Drunken Masta 🙉

11.9K posts

Drunken Masta 🙉 banner
Drunken Masta 🙉

Drunken Masta 🙉

@Drinking_cham

Pesa/Mapenzi/Siasa na Dini isiwe chanzo Cha mimi na wewe kugombana.🫡 Born:Dar es salaam-Tanganyika Nationality: People's Republic of Tanganyika #AmaniNaUpendo

Simiyu,Kasulu,Kagongwa,Buhigwe เข้าร่วม Eylül 2020
742 กำลังติดตาม639 ผู้ติดตาม
Drunken Masta 🙉
Drunken Masta 🙉@Drinking_cham·
@prossoff changamoto nyingi zinatokana na dawa za majira yale ma vitanzi ndio yanaletaga shida.
Indonesia
0
0
2
1.3K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mama mmoja ambae ni amekuwa single mom kwa muda mrefu (ndugu yangu kabisa) Alikuwa na watoto wawili madume, lakini akawa anatamani sana kuongeza mtoto maana vijana walikuwa wamekuwa ila yeye umri bado bado. Basi mama kasaka mtoto lakini wapi, kapita sana kwa waganga na waganguzi ila bado hapokei. Mungu fundi, pamoja na kukosa mimba alipata bwana wa kumuoa huko pwani ya jotoni kwenye soko kubwa Tanzania hapa na mabandari. Mama akapitisha donee ya michango za harusi na tukatoa. Picha linaanza ata picha za harusi hatukuona japo sio jambo lililonisukuma kuandika uzi. Baada ya muda kupita yule mama tukasikia kashika mimba in her 37+ kalea mpaka kujifungua. Ila sasa; Mtoto alizaliwa akiwa dhaifu, kafika miezi mpaka mitatu hawezi vuta maziwa wala kukaza shingo. Ni mtoto wa kulala na kulia, kichwa kama hakina shape maalum ya duara japo sio kikubwa. Mama anampambania binti yake vibaya sana, chaajabu baba na ndugu wa baba hawamsaidii na wanamkana kwamba kwenye ukoo hawana izo shida. Mama anapambana ivo ivo huko maghorofani kwa wagonjea fire kushoto kama unatoka jagwani.
Filipino
14
16
245
25.7K
Drunken Masta 🙉
Drunken Masta 🙉@Drinking_cham·
@EsirEid mkoa gani? Tanzania hauna uchawi tena Dar es salaam kati ya watu 10 basi watu nane ni washirikina(wachawi).
Indonesia
1
0
1
185
Drunken Masta 🙉
Drunken Masta 🙉@Drinking_cham·
@PMadeleka Tunawaondoa wamasai Ngorongoro ili tuwape Waarabu? ikiwa tumewapa Bandari, Ngorongoro nini kinafatia? Je Rais anafanya haya kwa faida ya nani?
Indonesia
0
0
0
119
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Hata kama WAARABU WALITUTESA SANA kupitia BIASHARA YA UTUMWA, ukweli ni kwamba; ni NDUGU ZETU na hatupaswi KULIPA KISASI. Ndiyo maana, ili kuonesha UUNGWANA, tumeamua KUWAPA NGORONGORO.👇
Peter Madeleka tweet media
Filipino
57
36
334
33.5K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya YESU akiwa nyumbani kwa Simoni Farisayo, kuna yule mwanamke aliesemakana ana dhambi nyingi ‘Kahaba’ Alilia na machozi yake yakamiminika miguuni mwa Yesu. Akaifuta miguu hiyo kwa nywele zake. Akambusu miguu na kuipaka mafuta ya marashi. Na akasamehewa madhambi yake… Huwezi jua huenda hio ni njia moja ya kumfamya huyo T akabadilika… Msikate tamaa na rehema za mwenyezi Mungu- Hakuna dhambi isiosamehewa almuradi uombe Toba ya kweli… Masheikh na wachungaji hawapo kwa ajili ya watu wema tu…
CONGRATULATION!@Ponge_Bromine

Dini ya haki inafutulishwa na shoga na masheikh wamejazana ila likija suala la kudai haki, masheikh wanatoka kudai WALI. 😤

Filipino
97
29
213
46.2K
nyakyusaboy
nyakyusaboy@nyakyusaboy·
Nishawambia nyumbani wanalijua hili
nyakyusaboy tweet media
Indonesia
51
40
503
29.9K
Drunken Masta 🙉
Drunken Masta 🙉@Drinking_cham·
@Makaveli_255 now days demu akikutaka ukimkataa anaamini na wewe ni mmoja wao,tunaishi kwenye nyakati ngumu.
Indonesia
4
0
1
682
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Piga marufuku bajaji na boda boda kuingia katikati ya jiji, jenga mfumo wa treni za mjini (Metro) zichukue watu kila pembe ya jiji na kuwamwaga katikati. Funga CCTV cameras kila eneo, weka dustbins kila eneo, sambaza law enforcement officers kukamata wanaochafua jiji. Ondoa wasafisha barabara kwa mikono, tumia magari ya kisasa kuondoa vumbi na uchafu barabarani, baada ya mwaka mmoja tupime matokeo.
Indonesia
88
36
470
34.3K
Drunken Masta 🙉
Drunken Masta 🙉@Drinking_cham·
@jwise017 Tatizo linaanzia hapa 1.kipaumbele cha Serikali 2.Kipaumbele cha Rais 3.kipaumbele cha Chama
Eesti
0
0
0
22
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
What if tukaweka mbele kipaumbele kimoja kila mwaka kufikia 2032 matatizo mengi ya msingi tunaweza kuwa tumeepukana nayo. Mf 2026 tunajenga barabara zote za kuunganisha Wilaya, kufanya upanuzi wa barabara kuu na kumaliza kabisa tatizo la barabara za mijini. Nope?
Indonesia
9
8
70
3.6K
Drunken Masta 🙉
Drunken Masta 🙉@Drinking_cham·
Je kuna Sheria yoyote inayomkataza Rais wa Nchi au Makamu wa Rais au Waziri Mkuu kununua Dhahabu itakayouzwa na BOT? 🤔
Indonesia
0
0
0
9
TONY ALFRED K
TONY ALFRED K@tonyalfredk·
Nchi yetu ni kama mfumo wetu wa maadili unajengwa uwe kinyume na binadamu wengine- maana hapa walioshika madaraka wanaongea uongo, sisi na wao tunajua ni uongo- ila ‘maadili’ yetu yanatutaka tukubali uongo na ulaghai wao kuwa ndio kweli yote. Ni maajabu!
Indonesia
17
67
293
10.5K
Drunken Masta 🙉 รีทวีตแล้ว
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Yeye sio sababu ya Umaskini katika Taifa letu. Yeye sio sababu ya rushwa katika Taasisi mbalimbali. Yeye sio sababu ya deni la Taifa kuongezeka. Yeye sio sababu ya upotevu wa mapato Serikalini. Yeye sio sababu ya kukwama miradi ya maendeleo. Kwanini yupo Mahabusu???
M.D (🅨) tweet media
Indonesia
55
428
1.6K
22.5K
Evance lastborn
Evance lastborn@Evancelastborn1·
@joeselasini Mshauri Mkuu hajapata kutangazwa 😂😂😂 hawa wanatumika kama chambo
Indonesia
1
0
0
389
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Kwa mujibu wa katiba; Waziri Mkuu na Makamu wa Rais ni washauri rasmi wa Rais. Hawa walikuwa na nafasi ya kuendelea lakini walikataa na Dr. Mpango alijiuzulu kwa barua. Je! Kuwarudisha kwa njia hii waliopo Nchimbi na Mwigulu wamepwaya? Je! Ni lazima kutangaza washauri hadharani?
Mamwavi_Nkabasia tweet media
Indonesia
52
36
325
26K
The SPECIAL ONE ™️
The SPECIAL ONE ™️@bajabiri·
Waandishi mlipigiwa simu au mliletewa kadi za mwaliko?
Jambo TV@Jambotv_

VIDEO: Lucy Antony Michael (35), Mkazi wa Yombo Dovya, Mtaa wa Makangarawe, Wilayani Temeke, Dar es Salaam amedai kuwa amevamiwa na watu wasiojulikana akiwa anatoka nyumbani kwake, ambapo watu hao walimpiga na kumshambulia maeneo mbalimbali ya mwili wake Lucy ambaye ni miongoni mwa watu waliojitambulisha kuwa ni Waumini wa Kanisa Katoliki walioenda kwenye Ubalozi wa Vatican, uliopo hapa nchini kwaajili ya kupeleka barua ya malalamiko juu ya mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa hilo hivi karibuni, amesema kabla ya kuvamiwa na kushambuliwa kwake kwa siku kadhaa amekuwa kwenye misukosuko ya kupokea simu na kutumiwa sms za kejeli, matusi na wengine kumtishia maisha Akizungumza na Waandishi wa Habari akiwa nyumbani kwake leo, Jumapili Januari 11.2026, Lucy amehusianisha kushambuliwa kwake na maoni aliyotoa mbele ya Wanahabari kuhusiana na mwenendo wa baadhi ya viongozi wa Kanisa Katoliki, jambo ambalo ameeleza kuwa amelifanya kwa nia njema ya kujenga iliyolenga kuwarejesha viongozi hao kwenye mstari, maoni ambayo yamepokelewa kwa hisia hasi kwa baadhi watu kwenye jamii Aidha, bada ya kushambuliwa Lucy amefikisha malalamiko yake kwenye Kituo cha Polisi Makangarawe na kupewa RB No. MAR/RB/49/2026 Shuhuda wa tukio hilo Sabina Michael, Mjumbe wa Serikali ya Mtaa Ashura Salum na Daud Leonard ambaye ni mmoja wa waumini wanaosali pamoja na Lucy, kwa nyakati tofauti wameeleza kusikitishwa na tukio hilo sambamba na kuziomba mamlaka husika kuchukua hatua stahiki kwa wote waliohusika, huku pia wakiomba kuimarishiwa zaidi usalama mtaani kwao kwani matukio ya aina hiyo yanaweza kusababisha wasiwasi kwa jamii.

Filipino
42
19
266
20.7K
Drunken Masta 🙉 รีทวีตแล้ว
Olesangka
Olesangka@OleSangka·
Usually a Sunday like today Paratrooper @fbuyobe would bless us with Rhumba and Congo songs, He would translate the songs from Lingala and make us understand the songs we bang in bars, while we drink so called “Machozi ya simba” after a good Church session. Please #freebuyobe
Olesangka tweet media
English
1
137
311
5.7K
Drunken Masta 🙉
Drunken Masta 🙉@Drinking_cham·
@ReganTesla_ pressure yake iko juu sana na kwa yale mafuta yake wamuweke karibu na feni muda wote.
Indonesia
0
0
0
167
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Moja sababu ya kuachia hao akina Niffer ni pamoja na kuzima moto wa Mkutano ule na Wazee..
Polski
15
34
507
13.5K