ıllı Mashallah✊ ıllı

6.9K posts

ıllı Mashallah✊ ıllı banner
ıllı Mashallah✊ ıllı

ıllı Mashallah✊ ıllı

@mashallah2007

#Tanganyikan #ConcernedCitizen #ActiveCitizen #NatakaKatibaMpya

South Africa Katılım Şubat 2011
87 Takip Edilen151 Takipçiler
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
FOR OUR NATION TO HEAL, FIVE FUNDAMENTAL MEASURES ARE NECESSARY: 1. The establishment of a Truth, Justice, and Accountability Commission to investigate and address incidents of killings, enforced disappearances, and the discovery of unidentified bodies occurring before, during, and after the elections. 2. The unconditional release of all detainees and political prisoners, including the immediate release of Advocate Tundu Antipas Lissu. 3. The revival of the Constitutional Review legal framework and the adoption of a clear roadmap for the constitution-making process, commencing from the stage reached by the Constitutional Review Commission. 4. The authorization of an independent international investigation into all alleged violations of human rights and civil liberties, with a view to establishing the truth and ensuring accountability in accordance with international legal standards. 5. A Collective national commitment by all citizens to reject corruption, fear, intimidation, and complacency, and to place the interests of the nation above personal, partisan, or sectional interests. TRUTH, JUSTICE, AND ACCOUNTABILITY ARE THE FOUNDATIONS UPON WHICH OUR NATION CAN HEAL AND RECONCILE. Boniface A. K. Mwabukusi
English
7
73
198
5.9K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Jana Bongo Zozo alikutana na @davidmcallister ambe ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje wa @Europarl_EN walizungunza kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo issue ya Mhe. Lissu pamoja na Ukiukwaji wa Haki za Binadamu ambao Nduli Idd Amin Mama alifanya Oktoba 29. Tunakaba kila kona
Indonesia
14
139
539
10.2K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨MABWEPANDE ENEO LINALOSEMEKANA KUWA NA MAKABURI HALAIKI KUJENGEWA‼️ Mabwepande tokea enzi za Dr Ulimboka inajulikana kuwa ni sehemu inayotumiwa na wauaji wa vyombo vya dola kutelekeza miili ya waliowateka na kuwaua! Hadi wameitenga kama Reserve Hili eneo walilotamgaza ni moja ya eneo ambayo ipo ktk orodha ya uchunguzi wa kimataifa wa makaburi halaiki! Nashauri wananchi wasinunue au kujenga hapa hadi uchunguzi wa kimataifa ufanyike Damu za wasio na hatia zitawalilia - ohoo! Mtashindwa kuishi kwenye nyumba hizi! Shauri zenu! #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
14
87
295
20.8K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Mungu! Usitunyamazie 😭🙏🏽 Mungu wetu ni mwaminifu na atajibu muda si mrefu! There is a deep seated TRAUMA and collective grief in #Tanzania following the atrocities of #TanzaniaMassacre Mwalimu Christopher Mwakasege leads prayers to God asking the Lord “where are you?” Why do You let the Wicked devor the Just? We pray he is not harmed like other Christian leaders who have spoken up about the injustices and atrocities! Nobody is spared by these EVIL regime! Dark times we are living! #SamiaMustGo
English
20
149
573
12.5K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Dear Augustino Lissu, stay stronger and thank you for showing up to demand your father’s liberty. SC Tundu Lissu is extremely proud of you. Stay vigilant & unbowed, son. Wear that AURA and walk his talk, young🐐!
Tito Magoti tweet media
English
19
182
1.1K
16.9K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
@EmbassyofRussia This Woman is a murderer, She seized power after shooting and killing over ten thousand Tanzanians.
English
4
122
374
11.7K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🚨‼️POLISI ACHENI UONEVU IDUKILO‼️🚨 Kijiji cha Idukilo, wilaya ya kishapu Shinyanga inapitia mambo magumu sana na dhulma kubwa inayofanywa na @tanpol Kijiji kipo karibu na mgodi wa Mwadui na wananchi wananyanyasika maana wakati wa uchaguzi walikataa matokeo ya uchaguzi sasa ni kwamba diwani walimgomea wananchi hadi nyumba yake walichoma kwa hasira! Viongozi wa kijiji na kata wamejiuzulu na katika hasira za kukataliwa huyo diwani feki inadaiwa anashirikiana na polisi kuwaumiza wananchi! Serikali haramu hii ina mambo magumu! Na mambo kama haya yakiingia kwenye ripoti za kimataifa mnadai tunachafua nchi ACHENI DHULMA! Mmeshakataliwa hapa dawa ni uchaguzi huru na wa haki! Oh and #SamiaMustGo Cc @hrw @AmnestyEARO @UN_HRC @SenateForeign @SFRCdems @Europarl_EN @WorldBankAfrica @IMFAfrica 👇🏾 URGENT! Idukilo village, Shinyanga district is going through very difficult times and great injustice carried out by the police in #Tanzania The village is near the Mwadui mine and the citizens are being harassed and assaulted because during the election they rejected the election results as a result the councilor was boycotted by the citizens even his house was burned down in anger! The village and ward leaders have resigned and in the anger of rejection the fake councilor is allegedly collaborating with the police to hurt the citizens! The citizens are asking the world to help! Even children are unable to attend school because of blatant human rights violations!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
6
94
274
10.6K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️ALERT‼️ MGOGORO UNAOENDELEA KATA YA IDUKILO, WILAYA YA KISHAPU, MKOA WA SHINYANGA ULIOPELEKEA MAUAJI, WANANCHI KUUMIZWA, KUKIMBIA MAKAZI YAO, KUSHIKILIWA KWA IDADI KUBWA YA WANANCHI NA KUSITISHWA KWA HUDUMA ZA KIJAMII Mgogoro huu ni wa muda mrefu. Ulianza kutokana na madai ya kuporwa kwa maeneo ya wananchi wa Idukilo mwaka 2022 baada ya mwekezaji aitwaye FANTOM, anayejihusisha na shughuli za uchimbaji wa madini aina ya dhahabu, kuchukua maeneo ya wananchi na kuanza kuweka bikoni katika maeneo hayo. Kulitokea vurugu kubwa zilizosababisha mwananchi aitwaye COSMAS HAMIS SHILIMWA, mkazi wa Idukilo, kupigwa risasi. Tukio hilo lilitokea tarehe 10 Machi 2022. Baada ya tukio hilo, wananchi walikusanyika na kutaka maelezo kutoka kwa askari kuhusu hatua hiyo. Viongozi mbalimbali wa serikali walikuwepo katika eneo la tukio, wakiwemo diwani, watendaji na wenyeviti wa vijiji. Wananchi walipohoji kuhusu mwenzao kupigwa risasi katika maeneo hayo ambayo ni maeneo ya machimbo ya wananchi, viongozi hususan diwani waliwaomba wawe watulivu wakieleza kuwa suala hilo linafuatiliwa. Baada ya wananchi kuridhia kuwaachia viongozi kushughulikia suala hilo, polisi walichukua mwili wa marehemu na kuupeleka katika eneo la mgodi kwa ajili ya kupigwa picha na baadaye kutoa taarifa kwamba COSMAS HAMIS SHILIMWA alikuwa akiiba madini katika mgodi huo kinyume na utaratibu. Jambo hilo liliwakera wananchi wa Idukilo, ambao walimuita diwani wao na kumuuliza kwa nini aliahidi kufuatilia suala hilo lakini akashindwa kusimamia haki ya ndugu yao COSMAS HAMIS SHILIMWA, ambaye walidai alipoteza maisha yake kwa kupigwa risasi huku taarifa iliyotolewa ikielezwa kuwa si ya kweli. Wananchi pamoja na Sungusungu walikubaliana kumtoza faini diwani wao, SARAH MHOLI, ng’ombe watano. Vinginevyo wangemtenga katika shughuli zao za kijamii. Diwani huyo hakulipa faini hiyo. Katika kura za maoni za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wananchi wanaeleza kuwa wanachama wengi wa CCM katika eneo hilo hawakumchagua SARAH MHOLI. Hata hivyo, kwa mujibu wa maelezo yao, baadaye alipitishwa kuwa mgombea wa uchaguzi wa Oktoba 2025. Kutokana na hali hiyo, wananchi wengi walionyesha kutoridhishwa na hatua hiyo na wakaamua kumuunga mkono mgombea wa ACT, MUSSA HALUNA MAZIKU. Katika uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025, wananchi walidai kuwa uchaguzi ulipotoshwa baada ya polisi kuchukua masanduku ya kura na kuondoka nayo, jambo lililosababisha hasira miongoni mwa wananchi kutokana na kutangazwa kwa mgombea ambaye walidai hawakumchagua. Baada ya tukio hilo, wananchi waliandamana na viongozi wa serikali za vijiji katika Kata ya Idukilo walijivua nyadhifa zao kuanzia wenyeviti wa vijiji hadi wenyeviti wa vitongoji, huku wakieleza kutomtambua diwani SARAH MHOLI. Baadaye Mkuu wa Wilaya alifika katika eneo hilo. Kwa mujibu wa maelezo ya wananchi, alieleza kuwa diwani wao ni SARAH MHOLI na kwamba hawezi kuhangaika na waathirika wa UKIMWI, kauli ambayo wananchi walitafsiri kuwa iliwalenga wao. Wananchi walionyesha hasira kubwa kufuatia kauli hiyo na baadaye walivamia makazi ya SARAH MHOLI, ambapo nyumba yake ilichomwa moto na mali mbalimbali kuharibiwa. Siku iliyofuata baada ya tukio hilo, polisi walifika katika maeneo ya Idukilo na kufyatua risasi za moto. Katika tukio hilo, kijana mmoja aitwaye KIJA MAKUNGU alidaiwa kupigwa risasi tumboni akiwa katika shughuli zake na kufariki dunia papo hapo. MAMBO YANAYODAIWA KUENDELEA KWA SASA KATI YA WANANCHI WA IDUKILO NA POLISI Kwa mujibu wa taarifa zinazotolewa na wananchi wa Idukilo: * Polisi hawataki wananchi wa Idukilo kufungua maduka au kufanya shughuli mbalimbali za kijamii. * Maduka yanaelezwa kulazimishwa kufungwa. * Polisi wanaelezwa kuingia katika nyumba za wananchi na kufanya vitendo mbalimbali vinavyolalamikiwa na wananchi. * Wananchi wanadai kuporwa mali, fedha na bidhaa zilizopo madukani. Part 2 👇
Indonesia
8
88
290
18.2K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
I am grateful that since the mass killings of October 29, not a single day has passed without people speaking about them. In this, Tanzanians have honored the memory of our brothers and sisters.
kharry_de_prince tweet media
English
2
38
97
6.4K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
@mgwisha246159 @MariaSTsehai Tutapitishwa tena na tena kwenye Bonde la Uvuli wa Mauti kabla ya kuufikia Ukombozi kamili....Tusiogope tusimame Imara. .Sihitaji kuwa na Cheti au Cheo ili kusimama upande wa Haki. ALUTA CONTINUA.
Indonesia
9
136
554
10.2K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
/ˈdeɪ.vɪd/
/ˈdeɪ.vɪd/@DaveMollel·
Mama alikuja na “R” nne. Moja ya “R” hizo ni REFORMS, yaani mabadiliko.Lissu akamuunga mkono Mama kwa kusema “Bila Mabadiliko, Hakuna Uchaguzi”NRNE Akakamatwa kwa uhaini wakati aliunga mkono falsafa ya 4R! Mbadilishie mashtaka mseme alikosea kumuunga mkono Mama! - Ask. Bagonza
Indonesia
0
18
95
2.5K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
ILI TAIFA Lipone linahitaji mambo Muhimu 5 1. Tume ya Ukweli,Haki na Uwajibikaji kuhusiana na matukio ya Mauwaji na upotezwaji wa watu na Miili Kabla,wakati na baada ya uchaguzi 2.Kuachiliwa kwa mahabusu wote ,wafungwa wakisiasa ikiwamo kuachiliwa kwa Wakili Tundu Antipas Lissu. 3.Kuhuishwa kwa sheria ya Uandikwaji wa Katiba Mpya na Kuweka utaratibu utakao anzia pale Tume ya Warioba ilipoishia. 4.Kuruhusu Uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusiana na matendo yote yanayohusiana na ukiukwaji wa haki za Binadamu na haki za kiraia. 5.Raia wote kujikana kukataa rushwa,hofu,woga,kukataa hila na ghilba za kisiasa na kutanguliza maslahi Mapana ya Taifa mbele UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI UTALIPONYA TAIFA. BAK MWABUKUSI.
Indonesia
21
195
688
14.7K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
RUSSIA HELA ANAYO ILA HELA YAKE IMESHIKAMANA ROHO. Russia pesa anayo ila sio mtoaji ni bahili haswaaa pesa yake imeshikamana na roho akitoa atakufa, ukitaka ushahidi wa hili waulize raia wa Burkina Faso maana Rais wao Ibrahim Traoré alikuwa mshirika wake, Putin yeye kama wewe unabiashara unataka mfanye hapo sawa Ila kama unategemea akupe misaada kama wanavofanya Marekani na Umoja wa Ulaya hiyo sahau hakupi ng’ombe Mchina yeye mambo ya misaada hapana ila pesa za kukukopesha izo zipo nyingi lakin mikopo yake ndo kama ile kausha damu, ukiweka bond kitu ukishindwa kulipa deni ndani ya muda mliokubalina anachukua iko ulichokweka bond na hana masihara kwenye hela zake. Mugabe alipowekewa vikwazo na Nchi ya Umoja wa Ulaya na Marekani alikimbilia Russia, China na Korea akadhan watampa misaada kama aliyokuwa anapewa na Umoja wa Ulaya na Marekani alikiona cha mtemakuni. Zibambwe ilifirisika tangu wakati huo hadi leo Zimbabwe haijawai kuwa sawa kiuchumi ni nchi ambayo ukitaka hata kwenda dukani kununua mkate unabeba mihela kwenye rambo maana pesa yao haina thamani. Unaweza kubeba mihela mingi watu wakidhan mamilioni kumbe ni hela ambayo inatosha kununu kilo tatu za nyama. Zimbabwe ni nchi ambayo ina majambazi na vibaka wakutosha hata hapa bongo wanaofanya biashara ya kuuza magari ya wizi ambayo yanaibiwaga South Africa asilimia kubwa ni Wazimbabwe sasa huku ndo ambako Nduli Idd Amin Mama anaipeleka Tanzania, maisha yanenda kuwa magumu kuliko ambavyo tudhan na matukio ya kihalifu wizi, ujambazi, ukabaji yatakuwa mengi sana. Tanzania inaenda kutengwa na mataifa yote ya Umoja wa Ulaya na Marekani kwasababu Nchi inaongozwa na muuaji aliyejiweka madarakani baada ya kuuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
31
77
483
29K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hizi taharuki mnazisababisha wenyewe kwa kufanya mambo ya kijinga kama kumpeleka Tundu Lissu mahakamani kwa siri! Sasa taarifa hii kama sumu ya Novichok kama mpango ovu dhidi ya Lissu unaipuuzaje huku tukijua mmeshapiga dili la Uranium na warusi na mmeenda Russia ghafla!! Alafu zingatia Samia hayuko nchini wala Mombo na washaanza chokochoko na Makamu - kwa nini tusiamini mnataka kumdhuru Lissu msingizie Nchimbi? Nyie ni mashetani zaidi ya Shetani - anything is possible 🙄 Mi naendelea kuwatahadharisha - Lissu atakuja kuwasaidia hadi nyie wauaji maana ni mwanasheria na atasimamia utawala wa kisheria ktk kuwawajibisha! Na si kuwaua hovyo kama mnavyoua ninyi! #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
13
96
285
12.2K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Liberatus Mwang'ombe
Liberatus Mwang'ombe@Liberatus80·
The first Tanzanian “presidential” visit to Russia in 55 years comes at a troubling moment. As the U.S. and EU raise concerns over election violence, human rights abuses, and religious freedom in Tanzania, samia suluhu hassan is strengthening ties with Putin, who praised joint coordination "against hegemony." Washington and Brussels should view this as a warning: authoritarian partnerships must not become an escape route from democratic accountability. @davidmcallister @SenateForeign @StateDeputySpox @StateDept @SecRubio @tedcruz @SenatorShaheen @RepJoeWilson @ChrisVanHollen @JDVance #TanzaniaMassacre #HumanRights #Democracy #FreeTunduLissu
Liberatus Mwang'ombe tweet mediaLiberatus Mwang'ombe tweet media
English
20
160
474
14.2K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Tuliwaambia kuwa Samia alichokifata kwa Putin ni msaada wa kutokuwajibika na vifo vya October 29. Alichokifata Moscow ni ulinzi wa kuachwa madarakani bila kuchaguliwa na wananchi. Hiyo hegemony hapo maana yake ni nchi flani kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa, au economically juu ya nchi zingine. Au kwa kiswahili hii hegemony unaweza sema ni mamlaka, yani nchi flani kuwa na mamlaka juu ya nchi ingine. So Samia na Putin wamekubaliana watapambana dhidi ya hegemony ya Marekani na Western countries ili Samia awe free kuua na kuteka Watanzania bila kuingiliwa na nchi yoyote. Ila Watanzania hata kama bado hatujashinda vita ila angalia tunashinda some battles along the way na tujipongeze. Aiseee 8 months later bado tumesimama kidete juu ya October 29 mpaka muuaji kakimbia kutafuta ulinzi wa dikteta mkuu wa dunia. Hakuna kutoa mguu kwenye gesi mpaka yeye na Putin wadondokeee pua…. Na nawahakikishia lazma kamuomba Putin amuulie Nchimbi kama itashindikana kumuondoa kupitia bunge. This I guarantee….. @SenTedCruz @SenatorShaheen
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
35
148
869
56K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nduli Idd Amin Mama akimtambulisha mtoto ake kwa Putin. Hawa wamejimilikisha nchi imekuwa kama kampuni ya familia yao wanafanya wanachojisikia, Mkapa alikuwa Rais, anawatoto ila hajawai kufanya huu upuuzi, Kikwete alikuwa Rais anawatoto ila hajawai kufanya huu upuuzi. Magufuli alikuwa Rais, anawatoto lakin hajawai kufanya huu upuuzi, Nduli Idd Amin Mama anatudharau sana Watanzania ndo maana anafanya huu upuuzi bila aibu wala kificho ni kama anatumbia “Ndio nimesafiri nae na hakuna kitu mtanifanya”
Hilda Newton tweet media
Indonesia
28
105
640
26.4K
ıllı Mashallah✊ ıllı retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
This 👇🏾 is Samia’s son Abdul Ameir Hafidh accused of crimes against humanity. shoved in the midst of the official delegation of Tanzania to Russia His only claim to fame is being the President’s son yet here is front row! Tanzania is officially a republic - but this family has zero understanding of this and behave like some royalty! How pathetic! #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
32
173
712
25.6K