Ibrahim Omary
815 posts

















Matumizi ya Anasa, ndani ya Taifa Masikini, Rukwa ni miongoni mwa mikoa mitano bora kwa umasikini, lakini serikali inaweza kufanya Anasa hii mkoa ambao ni masikini,, Bado tunajukumu la kufanya,. Dah







Kimyaaa kimetawala, Wadau wanasubiri Bendi. Hakuna watu wenye huruma na hili taifa ata kidogo? Sasa kwann watu wale hivi alaf waje tena kuua ndugu zetu vile bila Huruma?? Ni muda wa Watanganyika kuungana na kudai haki.

@Ibrahimomy Unaweza kusema same kwa polepole, mzee warioba na wengine wao. Siwezi kuja kusema uongo ili niwafurahishe, na unachosema ni kweli labda kuna namna mmoja au nyingine tumekua tumekua accomplices i admit. Ila hio haini ondolei Validity ya kusema uwkweli. Tunapaswa tuwe wamoja.




@MariaSTsehai Dada nimeona watu wengi wananishambulia na kuja inbox kuwa mm ni Ccm. Ni kweli mm ni ccm na tuliandika hapa kushauri, kwenye vikao tulivyopata bahati tulisema, Majibu yalikua ni nini? Hapa tulipofika hakuna Remedy isipokua Accountability.













