yus

6.5K posts

yus

yus

@yus_james

innate sense of fairness

Katılım Ekim 2014
44 Takip Edilen134 Takipçiler
yus
yus@yus_james·
@PolycarpMDM Dar pia ndo sehemu wanatumia kwenye barabara zenye foleni.. ila hukosa nidhamu kaa overtaking bila ulazima
Indonesia
0
0
0
41
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Unaonaje Boda Wakiwekewa special Lane kama hii ya hapa China. Je Bado kutakuwa hakuna nidhamu baina ya watumiaji wa Barabara?
Indonesia
11
3
33
2.9K
yus
yus@yus_james·
@RevocatusMagum1 Zile buku buku zetu za kujenga pale Bunjue ziliishia wapi?
0
0
0
104
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨SIMBA IKO HATUA ZA AWALI KUJENGA UWANJA WA WATU BUKU 8-16 -MURTAZA MANGUNGU M/kiti wa Klabu ya Simba amethibitisha kuwa, wako kwenye hatua za awali za ujenzi wa uwanja wao wa kisasa utakaoweza kubabeba mashabiki elfu 8 hadi Elfu 16 Kwa mujibu wa Mangungu, mchakato huo unaanza hivi karibu baada ya kufikia makubaliano Pia ameeleza sababu za kutojenga uwanja wenye capacity kubwa zaidi “Huna sababu ya kujenga uwanja mkubwa sana, kwasababu tuna options hapa (Tanzania). Tumesaini Mkataba na TFF wanajenga uwanja pale Karume, uwanja mwingine ni Mkapa, mali ya Serikali. Sasa ukishakuwa na Stadium zinazobeba watu 35k-60k, afu na wewe ukajenge uwanja wenye ukubwa huo, si kutumia vizuri rasilimali hizo,” Anasema Murtaza Mangungu, M/kiti Simba SC
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
11
7
84
6.4K
yus
yus@yus_james·
@iamNehemia Kama unawekeza hutoi posho tukupe kibali ondoka na mradi wako
Indonesia
0
0
0
18
Liber Nehemia
Liber Nehemia@iamNehemia·
Samsung alikuja kujenga industrial park in Tanzania Tukajizungusha. NALA was about to put HQ in Tanzania Tukajizungusha. Celtel was to put it's HQ for Africa in Tanzania Tukajizungusha. VW was to put an assembly plant in Tanzania Tukajizungusha. List ni ndefu sana, So it's concerned people Wana shindwa kufanya maamuzi, au sera zetu zina changamoto, au nini kinatu - kwamisha. Naomba kueleweshwa?🤔
Liber Nehemia tweet media
Suomi
140
98
750
57.9K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Nimeona Ile video wachina wamejazana kulicheki lile ndege linalobeba mizigo C-17 Globemaster III ambalo limeshusha magari yote ya Msafara wa Trump China. Wamarekani wanalalamika kwanini wameruhusiwa kusogelea kiasi kikubwa Vile 😁
Filipino
13
17
606
80.2K
yus
yus@yus_james·
@ItsKamala Sikupenda ulivowasanua wa Dar tu hahahaa
Indonesia
0
0
0
18
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
@yus_james Ukifika Nyakanazi we kula rusahunga- muleba- BkbMjini- Kyaka -😆Karagwe
Indonesia
1
0
1
66
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Kama unatoka Dar na Private unataka kupitia Benako (Ngara) kwenda Karagwe barabara ya Benako imeharibika sana mpaka ufike omurushaka ni noma, Ukifika Nyakanazi pita Bukoba mjini uitafute Karagwe
Indonesia
11
9
153
8.7K
yus
yus@yus_james·
@devSinghal @footballcritix Sign Gervinho and Sterling...they like to run goals and Ronaldo will score. You balance the team
English
1
0
0
1K
Dev Singhal
Dev Singhal@devSinghal·
@footballcritix Imagine if all players with this attitude. who will run then? Discipline is important in sports.
English
29
0
88
70.4K
Football Critix
Football Critix@footballcritix·
Carlo Ancelotti: "AC Milan'dayken Ronaldo'yu transfer etmiştik. Geldiğinde tam 100 kiloydu. İlk maçtan önce ona, 'Kilo vermen gerektiği için seni oynatamam, bunu biliyorsun' dedim. Bana şu cevabı verdi: 'Sahada ne yapmamı istiyorsun? Gol atmamı mı yoksa koşmamı mı? Eğer koşmamı istiyorsan beni yedek kulübesine koy, ama gol atmamı istiyorsan beni oynat!' Onu oynattım... Hiç koşmadı ama o maçta iki gol attı."
Football Critix tweet mediaFootball Critix tweet media
Türkçe
56
381
13.9K
2M
yus
yus@yus_james·
@joshuamsuyatz @Officialnjuga Taasisi zenye fedha ndo zinaingoza kuua uchi wannchi Zimepewa meno ya kujiendesha na kulimbikiza fedha bila kujua lengo mama ni kufanya mwananchi aishi maisha ahueni kwanza. Hata refinery ziwepo itakuwa ni loop ya taasisi kupata faida maradufu na sio kuleta maisha rahisi
Indonesia
0
0
0
6
Joshua Msuya
Joshua Msuya@joshuamsuyatz·
Investment ya mwisho Dangote kufanya Tanzania ilikua Kiwanda cha Cement Mtwara, $500 Million Investment. Kabla ya 2015, mfuko wa cement ulikua unauzwa kati ya 18,000 mpaka 19,000. 2016 Dangote alivyoanza uzalishaji Mtwara, cement ikashuka mpaka 9,000. Twiga na Tanga wakashusha bei kwa nguvu kupambana nae sokoni. Ndani ya muda mfupi Dangote alichukua zaidi ya 20% ya market share yao. Kumbuka, hiki kiwanda kilitengenezwa kutumia Natural Gas ya Tanzania iliyopo Mtwara. Lakini baada ya kuanza kazi, mambo hayakuenda kama yalivyotarajiwa. TPDC walimuuzia Gas kama consumer wa kawaida badala ya strategic industrial investor. Gharama za uendeshaji zikawa kubwa sana. Mwisho wa 2016 Dangote alikuwa anatumia karibu $4 Million kila mwezi kununua Diesel kuendesha kiwanda. Hii ilitokana na Serikali kuzuia uingizaji wa Coal kutoka nje na TPDC kushindwa kumpa deal nzuri ya Gas. Matokeo yake? Bei ya cement ikaanza kupanda tena mpaka 22,000 - 25,000 kwenye baadhi ya miji. Mpaka leo kiwanda bado kinaendelea kuzalisha cement, ila zaidi ya 70% ya cement inaenda nje ya Tanzania. Miaka 10 baadae, Stori kubwa ni Dangote anarudi East Africa na plan ya kujenga refinery kubwa Tanga au Mombasa. Refinery yenye uwezo wa kuzalisha mapipa 650,000 ya mafuta kwa siku. Swali ni… Je Dangote anataka kufufua nguvu ya viwanda vyake Tanzania kwa kupata mafuta kwa gharama nafuu zaidi? Au yupo kwenye mbio za kufikia ndoto yake ya kujenga utajiri mkubwa zaidi kabla ya kufa? Lakini kabla ya kumuongelea Dangote… Tujiulize hii investment ina maana gani kwa maisha ya Mtanzania wa kawaida? Bei ya energy ikiathirika, kila kitu kinaathirika. Transport. Ujenzi. Bidhaa. Biashara. Maisha ya kila siku. Na kumbuka hii refinery ikipitishwa, inaweza kuchukua miaka 8–10 kukamilika. Kufikia 2036… Je utakua bado unaendesha gari la mafuta? Au utakua ushanunua gari la umeme tayari?
Indonesia
31
76
601
42.5K
Hanipha💌
Hanipha💌@Hannicute4ikh·
@Sirajitz1 Mtu akichapia mara moja ni typing error,wew kila paragraph unachapia! Anyway wanawake hawana akili wanashawishika kurekodiwa km unavyowashawish kusex
Filipino
1
0
2
2.5K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kuna video nimeiona nadhan mmeiona pia. Kuna mdada yupo na mshikaji na kakubali kurekodiwa kabisa, huyo mdada anamuacha tu jamaa amrekodi Cha kujiuliza hizo video huwaga wanarekodi ili iweje? - Hawajui madhara wanayoweza kupata ikitokea imesambaa Na nyie mnaosambaza mnajua ni koda kisheria kufanya hivyo? Anyway wanangu usiwahi jitekodi au kumreki umpendae, simu hupotea na Katika Dunia hii ya Technolojia hamna siri Ila hio video🙌
Filipino
23
24
193
33.6K
Mjabule
Mjabule@JohnVedasto6·
@chapanombombwi Kuna siku watapenya mpaka kua viongozi wa kitaifa 🚮🚮🚮
Indonesia
2
0
1
620
sultan
sultan@chapanombombwi·
Nilishawahi kuandika hapa kuhusu hawa watu wanaojiita machawa na nikasistiza kuwa hawa watu wana vinyesi vichwani mwao! Unaona huo mwili uliokotwa Salender Bridge? Bwana we, chawa wamepewa script wanapita kila post inayohusu huo mwili na kuandika kuwa: “Kuna watu wengi wanalala nje, na wengine machizi wanalala nje. Kwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Dar, tutaokota sana miili” Kwamba imefika mahali ambapo hata ile nafsi ya utu hawa Sisiyemu hawana!
sultan tweet media
sultan@chapanombombwi

Chawa ni chawa kweli, Imagine mtu anawasha VPN ili ausifie utawala uliofungia mtandao. Hawa watu wana vinyesi vichwani!?

Filipino
12
18
163
22.9K
Kibayasi FS 🇹🇿
Kibayasi FS 🇹🇿@Hon_KibayasiF·
Way back kuna ajali zilitikisa. Enzi hizo wanafuta kisahani: 1. SAO HILL, Bus la MAJINJA. 2. LUKUMBULU, Bus la SHABIBY. 3. PANDA MBILI, kwenye kona Bus la MORO BEST na LORI la Mabomba. 4. PANDA MBILI, Bus la TAQWA ilikula tuta ikahama na kuwaka moto. 🤝
Indonesia
23
10
71
9.5K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Hii Location Mnaijua.?
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
27
24
182
9.5K
Kelvin lusekelo
Kelvin lusekelo@KLusekelo·
@EngMapundajr Aljazeera na huo mshale unaonyesha bus ya golden inter city dsm-mbeya mchina wa mwanzo mwanzo nyanda za juu kusini.
Indonesia
2
0
3
383
N A S T I E 🕷🕸
N A S T I E 🕷🕸@KINgalanasTY·
@Sirajitz1 Kitu cha mwisho kabisa na huenda hakipo kwenye list ya vitu naweza kufanya in This life labda in another lifetime.. ni kuishi kwa mwanamke. 😂🙌🏾 Mitaro kibao, stendi, mapori Toooop, washkaji kibao! Ila huji kunikuta naishi kwa demu mi hata siku Moja malamamae
Indonesia
2
0
4
1.2K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kuna video nimeona aisee visasi vya mapenzi ni vibaya sana Jamaa alimfumania demu wake ndani na mshikaji mwingine, yule demu akamjibu jamaa dhara maana jamaa alikua anaishi kwa demu na demu ndo analipa bills zote. Jamaa akakausha akaondoka kinyonge Baadae jion kutokana na hali ya jamaa kua ngumu akarudi tu ila yule demu dharau ziliendelea inafika hatua anawapigia video mabwana zake video call na jamaa akiwepo ndani 🤔 Jamaa alishindwa uvumilivu akamcharanga demu mapmaga akammaliza Mpaka sasa jamaa anatafutwa haijulikani alipo dadeq ------------------------------- Mapenzi yanamaliza wengi wanangu ukiona mtu umemchoka ni heli umwambie tu ukweli
Indonesia
20
18
103
15.7K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Kumbe boss wa kombolela ni choko🚮🚮🚮
Filipino
40
23
488
41.9K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
1. CDM imeruhusiwa kufanya siasa 2. TAL atatoka soon!! 3. Then watakaa mezani 4. Tume ya J.Chande itakabidhi report. 5. Report itakuwa iko balanced, Itaipiga gavoo kimtindo(Kwa mbali) 6. Mchakato wa katiba mpya utatangazwa kuanza rasmi!! Lengo kuu ni 👇🏻 Let’s buy time till 2030!! Miaka mitano ni mingi sana lazima tuwe na activities za kuwaonyesha matumaini hawa raia hadi tufike 2030!! Sasa unajua mchawi ni nani? Mchawi ni ile namba 3 pale juu 👆 Pale kwenye kukaa mezani pale ndio panaenda either kusupport au kuvuruga hii plan!!
Indonesia
110
312
2.2K
177.7K
yus
yus@yus_james·
@IAMartin_ Ubongo huu unaoshindwa kudhibiti ugumu wa maisha ndo ufanyie kazi ayo yote?
Filipino
0
0
1
454
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Dkt. Lazarus Chakwera (Rais wa zamani wa Malawi) yupo Tanzania kama Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (commonwealth), Shirley Botchwey. Dkt. Lazarus Chakwera yupo nchini Tanzania kwa ajili ya kuleta mazingira wezeshi ya mazungumzo na utulivu wa kisiasa baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Tundu A.M Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, amekutana na Lazarus Chakwera Mjumbe Maalum (Special Envoy) wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) April 15 2026. TAL amewasilisha masuala kadhaa kwake, ambayo yakifanyika, atakuwa tayari kwa mazungumzo, lakini kwanza akiwa mtu huru na chama kifanye shughuli zake TAL kamueleza kwamba, Kesi ya Uhaini inayomkabili ni kwa sababu ya msimamo wake na CHADEMA kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, NO REFORMS, NO ELECTION. TAL ametaka matukio yote yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na baada ya siku hiyo yafanyiwe uchunguzi huru na haki kupitia chombo cha kimataifa, mfano SADC. TAL ametaka uwajibikaji wa kitaasisi kwa yaliyotokea Oktoba 2025, mfano, Ofisi ya Msajili, INEC na TCRA, na umuhimu wa kurejea Ripoti ya Jaji Nyalali (1992). Kufanyika kwa mageuzi ya kimsingi ya vyombo vya dola ikiwepo vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuzingatia mapendekezo ya Ripoti ya Jaji Chande (2023). Kubadilishwa mfumo wote wa uchaguzi, ikiwemo kuundwa kwa chombo kipya huru cha kusimamia uchaguzi. Kuzingatia ripoti za Warioba na Nyalali. Lakini, Tundu A.M Lissu amesisitiza kuwepo kwa mazingira wezeshi ya mazungumzo ya kweli pamoja na utekelezaji wa mambo yote yatakayokubaliwa. Lakini kubwa zaidi, KATIBA MPYA. amesisitiza umuhimu wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya kama suluhisho la kudumu la changamoto za kiutawala.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
30
221
1.3K
47.6K
yus
yus@yus_james·
@AzengaMoses Where is for Yahya Sanogo 😁😁😁
English
0
0
0
8
Mr. Arsenal
Mr. Arsenal@AzengaMoses·
What does it remind you of?
Mr. Arsenal tweet media
English
1.7K
608
9.7K
641K
yus
yus@yus_james·
@iboysean subiri wiki ijayo
Indonesia
0
0
0
63
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Mimi pekee yangu sielewi kwanini LATRA wanazuia nauli kupanda wakati bei za mafuta ziko juu? Walitegemea nini? Au kaole?
Indonesia
46
36
572
24.2K