Easy Digital
38 posts


@lukes7067 @Aqulline1 @godbless_lema yaan hapo mnasema anaweza kufungua so hakuna issue specific iliyomleta Tanzania? Yaani kaja tu halafu akafukirie baadae akiona fresh anafungua akiona hapana anaacha?
Indonesia

@Aqulline1 @godbless_lema Kwa ushawishi alonao katika klabu yake Manchester united anaweza kuwashawishi kufungua Academy au yeye Mwenyewe akafungia academy yake na ikawa fursa kwa vijana wetu kuonekana vipaji vyao nje ya nchi
Indonesia

@Kipanga1986 ni mtanzania mwenzako... Mimi naona ujinga mwingi upo kwa watanzania ila the root couse ni aina ya viongozi tulionao... watu wana masilahi binafsi kila mahali, hamna hata sehemu moja inafanywa bila wizi... hata huyo jamaa alipokuja tz kuna watu wamebeba mamilioni amini
Indonesia

@Kipanga1986 Ngoja nikuulize by facts tu kaka
Je Rio amekuja kwa ajili ya long term investment au kwa ajili ya afcon tu
Hivi unajua Benjamin Fernandez alitaka kuanzisha Nala tanzania ila kulingana na upigaji uliopo kati ya hizi ISP zetu wakamkataa now nala yupo kenya na nchi zingine huko ila
Indonesia

Tanzania ndio Nchi pekee Duniani akija mtu maarufu Raia wake hupatwa na hasira na kuanza kutukana matusi makubwa makubwa, hufika mbali zaidi wakisema sijui hawaoni faida ya mtu maarufu kuja Tanzania badala yake ni kuharibu kodi zao
Watanzania wanadhani ili waone faida ya mtu maarufu kuja Nchini mwao ni lazima Serikali itoe unga wa Mahindi kila nyumba, hapo ndio wataona faida na kusifisia sana
Kwani mnadhani Rwanda kuwekeza pesa nyingi kwenye vilabu vya mpira #VisitRwanda wao ni wajinga, mbona mnakua wajinga sana nyie watu mnajiita watanzania
Nchi hii kuendelea kwa aina hii ya vijana tuliokua nao tusubiri sana, kuna mambo yanayofanywa na raia wa Tanzania mpaka unajiuliza sijui ilikuaje ukazaliwa Tanzania wenye watu wapumbavu wa kiwango hiki
It's really sad

Indonesia

@VungaEl74 sifa kibao iran akirusha drone moja tu kwisha
Indonesia

Msafara wa magari wa Trump (Motorcade) ulioenda naye China ulikuwa mkubwa sana na wenye ulinzi mkali, kama kawaida ya ziara za rais wa Marekani.
"The Beast" — Limousine kuu ya kivita ya Trump (Cadillac iliyoboreshwa sana). Ni kama ngome inayotembea ina ulinzi wa risasi, mabomu, tairi zisizoweza kupasuka, na mifumo ya kisasa ya mawasiliano na ulinzi. Ilisafirishwa kwa ndege maalum (C-17 Globemaster) pamoja na magari mengine.
Chevrolet Suburbans nyeusi (armored SUVs) za Secret Service — zilionekana Beijing siku chache kabla ya kuwasili.
Van maalum za counter-surveillance/electronic warfare (zinazoweza kugundua na kuzuia ujasusi au vitisho vya kielektroniki).
Magari mengine ya usalama, ambulansi, na magari ya msaada. mamia ya tani za vifaa.
Msafara ulikuwa na magari mengi (multi-vehicle convoy), ulioandamana na polisi wa China na ulinzi mkali sana.



Indonesia

@millardayo Sasa kama Marekani anavunja makubaliano wa wamrushie tu yale makombora yao? Why wazuie mferej wa hormuz ambao Marekani hapitishi mafuta yake hapo? Hahaha, Iran bwana
Indonesia

Jeshi la Iran kupitia Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya limetangaza kurejesha vizuizi katika upitishaji wa meli kupitia Mlango wa Bahari wa Hormuz, likidai kuwa Marekani imekuwa ikivunja mara kwa mara makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya pande hizo mbili.
Msemaji wa jeshi la Iran Luteni Jenerali Ebrahim Zolfaqari ameliambia Shirika la Habari la Fars kuwa Tehran iliruhusu idadi ndogo ya meli za mafuta na meli za kibiashara kupita katika mlango huo “Lakini kwa bahati mbaya, Wamarekani, kutokana na historia yao ya kukiuka makubaliano, wanaendelea kujihusisha na vitendo vya uharamia na wizi wa baharini kwa kisingizio cha mzingiro."
Aidha aliongeza kuwa udhibiti wa Mlango wa Hormuz kwa sasa uko chini ya usimamizi mkali wa Vikosi vya Jeshi la Iran na hali hiyo itaendelea hadi Marekani itakapositisha mzingiro wake dhidi ya meli zinazoelekea na kutoka katika bandari za Iran.
Hata hivyo Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, aliandika kwenye mtandao wa X kuwa mlango huo ulikuwa wazi kwa usafiri wa meli ambapo ndani ya saa chache, Vyombo vya Habari vya Serikali vilithibitisha kuwa Jeshi la Iran lina usimamizi kamili wa upitishaji wa meli na kwamba upitishaji huo hautatambuliwa ikiwa kile kinachodaiwa kuwa ni mzingiro wa majini utaendelea.
Kwa Upande wake Rais wa Marekani, Donald Trump, amesisitiza kuwa mzingiro wa majini dhidi ya bandari za Iran utaendelea hadi pale makubaliano kamili yatakapofikiwa na Tehran ambapo bado haijafahamika ni lini na wapi pande hizo mbili zitakutana tena baada ya duru ya kwanza ya mazungumzo kushindwa kufikia mwafaka huko Islamabad mwishoni mwa wiki iliyopita.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@swahilitimes vijana wenyewe ni hao machawa wenu yaani unakuta mna vigezo vyote vya mkopo ila kama si chawa hupati
हिन्दी

@millardayo Morogoro huu mji ni wakuangalia aisee barabara ni nyembamba sana mji unapitisha magari makubwa, viongozi wa serikali kwenda dodoma lakini hata hawaoni barabara ilivyo em angalien barabara toka cate hotel hadi msamvu ilivyo juzi kidia na lori zimegongana em angalieni bwana
Indonesia

Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Charles Hirali Msangi, (34) dereva wa basi lenye namba za usajili T 289 EAG, Kampuni ya Laviha linalofanya safari za Ifakara - Dar es salaam kwa kwa kosa la kuendesha gari kizembe na kusababisha ajali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hii leo April 17, 2026 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro ACP, Andrew Kantimbo imeeleza kuwa dereva huyo aliendesha gari katika njia ya hatari akiwa na abiria 57 kwenye basi hilo ambapo alishindwa kulimudu gari na kupelekea kuacha njia na kutumbukia mtoni ambapo alisababisha majeruhi
"Aprili 16, 2026 usiku katika eneo la daraja namba saba lililopo Ruaha kata na tarafa ya Mikumi Wilaya ya Kipolisi Ruhemba Mkoani Morogoro, katika barabara kuu ya Mikumi - Kilombero basi lililokuwa likiendeahwa na dereva aitwaye Charles Hirali ambaye amekamatwa, akitokea Ifakara kuelekea Dar-es-salaam akiwa na abiria 57 aliacha njia, kupinduka na kusababisha majeruhi kwa abiria 13 kati yao wanaume ni 10 na wanawake 03 ambao walifikishwa kituo cha afya kutibiwa na kuruhusiwa." Imeeeleza taarifa ya Polisi
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@NotMyGovernmen2 @En_chinaNews what evil you talking about? why are you feded up with these western medias and you don't want even to deep down the main causes
English

@En_chinaNews So China by siding with the evil Iranian Islamic regime has just declared war on the US?
English

CHINA BACKS IRAN
"We are commited for peace & stability in the world. We are monitoring the situation in the middle east. Our ships are moving in and out of the waters of Strait of Hormuz. We have trade & energy agreements with Iran. We will respect & honour them and expect others to not meddle in our affairs. Iran controls the Strait of Hormuz and it is open for us."- China's Minister of Defence Admiral Dong Jun

English

You see the difference between the US and Iran.
The US put in a blockade at the Strait of Hormuz and the only punishment for violating it would be capture and detaining of the erring ship.
Meanwhile, at Iran's blockade, once any ship violates it, the ship would be set ablaze not minding the fact that most of these ships are civilian vessels.
That was how they targeted and blew up a Thai ship for just entering the Strait.
We know the good guy.
We know the bad guy.

English

@ayubu_madenge Sio kuzuia tu ikiwezekana na wazuie chochote kuingia ama kutoka iran,
wazuie kila aina ya malighafi inayouzwa iran kwenda nje ya nchi
mabomba yote ya maji,
umeme na nishati ilipuliwe
hospital zibomolewe maana magaidi wanafany watu kama ngao
Indonesia


@millardayo Mwanaume Trump ni mmoja tu duniani
Polski

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani litaanza mara moja kuzingira Mlango Bahari wa Hormuz, na kuamuru kukamatwa kwa nguvu Meli yoyote ya kimataifa iliyolipa ushuru kwa Iran.
Hatua hiyo imekuja baada ya mazungumzo kati ya Marekani na Iran yaliyofanyika Pakistan kushindwa kufikia makubaliano ya kumaliza vita ya wiki sita Mashariki ya Kati.
Kupitia ukurasa wake wa Truth Social, Trump amesema mazungumzo hayo “yalikwenda vizuri kwa kiasi kikubwa,” lakini suala muhimu zaidi la Nyuklia halikupata mwafaka hivyo Jeshi la Wanamaji la Marekani litaanza mchakato wa kuzuia Meli zote zinazoingia au kutoka katika mlango huo muhimu wa Bahari.
Trump pia amedai kuwa kuna mataifa mengine yatakayoshiriki katika operesheni hiyo, ingawa hakuyataja kwa majina, aidha, ameishutumu Iran kwa kile alichokiita “unyanyasaji wa dunia,” akidai kuwa taifa hilo limeweka mabomu ya baharini katika eneo hilo na kutoza ushuru meli zinazopita.
Hata hivyo, Trump ameonya kuwa shambulio lolote kutoka Iran dhidi ya Marekani au Meli zisizo na hatia litajibiwa kwa nguvu, akisisitiza kuwa Iran inaifahamu vizuri namna ya kumaliza hali hiyo ambayo tayari imeleta madhara makubwa kwa Taifa hilo.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@BarakaJoasy @millardayo usd 10,000 siyo hela ndogo hata kwa us
Filipino

@millardayo Hy ni hela ndog sana USA n kama bongo uokote laki kwenye office inayokulipa 2M
Filipino

Mfanyakazi mmoja wa Kampuni ya vyakula vya haraka (Chick-fil-A ) ya nchini Marekani ameibua gumzo baada ya kurejesha kiasi cha dola 10,000 zaidi ya shilingi milioni 26 za Kitanzania, alizoziokota bafuni kazini kwake.
Tukio hilo lilitokea katika moja ya matawi ya kampuni hiyo nchini Marekani mwanzoni mwa mwaka 2026, na kuripotiwa na shirika la habari la Fox News, hivi karibuni baada ya video yake kusambaa, na nkutajwa kama jambo la mfano bora wa uadilifu.
Kijana huyo, anayejulikana kwa jina la Jayden Cintron, badala ya kuzichukua kama wengi wangefanya, aliamua kuzirejesha kwa mmiliki wake, akiamini kuwa kufanya kilicho sahihi ni muhimu zaidi kuliko fedha.
Akieleza sababu ya uamuzi wake, Cintron alisema aliongozwa na imani yake, akisisitiza kuwa “ndicho ambacho Yesu Kristu angefanya,” kauli yake imekuwa ikisambaa sana, huku wengi wakikubaliana naye kwamba tabia njema na uadilifu vina thamani kubwa kuliko mali.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@ASwagarya @MwanzoTvPlus siyo yawezekana asee
tumelaaniwa kabisa man
Filipino

@MwanzoTvPlus Yanayoendelea Africa naanza kuamini mtu mweusi inawezekana kweli amelaaniwa
Indonesia

#BREAKING: MUHOOZI: 'TUNAWEZA TUKAMNYONGA BESIGYE IFIKIAPO MWEZI UJAO. TUSIPOFANYA HIVYO TUTAMPIGA RISASI’
"Nadhani tunaweza kumnyonga Besigye ifikapo mwezi ujao. Tusipomnyonga tutamuua kwa kumpiga risasi. Hiyo itakuwa siku nzuri sana kwa Uganda." Ameandika Muhoozi Kainerugaba, Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi, Uganda kwenye akaunti yake ya X

Indonesia

@millardayo Tunataka tuone video clip akiongea!! Siyo maandishi tu!! Huyu ni marehemu tu, hamna namna
Filipino

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Mojtaba Khamenei amesema Iran bado imejizatiti kulipiza kisasi cha Baba yake aliyeuawa pamoja na Watu wote waliopoteza maisha katika vita, kufuatia tangazo la kusitishwa kwa mapigano.
Kwa mujibu wa taarifa mpya iliyotolewa kuhusu makubaliano ya usitishaji vita, Khamenei amesema Iran itaingiza usimamizi wa Mlango wa Hormuz katika hatua mpya akionyesha uwezekano wa mabadiliko ya kimkakati katika eneo hilo muhimu la usafirishaji wa mafuta duniani.
Aidha, ameyataka Mataifa ya Kiarabu yaliyo Kusini mwa Iran katika Ghuba ya Uajemi kuwa na tahadhari dhidi ya kile alichokiita “ahadi za uongo za Mashetani” huku akisisitiza kuwa Iran bado inasubiri majibu yanayoeleweka kutoka kwa Mataifa hayo ili iweze kuonyesha nia yake ya ushirikiano na Undugu kwa kuwa haikutafuta vita na haitokubali kuachia haki zake.
Katika sehemu ya mwisho ya taarifa hiyo, Khamenei amesema, “kwa hakika tutadai fidia kwa kila uharibifu uliosababishwa na gharama ya damu ya Mashahidi pamoja na fidia kwa majeruhi wa vita hii” #MillardAyoUPDATES.

Indonesia

@ayubu_madenge Wewe ulienda ukauzunguka mwezi ukajionea?
Kwamba mtu akiwa Newyork ndo yuko sahihi? Je, haohao wa Newyork si ndo wanabadilisha jinsia na kueneza agenda za kishoga, ushawahi ona hata jogoo la kienyeji likikosea kuparamia jogoo lingine?
Kwa akili hizo tuwaamini sio?
Indonesia

@mangekimambi @padrinocaesar zinapita wapi wakati YouTube, fb, ig zote zina filter hizo content
HT

@padrinocaesar Jiulize wewe, kweli kwa teknolojia iliyopo sasa Kweli hakuna mtu hata mmoja duniani karekodi maafa unayoomba kuyaona wewe na hajaposti Twitter au social media zingine?
Indonesia

Aisee basi Iran hakuna jeshi ila kuna watu wenye midomo kama kimama. Iran kuna wachambaji kama ZNZ ila hakuna jeshi pale.
I’m sorry ila kweli ,nchi ambayo zaidi ya wiki sasa inatamba kuwa inawasubiria wanajeshi wa Marekani watue kwenye ardhi yao. Nchi ambayo inatamba kuwa imejiandaaa kwa vita hii kwa miaka 40, kweli imeshindwa hata kumteka pilot mmoja wa Marekani aliedondokea ndani ya ardhi yao? Kweli Trump kaweza kumuokoa pilot wake deep inside Iran??
Aiseeee, inabidi hata team wauwaji wa waaandamanaji A.K.A team Islamic Republic impigie makofi the best American president EVER!!!!! @POTUS @realDonaldTrump
Axios@axios
BREAKING: U.S. special forces rescued the second crew member of the F-15 fighter jet that was shot down over Iran, three U.S. officials tell Axios. axios.com/2026/04/05/ira…
Filipino

@DanielDAzaMan @AfricanHub_ could you see it today if it wasn't recorded?
English

@AfricanHub_ She only did that for the media , not out of love , if not , it won’t be online
English

@MwadiaJohn @zoetjesheeftX hapo povu la nini sasa mbona ndege zao zina tunguliwa we shoga... yaani nyie hamfuatiliagi source ambazo zinabalance story mko tu na bbc... unahisi bbc watabalance story
Indonesia

@zoetjesheeftX Iran Ina mdomo mpaana Sana wa kufanya Propaganda Ila kiukweli Irani ilivyo Sasa Ni Kama kuku aliye hai amenyonyolewa manyoya YOOTE na kuachiwa mtaani.
Balaa tupu.
Kuna mitz mienzetu siielewi I don't know sbb wa kidini Sana au kiroho kimewazidi.
WANASHABIKIA UPUPU WA IRAN.
Indonesia

Kitendo Cha IRAN kudungua Ndege ya marekani kilifurahisha watu wengi Leo, wengi tulikuwa tume subiri kusikia hao marubani wame kamatwa wako kwenye mikono ya jeshi la IRAN.
Kitu Cha kushangaza Ndege imedunguliwa ndani ya IRAN, halafu marekani akatuma Ndege Zake tatu kwenda ndani ya anga hilo hilo la IRAN tena zinapita kimo Cha chini huku wananchi ndo Wana zirekodi Kwa simu zao na wana fanikiwa kuokoa rubani wao mmoja, na mpaka muda huu Wana endelea na kumtafuta mwingine.
Hiki kitu kitu wataalamu njooni mtueleze ina maana gani?

Indonesia














