo hapo, kuna walimu wa hizo lugha za alama maana kulikuwa na wanafunzi special group, Si akawa anamuongelesha muhuni hajibu, Si akashtukiwa kuwa sio Bubu kweli .. wakachapa sana then akaambiwa aombe msamaha akapiga magoti , akaanza kwa kusema naomba mnisamehe sana wadogo zangu ila hapa tokea kumekucha nazunguka kutafuta kibarua na sijapata na nina familia💔,.. tulikuwa wanafunzi kama buku pale , ghafla tukaanza kupiga makofi na kuamua kumchangia mwanetu, walimu hawaamn ili ndio tayari tumeshaamua kuishi na mwanetu, kiutani aibu ikageuka neema🙏.
Indonesia
13
22
87
3.8K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Unalipwa 500k per month, umepanga chumba 50k, Nauli 1k, wanakupandishia mshahara (Salary Increment) 1m, wewe unahama na chumba unapanga 150k kwa mwezi na nauli inaongezeka inakuwa 5k, afu unajisifu Mshahara mkubwa kipato kimeongezeka, Bro tofauti yako na MBUSUSU ni Shombo tu.
Filipino
18
22
161
4.8K
Kondoo wa Sufi
Kondoo wa Sufi@Kondoo_wa_Sufi·
Hizi kambi za jeshi kwa form 6 bado zinafaida kweli,,, au ni mwendelezo wa kutupotezea mda Gen Z Twambie wewe ulipotezewa mda kambi gani. Mimi MAKUTUPORA 834KJ
Kondoo wa Sufi tweet media
Filipino
32
25
149
10.4K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Bodaboda zimefika tena lini huku 😅😅🙌
PàChâ#1738 💫 tweet media
24
40
282
18.2K
👑Beno10
👑Beno10@Beno10_MFC·
You are a master of observation if you can find 1 difference in this photo Can you spot it?
👑Beno10 tweet media
English
7.1K
162
1.5K
1M
Kampatena
Kampatena@Kampa_kampatena·
@rayasel94 Rio fernand atakuwa anasema hawa majaamaa wangese sana 😂 kimoyo moyo
Indonesia
2
0
34
2K
Ray Asel
Ray Asel@rayasel94·
Sasa haya mambo Rio Ferdinand yanamuhusu na anahusikaje? Hii nchi ya kisenge sana 😂😂😂
Ray Asel tweet media
Indonesia
180
77
997
52.5K
Mg side
Mg side@HusseinM21685·
@fintanjr_ Amejizawadia,dah Africa tutaomba sana Kwa ngozi nyeupe wajomba
Indonesia
2
0
2
407
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Spika wa Bunge la Uganda , aliyekuwa ni spika wa bunge la 11 la nchi hiyo Mh. Anita Among, amejikuta kwenye kashfa nzito ya Rushwa na ufisadi baada ya kujizawadia Rolls-Royce Cullinan 2025 model valued at Shs 3.4b. Ugandan shillings siku ya Birthday yake. Unaambiwa duniani hizo gari hazizidi 7, na mojawapo ipo uganda😂💔🙌...
The champ👑 tweet media
Filipino
12
25
104
7.5K
MWAKA ROBO
MWAKA ROBO@Denho07·
Aisee kuna jamaa hapa kachapiwa mke 💔 asubuhi hii na mpangaji hapa tunapo ishi mwanamke ameamka mapema tu akasema anaenda kuoga aende kazini maana tunatumia choo cha nje na bafu sasa kumbe msela mpangaji mwenzetu kampanga mke wa jamaa Inaendelea 👇
Indonesia
44
16
268
30.7K
CHAVO 🌟
CHAVO 🌟@HastaRuego·
Naomba wazee wa inches mnieleweshe hapa kwa upole kama mtoto mdogo, kama d!ck size ina matter kwanini wanawake wana moan hata ukitumia kidole? 🤔
Filipino
8
22
136
10.3K
magodoro_msafi
magodoro_msafi@magodoro_msafi·
Piga picha kitu ulichoshika muda huu
magodoro_msafi tweet media
Eesti
21
9
57
3.7K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Mwanamke mwenye umri wa miaka 31 raia wa Afrika Kusini, ameomba msaada kwa yeyote atakayemsaidia arudi katika hali yake ya ujana, Binti mwenye ngozi nyororo isiyo na hata chembe ya uzee. Mwili wake ulibadilika ghafla kutoka ujana hadi kuwa bibi kikongwe baada ya kushiriki tendo la ndoa na mwanaume raia wa kigeni kutoka Thailand kisha akaondoka zake mpaka sasa hajui mahali alipo wala hana taarifa zake. Mwanamke huyo, alizaliwa mwaka 1995, sasa anaonekana kama mtu aliyezaliwa mwaka 1910, akiwa na muonekano wa uzee uliopitiliza hata kuliko mama yake mzazi. Amekuwa akiingia na kutoka katika hospitali mbalimbali lakini hali yake inaendelea kuwa mbaya zaidi. Mikono yake bado inaonekana ya ujana, lakini mwili na uso wake vinaonekana vimezeeka sana.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
26
5
102
26.6K