ทวีตที่ปักหมุด
Kommit schuenn
4.4K posts

Kommit schuenn
@schuenn
The expensive fan of @AzamFc
Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Aralık 2021
275 กำลังติดตาม246 ผู้ติดตาม

@duzwey @lwaitama1 Jina lako halimpi shida mtu kuelewa ulichokiandika
Indonesia

@lwaitama1 CHADEMA mna safari ndefu sana , mimi naona hii nchi igawanywe pande mbili Waislamu na Wakiristo, CHADEMA wachukue kipande cha Wakiristo Kitima awe raisi
Indonesia
Kommit schuenn รีทวีตแล้ว

@schuenn Mpaka ukaguse basi utakua na shida muhim na mimi. Kuliko ufanye hivyo nicheki DM tu 😃
Indonesia

@KisheriMabeley @MkulimaKante Wewe 😂, evaporation!! Acha uongo bhana
Filipino

@MkulimaKante Njia ni tatu Mzee
1.dissolution;changanya sukari+mchele+maji
2.Filtration;chuja huo mchanganyiko ili upate maji na mchele separately
3.evaporation;chemsha hayo maji ili baadae upate sukari
Indonesia

@assengajrr Inashangaza mgonjwa ana Kikohozi anapewa Azuma ya UTI....
Indonesia

Chombo hii hapa hata ingekuwa ni wewe 😢😢.


mTusi original 👦@mTusiOriginal
Demu nilimtongoza kwa sababu nilikuwa na mazoea na dada ake akanichomole fuse, sa life limeenda nikaja nikampata pisi kumbe sasa hii pisi mpya niliopata ni rafiki akeh😢 Sasa siunajua penzi jipya demu katoka machinga kuchukua mazaga akasema nakuja kukupa hai nikasema pouwa 👇👇
Indonesia

SATIVA anabet na anatumika na makampuni kushawishi watu wabet kupitia makampuni hayo huku yeye akilipwa commission.
Kiufupi SATIVA anapiga kazi mbili kwenye betting.
1.Anabet kwa kuweka hela zake.
2. Anacheza kama winga wa makampuni ya kubet.
Ukiona mtu yeyote anakuambia jiunge na kampuni fulani weka promo code fulani fahamu kwamba analipwa.

Indonesia

@LusajoNdussa @Sativa255 Kubet Inahitaji Capital ndefu Bro Odds Zakushinda Ni 1. Mwisho odds 2 apo kama Hauna Mtaji kuanzia 1M Sahau Kufanikiwa kwenye Kubet.
Filipino

Narudia tena MILIONI 100 kwa mwaka kutengeneza kwa Mwaka ni pesa ndogo sana.
Nilivunjwa TAYA na watekaji kwa kupigwa Risasi baada ya Kutekwa-vipenzi wangu watanzania hawakuishia tuu kupiga kelele #WhereisSativa Waliona video ya ndugu yao wakaona nahitaji MATIBABU kwa hali na mali-hawakujali naweza kujilipia au vipi wao wakaona bado mimi ni wao wa shida na raha.
Wakajikusanya wakajichanga zaidi ya 13M ilichangwa ndani ya masaa 15+. Baadae DIKTETA jike akaona michango ya wananchi nae akajileta na 35M yake.
Michango ya wananchi ikakomea hapo. Matibabu yangu mpaka sasa nimetumia zaidi ya MILIONI 70+ Na bado naendelea na matibabu-ushawahi kuona mahali naomba MCHANGO?
Uliumia sana watu kunichangia bila kujali kama naweza kujimudu au vipi?
Ulichanga shingapi nilipo vunjwa TAYA nikurudishie mara 5 leo leo ili uache kuniwaza kila siku.
MILIONI 100 kwa mwaka ni pesa ndogo sana wengine tunaitafuta hiyo kwa miezi miwili nanusu mpaka mitatu.
Acha SHOBO DADA WA KAZI ZA NDANI.
Dada Wa Kazi Za Ndani@DadaWaNyumbani
@Sativa255 Mimi huwa nashangaa kabisa m100 kwa mwaka ni pesa ndogo ila mkiuugua na kuvunjwa taya wakaitaji million 40 za matibabu mnakimbilia humu kuchangishana
Indonesia














