watakuja na wataenda

12.4K posts

watakuja na wataenda banner
watakuja na wataenda

watakuja na wataenda

@omary___

#napendaHiphop&EDM

Mbeya, Tanzania เข้าร่วม Şubat 2021
1.4K กำลังติดตาม703 ผู้ติดตาม
watakuja na wataenda
@bajabiri Ananufaika kutofanyishwa kazi ngumu sabab ana ujuzi. Hatoenda kufyatua tofali, hatoenda shambani kulima kwa jembe la mkono, hataenda kupasua mawe
Indonesia
1
0
0
294
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Madilu Bwana 😆 na huyu ana mahitaji maalumu? Sanaa
Britanicca tweet media
Indonesia
45
22
366
47.7K
Cadillac
Cadillac@CadiSuvescalade·
@Thereal_taivina Ila sina uhakika kwamba kuna rapper ambae hana real biff na wenzake kuacha hayo ya dis track.
Filipino
3
0
3
8.2K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Kwenye Hili Kundi Take Off ndo alikuwa mkali kuliko wote, Ndo alikuwa mstaarabu kuliko wote, alikubalika street kuliko wote na hakuwa na scandal ya mauaji wala bifu na mtu yeyote ila ndo ameanza kwenda futi sita. Hawa wengine wawili mitaa huwa inawatamani kule waishi kimasta.
Taivina James tweet media
Filipino
22
26
336
36.7K
FENDI
FENDI@fend_zones·
2.5 billion years to form… ruined in seconds for a dumb social media clip. 😐
English
2K
420
13.5K
10.3M
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mchana huu MABONGE yakienda kula migahawa ya mtaani. Linagiza ugali mbili na ka nusu. Mboga tano yanachanganya kwenye bakuli moja. Soda au juice ni lazima. Maji hayanunui ni yale yale ya pale kwa mama ntilie. Kama kawaida ma sauti mdomoni wakati linakula. Mnduku nje nje. Likishiba ni kulala na kujijambia kimya kimya. Hapo kati kabla ya lunch lishakula karanga za kuchemsha au miwa. Mabonge yanakera.
Indonesia
106
39
454
23.1K
Rich1128
Rich1128@SBloga11·
@IAmHaule Tangu watupige kweny ile ishu ya moon landing bas hata waroge uchi siwaamini😂
Filipino
2
0
0
56
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
NASA wametoa picha nyingine mpya ya Dunia kutokea angani . Picha hii inaonyesha Dunia ikionekana kama mstari mwembamba wa mwanga ndani ya giza la anga. Source: NASA
IAmHaule tweet media
Indonesia
26
8
146
15K
Dr. Thadeus Mihayo
Dr. Thadeus Mihayo@Dr_Thadeus_19·
Ni jina gani la mbwa hapa haukosi 😄😄
Dr. Thadeus Mihayo tweet media
Indonesia
457
44
528
46K
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
Ivi huyu Mwanasayansi ameleta nafuu ipi Duniani?
JohnDoe tweet media
Indonesia
3
1
5
381
MAESTRO 🎭
MAESTRO 🎭@maestrochance_·
Kuna movie kali ya mazombie kuliko hii 🔥
MAESTRO 🎭 tweet media
Filipino
14
12
46
1.6K
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Legend Jay Moe heshima yake inabaki pale pale na haitashuka ila kwenye hii TUKUSA amepwaya sana. Kwa kifupi ni tukusa mbovu ukilinganisha na Moto ambao ameuwasha dizasta, solo na zohani. (TUKUSA) TUNAJUA KUCHANA SANA. Ni jukwaa la ufundi wa lugha, masimulizi na uwasilishaji
Indonesia
19
9
76
3.2K
I AM
I AM@francismtey·
ukisoma Bible na ukaelewa utaona nilichoandika kina make Sense 1. Kulikuwa na Vita mbinguni. Mungu na Malaika (Shetani) - Msaliti Swali ni je, Hivi Mungu anawezaje kupigana na Malaika wake kama sio alikuwa mwenzake? 2. Kwanini Shetani alikuwa anaenda Mbinguni kushauriana na Mungu kuhusu Yakobo. Kama Sio Mwenzake...? 3. Kwanini Mungu alishindwa kumuuwa Shetani ila kwa kosa lile lile la usaliti Sisi tukaambiwa Tutakufa ila Shetani Ataishi milele? huyu Sio mwenzake? 4. Shetani na Mungu huwa wanapiga Story. Ayubu 1:6-12 - Wanapiga story Fresh kabisa. 5. Mwanzo 1:26 (SRUV) Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, ina maana Walikuwa Miungu wengi ikiwemo na huyu Ambaye anaitwa SHETANI SIO? au...
MWANAHISABATI@ArthurGeil

@francismtey Alafu Mungu nae akawa Nani? So unataka kusema kwamba Shetani ndio alikua Mungu alafu huyu Akamsaliti Shetani mmmhh..😂😂

Filipino
35
8
42
4.9K
PABLO
PABLO@PabloYende·
Hii Tukusa ya Jay Moe inahitaji makala mbili tatu kuielezea kama ni kali kifupi ni hakuna Kitu Mkongwe kafanya 🤠
Indonesia
12
7
109
5.6K