Davis Baitani

31 posts

Davis Baitani

Davis Baitani

@DBaitani

Engineer/Project Management Specialist

Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Nisan 2018
123 กำลังติดตาม12 ผู้ติดตาม
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@amnsekela Hongera sana kwa kutambulika. Zaidi ni kutokana na uongozi wako mzuri CRDB imeweza kuendelea benki ya mfano.
Suomi
0
0
0
13
Abdulmajid Nsekela
Abdulmajid Nsekela@amnsekela·
Ni heshima kubwa kwangu kutajwa katika orodha ya viongozi 25 bora wa Afrika katika sekta ya fedha na jarida la "African Leadership Magazine". Mafanikio haya si yangu binafsi, bali ni ushahidi tosha wa kazi kubwa inayofanywa na Benki yetu ya CRDB katika kubadilisha maisha ya watu na kutoa mchango katika uchumi wa bara letu kupitia uvumbuzi wa bidhaa na huduma bunifu, sera madhubuti na ujumuishaji wa huduma za fedha. Kila uchao historia ya bara la Afrika imekua ikiandikwa upya na viongozi wenye maono, taasisi zenye uthubutu na jamii yenye udhabiti. Nafarijika kuwa sehemu ya historia hii ambayo imejidhatiti katika kuwezesha kukuza uchumi wa bara la Afrika kwa mikakati endelevu. Utambuzi huu ni kwa familia yote ya Benki ya CRDB, washirika wetu wa kibiashara, wateja na wananchi wa Tanzania, Burundi na DRC ambapo tunafanya biashara. Kwa pamoja tuendelee kuwa vinara katika kuongoza kwa dhamira ya kuleta mabadiliko chanya. #Top25FinanceLeaders #GameChangers
Abdulmajid Nsekela tweet media
Indonesia
20
11
82
3.1K
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@MariaSTsehai @kimbungakimbu Mimi sio mwanasiasa lakini nimekuwepo awamu zote. Ukizungumzia takwimu lazima uzungumzie na msingi wake. Kwa mfano ukisema Mzee Mwinyi alikopa sana kulinganisha na GDP, inabidi ueleze GDP ilikuwa kubwa kiasi gani, na pia alipoingia madarakani na alipotoka ilikuwaje.
Indonesia
1
0
0
49
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Jamani hebu msituone wajjnga 🙄 Mzee Wasira we ulikuwa mtu mzima na katika siasa enzi za Mkapa na unajua fika kuwa Mkapa alifanikiwa kukidhi viwango vya kusamehewa madeni na deni la nje lilipunguzwa hadi kusamehewa 50% ya deni lote Huu mpango wa HIPC (Highly Indebted Poor Countries) unaikumbuka? Sasa kwanza achana na Nyerere hadi Mkapa - ongea kuhusu Kikwete kwenda mbele! Na huyu mana yenu ndo kakopa kweli ndani ya muda mfupi Huwezi kumtetea ndo maana ukaamua kumhusisha Nyerere wakati hahusiki hata na IMF aliikataa 🙄 Spinning gani hii? Ila #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
36
74
456
58K
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@SuluhuSamia Naungana na wewe kutoa pole kwa Wananchi wa UAE kwa kumpoteza kiongozi wao shupavu. Nimepitia katika machapisho machache na kugundua kuwa huwezi kuzungunzia kuundwa kwa UAE bila kumtaja Sheikh Tahnoon. Ndio maana UAE wanaomboleza kwa siku saba. Mungu ampe pumziko jema.
Indonesia
0
0
0
136
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
It is with great sadness that I learned of the passing of Sheikh Tahnoon bin Mohammed Al Nahyan, Abu Dhabi Ruler’s Representative in the Eastern Region. My deepest condolences to the Emirati Royal Family, the government and the people of the Emirate of Abu Dhabi and the entire United Arab Emirates. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
English
203
100
870
97.1K
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@amnsekela Eid Mubarak. Uwe na siku njema ya Eid na Mungu azibariki Funga Zako.
0
0
1
159
Abdulmajid Nsekela
Abdulmajid Nsekela@amnsekela·
Hakika Ramadhan ya mwaka huu imekua ya kipekee sana kwangu baada ya kushiriki futari ya siku ya mwisho ya mfungo nikiwa na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dkt. Abubakar Zuberi. Katikati ya futari hiyo taarifa za kuandama kwa mwezi zilithibitishwa na Mufti kutangaza kukamilika kwa mfungo wa mwezi Ramadhan mbele yetu. Yumkini ni jambo dogo kwa wengine lakini kwangu hakika imekua jambo la kihistoria kwani miaka yote tangu nikiwa kijana mdogo kijijini Nyakatuntu, Kyerwa nimezoea kupata taarifa hizi kwa njia ya vyombo vya habari na leo nimeshuhudia moja kwa moja. Nichukue fursa hii kuwapongeza Waislamu wote nchini kwa kukamilisha funga ya mwezi Ramadhan na niwatakie Eid Mubarak. #EidMubarak
Abdulmajid Nsekela tweet media
Indonesia
12
14
187
8.7K
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@Mchambuzi5 The late His Excellency Ali Hassan Mwinyi is the Unsung Hero of the Nation.
English
0
0
1
168
MCHAMBUZI MEDIA
MCHAMBUZI MEDIA@Mchambuzi5·
👉Mkapa ana uwanja wa Mkapa 👉Nyerere ana Bwawa la Umeme na chuo cha Mwl. Nyerere,ana ukumbi wa mikutano pale Posta 👉Magufuli ana Bus Terminal 👉Kikwete ana ukumbi wa JK Kikwete-kule Dodoma 👉Mwinyi ana kipi kilichopewa jina lake? Majibu yawe mafupi
MCHAMBUZI MEDIA tweet media
Filipino
1.8K
98
2.2K
285.7K
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@Eddo142 Kiingereza ni lugha. Sasa wako wanaojua kiingereza lakini hawana stadi za maisha. Wakati watu wanajikita kwenye AI sisi bado tunatafuta kuajua wanyama kwa kiingereza tena sio kwa scientific name. Sasa tubadilishe mtazamo kidogo kwa maendeleo ya haraka.
Indonesia
0
0
2
182
Eddo
Eddo@Eddo142·
Tuone kama mzazi wako alipoteza ada, taja jina la huyu ndege Kwa kingereza 😂😂👇
Eddo tweet media
445
78
2K
223.3K
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
Thinking loudly. Is it possible to have a state without political parties?
English
0
0
1
4
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa Hospitali akiugua maradhi ya kifua na anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa Madaktari. Msemaji wa Familia ya Mzee Mwinyi, Abdullah Ali Mwinyi amesema kutokana na ushauri wa Madaktari wake, Familia imeona ni vema apate faragha akiwa anapatiwa matibabu hivyo Familia inaiomba Jamii kumkumbuka kwenye dua, sala na maombi. “Tunamuomba Mwenyezi Mungu amjaalie shifaa ya haraka Mzee wetu pamoja na Wagonjwa wengine wote wanaokabiliwa na maradhi mbalimbali” imeeleza taarifa ya familia. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
184
75
2.4K
171K
Mwamvita Makamba
Mwamvita Makamba@Makambas·
Happiest 85th Birthday to my awesome Father Mzee Yusuf Makamba. It is an honor to be your daughter. We are so grateful for you and love you so much. Thank you for all you have done and continue to do to us and to Humanity. May Allah continue to bless you with good health and long life. Happy birthday baba.
English
62
34
478
47.6K
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@SnrDirector It is okay to hate the statement. Within it however, there is a lesson to learn.
English
0
0
0
3
MAK Mringo (PhD)
MAK Mringo (PhD)@SnrDirector·
I hate this statement; don’t you?
English
147
374
1.1K
0
ıllı Mashallah✊ ıllı
ıllı Mashallah✊ ıllı@mashallah2007·
@lifeofmshaba Duh! Lita 1000000/360sekunde (=dk60) = lita 2777 kwa sekunde hakuna kitu kama hicho. Hivi lini viongozi wataacha kusema uongo na kusingizia watu wengine ili kukwepa uwajibikaji?
Indonesia
6
2
18
0
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Maagizo ya Mama Samia yameanzia kuumiza watu — Huyu mchina yuko hapo kitambo sana na wala sio kwa kujificha, kama mambo yamebadilika si aambiwe aache , mtu amewekeza kilimo cha umwagiliaji muda tu —- tunasema tunataka blue economy halafu tumekomaa na matamko #KatibaMpya
Think Different tweet media
Indonesia
94
37
317
0
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@lifeofmshaba @SuluhuSamia It only six months. If everything was done as fast as you would her to have them done, it will be chaos. Let us give her time to do some of the things in an orderly manner.
English
0
0
0
0
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Rais wa sasa @SuluhuSamia alipokuwa waziri kwenye serikali ya Rais Amani Karume, walipitisha sera kutetea watoto wote kupata elimu, na watoto wote kike Zanzibar kwa sasa wanarudi shule baada ya kujifungua, lakini sasa amekaa kimya twitter.com/i/spaces/1ZkJz…
Filipino
5
13
71
0
a m a r i
a m a r i@xsamma_·
@SnrDirector I understand what you are trying to imply here but kwa ground ni different
a m a r i tweet media
English
1
0
1
0
MAK Mringo (PhD)
MAK Mringo (PhD)@SnrDirector·
I dont agree, define Archtecture! Whom ever does that; he is archtecting
a m a r i@xsamma_

@SnrDirector You are right Sir,but in this case (road geometric design) is totally done by an engineer!

English
3
0
1
0
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kuna gap la 20 billioni kwenye hizi taarifa
Think Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
25
31
248
0
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@darmpya_ @hpolepole Katika kipindi chote cha mapambano na Covid-19 sijawahi kusikia dawa iliyogunduliwa na Jeshi. Kama ipo basi haikuwa effective ama sivyo umma ungeifahamu. Yawekwe mazingira wezeshi kwa taasisi za serikali na sector binafsi kutafiti na kuzalisha dawa.
Filipino
0
0
0
0
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
@lifeofmshaba Kwa kuanzisha usafiri wa basi ambao ni state owned tungekuwa tunarudi nyuma. Kilichofanyika ndio sahihi kwa kutengeneza mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kutoa huduma ya usafiri. Na hapa siri ilikuwa kujenga barabara ya lami.
Indonesia
0
0
0
0
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Makete Wamefanya sherehe kwa kupata bus la moja kwa moja kutoka Makete Mpaka Dar , Fear Enough —- Kulikuwa na mtu ananunua ndege kwa cash, kuliko kufanya hayo hela ya kununua Dreamliners ilikuwa inatosha kuazisha National Express and Mwendokasi combined na ni Biashara ya faida
Filipino
35
26
247
0
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli: Maombi ya kubadili jina la Uwanja wa Taifa kuwa: Uwanja wa Benjamin William Mkapa - Sign the Petition! chng.it/F8LYmcKQ via @Change
Indonesia
0
0
2
0
Davis Baitani
Davis Baitani@DBaitani·
Go BWM go! You did a lot for this Nation. You will will remember for your frankness and walking the talk. The Engineering Community and the Construction Industry will always remember you for the capacity building initiatives for the local engineers and related disciplines.
Davis Baitani tweet media
English
0
0
1
0